Тёмный

Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka 

Joel Nanauka
Подписаться 290 тыс.
Просмотров 149 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 193   
@queenmduma3869
@queenmduma3869 5 лет назад
So powerful..Be blessed brother Asante sana Njia ya kwanza(Market Penetration) na ya tatu (Market Development) ntaanza nazo. "Mafanikio yako yamefichwa kwenye ujasiri wako wa kutafuta masoko mapya"
@debdahchannel9159
@debdahchannel9159 3 года назад
Hey....tunahitaji waalimu wengi zaidi kama hawa maana kwasasa tatizo si pesa tuu ila fahamu zetu MUNGU AKUTUNZE MWALIMU PROUD OF YOU
@shidakabichi10
@shidakabichi10 3 года назад
Your always my friend nanauka although I never see you facely, thank you for the good advice in business issues
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 лет назад
Safi sana mwalimu wangu mwaka 2018 niliahidi kwamba nwaka 2019 ntafungua duka LA nguo nimefungau narudisha marejesho asante kwa masomo yako mazur
@tilsajohn6494
@tilsajohn6494 2 года назад
👍
@mussakingay901
@mussakingay901 2 года назад
Brazaa nakufatilia sanaa vipind vyako
@gladmboya2385
@gladmboya2385 5 лет назад
Kaka umenitoa nilipo nimesogea sehemu nyingine,kuanzia kesho nitatafta Wateja wapya wa chakula maofisini,Mungu akubariki sana.
@ezabron4784
@ezabron4784 5 лет назад
Naongezea mbinu nyingine hapo. Kutoa elimu namna bidhaa au huduma unayoitoa itakavyowasaidia unaowahudumi. Wengne wanaweza wakaelewa huduma/bidhaa ila wasitambue msaada inayowapatia. Wanunuzi wengi huangalia pesa wanasahau umuhimu wake. Asante!!
@wangwanatv2555
@wangwanatv2555 3 года назад
Your lesson it's nice I have learnt something ...Thanksgiving 🙏🙏💯
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Najifunza sana kwako unanifundisha sana nimeshaanza kubadilika kiufaham na mtazamo wangu umebadilika kabisa nataman unitembelee kwenye duka langu
@helencyprian6044
@helencyprian6044 4 года назад
Daah umeniongezea maarifa, asante kaka. Sikuwahi kugundua kama kuna mambo mazuri huku.
@husnamaftah4289
@husnamaftah4289 3 года назад
Very helpful presentation. God bless you
@powamkumba2131
@powamkumba2131 4 года назад
Asante sana schoolmate, unrelated and related business na kufanya promotion ktk biashara yako
@gladnessgiven4511
@gladnessgiven4511 Год назад
Nakushkur Sana blaz kwa kunfundisha somo Leo ntatafta wateja wapya
@oliverfrancis8219
@oliverfrancis8219 2 года назад
Asante kwa darasa
@upendofrank4917
@upendofrank4917 4 года назад
Blessing for u brother
@summerbill7480
@summerbill7480 2 года назад
Mungu akubariki sana
@nyaamajengo5861
@nyaamajengo5861 4 года назад
Asante sana nimejifunza kitu
@rumishamsaki5944
@rumishamsaki5944 3 года назад
Asanteh sana brother
@michaelkatigula5793
@michaelkatigula5793 3 года назад
Somo zur Sana mwalimu
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 лет назад
Unazidi kutufundisha sana kaka yake
@FarijaniBakari
@FarijaniBakari 7 месяцев назад
Daaaa safi sana
@deodatiemmanueltarimo6714
@deodatiemmanueltarimo6714 3 года назад
Nimeipenda
@donatusdeusdedith6784
@donatusdeusdedith6784 Год назад
Binafis najifunza zaidi kwako kaka ww kweli nimfano wa kuigwa
@giftmasukila4736
@giftmasukila4736 2 года назад
Mim lengo Ni kufanya biashara vizuri Ila najikutaa napoteza mtaji kutokana na mahitaj kuwa mengii na biashara kuwa ndogo nifanyaje
