Тёмный

PART 1: TUNDU LISU AMVAA DKT. SLAA/"NI MJINGA"/ALIYENIPIGA RISASI SIO MAGUFULI/ DEREVA WANGU... 

Dar24 Media
Подписаться 732 тыс.
Просмотров 429 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#tundulissu #dktslaa #magufuli

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 839   
@BongoCryptos
@BongoCryptos Год назад
Magufuli alikuwa rais bora sana.
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Год назад
Mbwa sana na ukazikwe nae kaburi moja
@BongoCryptos
@BongoCryptos Год назад
@@alfredcharles8029 Huo ndo ukweli, Yule alikuwa Rais kwelikweli.
@petersulle1937
@petersulle1937 Год назад
Hapo ndipo unapojua kwamba Mungu asipokubali huwezi kufa hata iweje? Tujifunze Mungu yupo na anatenda miujiza. Pole sana my Presda.
@nestor384
@nestor384 Год назад
Mhe. Dr. HE.Magufuli Rais bora wa muda wote. RIP Champion Pole bwana Tundu Antipas Lissu
@minicooper9642
@minicooper9642 Год назад
Sababu uliaminishwa yupo na wanyonge sio? Kipi kakifanya cha kumfanya awe Rais bora? Haya pesa zimekamatwa China nani alipeleka?
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Год назад
Ubora upi huo wa jpm
@nestor384
@nestor384 Год назад
@@minicooper9642 amini unachoaminishwa pia.. maana inahitaji zaidi ya muhula kukuelekeza ubora wa hayati Dr Magufuli John. watoto upeo mdogo sana!..
@nestor384
@nestor384 Год назад
@@youngsachafurniture5482 amini unachoaminishwa pia.. maana inahitaji zaidi ya muhula kukuelekeza ubora wa hayati Dr Magufuli John.
@minicooper9642
@minicooper9642 Год назад
@@nestor384 ndio uache kucomment upumbavu wako, kubwa zima hovyo, we unajua familia ngapi zinalia mpaka leo sababu ya mpumbavu mmoja kama huyo, alafu unafungua kundu lako eti Rais bora, sababu upo zako vijijini huko unasikiliza Radio alijisifia ujinga wake sio
@enockheche5917
@enockheche5917 Год назад
Huyu ni mwandishi bora kwa interview ambazo nimewahi kuona… he is calm and very smart
@TamuzaKale
@TamuzaKale Год назад
Anatoa fursa kwa muhojiwa wake!
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Год назад
Mhe. Lissu,sitachoka kukuambia pole.Mungu akupe maisha marefu usaidie Watanzania.
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Nmh kumbe unasubir msaada ninyi mnafanya afrika isitoboe wewe unawasaidia wengine nini
@revocatusmagezi2235
@revocatusmagezi2235 Год назад
kajiunga na taasisi za wazungu zinazosaport mashoga za rainbow mimi hapo kanivunja moyo kabisa. kizazi chetu kupo hatarini
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 дня назад
Nyambafu zako hujitambuwi...
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
Magufuri oyeee eeeeeeee daima tutakuhenzi pumzika , pumzika, pumzika.Alleluiya
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Год назад
Pamoja na mauaji?
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Год назад
Wazuri hawafi.... nimenukuu tu
@katongomnkolongo135
@katongomnkolongo135 Год назад
Mungu wetu ni wa neema sanaaa ndiye anayekujua zaidi sisi wengine hatuna uelewa na jambo lolote ndomana kuna wengine wanakutusi lkn ukweli ata mlio wenyewe wa bunduki mtu anakufa kabisa ile sauti tu aisee barikiwa sanaaa
@husseinchambau3015
@husseinchambau3015 Год назад
Mtaani uko pole ndugu yangu mshukuru sana mungu pia unahaki ya kuishi na kuna jambo la mungu juu yako mpaka utimize
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Год назад
This is My favorite station for the interviews pole sana mhe lissu
@georgembise7234
@georgembise7234 Год назад
WAPINZANI NA TUNDU LISSU NAWAMBIENI UKWELI SIO raisi ata kidogo mkafika popote KTK UCHAGUZI kwa kumponda maguful,MAGUFUL anawatu wengi SANA SANA SANA tupo tar kuibwaga ccm na mafisadi wakikwete iwapo mtabeba sera za maguful na kuacha kumponda!!bila hilo ni zero!!
