Тёмный

Sababu 3 zinazoongoza kuua biashara 

Joel Nanauka
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 162   
@kingoman7895
@kingoman7895 6 лет назад
Najiandaa kwa kujichanga ili nije kufungua biashara yenye mizizi migumu sana na mikubwa sana itakayotambaa na kufika mbali In shaa allah
@International_Admin
@International_Admin 4 года назад
allahumma amiin allahu baarik
@rwetunikamathayo2065
@rwetunikamathayo2065 Год назад
Nakukubali sana bro you are the one huna maneno yasiyoeleweka na mengi kama wengine
@enockmathias3470
@enockmathias3470 2 года назад
J , Mungu akubaliki xna nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sana kwa elimu yako
@abelmwilapwa1111
@abelmwilapwa1111 4 года назад
Asante kwa ushaur Mungu akubariki
@abeljohn8607
@abeljohn8607 4 года назад
Best Advices for Business thank you brother 👏
@amarsohal2929
@amarsohal2929 6 лет назад
Kwa kweli nimepata faida kubwa ambao sikua na idea nao ila asante sana mr joel arthur na mimi ni mmoja wa mfuasi wako nimeanza wiki saivi kukufatilia na nimeona unatusaidia kwa kweli..
@esterkessy3877
@esterkessy3877 5 лет назад
Nimejifunza ,Asante ubarikiwe
@nicksanga6454
@nicksanga6454 3 месяца назад
Nimeelewa somo Asante
@denniscastory3924
@denniscastory3924 2 года назад
Nimekuelewa maana mm mwenyewe nataka kuanzixha biashara umenifungua ahsante mwenyez mungu akubaliki uendee kutufunza ujumbe wewe ndoo tegemez letu la taifa letu tunakupenda xana mwalimu naitwa Denis kutoka kigoma
@swabriissa2034
@swabriissa2034 5 лет назад
Ahsante kwa msaada unaotupa wakufungua akil zetu binafsi nakukubali sana kila unachosomesha kimenikuta nshabdilika kupitia wewe brother j nanauka mola akubarik sana
@ShukuluMohammed-mc2fy
@ShukuluMohammed-mc2fy Год назад
Nakuelewa sana brother
@nasorontayega663
@nasorontayega663 4 года назад
Sababu yakwanza kmnd da Nashukuru Sana Sasa ntafanya aje ili nisitumie
@alextibamanya5229
@alextibamanya5229 6 лет назад
Asante bro umenifunza kitu maana nilikuwa nafeli sana,god bless u for coach us.
@leticialupembe6956
@leticialupembe6956 Год назад
Asantee sana kaka Joel mi ya kwanza hiyo imenikosha kwa kweli
@georgewilliam7319
@georgewilliam7319 6 лет назад
Asante brother. Matumizi makubwa yalishawah kunikwamisha.
@nataliaswei1437
@nataliaswei1437 2 года назад
Habari....Mimi naitwa Mama Natalia,ninaduka la rejareja lakini nikiuza sioni faida yani natumia nguvu nyingi lakini sifaidiki na biashara yangu,naomba ushauri nifanyeje maana inafikia Mda naona kama napoteza Mda
@Almisbahy9551
@Almisbahy9551 6 лет назад
Aisee Nmekuelew Vzr Bro Mi Hiyo Ya Pili Na Ya Tatu Ndo Zmenifelisha Biashara Hatimae Imekufa Kabisa.
