Тёмный

SAKATA LA MAHINDI KIZAAZAA BUNGENI "MASHARTI MENGI" SPIKA AINGILIA KATI, WAZIRI BASHE ASAWAZISHA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 181   
@shakilamselo-fz8td
@shakilamselo-fz8td Год назад
Asante baba wa wanambozi hiyo ndo kazi tuliyokutuma
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Год назад
Manshalah bashe yuko vizuri namkubali jitose bhana ukagombee urais naamin utashinda Kwa kishindo kama magufuli huna baya mwaya
@petermwijage9882
@petermwijage9882 Год назад
Tuliopo huku ndo tunaojua uchungu WA chakula kupanda ,maisha ni ghali sana saivi alaf mnataka vyakula viishie nje yanchi alf wananchi waishije
@masumbukobundara
@masumbukobundara Год назад
Jimama Thanks
@happinessmichael3424
@happinessmichael3424 Год назад
Ahsante Baba Mungu akuzidishie
@nasibsamandito1878
@nasibsamandito1878 Год назад
Ila hongera kwa spika wa bunge. Kazi nzur ni mfuatiliaj na mskilizaji mzur pia. Uko makini👏
@jephthahmebanya
@jephthahmebanya Год назад
Asante waziri shikilia hapohapo
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 Год назад
Hongera mweshimiwa BASHE
@isiraeli
@isiraeli Год назад
Suieni maindi Tanzania please juu akuna kazi yoyote
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 Год назад
Jamani huku Kigoma- Uvinza bei ya debe 18,000/=
@sfggf468
@sfggf468 Год назад
Hata shinyanga bei hiyohiyo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Watanzania hao hao MAHINDI yakipanda bei wanapiga kelele na watanzania hao hao MAHINDI yakishuka wanapiga kelele Sasa yupi asikilizwe maana muda mwingine tujiandae Lima heka zako za chakula weka ndani kwako bei ikipanda ikishika hayakuhusu Tuache WENZETU wakulima wakubwa wauze Kwa bei ya Dunia shida Iko wapi mbona kwenye mitumba,na vifaa vya ujenzi wakulima hawapunguziwi bei au wao sio watanzania?????
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 Год назад
Nchi haieleweki inataka nini.
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Год назад
Bashe yupo sahihi
@priscachenya7049
@priscachenya7049 Год назад
Safi sana bashe
@silvanusngelageza7240
@silvanusngelageza7240 Год назад
Akili nyingi mh Tulia na Bashe
@VickyMinja
@VickyMinja Год назад
Afadhal maan sehem nyingine chakul amn jamn
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Год назад
Bashee nakuelewaga sana bro
@hashimmawazo5503
@hashimmawazo5503 Год назад
Mh, waziri kibiti kwetu pesa za ufuta ni kizaza pesa hatulipwi
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 Год назад
Wanajifanya kujua kuhoji wakati swala la bandari limewashinda,,,wamekimyaa kabisa hovyo kabisa wabunge hawa
@Usxznt
@Usxznt Год назад
Safi Sana Bashe,wakulima na wafanyabiashara tufate sheria bila shuruti kisha tulaumu Serikali.
@michaelleonard2556
@michaelleonard2556 Год назад
Wewe ujui hio Mia 600 kwa kilo gunia no 60,000 mfuko mmoja was mbolea ni 70 kwa Bei ya luzuku punguzo na 100,000 na zaidi kwa Bei ya kawaida unauza gunia mbili ili kupata mfuko mmoja wa mbolea pamoja na usafiri was kupeleka
@johnsulle4679
@johnsulle4679 Год назад
Ushenzi tu mnajadili hizo INFRA ziko mjin tu wakulima wanazifikiaje uyu spka haelewi kitu mbn
@OmaryKaheza-t3b
@OmaryKaheza-t3b Год назад
Mahindi ni ghali mno alete Arusha mahindi 150000
@scolabwana8252
@scolabwana8252 Год назад
Wanao SEMA yashuke nao wakatafute mashamba walime wanunue mbolea na mbegu ndiyo waanze kujadili habari za kilimo
@moidasilwamba5712
@moidasilwamba5712 Год назад
Kweli kabisa maisha ya mkulima yako chini sana acha nao wafaidi
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
Ishuke sana hali mbaya
@JeremiahWilliam-d6d
@JeremiahWilliam-d6d Год назад
Kwetu debe moja ni shilingi elfu ishirini wilaya simanjoro
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Год назад
Leta facts
@perfectmassawe4758
@perfectmassawe4758 Год назад
Kweli kabisa Mheshimiwa, serikali inachofanyia wakulima ni uhuni mkubwa sana
@GilesKhamis
@GilesKhamis Год назад
Tunaomba kituo hapa katazi anapafahama Mheshimiwa Mbunge Bwana Joseph kandege
@saluwatimalyeta5587
@saluwatimalyeta5587 Год назад
Daaaa waziri anakomaa na bei wakati bei yenyewe inamuumiza mkulima
@edwardsamike6181
@edwardsamike6181 Год назад
Mheshimiwa tatizo ni kwamba bei imepoloromoka kutoka elf 90 hadi elf 60.