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Год назад
Magufuli anawatu wengi wajinga wasiofuatilia mambo na wale walionufaika na udikteta wake lakini waelewa wa mambo hawamsapoti .Sasa subiri mikutano si imeruhusiwa walioshindwa kuelewa kwa sababu ya kuzuiwa kwa mikutano ya upinzani wataelewa vizuri sana.
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Год назад
Magufuli alikuwa kiongoz mbaya kuliko viongozi wote waliowahi kutawala tz mikono yake ilijaa damu za watu ,ndugu zetu walipotezwa wengine kuuwawa mchana kweupe kama mawazo geita . Raisi angalau aliyekuwa na utu ni kikwete na sasa hivi mama samia
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband Год назад
@@joshualeonard1375 una Matatizo makubwa Mnoo hebu Muombe Mungu Akusamehe Kuna kutu hujui
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Год назад
@@eliajimmy95 we ni fala tena msengerema
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Год назад
@@joshualeonard1375 mbaya ni mama yako aliyezaa taahira akalilea badala ya kuliua likapunguza idadi ya wajinga nchini
@Alimahrooi
@Alimahrooi Год назад
Pole sana mheshiwa mungu anakupenda kwa kupigania haki,nakuombea maisha marefu inshala.
@mayowangimba9553
@mayowangimba9553 Год назад
Mungu ni nani? Acheni ujinga wa kufananisha mtu na muumba wa vyote,
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 Год назад
Magufuli aliwahi kuwatetea wanyonge ili wasikae lockdown !
@festomnyalu4833
@festomnyalu4833 Год назад
Sasa lockdown inahusiana nini na mauaji ya kusudio la m2?sikiliza hoja ndipo uchangie mada toa unazi tizama angekuwa babaako gapigwa lisasi badala ya kupambana kihoja ungejisikiaje?
@geraldhaule9145
@geraldhaule9145 Год назад
Pole sana,wewe ni mtumishi wa Mungu,usiogope kusema kweli.Mungu upendezwa na kweli iliyopo moyoni.Tunakuombea
@thomasialute7828
@thomasialute7828 Год назад
Hakika mungu alikuwa hai lissu wale wote waliofanya haya Mambo siku watakufa kama mbwa
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Mshukuru Mungu usiseme kama ungetibiwa hapa pia ungepona kwasababu Mungu ndio Alilitaka ubaki hai
@muyajuma6278
@muyajuma6278 Год назад
Namuomba mwenyezi mungu ajaalie hata hiyo risasi iliobaki itoke 😭😭😭😭 nimeli. Inaumiza sana saaana
@expert5898
@expert5898 Год назад
Pole Muya... Mungu ni mwema atakaa sawa mwamba.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Hunishindi mm kila nikimsikiliza Lisu namchukia magu wallah Mungu anisamehe
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Год назад
@@lindambilinyi6253 duhh 🙄
@amosicronery7730
@amosicronery7730 Год назад
@@lindambilinyi6253 !
@standardtv3494
@standardtv3494 Год назад
Mungu mlinde huyu jamaa aishi sanaaa haikuwa rahisi hata kupona ulikuwa nae.....Amen
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Huyu mwandishi very smart
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 Год назад
Hakuna kitu napenda kama kumsikiliza tundu lisu! Asee! Mungu azid kumpigania maisha yake!
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Год назад
Hachoshi kusikilizwa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Best interview in the world
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Год назад
Mwandishi uko smart Sana kwakwel
@rasheedkhalifa8482
@rasheedkhalifa8482 Год назад
The best interview 🔥🔥🔥
@sonsonsam4936
@sonsonsam4936 Год назад
SIKU UMEPINGWA RISASI UNASAFIRISHWA NILIJIFUNGIA CHUMBANI NA KUKUOMBEA SANA
@hildamhina5305
@hildamhina5305 Год назад
Asante maombi yako MUNGU ameyasikia
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Год назад
HAKIKA ULICHOKIFANYA KILIFANYWA NA WENGI WAPENDA AMANI NA KAZI NZURI ANAYOIFANYA LISU.
