Тёмный

Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Romeo boy handsome toka Kinondoni mpaka Tandale na sasa duniani kote. Ni kijana wa town, mcheshi, mtanashati, mwenye madevu na mcha Mungu, Ila pia ni Kaka yake mwanamuziki superstar toka Tanzania ambaye ni Diamond Platnumz.
Mimi na Romy tunafahamiana miaka mingi, na kama ulivyodhani nilianza kumjua yeye kabla sijafahamiana na Nasib, story yetu inaenda toka enzi za ‘ujana’ wetu, rafiki zake ndo rafiki zangu na tulikua tukikutana karibia kila wiki.
Toka Platnumz awe al maaruf Romy amekua nyuma yake siku zote, toka video ya kwanza ambayo umemtuambulisha kwetu super star huyu Romy alikuwemo pia kwenye video hiyo kama mume mtarajiwa wa msichana ambaye Platnumz alikua ndo mpenzi wake. Toka siku hiyo tumekua tukiwaona pamoja kila sehemu kama kope kwenye jicho.
Miaka ya hivi karibuni sikuacha kugundua kwamba rafiki yangu huyu kabadili tabia, siye yule nlokua namfahamu wa miaka mitano iliyopita, kuanzia muonekano, kazi, jinsi anavyojibeba na hata maongezi yake. Pia nimekua nikimuona akifanya kazi ambazo si za bora liende na badala yake ni kazi ambazo zinasimama haswa na kujieleza zenyewe. Kwa mbali nilikua naangalia na nikasema kwanini haswa nisimtafute rafiki yangu huyu ili atuambie mimi na wewe siri haswa ya mafanikio yake? Pia kuhusu maisha yake binafsi maana ameoa miaka ya hivi karibuni, kuhusu Mama yake mzazi, mahusiono yake na Mama yake Naseeb, kazi yake kama actor na Dj, kulea mtoto wa mkewe na fame kwa ujumla. Tulikutana na tukazungumza hayo na zaidi.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@nassorsada213
@nassorsada213 4 года назад
Usimjuge mtu kwakumuon mtandaon mashaAllah romy umeongea point saan mung akuwekee wepes kweny maisha yak
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
SALAMA IS VERY PROFESSIONAL...THE WAY SHE ASK QUESTIONS AND GIVE HER GUESTS TIMES TO EXPRESS THEMSELVES AND ALSO VERY COMPOSED👍
@frankassey5971
@frankassey5971 4 года назад
kweli hawa walionza juzi hawajui kuuliza maswali anauliza swali hili halijajibiwa anarukia jingine
@frankassey5971
@frankassey5971 4 года назад
kweli hawa walionza juzi hawajui kuuliza maswali anauliza swali hili halijajibiwa anarukia jingine
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
@@frankassey5971 true...unajuwa salama kanzaa kitambo toka mkasa...kipindi hicho...do you remember?mim sio mtz lakini nafatiliya sana entertainment industry ya tz
@sizahlameck6479
@sizahlameck6479 4 года назад
Namkubali sana salama gonga like na salama
@muranium7311
@muranium7311 4 года назад
this is one honest and sincere interview ,i love this show ,from kenya
@luhamahemedi7667
@luhamahemedi7667 4 года назад
Salaam ni dada wa taifa au tuseme dhahabu ambayo iko mchangani anajua sana Her appreciate is genius
@femexpress7857
@femexpress7857 4 года назад
Tafadhari click link hapo chini Ku subscribe RU-vid channel hii kwa habari na matukio mbali mbali.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-n1SmHa4_PNE.html
@ispajohn9243
@ispajohn9243 4 года назад
kama unamkubl RJ dj dondosha like apoo
@thomaslyimo1729
@thomaslyimo1729 4 года назад
Rommy he knows how to handle interviews I was waiting for it soooo looooooong
@femexpress7857
@femexpress7857 4 года назад