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 Год назад
Dah sasa mtawekaje mazingira haya bila kuweka miundombinu wezeshi ilikulifanywa zoezi hili liandele bila kumuadhiri mkulima
@jamaliamour451
@jamaliamour451 Год назад
nimechoshwa mm saiv nikipakia mahindi naenda kuyauza
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 Год назад
😊😊
@muhayakizibaTV
@muhayakizibaTV Год назад
safi selikali
@jephthahmebanya
@jephthahmebanya Год назад
Sema baba
@shuhudiamtasiwa6646
@shuhudiamtasiwa6646 Год назад
Bashe nakuelewa mpk nakuelewa tena
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Год назад
Haliningumu bora mazao yashukebei ili watanzania waweze kumudu
@hildamkongwa2156
@hildamkongwa2156 Год назад
Kwavile wew hulimii
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Год назад
Iringa mjini Wananunua 800 kwa kilo moja
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Год назад
Bashe nampa %100
@AbubakarMinya
@AbubakarMinya Год назад
Cjawahi kupiga kura lkn ukigombea urais kura yngu inakuhusu
@luganouswege628
@luganouswege628 Год назад
Mtapoteza mapato kwasababu mwenye kampuni anakodisha kibali
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 Год назад
Hivi comment zinasomwa? Kama iko point ya kumpinga Mwanisongole je mnafanyaje juu ya iyo bei elekezi ili kuikazia maana inatamkwa tu na waziri lakini ukweli sisi wakulima tunauza 7000 debe
@moidasilwamba5712
@moidasilwamba5712 Год назад
Yatapanda tu
@mwitawambura2548
@mwitawambura2548 Год назад
Njia pekee ya kushusha mfumuko Wa Bei kwenye vyakula hasa mahindi na mchele ni kuzuia usafirishaji holela Wa mazao ili tuweze kuregulate Bei Bashe kazia hapo hapo Huku mipakani wananunua shamba Zima na wanaleta na mashine zao, wanapukuchulia huko huko shambani na kupack na kusafirisha Moja kwa moja Sasa kama watanzania Hili swala ni la kupinga maana kutatokea njaaa Kali Sana hivi karibuni
@mrsmile5425
@mrsmile5425 Год назад
Uzalishaji ukiwa juu hamna shida, tutasafirisha mengiiii na hela itakua fresh
@magorymara5515
@magorymara5515 Год назад
Lima mashamba yote ya Tanzania ili nguvu yako iliwe kwa bei ya chini
@BahatiLaizer-df5tf
@BahatiLaizer-df5tf Год назад
Jamani kwani Tz gani mpo nyinyi Tarehe 15 mwez huu nilinunu mahindi debe 1 22000Tz money
@anithaisraely5808
@anithaisraely5808 Год назад
Mahindi hajashuka hivo kifikia 7000 uwe mkweli mahindi Ni sh. 12000
@EvodMathew-og1gc
@EvodMathew-og1gc Год назад
Huu ni ubaguzi ndani ya nchi.makao makuu ya mkoa 80000 halafu wilaya I 60000.hivi bei ya mbolea ilikuwa tofauti sehemu?? Huu ujinga sana
@wamburajohanes952
@wamburajohanes952 Год назад
Kwanini NFRA wasiwafuate wakulima kwenye maeneo ya wakulima? Maana mkulima kuanzia kusafirisha mahindi kupeleka mkoani bado ni gharama kubwa sana. Pili, Wakulima walipwe cash na siyo ahadi Hapa ndio Kuna mnyororo wa urasimu pia ndio sababu wakulima wanaamua kuuza nje ya nchi.