@kabulakmusa3131
@kabulakmusa3131 Год назад
Yan Mimi pia baada ya kuona kupost kuwa kapigw risasi nikamwambia mtu nilikuwa nae kuwa lisu kapigwa lisasi na yupo hai akasema ni maneno tu keshakufa uyo .nikamjibu hawezi kufa na hata kufa Leo Wala ksho tulibishana sNa lakin nikaingia room nikaomba uwez amin .
@nururaymond5
@nururaymond5 Год назад
Rest in Peace. Mugufuli Apumzike kwa Amani, tutaendelea kumpenda ana Mengi mazuri zaidi ya Mabaya
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Год назад
@@kabulakmusa3131 na Mimi siku amepigwa lisasi niliwaambia wenzangu wakaniambia usisemeseme unaweza ukakaa ndani ! Watu walikuwa kimya sana kwa kuogopa kuliongelea swala lake /
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 Год назад
Mungu wetu aliye hai tunakila sababu ya kusema ahsante,,, ila shughulika na waliomuumiza Tundu Lisu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@simonsadala2386
@simonsadala2386 11 месяцев назад
Daaaaaah pole sanaaa mh ashukuliwe Mungu wetu ambaye yeye ndo aliamua uwe hai
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md Год назад
I love this man, very strong person 💪🏿
@SaidSaid-vu8ks
@SaidSaid-vu8ks 11 месяцев назад
Mimi sìjuì kìzùñgu, imeandikwa nini
@deborahcharles79
@deborahcharles79 Год назад
Magufuli ajauwa watu wala akumpiga mtu Rissington ila wapigane wenyewe wamsingizie magu
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
Debora Asante tupo kusema ukweli juu ya Magu wetu
@victorjoseph3076
@victorjoseph3076 Год назад
Ww unaemtetea magufuli huna akili
@katemachanda7035
@katemachanda7035 Год назад
@@victorjoseph3076 Magu tunampenda na tutaendelea kumpenda...
@wilsonmagoha1198
@wilsonmagoha1198 Год назад
mungu ni mwema kila wakati kaka💪💪💪
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 Год назад
Lissu ni quality leader and politician ambae Tanzania inafaaa imthamini sana sana... one in a million
@robbiejerrson7437
@robbiejerrson7437 8 месяцев назад
Kwa jinsi unavyosimulia tu Mh. Tundu Lissu ni wazi kuwa uliumizwa sana Mimi mpaka naogopa na kutetemeka. Na kupona kwako na kuwa hai leo na kisimulia haya, kwa kweli ni muujiza na bila shaka Mungu ana kusudi maalumu na wewe. Aliyekutendea haya, ataishi kwa taabu na majuto maisha yao yote. Na bila shaka hata wao watakufa kifo cha ajabu. Auae kwa risasi au upanga, naye atakufa kwa risasi na upanga huohuo!
@renatussilvesta2061
@renatussilvesta2061 Год назад
CCM inawatu mashetani san kwakua haikuwakuta wao wanafrai2 nampongeza sana Samia kwamaliziano Mungu akubaliki mam Samia
@CyprianBCTanzania
@CyprianBCTanzania Год назад
Mauti sio mpango wa Mungu, Uhai ndio hasaa Mpango wa Mungu, Mhe. Lissu #Ishi na Mungu yu pamoja nawe.
@mbwilizastanslaus4777
@mbwilizastanslaus4777 Год назад
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano ya Mhe. Tundu Lissu na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari. Wajina wangu Stanslaus nimekukubali sana kwa maswali yako. Big up sana.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
Mwanaume gani unamwongelea marehemu?!?! Inaonyesha jinsi bado mfalme wetu anavowanyima usingizi au unahisi atafufuka?! Ama kweli Magu wewe Ni Jembe
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 Год назад
Kwenda na ukabila kwako kaabudu makaburini huko sasa. Mijitu mingine mikatili haina hata huruma stupid
@MagdarenaLunyalula
@MagdarenaLunyalula 8 месяцев назад
Mungu aendelee kukulinda mh tundu lisu waliokupiga mungu atawalipa
@shazceo6853
@shazceo6853 Год назад
Kabla ya Magufuri mbona kulikuwa na mambo ya ajabu jmn , Mpumzisheni shujaa wetu JPM🤲✨💪...
