Тёмный
No video :(

SAKATA LA UTEKAJI DAR: KITWANGA AFICHUA SIRI/ NINAAPA KWA HILI..!/ SITAKUBALI HADI KUFA 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 70 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#utekaji #kitwanga #magufuli

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Hongera Sana mwandishi,sijui mtangazaji.tungekua na watangazaji kumi Kama wewe.kwakweli hii nchi ungekua super sana.lkn tunawatangazi ambao kila ukilala ukiamka.wako bize nawakina ambaruth.mara wanawahoji wadada ambao wamefanywa nyuma.yaani iusenge mtupuuuuu.nawachukia Sana washenzi wale.Mungu akulinde kaka songambele.
@geofreymsigala9181
@geofreymsigala9181 Год назад
Tukiwa na wanahabari 40% tu kama wewe!!!! Tanzania Tanzania itakuwa imezaliwa Mara ya pili........... Very smart and talented Man
@godsson5954
@godsson5954 Год назад
aise INTERVIEWER unastahili kufanya kazi BBC SWAHILI you got everything it takes God bless you🙏🏻
@gebokilembe
@gebokilembe Год назад
My brother nafurahishwa sana na kazi yako safi sana
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 Год назад
Labat mtu Sana wew kaka unjua kuuliza maswali mpka sisi tunaosikiliza tunakosa swali
@yuathmtenzi2114
@yuathmtenzi2114 Год назад
I enjoyed the Exclusive. Congratulation dar 24
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Год назад
Mwandishi pia upo bomba unaifaham kazi yako..big up.
@muddyville
@muddyville Год назад
We Jamaa ndo MWANAHABARI. Uko very talented yaani.
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 Год назад
Kwenye kitwanga hapo umetishaaa..
@farijimwangosi8202
@farijimwangosi8202 Год назад
Akimaliza kukiandika naomba hata mie nikipate mkuu,nimetokea kumuelewa sana mzee wangu huyo(Nukuu Failure is not An Option)👏🏻😂😂
@beautyofnaturetz0131
@beautyofnaturetz0131 Год назад
The best presenter in Africa. your talent is extraordinary brother keep it up I always appreciate your interviews, very attractive way of asking questions and moderating the interview
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Год назад
IMEANDIKWA MANENO YENU YAWE NDIO NDIO, SIO SIO YANAYOZIDI HAYO ,YATOKA KWA YULE MWOVU AMEEN???
@nestor384
@nestor384 Год назад
Mwandishi uko na professionalism ya hali ya juu sana. Mhe. Kitwanga anajua who is/was serious among the previous.
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 Год назад
Mr Kitwanga is a genius indeed 👍
@mubarakatwaha7776
@mubarakatwaha7776 Год назад
Mr Kitwanga unajielewa nami nakuelewa sana, lkn pia ww muandishi siku nikiwa na media yangu utakuwa Director wa media
@ShimboPastory
@ShimboPastory Год назад
This is professionalism at its best. Well done bro.
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Год назад
Kwa kumsaidia au kumuunga mkono mheshimiwa kuhusu camera security hii inafaida kubwa sana yaani dubai wana kusanya kodi za magari kwa kutumia camera kuna kitu kinaitwa Salik na road camera mzee kama hauna ishu ya msingi town basi ni bora usije au upande train (metro) maana ukivuka kutoka home kuja town inakata ukirudi inakata inategemea utapita mara ngapi ktk ilo eneo serikali inaingiza kipato kikubwa sana kwa kila siku na sisi tuhamke 💪🇹🇿🇦🇪
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 Год назад
Security camera hata zikiwekwa wakitaka kufanya yao wanachomoa tu halafu wanazichomeka mwendazake aliweka Security camera mirerani kwenye mgodi lakini bado watu wanapiga
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Год назад
@@jamalahmed7057 basi tutaendelea kuwasindikiza wenzetu kutusua maisha 💪🇹🇿🇦🇪
@chandengao8795
@chandengao8795 Год назад
Nchi hii inamipango isiyosimamiwa. Mfano binafsi nilisoma Kibaha sec.yaani ni mmoja ya watu wenye uwezo wa kufikiri Ila serikali haituangalii kwa jicho la ufuatiliaji Baada ya masomo imezidi Sana kupewa ajira au tuko mtaa na life limetupiga hata mawazo hayafanyi kazi zake
@shadymoses5813
@shadymoses5813 Год назад
Mdau leta mawazo yako
@robertnoel5232
@robertnoel5232 Год назад
Hongera Kiongozi Charles Kitwanga
@francisrobert9652
@francisrobert9652 Год назад
mh kitwange upo vizuri sana umauwezo mkubwa sana kuwa kiongozi ila mnakuwa wapi wakati mkiwa madarakani
@gracemima5234
@gracemima5234 Год назад
Ameogopa kumutaja Hayati Magufuli. Magufuli agekuwepo Kungekuwa na hope kuwa kama Singapore.