@dinosiasa5600
@dinosiasa5600 Год назад
Point
@justinmwamloso7559
@justinmwamloso7559 Год назад
Ukitaka yasipande kalime uone mbolea mfuko tunanunua 80, 000-100, 000+ alafu gunia moja tuuze 60, 000 ivi mshawahi kulima mkajua gharama za kilimo au unalia tu ukiambiwa 1kg ya unga 2000??
@petermwijage9882
@petermwijage9882 Год назад
Kiukweli mipaka isipofungwa kwa mazao ya chakula maisha yatakuwa magumu sana maana mikoa mingi haikupata mahindi Wala mpunga na saivi unga hadi 2300/@kg,sasa kama wabunge hawafanyi utafiti wakuulizia hali ya chakula majimboni kwao wanawaza uchaguzi ,it's apity .... Mzee. Kishimba wape kanuni za maisha ya mwana kijiji
@erickurassa573
@erickurassa573 Год назад
Iwe ata laki mbili aridhi nchi kubwa awataki kulimaa
@jephthahmebanya
@jephthahmebanya Год назад
Acha mahindi ya shuke wana vuna mahindi bado mabichi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
NASHUKURU WABUNGE,HONGERENI SANA,WAKULIMA WANAUMIA SANA,SEREKALI IACHE KIZUNGUZUNGUZU KWA KUWAFILISI WAKULIMA!! KILIMO NI KAZI NZITO MNO,MANENO YA BASHE NI YA KUJITETEA TU!!
@emmanueltamnaay5781
@emmanueltamnaay5781 Год назад
Hii serikali haijawahi kujali wanyonge,hivi hiyo sh 60000 ndo mnasema ni bei ya kumsaidia mkulima siyo?
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Год назад
Mbona vitu vyenyewe ni vingi sana vya kufanya?kulipia lipia kwingi,na maofisini pia kuna ulasimu mwingi,nadhani, sema Bashe anajua tu kupanga maneno,sijui kama uhalisia uko namna asemavyo kwa mkukima
@justinefelis2071
@justinefelis2071 Год назад
MBOLEA MFUKO 120000,,,,HEKALI MOJA INAWEKEWA ANGALAU MIFUKO 2,,MBEGU KILO8000,,,,ZINATAKIWA KILO 8 KWENYE HEKALI MOJA,,,,,SHAMBA LINA PALILIWA AWAMU TATU,,,KILA AWAMU ANGALAU ULIPKE 50000,,, SHAMBA ULILIKODI 50000,,,ULILIANDAA KWA 50000,,UKAWEKA DAWA ANGALAU ZA 30000,,,SHUGHULK ZA UVINAJI ANGALAU ZIKUGHALIM 200000,,,,,,,,,,MAVUNO YAKO UMEPATA GUNIA 08,,PIGA HESABU KILA GUNIA ULIUZE 60000,,,,HUYU NI WAZIRIIIII AU ??????????????¿???????????¿??????¿?????¿???????¿?????¿????????¿??????????EEEEEE MUNGU NAOMBA UMPE HEKIMA RAIS WANGU ALITAZAME KWA JICHO LA 3. SWALA HILI.
@wilberathtemu6099
@wilberathtemu6099 Год назад
Mimi namwachia Mungu Ashuhulike na Uongo wa hii Nchi kweli mbolea Gali kukodi shamba Gani ,kupaplizi Gali ,kununua mbegu Gali kununua sumu za wadudu Gali alafu unasema kg 800 hamna aibu jamani vibarua wapalizi Kwa kutwa 12000alafu unasema gunia 60000 huna aibu Kwweli kyeleuwiiiiii 😢 hii Nchi inaenda mtoni
@saitotisimel9908
@saitotisimel9908 Год назад
Nashangaa tu hivi serikali mnajua kwamba bei ya gunia ya mahidi longido ni 132000 na tuko TZ bado
@mwimbeatilio707
@mwimbeatilio707 Год назад
Huyu spika miueyusho sana umegueka kuwa kiranja kila kitu unajua kwa nn usiwaite watu wakusaidie wajibu hoja
@ModestSichone-ok9st
@ModestSichone-ok9st Год назад
Bashe unafaaa mukuu
@wahisiatv2871
@wahisiatv2871 Год назад
Wayalete TU mwanza bei uku ni ndogo sana
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
JPM Ikosiku mtanikumbuka
@khamiskulasha
@khamiskulasha Год назад
Inasikitisha sana bei elekezi haifai kwa mkulima anayehangaika musimu mzima. Mipaka.