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 Год назад
Kwahiyo na ss tuanze kuoji Raisi jpm alikufaje yote ni mipango yamungu hakuna atakae hishi milele tunakaria siasa njaa inataka kuwaua wanyonge
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Год назад
Pombe iko jehamu anasota lissu upo hai mungu atakuereka pema peponi Amina
@sashawambura
@sashawambura Год назад
Endelea kumshukuru Allah Subhanahu wa ta'ala..Mungu aliye hai atakulipia tu..bado tunaumizwa sana tunapo kuona hai...Allah Akbar
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Год назад
Tukio la risasi la lisu lina mashaka makubwa, ipo siku ukweli utakuja kuwa wazi. Anayoyaongea hayaendani na tukio lenyewe! Risasi zilipigwa kushoto ameumia kulia??!! KUSHANGILIA KIFO CHA MAGUFULI anatupa wasiwasi mwingi; isitoshe yeye ndiye alikuwa wakwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM!!!!!! MUNGU ATAHUKUMU tukiona!
@saidzuberi6097
@saidzuberi6097 Год назад
Ulikuwepo kipindi anapigwa izo risasi na unajua sababu ya kupigwa upande tofauti?? Na mwisho mungu atahukumu mala ngangi make mwenye kosa mungu kasha muhukumu siku nyiiingi we mwenzetu ulikua dunia ipi??
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Год назад
@@saidzuberi6097 uniambia wewe kama ulikuwepo! Lisu alikaa sit ya abiria mbele, matundu yalisasi yalionekana kwenye mlango upande aliokaa, sayansi gani iltumika hapo?! Ukweli utakuja julikana tu!!
@katemachanda7035
@katemachanda7035 Год назад
@@saidzuberi6097 Kwa hiyo we ndio Mungu msaidizi kwamba Magufuli kafa kumlipiza kisasi Tundu Lisu??? Hehehe very stupid mind.
@emmanuellaston5446
@emmanuellaston5446 Год назад
Interview nzuri Mungu akupe maisha marefu
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 месяцев назад
mungu ni mwema akurinde uhai wako mungu aupiganie ingewezekana uhai wangu nikupe wewe tundu lissu wewe uishi mimi nife lissu ubaki duniani
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Год назад
Daah rafiki yangu,nakumbuka tulimlilia sana Mungu namtukuza sana kwa neema hii
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
Magufuri oyeee daima be mbele mwisho marufuku
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Год назад
Alifanya vizuri sana ila kupigana malisasi ni mbaya sana
@agustinocharles2650
@agustinocharles2650 Год назад
Inaumiza lakini Mungu akupe neema ya kusamehe na kusahau.
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 Год назад
Mungu ni mwaminifu sanaa, Wamekufa wao wewe mzima . Hakika kweli ni miujiza
@zackrichard3617
@zackrichard3617 Год назад
Moja kati ya interview bora kabisa
@samweelmagaga4032
@samweelmagaga4032 Год назад
Mtangazaji Yuko vizuri amenyoooka
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Год назад
Pole sana mungu mkubwa sana pole ndugu
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Год назад
My favourite mtangazaji dar 24
@mwasokambingela9312
@mwasokambingela9312 Год назад
Kaka ur the best👏👏👏👊🙏
@revocatusmagezi2235
@revocatusmagezi2235 Год назад
Lisu waliowengi tunampenda Magufuri sababu alifanya kazi ilioonekana wazi, sio maneno haya ya ukatiri, kuua watu na mabaya yaliyotokea wakati wake hatukuyapenda ila yalikuwepo tangu zamani na pengine na leo yapo japo ktk utawala wake yalikuwa mengi. Hata yeye aliwawekewa sumu afe, so ukiwa mwanasiasa haya kukutokea ni kawaida, maana wengi wanaitaka nafasi yako au hawataki ufungue uma masikio uovu uendelee kuwepo. ila sisi Magufuri kwetu is the best president ever kuliko wote mpaka leo. aliiba sawa, ~alionea sawa ,~aliua sawa,. tunaangalia maendeleo zaidi tunayofaidika nayo hizo hasara na maumivu tunawapa pole, ila kwa kuumia kwao na kwako sisi tumepata maendeleo. pole Lisu ila mimi binafsi siombei upate urais wala cheo chochote maana hayaaurafiki uliyojiunga nayo ya kukubali mapenzi ya jinsia moja mimi siombei wewe ututawale hata kidogo. hii rainbow unayoipenda hii wewe hutufai kwa sasa, na mpo wengi nimeona bob wine wa Uganda na zitto kabwe wetu naye amekuwa rafiki wao nyie sio watu wazuri hta kidogo