@rashidubruhani8981
@rashidubruhani8981 Год назад
Umeona ee
@fimboezekiel9654
@fimboezekiel9654 Год назад
Unajua sanaaa
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
Wewe kitwanga unataka kujipendekeza kwa rais Samia. Wewe ulitajwa na. Ulihusika katika hujuma ya rasilimali za serikali ukihusisha kampuni ya lugumi, badoi hatujakusahau.
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Год назад
MFANO UMEENDA HOSPITAL UNA MGONJWA YUPO HOI,NA ILI UPATE HUDUMA DAKTARI ANATAKA RUSHWA,KAMA NI WEWE UTAFANYA CHAGUZI GANI KATI YA HAYA 1.USITOE RUSHWA MGONJWA AZIDI KUWA KWENYE HALI MBAYA 2.TOA RUSHWA MGONJWA AHUDUMIWE 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
@paulmatikila6241
@paulmatikila6241 Год назад
Ameanza vizurii, mwishoni kwenye utekaji amezinguwa mzee! anajuwa watekaji, hanajipya nae huyoo ndo wale wale!
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 Год назад
Mzee wetu uyo safi sana
@victorlashikoni-ji3js
@victorlashikoni-ji3js Год назад
Huyu ni aina ya Magufuli hafai kabisa
@gracemima5234
@gracemima5234 Год назад
Katika wana siasa niliowasikiliza wakihojiwa,. Charles Kitwanga ni mwanasiasa mwenye akiri sana ambaye angeweza kulifikisha taifa hili mbele. Badala yake watu 🎉kama Nape ndiyo wanapewa uongozi. Tanzania bwana
@msafirindalu122
@msafirindalu122 Год назад
Yupo vzr kwakuwa hajatumia kilevi na kwa ustaarabu hatupaswi kuruhusu mtu atumie kilevi akiwa kazini hata Kama atakuwa na mawazo mazuri tunapaswa kuwa na mashaka na mawazo yake
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Alikuwa humo humo serekali kafanya nini hao wakikosa vyeo ndio wanakuwa na akili wakiwa kwenye nafasi zao wanaakili tofauti na unavyo waona nje
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Год назад
LOTS OF BULLSHIT, KWA HOYO POLISI NI SAFI ILA WATANZANIA SIO WAADILIFU. PUMBAVU SANA HUYU
@godypatrick6485
@godypatrick6485 Год назад
Hapo kwenye watekaji sijalizishwa na majibu yako
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Год назад
huyu mheshimiwa kitwanga kichwa sana.
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Год назад
Nimeipenda Sana hii🤸🤷🤷🤷😍🥰🤷🥰😍🥰😍🥰
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Год назад
Gud job somo ur real professional
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 Год назад
Safi sana host. Ila Kitwanga kateleza anamuogopa mama😂
@Fred-Ma
@Fred-Ma Год назад
🤣🤣🤣
@emahliypix7942
@emahliypix7942 Год назад
Mtangazani upo makini kwny maswali ila kwenye kutekwa kwa watu hayo matukio mzee hajawa transparent kbs..Matukio ni makubwa na anayajua vzrii tangu yupo madarakani..!!