@SamweliMwashilindi-fq1me
@SamweliMwashilindi-fq1me 11 месяцев назад
Mheshimiwa bashe sisi Kama wakulima tunaumia kwa sababu ya kuwawekea masharti hao wafanya bisashara kwani hao ndoo mkiwawekea masharti wanatumiza sisi wakulima
@SinguMahona-hy7ud
@SinguMahona-hy7ud Год назад
Sasa kama bei erekezi mbona mkulima anapangiwa bei ya mbolea na mbegu
@patrickbenn3933
@patrickbenn3933 Год назад
Hizo bei za serikari wakulima wadogo hawata pata utasikia pesa zimeisha
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Год назад
Saf san hussen ndy maan mwanangu nimemuita jina la hussen kaz nzr
@luganouswege628
@luganouswege628 Год назад
Mashaliti nimagumu kwamfano Mimi flani Sina kampuni mtaji wangu watani.30.
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 Год назад
Fungeni mipaka , Kuna mikoa Ina shida ya chakula kwa mfano mwanza gunia ni 120000/= fungeni mipaka
@respiciuscronery1133
@respiciuscronery1133 Год назад
Alizeti Singida imeshuka bei mno serikari tuangalie
@johnbidya119
@johnbidya119 Год назад
Kubabake nasisi hatulimi ..
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Год назад
Kuna wabunge bana mh akili zao sijui siko wapi kama debe ni 7000 na gunia itakua sh ngap
@jamespeter1599
@jamespeter1599 Год назад
Hivi leo Hii ndio mnasemea suala la mahindi ili kublock ishu ya Bandari
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Год назад
Waache ujinga sisi tunalima wao wanakalia vit vya kuzunguka
@MalamboJohn
@MalamboJohn Год назад
Kuna sheria ambazo sio rafiki kwamkulima sheria nyingi lakini hazisaidii
@festomakoye4444
@festomakoye4444 Год назад
Kwa nn uuze mahindi si wayatunze
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Год назад
Dar tunauziwa unga kilo 2000
@mohdally808
@mohdally808 Год назад
Uko sahihi Muheshimiwa HUSSEIN MOHAMED BASHE NAKUKUBALI SANA
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Год назад
Sio kweli mahindi mbeya nish 15,000 vijijini nish 12,000
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 Год назад
Yameshuka ni elf 8 mpenzi
@AgenessMkandala
@AgenessMkandala Год назад
Ningepa bei elekezi ifanane kwa mjini na vijijin make bei ya pembeo za kilimo ni moja haichagui ukanda,pia vituo hivyo vifike vijijin
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Spika 😂😅 yuko sawa pelekeni mahindi huko😂
@scolabwana8252
@scolabwana8252 Год назад
Hayondo maneno ya kuzungumzia wakulima wanapata tabu sana
@GilesKhamis
@GilesKhamis Год назад
Kwa nn serikali kutuletea shida wakulima?Wazili Bashe vyote hivyo vya
@jumakivuma5247
@jumakivuma5247 Год назад
kunanjaaa wew huoni Kuna njaaa sisi tusiolima tutaishije
@EmmàñúélMàgañgà-s4i
@EmmàñúélMàgañgà-s4i Год назад
Mkulima anatumia nguvu kubwa kúlima inapofika suala la kuuza unampangia bei hapo humsaidii ni kumdidimiza
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Год назад
Inamaana swala la bandari tena kimya😢imeenda iyo
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 Год назад
Wametafuta topick ya kudhoofisha swala la Bandari
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Tics...wapigwe chini wapewe waarabu.....bandari itakuwa na manufaa...tuache siasa
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Год назад
Pongezi mama Tulia kwa uchambuzi makinifu wa hoja,swali na majibu kutoka kwa mbunge na serikali(waziri) , Naam yaani mwamuzi wa mchezo pasipo chembe ya upendeleo.