Tafadhari click link hapo chini Ku subscribe RU-vid channel hii kwa habari na matukio mbali mbali.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-n1SmHa4_PNE.html
@nancyandrew9273
@nancyandrew9273 4 года назад
His nice guy with pure heart ❤️ nice interview salamaa tupe part2😊😊😊😊😊💯
@nooromar6233
@nooromar6233 4 года назад
Alhamdulilah na kwa nia zenu nzuri mngu atawa hidiya yote both of you who are we to judge
@neserianmollel5111
@neserianmollel5111 4 года назад
Yan salama Jabir mbunifu sana😍
@crelincharles9358
@crelincharles9358 4 года назад
Naomba this week awe riyama ally dr salama
@ibraah2754
@ibraah2754 4 года назад
Salama na rommy nipe like zangu wadau wa hii pindi hataree town
@mohamedalaraimi6813
@mohamedalaraimi6813 4 года назад
Mungu ukupe maisha mazuri
@nancyfrancis5251
@nancyfrancis5251 4 года назад
yap....usiku wa manane milango ya mbinguni hufungukaa
@lilllianne
@lilllianne 4 года назад
Better than Jimmy Fallon especially leaving the interviewee to speak
@femexpress7857
@femexpress7857 4 года назад
Tafadhari click link hapo chini Ku subscribe RU-vid channel hii kwa habari na matukio mbali mbali.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-n1SmHa4_PNE.html
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 4 года назад
Ta bien parlé mon amie fatasique parole 🇷🇺🇹🇿
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 4 года назад
Love Salama, missed u dear. Hope u keepn well. Eid Mubarak sweetheart. Nice interview ayouni. Keep on keeping on doing the good work. Love u hun 😘😍😘
@minahsamiry4459
@minahsamiry4459 4 года назад
Rommy ur voice 🔥
@asanatimrisho1816
@asanatimrisho1816 4 года назад
Good interview rommy kaongea vizur
@jumakido2677
@jumakido2677 4 года назад
Salama l can't wait for King Kong...🤔🤔 @chidbeenz
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 года назад
Salama jabir i love you am your fan
@ashaomina1136
@ashaomina1136 4 года назад
Romy wewe unajielewa,,msaidie nduguyo nae pia ajielewe.
@victoruswazi3593
@victoruswazi3593 4 года назад
Interview imekuwa poah sanaa
@leticiaaugustino7962
@leticiaaugustino7962 4 года назад
Miayo maeleni tu hayo jamani kujigeuza wanawake sipendi
@kagabae.s.musoni2223
@kagabae.s.musoni2223 4 года назад
Nice we are watching it today, Keep it up S.J. & the whole time of Yahstone
@djgeorgekiller3617
@djgeorgekiller3617 4 года назад
awooteee huyu jamaa namkuli na chibu
@tulahelisha4563
@tulahelisha4563 4 года назад
Nmeenjoy story zenu.. Nawakubali
@swalehthefinest
@swalehthefinest 4 года назад
Salama mlete Zuchuu plz
@faizadulla8663
@faizadulla8663 4 года назад
Yani romy mungu eti mkubwa wa dai kwa mwaka na picha zinaonesha amempita kama miaka mi3 coz hata dai ni mrefu
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Napenda sana ichikipindi
@mwanaishashaban210
@mwanaishashaban210 4 года назад
Looking like John Legend man!! ☺️
@binfoumame7938
@binfoumame7938 4 года назад
Salama hii umependeza
@edwinsigei8548
@edwinsigei8548 3 года назад
wow, jama ameanza show guns blazing, plans ni muhimu,
@mrfirstborn2839
@mrfirstborn2839 4 года назад
Sio wasafi festival ilikuwa wasafi beach party jangwani mondi alimaindi kamtukana rj mwisho akashuka akaondoka
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 4 года назад
Big mistake has done because of Coronavirus 😅😅😅Why part 2 is playing & part 1 was being held, this is how Coronavirus push people on a crazy intention.