@mwana4599
@mwana4599 Год назад
Hebu taja watu watatu waliotekwa.
@emahliypix7942
@emahliypix7942 Год назад
Mo dewj,,ben saa nane..Roma..!!
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Год назад
Huyu mwandishi alipaswa na yeye apewe nafasi. ila huyu waziri ni kivuli
@francistadayo1569
@francistadayo1569 Год назад
👏👏👏👏👏
@aidanwilliam14
@aidanwilliam14 Год назад
Huyu Mtangazaji namuona mbali sana i wish BBC wakuone
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Год назад
China kuna camera kila sehemu, unaweza draw pesa ata saa nane usiku kwa ATM akugusi mtu maana camera kila kona. Bongo pia kukifungwa camera itasaidia kupunguza hualifu.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Год назад
Hizo camera nazo zitaibiwa kwa Bongo hii
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Bongo haina dawa kwa chochote wala camera hawatakamtwa wana ujuzi tofauti hawa waizi
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
@@ellymaz2187 kamera zinakuwa na seriel number alafu kamera nying zinalindana huwez kuiba kirahisi
@ishengomanelson
@ishengomanelson Год назад
Tafuta watu serious next time. We need serious development conversation. Tunataka watu walio critical na wasio na woga
@godypatrick6485
@godypatrick6485 Год назад
Kwenye sensa na mipango yako uliyo taka kuendeleza wizala ya ndani
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Год назад
Mwongo huyo anajua kila kitu
@applepunch9676
@applepunch9676 Год назад
Achana na kitabu mzee, kama tu umepata kigugumizi juu ya utekaji, utaandika nini sasa kwenye nkitabu
@victaboy7273
@victaboy7273 Год назад
Mwandishi huyu , anatakiwa kufanya Kazi kwenye shirika kubwa kama BBC, DW, AU angalau Azam tv kwa tanzania. Ni bonge la mwanahabari,
@alladinmaskin6684
@alladinmaskin6684 Год назад
Camera ni sahihi hapa dubai Kwa madereva wanafuta Sheria sababu ya camera zinakudaka fasta ukifanya uzembe barabarani na faini inakuja Kwa wakati kupitia plate number ya gari yako
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Год назад
Tupo pamoja kaka hapa dubai ya manzese midizini
@akidahamad142
@akidahamad142 Год назад
Hapo hakutaka kusema ukweli ccm ndyo iliyo ikiteka watu magu sasa c alkua ni nani c rais tena ccm hebu kua mkweli mm ndugu yangu alitekwa na watu wa usalama
@heripaulo1008
@heripaulo1008 Год назад
Mm hata leo nikipelekwa polisi vibaka wote nawamaliza mapema maana kazi ya kukamata vibaka naifanya sana tena mchana na usiku bac siyo bahati kwa hilo
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 Год назад
Ivi Ayo mawazo mawazili WA CCM awawezi kuyachukua maana wakiweka camera rushwa watapataje nchi zilizoendelea kila sehemu kuna camera ndio sababu barabarani akuna polis wengi kama Tz kila Kona polis wamejaa kujikusanyia rushwa
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 Год назад
Huyu waziri kuna maswari amejibu vizur..kuna maswari..kayakimbia...😀😀
@lulujidahbrighton5148
@lulujidahbrighton5148 Год назад
Huyu alikua Waziri wa Mambo ya ndani alisemwa na Magufuli eti amelewa namsemaji ni Makonda
@habibukitwana1552
@habibukitwana1552 Год назад
Kweli alilewa bungeni au hukuona, siyo kwamba hakusema
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 Год назад
Hakulewa rais alidanganywa
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Год назад
Huyu mtangazaji namkubali sana
@saidimazengo9934
@saidimazengo9934 Год назад
"nchi huwa haiendelezwi na Mass "
@msafirindalu122
@msafirindalu122 Год назад
Mlevi mlevi tu
@hono1232
@hono1232 Год назад
Huyu ndiyo mwandishi mwenye kiwango bora cha juu Tanzania kwa sasa.asipoteze muda kwenye vikampuni uchwara
@Bob-ev2fi
@Bob-ev2fi Год назад
This ex cop chief does he real believe police is an army when the slogan is utumishi kwa wote.