@mnasaeules6857
@mnasaeules6857 Год назад
Wee ni msenge Kuma wewe
@stewartmbeselambesela909
@stewartmbeselambesela909 Год назад
Alitaka kumuua Lissu akashindwa, walipotaka kumuua yeye wakafanikiwa. Tumwogope Mungu, hamna wa kumuonga. Maendeleo ni mazuri ila haya muongi mtoa uhai ambao ni muhim kuliko maendeleo
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Год назад
Duh aisee unaongea pumbu tupu, unaangalia maendeleo kwa aliyeua na kutesa
@antonykomba6631
@antonykomba6631 Год назад
Comment yako ni Kali Sana na Ina ujumbe mzito Sana kuliko comments zote humu. Ubarikiwe sana
@ahmedhamis
@ahmedhamis Год назад
Jua ivi , maumivu ktk siasa ikiwemo vifo,utekaji,ufisadi,hata unyanyasaji na mengine mengi sio jambo la kujivunia...maisha ya watu na utu wao ni Bora zaidi kuliko barabara za kupandiana na ndege.mungu siku Moja atakuonesheni mfano wa utawala bora.sikutukani maana hujui ila naomba ubaya huo utokee kwako .
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 Год назад
Watanzania wengi hawakuelewi Mr. Tundulisu,lakini naamini ipo siku watakuelewa tu. Upo vizuri sana. MUNGU azidi kukusimamia na kukulinda Insha'Allah.
@magdalenapaulo1776
@magdalenapaulo1776 Год назад
We Rahma kwel ww ni muislam????huyu jamaa alisapoti ushoga unasema hatumuelew eti yupo vizur
@ernestlaiza1176
@ernestlaiza1176 Год назад
@@magdalenapaulo1776 lisu hajawahi sapoti ushoga fala weww
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 7 месяцев назад
Mungu ni mwema kabisa nimejifunza mengi sitamtendea mtu ukatili maisha yangu yote
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Год назад
Tulishasema/tunasema sana tatizo lenu Viongozi wa Vyama vya Upinzani ni Wanafiki sana, hamna Umoja wa Kweli, hampendani, hamna Shukran, Wapingaji na wakosowaji hata Mazuri, Wabaguzi, Ukanda na Ukabila na Udini, Vibaraka wa Wazungu. Msipobadilika mtazidi Kuumizana/Kuuwana na mtakuwa Wasindikizaji tu, Kuingia Ikulu itakuwa Ndoto.
@edoyoseph4606
@edoyoseph4606 Год назад
Pole sana Mh. Lissu umepitia mateso makubwa sna Mungu akupe moyo WA msamaha
@alexsmongo1106
@alexsmongo1106 Год назад
Pole sana kamanda wetu mungu akulinde aseeeeeeeeeeee
@samwelmwanga254
@samwelmwanga254 Год назад
Aiseee pole sana Tundu Lussu
@kennethjunior6071
@kennethjunior6071 Год назад
CCM kwa kwel Kuna mashetani, ila mungu ni mkubwa siku zote akuchimbiae shimo atazikwa mwenyewe. In God we trust 🙏🙏💪💪
@hildamhina5305
@hildamhina5305 Год назад
Kwakweli yukoap sasa yan sijui kaenda na watu wake wasiojulikan
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Hakuna chama kisicho na shetani ndugu,siasa mchezo Mchafu hao uwaonao Wazuri subiri wakamate Vyeo ,Usijute,
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Год назад
Pole sana, Lakini samehe Na sahau, pia acha kumzungumzia mwenda zake
@CutePere
@CutePere 7 месяцев назад
Yesu akulindeee kiogzi mwema
@godblessluvanda9808
@godblessluvanda9808 Год назад
MUNGU mwemaa Sanaa,,,miujizaa yake tumeiona🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sukisa1234
@sukisa1234 Год назад
Sijui kwa nn unapenda kumkashfu marehem..Yule kayafanya yaliyoonekana na ninaamin ww bwana lisu ukipewa nchi Nina uhakika hawezi Fanya kazi nzur kama aliyoyafanya magu zaidi utatuibia Tu..tupo na mama ametuliza nafsi zetu we shukuru upo hai na umerudi tulia nchi isonge mbele
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
Bugana Asante