@ram_btv3822
@ram_btv3822 2 года назад
Nashukuru kuanzia nianze kukufatilia nayaona mabadiliko kwenye biashara zangu kutokana na kujitangaza zaidi🙏
@tracyjoseph2075
@tracyjoseph2075 3 года назад
Thanx so much kwa darasa but mim napenda kutumia marketing penetration na diversification nadhani hizo zitanifaa zaidi
@rasulhashim6815
@rasulhashim6815 4 года назад
Nakuelewa sana mkuu
@mohdrizo5809
@mohdrizo5809 4 года назад
Nimejifunza
@papilumona1896
@papilumona1896 3 года назад
Nitafanya promotion sana Asante sana
@suavisanthony877
@suavisanthony877 4 года назад
Asante sana kaka
@chiticollemans
@chiticollemans 4 года назад
My mentor
@babalois7240
@babalois7240 5 лет назад
Wakati mwingine mafanikio yako yamejificha kwenye uoga wako wa kutafuta masoko mapya..NOTED
@danielbalama7878
@danielbalama7878 4 года назад
Ameni
@rhoidatolya8446
@rhoidatolya8446 2 года назад
Nahitaji mabadiliko eneo la kutimiza malengo
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 лет назад
Shukran
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 года назад
God bless you ma brother
@mightpeaceconsultingtv4825
@mightpeaceconsultingtv4825 3 года назад
njema sana
@wilsonmaduhu5610
@wilsonmaduhu5610 5 лет назад
Najifunza mengi kutoka kwako kaka
@user-yz8hg6qh5c
@user-yz8hg6qh5c 3 года назад
Asili ya biashara ni kamari lakni... sio suala la "kuapply principles", wala "kanuni" coz in actuality there r soo many factors in-play when doing business.. na ZOTE zipo dynamic (znabadilika badilika, na ndo maana biashara hiyo hiyo inaweza ikapata faida mwezi huu na hasara mwezi ujao) Even the very wise cannot see all Ends
@burudikotv1953
@burudikotv1953 Год назад
Mungu akulinde Sir❤
@eieftv2786
@eieftv2786 4 года назад
Great initiative
@مكتومالدرعي
@مكتومالدرعي 2 года назад
Ndo kwaza nimeaza kufatilia leo subili ikufatilie
@jasperleopord4838
@jasperleopord4838 4 года назад
Naomba namba
@aminasalum8183
@aminasalum8183 2 года назад
u r the best broh….lemme start dealing with this ideas ❤❤❤
@ongeshabani8324
@ongeshabani8324 5 лет назад
Kaka na kupenda sana , mimi nipo marecani ila mimi ni mkongo ume nibadilisha sana , kama vp nahomba namba yako ya simu
@mdaginyikamwamuyinga895
@mdaginyikamwamuyinga895 3 года назад
Joel ,, binafsi kupitia post zako nibayaona mapungufu yangu mengi ambayo ninaamini yamenifanya niwe haoa nilipo natamani kufanya uoya kadri niwezavyo . Asante
@sumiodilo1180
@sumiodilo1180 5 лет назад
Bado nakufata, nakutazama, najifunza, na-like na pia ninatafiti-sisi watazamaji hasa tunaokomenti na wewe vile vile. Kuna watu walikuwa wanakomenti hapa ili kutafuta followers kwenye account zao za RU-vid, hilo nimegundua, ushahidi upo katika somo moja wakati unamalizia mwishoni ulisema pongezi, shukurani zakweli/kinafki na hata tabasamu(sija-quote kama ilivyo) ulisema inajulikana apewapo mtu, wakajua umewashtukia mara watu wale wakasepa, sijaona tena komenti zao. Tuliopo thabiti kama kawaida unatuona. Mungu akuinue zaidi kaka. Ninabarikiwa na mafunzo yako.
@hamisbaruti115
@hamisbaruti115 5 лет назад
Thanx kwa kuniongezea uelewa mkubwa cos am doin this on my entrepreneurship development course at st joseph university Alaf kitabu cha timiza malengo yko nakipataje?