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Год назад
Ajira ianzie kijijini ndiyo maana Askari walikuwa na nidhamu sana.lakini Sasa hivi changamoto itaendelea kuwepo tuu,
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Год назад
Mzee Kitwanga Mcheshi sana 😂😂
@edwinernest2012
@edwinernest2012 Год назад
Jamani c aongee Kiswahili!!
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 Год назад
kushindwa kujua nani aliyekua anafanya utekaji wakati magari ya polisi au usalama wa taifa yamekuwa yanatumika na sabaya sasa ana kesi mbaya sana kujikosesha UADILIFU wa dating hivyo yote aliyosema bw kitwanga hayana maana maana HANA KWELI ndani ya moyo nime stop kumalizia hayo maojiano yamekosa authentic ukweli
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 Год назад
Mungu aliibariki Nchi yetu ya Tanzania kwani inawatu wengi wenye vichwa vizuri sana lakini kuna sehemu fulani tumekwama. Hii nchi inavichwa sana lakini nadhani tuendelee sana kumuomba Mungu azidi kufungua ufahamu wetu, watu wajenge moyo wakujisomea vitabu vya watu waliofanikiwa, maitafa yalioendelea yenyewe yalitokaje. Taifa liwatafute watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kusudi mawazo yao yatumike kujenga Taifa na nchi yetu. Bado hatujashindwa kusonga mbele bado Afrika tunahitaji viongozi ambao wako siriasi yaani vyombo vyenye maamuzi vikiwa na maamuzi kwamba sasa yatosha lazima tuvuke hapa na kuweka vipaumbele vizito kwamba miaka 50 au 100 inayokuja lazima tuwe mahala fulani hakika inaeezekana. Mungu awasaidie viongozi wetu na watu wenye maamuzi sahihi.
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Год назад
Nahisi kama wanaotoa comments ni polisi tu na raia wametembea mbele
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Год назад
Kitwanga ni kichwa kikubwa sana! I
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 Год назад
Kwenye swala kubambikiza kesi naenda tofauti na unachoeleza. Nadhani siku yakikukuta utajua wanachokifanya hao unaowatetea. Askari wanaona wapi juu ya sheria kwa kuwa anakamata polisi, anapeleleza polisi, anaendesha mashitaka polisi na anayekuhifadhi sero polisi unadhani wewe kama kiongozi wa polisi unadhani haki kwa raia itapatikanane hapo.
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 Год назад
Ushauri wa camera muite waziri mwenzio mpe hiyo ishu itamsaidia
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 Год назад
Wanalijiwa Hilo lakamela toka zimewekwa kamela zile za soid hamsin lini mliona gali imekamatwa hivo wanajuwa wakiweka kamela hela hawata pata kwani tochi nying nizakubambikiwa hivo hawatakii
@barnabasdidas9409
@barnabasdidas9409 Год назад
Mzee umejificha utaki kusema ukweli
@noveltamhagama4586
@noveltamhagama4586 Год назад
Mzee wa kupiga juice
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 Год назад
Ila huyu Kitwanga wa ajabu mno,ulipewa madaraka ukaishia kwenye ULEVI.kuongea ni rahisi kuliko kufanya.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Wajina hapo kweli umesema, tungekuwa mbali sana kama tungekumbatia technolojia ili kuimarisha ulinzi wa miji yetu Tanzania!
@shukuranipaul1415
@shukuranipaul1415 Год назад
Muheshimiwa akili kubwa 😂
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Год назад
Aftika wenyeuwezo wakufikiri yaani thinkers hasaviongozi hupuuzwa nakusalitiwanawenzao wakishirikiana namanyonyaji yasikuzote nindoto sisikuchomokakwenyemakuchaya wanyonyaji kwakuwaniwashirika wawenyeji.