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Год назад
Stop ur nonsense
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Год назад
Acha utahira ng'ombe wee
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Год назад
@@abuumohamed7090 ng'ombe mamako K ww
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Год назад
@@avitusmichael5 Kama SS ni ng'ombe Nina wasi umeishakuwa sho..... Kwa kutetea Usodoma na Gomola
@asueddy1465
@asueddy1465 Год назад
Watu kama Tundu Lissu wamebakia wachache sana duniani...Jah Bless
@robertabel6984
@robertabel6984 Год назад
Lazima wawe wachache maake akili hizi za ajabu sana anaongea pointless sana
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Ujinga mtupu
@sautiyawanyonge2511
@sautiyawanyonge2511 Год назад
Nimemkubali mtangazaji uko vizuri sana
@felistajilala3630
@felistajilala3630 Год назад
Pole sana mweshimiwa ila MUNGU wetu tupo kazin ninaimani hawana amani leo mpaka sasa
@mokiwaunderson7052
@mokiwaunderson7052 Год назад
Lisu nakupenda sana Mungu ni mwema kwako kuliko wanadama n.a. hii ndio ule usemi Mungu ashindwi na kitu n.a. cha Mungu ndicho sahihi kuliko ya mwanadamu
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Год назад
Ahsante Dar 24
@RenatusDavidEzekiel
@RenatusDavidEzekiel Год назад
Pole sana bg
@mamylnkuzi8482
@mamylnkuzi8482 Год назад
BWANA YESU APEWE SIFA SANA.PORE. TUNDU.MUNGU AMEAMUA KUKUPA UHAI TENA ANAMAKUSUDI YAKE CHA MUHIMU.WEW SASA HIVI MTUMIKIE MUNGU TUUU ACHA YOTE UFUATE MSALABA WA YESU....Hakika ndio lengo lake .Ubarikiwe sana.
@lingsonmwabulanga4764
@lingsonmwabulanga4764 Год назад
Lisu tunakuelewa sana shida elimu ya uraia
@mkwenyachristopher9310
@mkwenyachristopher9310 Год назад
Daah Ila MUNGU amekupendelea zaidi ya watu wote ....Omba sana kila siku MUNGU AMEKUPENDA SANA
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Kila nikisikila interview zako mwamba jins walivyotaka kukumaliza najikuta kumchukia maguful ingawa hayupo hai Mungu anisamehe,,,,lkn kiukwel kipindi za mwenda zake wapinzan walikosa aman kbsaa😭😭😭😭
@alimussa2655
@alimussa2655 Год назад
Wewe acha tu yule jamaa mungu kamchukua kwa mengi
@michaeljeremiah5364
@michaeljeremiah5364 Год назад
Ni mungu tu ajuaye siku na saa yake..🙏🙏
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Год назад
Pamoja na maumivu uliyo yapata pole sana sana ila HUFAI KUWA KIONGOZI WA NCHI HII. Tutaendelea kukuombea
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Год назад
Kwanini hafai au kwa kua ni chadema?
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Год назад
Kama unaona hafai kaa nalo moyoni mwako usitake kutuaminisha upumbavu wako
@frankjoely3313
@frankjoely3313 Год назад
Peleka upuuzi huko
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
Wew hufai kuwa hat kiongz wa familia yak
@ifabeach3281
@ifabeach3281 Год назад
Nakazia hafai ila awe pole kama binaadamu mwenzangu
@kichambati
@kichambati Год назад
Ila jambo nikimkuta mtu mwingne tunaona jepesi omba yasikukute kma haya ya mzee lisu mungu aendelee kukulinda baba
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
KABSA......Bora kusikia kwa jiran
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Год назад
@@victorbugobola2276 Hata kusikia Kwa jilani haifai mambo haya hayafai
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Ni kweli Ndg so poa KABSA sema tunaishi nayo tu.....
@charleskibugachannel2210
@charleskibugachannel2210 Год назад
@@victorbugobola2276 haya mambo yaliyompata huyu kamanda hayafai kwa mtu yeyote, kila mtu ana haki ya kuishi kwa usalama
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Nkwel Ndg sema kuna binadamu wamekwa hawana hofu ya Mungu..... KABSA
@diversetv74
@diversetv74 Год назад
Pole sana ndgu lisu!