@hansramadhan8945
@hansramadhan8945 6 лет назад
napenda sana vipindi vyako,thanks much bro hesha kwako na hiii ndo inaonyesha ni namna gani now vijana tunazid kua naawazo mapana kila kukichaaa
@hafidhusulemani8277
@hafidhusulemani8277 6 лет назад
Ebwana mm nimwanafunziwako mzulisana unanielimisha kilaninapokusikiliza asantekaka mungu akubariki
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 6 лет назад
Sikuwahi kujua hazina iliyopo ndani ya huyu kaka Ndo nimesikia leo kupitia clouds fm na kuanza kumtafuta huku you tube God bless you
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Nerea Igogo ahsante sana,tuendelee kujifunza
@swabrihamismvulla6423
@swabrihamismvulla6423 6 лет назад
Ahsante bro kwa elim unayotoa mola akubarik sana
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 лет назад
dahh umenikosha sana maana umepitia humo humo nilpo pitiaga mm nilijenga mapwma hata miaka miwili haikufika kilichofuata ni azabu kubwa sana kuupandisha mtajia tena ila nashukuru mungu tena niliibuka kwa hiyo nilishaga jifunza upande huo wew ni mwalimu mzuri sana tena sana na hongera sana ubarikiww sana
@suleimanupunda3265
@suleimanupunda3265 3 года назад
Yan asant saan mm nimejianda vizuli
@symoniezekiely2862
@symoniezekiely2862 5 лет назад
mimi sababu inayo sababisha ni ferry na thani ni hii ya kwanza kuchanganya matumizi na msingi ina ni galim sana ila kwa kuwa ume ni elewesha kaka nita lifanyia kaz ahsante
@furahabaraka2705
@furahabaraka2705 4 года назад
Dah kwel kbs hiz sabab nd zinazofelisha biashara haswa haswa y kwanza
@mwelamalibila8988
@mwelamalibila8988 5 лет назад
Daaaah asante kwa somo hili
@buruhanimtonya8078
@buruhanimtonya8078 2 года назад
Sababu namba 1 iliwahi kuniangusha ila sasa nimekuja na kanuni ya come back
@ceciliamatiku442
@ceciliamatiku442 6 лет назад
asante sana Joel nimeelewa kwa upande wangu hiyo ya 3 ndo iliyoniathiri nisaidie mawazo nifanyeje
@burtonmwakitalim2142
@burtonmwakitalim2142 6 лет назад
hongera kwa kazi nzuri
@vicentmatoboki7288
@vicentmatoboki7288 3 года назад
One see u big broo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 года назад
Tunakushukuru kaka
@asidayzsaid9662
@asidayzsaid9662 5 лет назад
Mizizi unajengaje?
@melvinnakhungu2504
@melvinnakhungu2504 2 года назад
Vizuri sana
@zebyharson5577
@zebyharson5577 2 года назад
Akika nimepata kitu , barikiwa 🙏
@InnocentMagoza-pu9wn
@InnocentMagoza-pu9wn Год назад
Hakika Kaka mi nataka kuanzisha biashala na kwa hakika Kuna kitu umenijenga asant Sana mungu akubaliki
@WilliamJulius-p1q
@WilliamJulius-p1q Год назад
Asante nimeelewa
@hassanbakari1509
@hassanbakari1509 6 лет назад
Shukran kwa kutuelimisha, swali langu botany vyako vinapatikana wapi kwa mkowa wa tanga
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Hassan Bakari nashukuru kwa kutembelea channel Hii,utavipata kupitia 0756094875
@hassanbakari1509
@hassanbakari1509 6 лет назад
Joel Nanauka Asantee sanaa
@jacksonmollel5155
@jacksonmollel5155 5 лет назад
ni kweli sana sasa nipigie nipe namba zako ili nipate vitabu mbalimbali
@tinamgeni2562
@tinamgeni2562 6 лет назад
Asante Mungu akutunze
@ccmtangamedia
@ccmtangamedia 2 года назад
sababu ya mwisho imemfelisha my brother
@bakarkhamis7749
@bakarkhamis7749 4 года назад
Asante joel umenifuninua kitu apo maan nilikuwa na pupa ya kutanua biashara kwa haraka nakutakia kaz njema
@allyhamad1301
@allyhamad1301 Год назад
Mm sababu yangu yakufeli nauza sana ila pesa nyingi nazitumia
@swahabatv48
@swahabatv48 6 лет назад
ujumbe, mzur sana
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
Hapa kwenye business entity kutii hii kanuni ndio kwenye changamoto ya wengi, ahsante sana.