@emmanuelludovick8749
@emmanuelludovick8749 5 лет назад
Barikiwa kaka kwa somo zuri la market development Mm Nina changamoto ipo hivi nimefungua biashara yangu na inaitaji kutafuta masoko kwa ajili ya musupply sasa biashara yangu tunafanya wengi na nimetumia mbinu ya kufanya discount kwa wateja sasa wateja wamekuwa wajiongezeka na kujuzana mtu fulani anayo bidhaa nzur na ujazo mzuri kwa bei ndogo natafutwa nafanya biashara sasa kuna mtu kanipigia simu na kusema umeniingilia kweny masoko yangu na kuweka bidhaa yako umenifungia soko langu nitakutafuta nikuonyeshe akatukana sana sasa naomba kuuliza kisheria mm ndio mweny makosa au nipo sahihi maana ukiangalia kweli soko lilikuwa lake na kama ikitokea amenifanya lolote likienda kisheria nani atashinda ki biashara?
@fanuelmallongo1042
@fanuelmallongo1042 5 лет назад
Ubarikiwe Sana kaka kwa kweli naendelea kujifunza mengi kutoka kwako
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 5 лет назад
thank you so much to teach us every day if to do work, ibelive yourself we go to succesfull....God belless you ... see you at the top#
@mayahassan3924
@mayahassan3924 2 года назад
Mm nimeanz biashar ya lotion mwak ss Inakufa inalud tenh inakufa inalud tenh nifny nini ili ikue zaid
@kipngetichgilbert2157
@kipngetichgilbert2157 5 лет назад
what about the the factor of production in business is it also the main factor ?
@kizondomoses1105
@kizondomoses1105 3 года назад
Mwalimu nilikuwa na swali namna ya kujilipa kwenye biashara unafanyeje?
@hildabundala7527
@hildabundala7527 5 лет назад
Karibu morogoro bro. Nikuandalie semina ya vijana
@herielkimambo7211
@herielkimambo7211 5 лет назад
Hi hilda
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Merci bouquet..+250
@habarikalizatown9052
@habarikalizatown9052 4 года назад
Umenifurahisha sana kaka nimepata madini kidogo endapo nilichelewa
@peterkasembo7854
@peterkasembo7854 Год назад
Kiukwery ume gusa maisha yangu kwa utofati zaid
@ezabron4784
@ezabron4784 5 лет назад
Asante sana Joel,bado naendelea kuelimika kupitia wewe. Mungu akubariki.
@kelvinmwakatobe2174
@kelvinmwakatobe2174 Год назад
For now nahitaji hii market penetration inaweza kua bora zaidiii na nikifanikiwa hapooo nita Move on ... Kwenye izooo zengine......
@blackdanilo6943
@blackdanilo6943 Месяц назад
Mm lengo langu ni kukuza biashara yang iwe kubwa kwa kias chake ila kila nikifanya naona bd sjafikia lengo maana mahitaji yanakuwa mengi nifanye nn ili kutatua tatz hili
@yudithndegetse5923
@yudithndegetse5923 2 года назад
Sorry mm nina kiasi kidogo cha mtajii naangalia cha kufanya ni meshindwa na natamani niwe mfanya biashara mkubwa nifanyeje?
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 лет назад
Mimi bd sema naitaji kuwa mfanya biashala hapo baadae enderea kutuelimisha kaka mungu hawe pamoja nawe🙏🙏🙏
@Broscarterrazo
@Broscarterrazo Год назад
Mr.joel nisaidie mm ni fundi wa terrazo nimerasimisha kazi yangu,nifanyeje kiweza kuitangaza zaidi?
@shufaajuma4773
@shufaajuma4773 2 года назад
Kaka Joel me sijajua nifanye biashara gani ila ninamtaji wa lakimoja
@joesphjustine8094
@joesphjustine8094 4 года назад
Mwanzo nilikuwa nauza chipsi nilikuwa naogopa kuibadili kazi ile kwa miaka mingi. Nilikuwa muoga sana wa kuthubutu kuiacha. Baada ya kufuatilia kwa makini masomo yako Siku izi nimefungua duka la vipodozi na ninaendelea vizuri sana.# asante Mr jn Mungu akubariki sana na akuwezeshe ktk kazi yako.
@andersonnambunga3388
@andersonnambunga3388 3 года назад
Nice
@julianamusa4216
@julianamusa4216 2 года назад
Samahani joel manauka nataka kuanzisha biashara ya mikate sasa sija jua napataje vifungishio vya kubebea mikate nisaidie napataje
@letionnews310
@letionnews310 3 года назад
Nimekuelewa sana
@hanginguje
@hanginguje 9 месяцев назад
Nahitaji kitabu kaka yangu cha kukuza biashara na jisi ya kuanzisha biashara nakupataje nipo Kenya lakinii nakaa Katoro nakupataje kaka
@mercyolando-ii7hl
@mercyolando-ii7hl Год назад
Asante kwa mafunzo,lakini nina swali niko na salon nataka kugawanya pande moja iwe duka,inawezekana ama haziko related.