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Aisee mungu yupo,na aliehusika yupo kuzimu,mungu wakuogopwa sn
@petersakilu
@petersakilu Год назад
🔊🔊🔊🔊🔊🔊📣📣📣📣 lisu is my president ✌✌✌
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 Год назад
Mungu ni mwema Sana Kwako amekutendea miujiza Mikubwa Sana Na Mungu akubariki Na malengo Yako yatimie Na uendelee kutetea Wanyonge wa Nchi hii
@BONGOKUMENOGATV
@BONGOKUMENOGATV Год назад
nimemskiliza vizuri mheshimiwa tundu lissu
@godmrema503
@godmrema503 Год назад
Habari docta mke wangu anamimba week 38na siku 4 mtoto ajageuka kichwa kipo juu ya tumbo je mtoto atageuka tena
@binhussain3445
@binhussain3445 Год назад
Nenda Hospital
@Hamy1109
@Hamy1109 Год назад
Mungu aendelee kukulinda Mhe. Lissu 🙏
@all-victorious2156
@all-victorious2156 Год назад
Aliyoyafanya Raisi Magufuli hata lisemwe neno baya kiasi gani bado ndio raisi wa kipekee hatowahi kutokea mwingine , hata kama alifanya yeye alikuwa anafanya kwa nia njema.
@barakalema4358
@barakalema4358 Год назад
7sep nilikua dar nilihuzunika sana role model wangu kupigwa risasi
@nancyackley
@nancyackley Год назад
Hakika matendo ya mungu niyaajab mnoo...mungu azid kukulinda baba mhe. Lissu na uzid kuwa na afya njema ili uzid kuwasaidia watanzania✍🙏
@yoneryero6862
@yoneryero6862 Год назад
pole sana lisu mungu ni mwema
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 Год назад
Pole sana
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Yaan kwakweli mimi imeniuma mnoo lkn nina imani watesi wako hawana nafasi ya mamlaka ya Mungu Mungu apambane nao 🙏🤲
@lumo9999
@lumo9999 Год назад
Tunaitaji amani mkuu mambo ya kumshutumu hayati achananazo🙌🙌🙌
@dazk7861
@dazk7861 Год назад
Mpaka leo tunamtaja yuda kama msaliti wa tesu kwani yeye sio hayati
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Una bahati baba Lissu si kama wengine waliokosa uwezo wa kuishi Asante mungu
@deborahcharles79
@deborahcharles79 Год назад
Tanzania muogopeni huyu mtu ni mungo mkubwa
@hamphumichael7194
@hamphumichael7194 Год назад
Daaa subiri na ww yatakukuta tuta sema hivo hivo try to think 🤔
@charityjoshua6135
@charityjoshua6135 Год назад
Ongea wewe mkweli
@NAHAYOFrancis
@NAHAYOFrancis 7 месяцев назад
Pole mh .muumba azidikukutetea
@donboscolunguya2936
@donboscolunguya2936 Год назад
Safi sana mh. Lissu MUNGU mwema auae kwa upanga atafuka kwa upanga pia. MUNGU bado ana makusudi na wewe
@saidyusuph-iq2wb
@saidyusuph-iq2wb Год назад
Mungu n wet woteee amina
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Год назад
VIVA VIVA
@sashahauke2032
@sashahauke2032 Год назад
Watu Kama hawa wanazaliwa mara chache❤sana nimeshindwa kujizuia mimi mmmmmmmmmmmmmmm?
@thomasmcfadden7181
@thomasmcfadden7181 Год назад
Pole sana mwamba
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Год назад
Akiekacho mwenyezi mungu binadamu hawezi kukiondowa mwenyezmungu atakulipia
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Mungu ndie fundimkuu,mtuhumiwa ameendakuwaongoza malaika,
@alexelias8488
@alexelias8488 Год назад
Asante yesu Kwa wema wako
@mariamganga2178
@mariamganga2178 Год назад
wanyooshe Tundu
@gannzy-tvoline9277
@gannzy-tvoline9277 Год назад
Mara zote namwangalia Mwandishi alivyo mtulivu👍💫
@samweelmagaga4032
@samweelmagaga4032 Год назад
Na maswali yake hayapindipindi yamenyooka
Далее
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
Просмотров 796 тыс.
Eksklusif: Prabowo Subianto Bicara | Mata Najwa
1:49:52