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 4 года назад
Hahaha umetisha
@sidikgold1912
@sidikgold1912 4 года назад
😂😂😂😂yani ma tress kibao
@barbarasara4033
@barbarasara4033 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 года назад
Vizuri sana umekuja na hiki kipindi maana kule kwenye mkasi mubah na joni walikua wakiniboa sana ...hawajui kuuliza maswali kwanza muba anazunguka sana badili awasilishe point za msingi
@tripocmwamba9666
@tripocmwamba9666 4 года назад
BigUp rommy jones ✔️
@adamrafiki5219
@adamrafiki5219 3 года назад
Satisa ucku ndio.mda wa huruma ya MUNGU huo ndio ucku wa manane
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 4 года назад
Leonel rich wa kibongo
@immah_deo19
@immah_deo19 4 года назад
Kizazi Sana Aiseee
@giftmtemi1049
@giftmtemi1049 4 года назад
Umeongea vizur ila acha kuvaa hereni!!!
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Kweli
@festokibiki8961
@festokibiki8961 4 года назад
Awooote
@charismadancers2211
@charismadancers2211 4 года назад
RJ THE DJ
@luqmanndagula245
@luqmanndagula245 2 года назад
kwenda kwa mganga sio uchawi
@dittorashidi2043
@dittorashidi2043 4 года назад
Mrete King kiba
@khadijamzee2739
@khadijamzee2739 4 года назад
What's his real name
@suhailaali4175
@suhailaali4175 4 года назад
Yeye na Nasib Ndugu vipi? Mama mmoja au mama zao Ndugu?
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 4 года назад
Mama zao ndugu tu
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Suhaila Ali mama mkubwa Na mdogo
@philemonmgasha3670
@philemonmgasha3670 4 года назад
Mama zao n ndugu
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
mama mkubwa na mama mdogo ila Romy na Diamond wamelelewa pamoja na wamekulia pamoja na alowalea bi Sandra mama diamond ndo mana diamond anampenda sana Rommy kama wamezaliwa pamoja mana haijalishi mama zao ndugu lkn misukosuko yote wamepitia pamoja
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 4 года назад
Wasanii bwana wanachoongea na wanavyoonekana ni tofauti kabisa, unazungumza kuhusu Allah na ibada huku masikioni una heleni
@nancyfrancis5251
@nancyfrancis5251 4 года назад
dont judge people by the way they look
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 3 года назад
licha ya mapungufu yetu kibinadam haitufanyi tuache kumtaja Mungu watu.bora yy katoboa masikio yake lakin anajua Mungu yupo. hata ww hapo hujakamilika unamapungufu yako
@mkizomsafi6956
@mkizomsafi6956 4 года назад
Daaaa
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 2 года назад
I like this guy ❣️
@Manlike96
@Manlike96 3 года назад
Tuletee na diamond tumsikie
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Good job salama
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 4 года назад
Kumbe Salama nawe umegonga bangi eeh??
@ezychaser232
@ezychaser232 4 года назад
Rj the dj🔥🔥 cool man!!!
@almasially6509
@almasially6509 4 года назад
SALAMA TULETEE NA SIMBA
@africanqueen2506
@africanqueen2506 4 года назад
🤣 🤣 Jamaan tumekutana tena hapa
@almasially6509
@almasially6509 4 года назад
@@africanqueen2506 😂😂😂😂 nilitaka nishangae interview kubwa kama hii usiwepo😂😂😂
@africanqueen2506
@africanqueen2506 4 года назад
@@almasially6509 mie tena 🤣🤣🤣👌Lkn na ww unazurura RU-vid
@almasially6509
@almasially6509 4 года назад
@@africanqueen2506 naona sikuzidi wewe😂😂😂 afu itabidi ueke profile pcha ila niwe nakujua kwa haraka😂
@africanqueen2506
@africanqueen2506 4 года назад
@@almasially6509 ntajaribu 🙂😁
@billbizzle
@billbizzle 4 года назад
naomba jina la ngoma inayolia kwa background
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 года назад
Tunaomba mtuletee Nikki mbishi please
@agneswilson908
@agneswilson908 4 года назад
Tu the DJ awooote
@kingbashar4293
@kingbashar4293 4 года назад
Awoooote!!