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 3 года назад
Hivi milioni mbili unaweza kufanya biashara gani??? 😔
@kokudo8389
@kokudo8389 5 лет назад
Mimi nimefungua duka nimeanza na mtaji niliokua nao (mtaji mdogo) nakutana na changamoto mauzo ni duni mpaka nakata tamaa sijui nifanyeje
@sleyshabani3644
@sleyshabani3644 4 года назад
Badilisha eneo la biashara
@LizzyJonson-xh7xq
@LizzyJonson-xh7xq Год назад
Mm ataka kua mfanya biashara lkn Kila nikitak kufanya biashara nakua sijiamn naki2 kile ambch nataka kufanya naomb ushauri
@saliasalehe8081
@saliasalehe8081 3 года назад
Mm ndio natak nianz biashar huku kwet wanapend mikop kulik yan hat sijui naanzaje naomb ushaur wak
@emmynyachi1172
@emmynyachi1172 3 года назад
Mimi nataka natumia market penetration lakn cjawah toa ofa kwa haya mafunza yako aiseee ntatoa discount
@sheddyclevertz2738
@sheddyclevertz2738 2 года назад
Mimi nafanya biashara ya nguo akini najaribu kuwaza kitu kingjne cha kuendana na biashara yangu nakosa bro
@thomasdamas4347
@thomasdamas4347 4 года назад
Asante Mr Joel nayafanyia kazi hayo mawazo... See you at the top
@josephkahindi5705
@josephkahindi5705 5 лет назад
🙏🙏
@emmymponjoli968
@emmymponjoli968 2 года назад
Nataka kukuza biashara yangu ya duka ni duka la vitu vidogo vidogo vya matumizi ya nyumbn
@KIMSwahili
@KIMSwahili 3 года назад
Shukurani sana mwalim
@shalua8337
@shalua8337 3 года назад
Mtaji ndio proble
@awamkhalid5361
@awamkhalid5361 5 лет назад
Moja ya mbinu inayoniletea mafanikio kwa sas ni market penetration
@MarwaPembaMbeu
@MarwaPembaMbeu 4 месяца назад
Mm sina mtaji bt naitaji nifanye biashara ya kuuza nguo za mtumba
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 лет назад
I really enjoyed it brother,. that's lit!,,you rock,.!.,
@Rehema815
@Rehema815 Месяц назад
2024 nakuskilza mwalm wang Mungu akutunze
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 года назад
🙏
@mrmwombeckbusiness9089
@mrmwombeckbusiness9089 5 лет назад
Mimi Nina Kampun Nimeanzisha Rakin Napata Changamoto kupata mawazo ya watu Mtu una mualika Aje Akupe Mawazo Rakin kinacho nikuta naambulia kukataliwa...Tu hewe mtanzania naomba mawazo yako Aijarishi uko wapi 0676291781/ whatsapp call Sms N.k
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 Год назад
We salute my fover right ad viser wesh your long life 💘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PetroSasi-cj6ep
@PetroSasi-cj6ep Год назад
Duka labihaa mchanganyiko kama lejaleja nitakuja vip
@EzraIbrahim-kv6uy
@EzraIbrahim-kv6uy Год назад
Kwamtu ambae yupo kijijini na anamtaji anawezaja kukuza mtaji
@TujuzeTv
@TujuzeTv 3 года назад
From Burundi nakufuatilia saaana haswa katika mtandao wa Facebook daaaah ubarikiwe kwa saaaaana tuu
@Mwamba67
@Mwamba67 5 лет назад
God bless you....!!
@zainaselemani9775
@zainaselemani9775 2 года назад
Waaoh!! Thanks so much nimekuelewa bro🙏🙏mm ndio kwañza nimeanza ka biashar kangu ya urembo lyke cheni,hereni, blacelet na vinginevyooo so naomba ushaurii zaidi nifanyeje ili nikuze zaidii ya hapo.
