Тёмный

Waziri Bashe amlipua Mpina bila kificho "Ni vibaya sana kutuhumu mambo ambayo hauna ushahidi" 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akihitimisha hoja yake ya mkadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Bashe you are well informed, I am so proud to see a young man like you who is dedicated and patriot to your country! Nzega should be proud of you!
@goodluckndagile9381
@goodluckndagile9381 Год назад
Mpina mwezi huu sijui amekumbwa na nn, anakanyaga moto sana🤣
@mgalulamasoudlyobah
@mgalulamasoudlyobah Год назад
You are right Mhe. Bashe.Mimi pia nimetumia mfumo huu na sikubaliani na hayo ya Mhe. Mpina.
@HamisLeo
@HamisLeo 5 месяцев назад
Projo nyingi sana, mara unakubali dable stardard mara unakataa yann niww tu
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Год назад
Msomary mwiz sana chungen maneno yake
@sdtz344
@sdtz344 Год назад
Kakwibia nini?
@etgalf
@etgalf Год назад
😂😂😂😂 umeibiwq nn
@maulidabdulkadirguled1257
@maulidabdulkadirguled1257 Год назад
Uhana akili ww
@timboxlee919
@timboxlee919 Год назад
Huyu spika Yuko kuwalinda hawa mafisadi,Rip JPM
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 Год назад
Wanataka kukukwamisha lakini watashindwa tu
@allyshabani7513
@allyshabani7513 Год назад
Huyu mwamba anaki2 kikubwa sana , namuona mrithi wa mama samia
@MultiKasuku
@MultiKasuku Год назад
Mkulima awe na barcode yake inayokuwa scanned each time akifika kwa dealer
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Год назад
Kwann huu mfumo usiwekewe finger print Kama Mkulima akienda dukani kuchukua mbolea?? Ili Agro-dealer asiweze kutumia # ya Mkulima kuuza mifuko yake
@EagleCrown-pb9qv
@EagleCrown-pb9qv Год назад
Hussein Bashe 🙏🏿🇹🇿🤔
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
Bashe apewe urais
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Год назад
BASHE MOJA YA NYUNDO AKIBA YA CCM! SAMIA OYE!
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Год назад
Raisi wangu ajaye
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 5 месяцев назад
HIVI MPINA HUONI AIBU, KILA HOJA YAKO INAISHIA KWA AIBU? MAWAZIRI WANAPOJIBU HUONI KWAMBA UNASHUSHULIWA?NA KUONEKANA MWONGO, MNAFIKI, WIVU, FITNA, NA UWAZIRI HUPATI, KILA ZAMA NA KITABU CHAKE. MPE ZA USO HUYO MPINA ANAONEKANA KAMA HAJAENDA SHULE
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Год назад
Mfumo imara haupaswi kufika huko yaan mpaka unaruhusu double scanning ndo mgundua .hAunii kuwa mnajipa kazi isiyolazima kuwa kuwa mfumo uliopawa ukatae hizo taarifa mapema tu
@TamuzaKale
@TamuzaKale Год назад
Wabongo wezi. Hakuna kitu imara mbele ya mwanadamu. Watu wanacheza na mfumo, wanapiga!
@nsubiraphael8514
@nsubiraphael8514 Год назад
Nyinyi wezi tu maneno mengi wauji
@michaelmizambwa1246
@michaelmizambwa1246 Год назад
sio vyema sana kwa taifa letu kujisimu tunatumia mbolea , na kuendelea kutenga bajeti zaidi huko. tufikiri tofauti.
@silverman6930
@silverman6930 Год назад
Facts facts
Далее
Yəni, sizcə, indi bu nə deməkdir?
0:23
Просмотров 82 тыс.
SCRUB: SpaceX Attempt One - Starship Flight Test
9:9:58