Lugha za matusi zimekuwa nyingi sana yaan zinaboa neno moja tusi neno tusi tunachoka inaboa lekebisha kauli yaani ukimpa mtoto atazame siku mbili anaanza kujifunza matusi yombo video zako nzuri sana story nzuri ila ondoa viluga luga vya matusi
Mm binafsi sijaona matusi kwasababu kama ni UTI zipo kama ni gono lipo napia kama ni ukimwi upo sasa matusi yako wap ok tuachane na yombo twende bongo freva wana wake wapo uchi kabisa yana huwez kuanga lia mbele ya mama wala dada wala mtoto je yup tumkosoe???
Kama rahisi fanyeni nanyie Achenimajungu watanzania maana izo bongo freva mwaona mwazitazama inamaana uchi za amuoni au nibora kuliko kauli za yombo ? Achen ujinga