@elizabethmichael6458
@elizabethmichael6458 5 лет назад
Hatua ya tatu ndio natakiwa kuanza nayo . Asante kwa kuendelea kutuelimisha Neema za Mungu ziendelee kuwa juu yako
@jacquelinepallanjo2988
@jacquelinepallanjo2988 5 лет назад
Congratulation my brother, nimeipenda, nimefanya biashara ya stationary kwa miaka mnne, nimeweza kuporesha ofisi imesimama vizuri, na soko limekaa vizuri, malengo ya 2018 ni kufungua ofisi na kujenga vyumba vinne vyankupangisha na kuanzisha biashara kwa mwanzo wa mwaka 2019, nimejenga ila sijakilisha kwa maana ya wapangaji kuanza kuishi sijafanya finishing na ofisi nimeweza kufungua mkoa mwingine na nimeboresha kwa 80% ni moja ya malengo yangu , issue inakuja hivi nilipoanzisha ofisi sio pabaya na panauitaji wa stationary issue ni jamii inayonizunguka MTU yupo tayari atoe nauli 1000 kufuta copy za 500 kwa 50, kuliko atoe hizo kwa 100, nilishatangaza kuwa 100, je nikishusha bei aionekana kuwa sina msimamo wa bei? Nimefanya hivyo kwa sababu bei ya kuprint 500 ila kwa eneo ninalofanyia kazi kwa sasa wanata kuprintinkwa 100, na he malengo yangu ya kufanikisha nyumbani ya kupangisha nimefeli, na kwa mwaka huu aikua kwenye malengo nifanyeje?
@AMTV-k4c
@AMTV-k4c 8 месяцев назад
Joel great point lakini nataka unisaidie nimekuwa na maono ya kufungua saloon ya kiume na Hadi nimenunua vifaa lakini kutokana na mazingira nayo ishi vyumba vimekuwa gharama Zaid nisiyo iweza na Kwa nje na mazingira yangu imekuwa ngumu kufatilia sababu ya majukumu na kuogopa namna ya usimamiaji sasa nataka kujua nifanye nini biashara yangu ianze kufanya kazi
@IlhamAli-x5b
@IlhamAli-x5b Год назад
Sorry me nafnya biashara ya duka la vyakula kama mini supermarket natumia io ya kwanza ila bado cfiki lengo hilo ijapokua wateja wako vizuri icpokua niko ple ple why
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Jazaaaq LLAH kheir.. Thanks brother my regards ALLAH BLESSING you..and towerds efforts for all you wish in your life
@MwendeshaNdaki-fh9wi
@MwendeshaNdaki-fh9wi 4 месяца назад
Vip bei ya utengenezaji naomba kujua
@seciliasinde-xy8ow
@seciliasinde-xy8ow Год назад
Thank you brother
@michaeljordan2558
@michaeljordan2558 5 лет назад
Good brother..real appreciate. God bless you
@GraceFelician-fb5cu
@GraceFelician-fb5cu Год назад
Mm kila nifanya biashara aidumu nifanye nn
@eng.anoldkishumu3080
@eng.anoldkishumu3080 5 лет назад
Asante sana bwana Joel. Nimeshasoma vitabu vyako yaani timiza malengo yako, nguvu ya mwanamke, ishi ndoto yako, tabia ya kughairisha mambo. Kwa kweli vyote ni vizuri. Kama utatoa kingine naomba unijulishe niweze kupata softcopy yake maana naamini bei yake itakuwa sio kubwa kama ya hardcopy. Mungu akubariki.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 лет назад
ANOLD KISHUMU hongera sana kwa kuwa mfuatiliaji mzuri sana .Sawa nitakujulisha
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 лет назад
softcopy ulipataje ndugu nahitaji
@allyhamad1301
@allyhamad1301 Год назад
@@joelnanauka m ntaka ushauri
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 3 года назад
Yes, ni kweli moja ya point muhimu uliyozungumza ni kuhusu matangazo na discount, nakukubali mkuu
Далее
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 1,7 млн
Лиса🦊 УЖЕ НА ВСЕХ ПЛОЩАДКАХ!
00:24
SABABU YA BIASHARA KUFA SEHEMU YA 1: JOEL NANAUKA
11:35
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 1,7 млн