@all4970
@all4970 Год назад
Namuona mlevi mlevi, asiyejua utendaji on the field wala uhalisia wa nchi yetu..! He is trying to copy from developed countries... Kichwa maji asiye na ubunifu kulingana na shida z wananchi wake! Mwandishi amemhoji vizuri saaan! He thinks he one of the thinkers in Tanzania while he is just a drunken stupid minister Magufuli alimtumbua, pumbavu zake
@bamurwakana5452
@bamurwakana5452 Год назад
Mm mwenyew nilikuwa nakuchukulia poa kumbe kuna madini yakutosha
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Год назад
Umewaza kama mie
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Год назад
No ccm no chadema but a bottle party
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 Год назад
Huyu mzee anazungusha sana majibu yake kwa mtu makina hana majibu yaliyo nyoka
@mussamsella8560
@mussamsella8560 Год назад
Mtu kama hawezi kukujibu open kama ndege anavomlisha kinda wake chakula mdomoni
@mussamsella8560
@mussamsella8560 Год назад
Mtu makini hawezi kukupa jibu open kama ndege anavompa kinda wake chakula mdomoni
@kalumunaanthony4203
@kalumunaanthony4203 Год назад
Mzeee uko poa sema ulizingua
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Год назад
Nadharia nyingi, na mzuri, lakini mwisho wake ni huo huo, ndio tunaumia.
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Год назад
Huyu mzee mzushi hajui watu kutekwa Tanzania!!!
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Год назад
Yani hata uongeaji wako wa kilevi kabisaa 😂 but you have something in your brain
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Год назад
Kitwanga
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Год назад
Hata barabarani mkiweka
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@abdulqadirjuma7495
@abdulqadirjuma7495 Год назад
Nilijuwa mtangazaji anaongea na mtu kamili,kumbe ile pombe aliyotolewa nayo bungeni bado imo kichwani.kategwa kidogo tu na mtangazaji anajibu utumbo.eti hajuwi watu walikuwa wanatekwa na nani?mpumbavu mzee huyo.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Год назад
Kitwanga nilifikiri una akili kumbe ni akili za kukariri
@johnsanga9528
@johnsanga9528 Год назад
Huyu mzee anajua sana!
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 10 месяцев назад
Tunaishi mitaani unajipya
@NiraSaire
@NiraSaire Год назад
Huyu mwandishi ni dhahabu
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 Год назад
Maswali yako kijana no mazuri mno...hats majibu ya Mr kitwanga no mazuri na ufafanuaji wake ....ila swala la utekaji watu tz aliwezi kufafanuliwa na kiongozi wa serikali...hata mmoja na sio km halitambuliki au hawajui tubakie hivyo kusikiliza na kukubali tuu
@aminahassan561
@aminahassan561 Год назад
Nyumbani hakuna utaratibu mzuri wa kuhesabu watu huku wanafanya ila hawshesabu vitu wala Mali za watu hakuna nchi ambayo sensa haifanyiki wana hesabu watu ila sikwa malengo mabovu kaya huyo jambazi mwanamke
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Ukitaja wote mtaje kwanza J.P.M maana alikupa muda wa kuongoza kwa bahati mbaya ukafeli
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 Год назад
Hawezi mtaja JPM sababu JPM ALIKUWA MKWELI NA ALISIMAMIA UKWELI. Sasa yeye alifanya madudu akitegemea JOM rafiki yake atamlinda. Alivyomuondoa akajenga chuki dhidi yake.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
@@godfreymasele8853 Kwa wa Tanzania ukiwajibishwa kwa uzembe badala ya kutafakari na kujirekebisha unaeka bif la kijinga!!!!
@victorlashikoni-ji3js
@victorlashikoni-ji3js Год назад
Huyu ni aina ya Magufuli hafai kabisa
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 Год назад
Magari ya polisi kila likitokea tatizo huwa hawana mafuta hivyo nakumbuka usemi wa mpango sio matumizi
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 10 млн
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 10 млн