@jeremiahgyunda5632
@jeremiahgyunda5632 Год назад
Vitu muhimu sana kaka pamja sana
@irakozemaissarah4325
@irakozemaissarah4325 6 лет назад
thanks kaka nimejifunza kitu kipya kwenye biashara yangu
@simonjustin5921
@simonjustin5921 3 года назад
Uko vzur mno
@zafaranimrisho2111
@zafaranimrisho2111 6 лет назад
Apo kwenye kuweka mizizi ya biashara sjakuelewa vzr Mizizi ipi labda
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 лет назад
Zafarani Mrisho zarani mizizi ni kuimarisha
@erickngaponda4312
@erickngaponda4312 2 года назад
Joel naomba utuletee somo la kudeal na wateja wakopaji katika biashara yako nawezaje kufanikiwa na wateja wanaokopa
@rebekamtafya7386
@rebekamtafya7386 3 года назад
Thanks bro. Stay blessed
@raphiarenatus7259
@raphiarenatus7259 4 года назад
Mimi huwa naferi sana ngj nijifunze
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Naendelea tu kujifunza mwalimu wangu
@elizabethzabron8489
@elizabethzabron8489 6 лет назад
Asante Kaka God bless you
@mobilesolution2413
@mobilesolution2413 6 лет назад
safi kaka joel mafundisho mazuri
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
mobile solution karibu sana,ahsante sana kuendelea kufuatilia
@shazirymustafa20
@shazirymustafa20 5 лет назад
Sawa nimekuelewa ila sijakusoma vizur hapo pakuchukua pesa ya biashara sasa nitaishi vip wakati mi nimejiajili katika biashara yangu na sina kingne kinachoniingizia fedha na mda wote nipo hapa katika biashara sa nitakula wapi au nivaa wap
@kokudo8389
@kokudo8389 5 лет назад
Msisahau mwaka 2019 hakikisha pesa yoyote inayopita mikononi mwako uishike na usiruhusu ikatoka kizembe kwa vitu visivyo na maana Happy new year
@fatajoshow8640
@fatajoshow8640 2 года назад
Napenda kuwa mchumi
@NeroForte_
@NeroForte_ 6 лет назад
Kaka habari za siku. nina problem mbili ya kwanza(1). mimi nimeanza mipango ya kuanzisha biashara yangu miezi nane iliyopita. Tatizo mpaka leo sijafanikiwa na nimetumia pesa nyingi kununua vitu vinavyohitajika, kipato changu ni kidogo na mara nyingi kila ninapoona nipo tayari kuanza naona vikwazo vinaongezeka ambavyo vinahitaji pesa zaidi. yapili(2) nahitaji kuajiri mtu afanye hio kazi lakini naona kama inakuwa ni changamoto pia kupata mtu. naomba msaada hapa. nifanye nini ili biashara yangu iingie katika operation.?
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 5 лет назад
Daaaah ubalikiwe kaka
@barikipeter721
@barikipeter721 6 лет назад
Ya kwnza
@alysaid4960
@alysaid4960 6 лет назад
Boss wangu yupo katik haali kupenda wafanykazi wake
@chizalukasi
@chizalukasi 10 месяцев назад
safi
@bibianaalfred8444
@bibianaalfred8444 3 года назад
See youu
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 года назад
Namba 1 inanisumbua
@mrugamhono9451
@mrugamhono9451 6 лет назад
nzur ,lkn kama mkiwa mmeanzisha kwanzia watu wawili na yeye anataka mkifanya tu na mkapata faida anaitaka hyo faida ili afanyie mambo yake mengine ,he utanisaidiaje ktk hlo Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
mruga mhono kabla haujaanZa biashara na mtu ni lazima mkubaliane kwanza
@piusnjechele3815
@piusnjechele3815 6 лет назад
Biashara za watu wawili zinachangamoto Sana na mbaya zaidi akiwa mmoja wapo anataka mafanikio ndani ya muda mfupi "No expart for five days "
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 лет назад
@@piusnjechele3815 nahazifai mwaeza hata kuumizana mkifanikiwa
@yasynally1908
@yasynally1908 6 лет назад
Nadhani kwa mtizamo wangu pia hili Jambo la kutokufanya utafiti wa biashara sahihi kuifanya kwa muda sitahiki katika eneo lako linadumaza ukuaji na maendeleo ya biashara au we pia unaonaje hii?