@michaelleonard2556
@michaelleonard2556 Год назад
Kazuia hoja ya mbunge baada ya jibu isifafanuliwe kilo 600 nisawa na gunia 60,000 na mfuko mmoja wa mbolea ni 70,000
@MaikoVungwa
@MaikoVungwa Год назад
Bashe huyoo
@mtumishimathias7762
@mtumishimathias7762 Год назад
Wilayani kilo shng 600/= ni bei kandamizi, watu tumelima kwa gharama kubwa sana, nashauri bei iangaliwe upya.
@drmapigimasunga3408
@drmapigimasunga3408 Год назад
Mheshimiwa spika katika hili hapana mtu na debe moja aende afra?
@nasibsamandito1878
@nasibsamandito1878 Год назад
Je pesa hzo zilizotolewa na serikali zina uwezo wa kununua mahindi kwa wakulima kwa kias gani? Je kuna miundombinu rafiki kwa usafirishaji na je usimamizi ni mzuri?, Isije ikawa mtu anaenda kuuza mazao sehem ambazo usafiri unamfanya apate faida sawa na ambavyo angeuza kwa 7000/= kwa debe. Je office hzo zimesambaa kuwafikia wakulima🤷
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Hali ni mbaya mahindi...
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Nani aliruhusu mwanzoni watu wa nje waende kununua mazao shambani direct?😥😥😥
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Год назад
Uyu waria matata
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 Год назад
Mwanisongole yupo sahihi lakini iyo point ya Bashe haina ukweli wakulima tuna shida na hela hata 5000 tunauza tutafanyaje?
@daudkashindye7032
@daudkashindye7032 Год назад
Waziri muongo mahindi debe 16000 iringa
@yohanabmasunga3575
@yohanabmasunga3575 Год назад
Mh bashe tengua kauli,serikari haina uwezo wakununua mahindi yote ya wakulima
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Год назад
Tatizo mnanunua wapi na mnalipa wakati gani? Maana wakulima hawana hela ya kusafirishia mnawachanganya
@franksam8581
@franksam8581 Год назад
Je Wana nunua cash au nikusubiria
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Год назад
Uyu mama anakiliza sana sema tu akiamua kujizima data anajizimaga tu ila anakili sana tulia ongera supika tulia
@ngwatujonas2266
@ngwatujonas2266 Год назад
Hawa wabunge si watetezi wetu sisi walaji, 2025 tuwapige chini... hawa wanataka wauze mahindi bila utaratibu nje ya nchi
@moidasilwamba5712
@moidasilwamba5712 Год назад
Kwahyo mkulima yeye ndo anyonywe
@danielmuro5707
@danielmuro5707 Год назад
Watanzania tunakwama sana.mnatska mahindi yauzwe nnje kesho taifa linaingia njaa tunaanza kulalamika tena nani anatuloga jmni
@EvodMathew-og1gc
@EvodMathew-og1gc Год назад
Kalime uone mbweha wewe.unataka ghafla lijae unajuwa moto WA shambani
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 Год назад
Yaani hapo nikupigiana makofi,,tu.kwanini mnabebana na makofi ya ajabuajabu,,
@husseinally6699
@husseinally6699 Год назад
Yaani binadamu Tunashida Wananchi wakipandishiwa bei za mahindi Unga ukipanda bei serikali haifai Ikishikuka bei serikali haifai Sasa ifanye lipi zuri
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 Год назад
Huyu mbunge haijui njaa unga kilo 1800 mchele 3000 alfu anasubutu kunyanyua pua eti mahindi yameporomoka bei unga ushuke mpaka 1200
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Год назад
Hayo mahindi yenye bei ya chini yako wapi?,mbona Tanga mahindi yako juu sana kl.1 =1600 kwa kilo?, Nashauri mahindi yasiende nje yauzwe ndani kwa ndani,
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
mbeya huko
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 Год назад
Mbeya wap mzee hmn mahindi nchini yenye bei ya 7000 debe achen porojo
Далее
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 315 тыс.
Как не носить с собой вещи
00:31
Просмотров 870 тыс.
SAKATA LA KULIPIA MAITI LAZUA MZOZO BUNGENI
10:04
Просмотров 16 тыс.
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 315 тыс.