@realysoud3919
@realysoud3919 6 лет назад
Thanks nimepata Kitu kimpya kwenye biashara
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Soud beats pamoja sana
@getrudeepafras3416
@getrudeepafras3416 6 лет назад
Nakuelewa sana kaka
@muhsinkombo3736
@muhsinkombo3736 4 года назад
Hii sababu ya pili naomba ifafanue zaidi
@m-clanofficial6158
@m-clanofficial6158 6 лет назад
nimekuelewa sana
@YusufuKhalidi-o7e
@YusufuKhalidi-o7e Год назад
Naomba namba yako ya sim
@eliudimwigi8368
@eliudimwigi8368 6 лет назад
Kaka mimi nitajiandia vizuri ili hizi sababu sisinifelishe mara nikianza tu Biashara yangu. MUNGU akubariki sana.
@wilfredmwambuluma9927
@wilfredmwambuluma9927 3 года назад
Duuu kwel apo kwenye kutanua biashala bila kuweka mizizi
@davidmbilinyi2224
@davidmbilinyi2224 6 лет назад
Asante sana nimekuelewa sana
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
David Mbilinyi karibu,pamoja sana
@joseshimba3635
@joseshimba3635 2 года назад
Asante sana
@fahadalismaily9370
@fahadalismaily9370 5 лет назад
Hebu sababu ya pili ifafanue zaidi sijaelewa...
@frangsonmkatege1638
@frangsonmkatege1638 4 года назад
Nimekuelewa sana,naomba msaada zaidi unaposema kutotoa matumizi kwenye biashara je unaweza kuishije kama kazi pekee ni hiyo biashara?
@daudilutego6790
@daudilutego6790 3 года назад
Inatakiwa ile faida unayoipata kitu cha kwa toa zaka!!hiyo inayobaki tenga matumizi na akiba.hakikisha matumizi yako hayazidi asilimia 40%
@victorchiwai8831
@victorchiwai8831 2 года назад
Niko Kenya pongezi Kwa kipindi
@jonathanmabula6338
@jonathanmabula6338 5 лет назад
Nimekuewa xna brooo tatizo langu kubwa ni matumizi yaliyo nje na biashara
@mohammedyassin8786
@mohammedyassin8786 5 лет назад
Kaka wee nomah
@deusjohn1107
@deusjohn1107 4 года назад
nimekuelewa kaka
@abdinakusaga8727
@abdinakusaga8727 5 лет назад
oy bro nimejifunza.
@rajabuomari6034
@rajabuomari6034 3 года назад
Nikweli kaka ata mm mwenyewe nashindwa kukuza biashara yangu
@kelvinnyambo3076
@kelvinnyambo3076 6 лет назад
sababu hiyo ya tatu
@killtime7829
@killtime7829 5 лет назад
ninamtaji lakini sijajuwa biashara ya kufanya kwa sababau ninaogopa kufe niliacha kazi nikaingia kwenye biashara nikafeli nilichekwa sana hidi nilirudi kwenye kazi ya awali
@denisrenatus4935
@denisrenatus4935 6 лет назад
mwlm mm na Rafiki angu tulianzisha biashara ndogo ya kuuza Kuku lakin haikudumu kwan yy alkua anaingiza sana matumz ya nyumban kwenye biashara yetu ndogo mpaka ikapelekea kufa kabsa nawaza kufanya pekee angu make naona ananfelisha tu
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Denis James pole sana,ni muhimu kuchagua mtu sahihi wa kufanya naye biashara,ukikosa Anza kidogokidogo mwenyewe
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 5 лет назад
Nakuelewaga sana joeli, ni kweli hayo unayoongea.
@euzebiayotham6459
@euzebiayotham6459 2 года назад
Nimekuelewa sana kaka sabab ya kwanza na tatu inanihusu samahani nitafanya nini Ili nisingilie kati ya matumizi ya nyumbani na duka
@salminlukindo3899
@salminlukindo3899 6 лет назад
Sikupingi kk
@bahatidanken9181
@bahatidanken9181 6 лет назад
mm nikijana ambae nipo chuo nm but cjawahi waza kuhusu kuajiliwa napenda saana nifanye biashara ya vipodozi(cosmetics) na nimelima shamba la matikit kwa lengo la kupata mtaji napenda saaana hii biasha japo sjawahi Fanya naomba ushauri
@stephenefilimon5516
@stephenefilimon5516 6 лет назад
Nanauka umenifungua kwenye nyanja nyingi kiukweli hata elim yangu ya chuo kikuu nadhani isinge mudu MUNGU akubariki zaidi
@mariakomba166
@mariakomba166 Год назад
kiukweli Mimi ni muhanga wa hili
@smartboyzengineering9764
@smartboyzengineering9764 4 года назад
Tunashukuru kaka kwaelimu yako
@jumasaid9212
@jumasaid9212 6 лет назад
Upo vizuli sana
@MariaKisabo
@MariaKisabo 5 месяцев назад
Na mm nimmoja wao umenigusa kweli
@AfricanFolktalesStories-2024
@AfricanFolktalesStories-2024 5 лет назад
Ndio nimeanza biashara sasa, lakini changamoto ni kwamba mzigo nilitegemea utaisha wote ili niagize mwingine, sasa haujaisha na kuna wateja wananisumbua sana wanahitaji bidhaa nyingine ila ni ya the same company, hivyo nimeamua kuizungusha pesa niliyonayo kwa kuagiza mzigo mwingine(wa bidhaa zinazohitajika sana), instead of waiting mzigo wote uishe, Je nipo sahihi hapo Kaka Joel?
@simonmnubi-n8u
@simonmnubi-n8u 7 месяцев назад
👏
@erickjuliusejuboytv7505
@erickjuliusejuboytv7505 4 года назад
Sababu ya kwanza kka
@manumbamanuelasaid1810
@manumbamanuelasaid1810 4 года назад
Mimi nina mtaji wa milioni 1 nafani yangu ni fundi seremala fanicha za kisasa vifaa vya kazi ninavyo mashine za kisasa lakini sija lipia eneo bado
@piusnjechele3815
@piusnjechele3815 6 лет назад
Asee ni ukweli mtupu Binafsi nilipo toka Chuo niliamua kufanya biashara ya popcorn na Kiukweli ilikua vzuri tu ila nikosea pale nilipo chukua pesa ya biashara na kuingiza kwenye mambo ya siasa..... Ila namshukuru MUNGU bado biashara haijatetereka Sana na mpaka sasa naendelea nayo ....
@esteramon6474
@esteramon6474 6 лет назад
Imeningusa no 1 nitajitahidi kubadilika
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Ester Amon nakutakia mafanikio ,tuendelee Kujifunza
@bitricebitrice2735
@bitricebitrice2735 6 лет назад
Asante kaka Joel hayo yote nimeyapitia coz sikujua sababu hz
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Bitrice Bitrice naamini baada ya leo utaanza kufanya vizuri
Далее
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Changing The Flag Of The Countries #countryballs
00:18
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
Aina Nne Za Elimu Unazohitaji Ili uweze Kufanikiwa
5:43
Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka
9:07
Njia 3 Za Kujua Biashara Inayokufaa
5:17
Просмотров 128 тыс.
Maeneo Manne ( 4 ) Ambayo Pesa Imejificha
6:02
Просмотров 97 тыс.
Kanuni Tatu (3) Za  Fedha  (Three Laws of Money)
5:40
Просмотров 105 тыс.