@nebatsanga157
@nebatsanga157 4 года назад
Two years later
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 года назад
Nayiomba salama na Simba💪🏾💪🏾💪🏾
@mbarackhamisi9468
@mbarackhamisi9468 4 года назад
Eti ni kwel uliwah kudate mkaliwenu original Salama?
@ibrahamkalu9069
@ibrahamkalu9069 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂 tumuulize
@leejunior_tz
@leejunior_tz 4 года назад
Where mkasi ended salama
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 4 года назад
Where this started
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
Hizo ads mweeh 🙄😬....why part 2 then part 1 ???
@daniellouisbeckford8222
@daniellouisbeckford8222 4 года назад
wew hujawah Kukosea kwenye maisha yako?
@islandgirl4578
@islandgirl4578 4 года назад
Dah sijaaamin haki rommy ushatumia kokein
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 4 года назад
vyakula vya Samak Samak ñâ vinywaj ñ hela ya kiwanja
@nurukauzen1721
@nurukauzen1721 4 года назад
😅😅😅😅😅
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mc_mrope
@mc_mrope 4 года назад
Saaafi sana 💪
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 года назад
💞💞💞💞💞💞💞
@samtelah7578
@samtelah7578 4 года назад
Salama tuletee SIMBA PLATNUMZ
@milleniyahmohamedy8787
@milleniyahmohamedy8787 4 года назад
Kaka una akili mnusuru ndugu yangu
@kikombotv9615
@kikombotv9615 4 года назад
Best channel ever #swahili
@The_imans
@The_imans 4 года назад
💥💥💥💥
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 4 года назад
Duuh ilianza Part 2 sasa hii
@mohdkuduramkudeabdallah8012
@mohdkuduramkudeabdallah8012 3 года назад
We romi acha uongo unarudi saa 2 wapi wakat nakusikia msizwa saa 6 usiku
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Hizo swala na hereni sijawahi kuona, all in all i don't judge....
@chidymalo5504
@chidymalo5504 4 года назад
Hi
@thanisuleiman1538
@thanisuleiman1538 4 года назад
Queen September exactly sema ww
@safarikikaadrien108
@safarikikaadrien108 4 года назад
Kwani hapo wanaongelea dini ao wapo muskitini,ww unaejifanya kumujua allah unafata nini kwenye ichi kipindi?acha ujinga nakujipendekeza
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
@@safarikikaadrien108 tutolee frustrations zako, kama Corona imekupanda kichwan jipige risasi, Punguani wahed.
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Salama mtafute Juma Nature hawa mabishoo hawaeleweki
@najatmngazija1547
@najatmngazija1547 4 года назад
Ramadhani Abdi yan tumewaza sawa
@kindepi_tz8949
@kindepi_tz8949 4 года назад
Sio lazima uangalie wewe
@hellyally4395
@hellyally4395 4 года назад
Waislam wote no ndugu mbn unakuwa na chuki czizo na maan mzee
@dianaroserusimbi6003
@dianaroserusimbi6003 4 года назад
acha wivu
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
@@kindepi_tz8949 hujawah kuniwekea bando kwahyo ntaangalia na ntaendelea kusema
@Johnjoo196
@Johnjoo196 4 года назад
Naelewa
@aneelmtoro7477
@aneelmtoro7477 4 года назад
💥💥
@thepavilonempire9418
@thepavilonempire9418 4 года назад
Rom
@bintially5488
@bintially5488 4 года назад
🔥🔥
@mbwanadavid4371
@mbwanadavid4371 3 года назад
Nimegundua kitu, salama anakunywa vinywaji na vyakula vya gharama kuliko wageni wake
@gladyfabian8749
@gladyfabian8749 3 года назад
Hhahahah Jaman😁😁😁😁
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Mbona nothing
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 4 года назад
Well done,umeacha kilevi, acha na muziki now
@napster2558
@napster2558 4 года назад
We fala
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 года назад
@@napster2558 🤣🤣🤣🤣🤣
@2116-n
@2116-n 4 года назад
Na ww acha kuangalia hii channel kwasababu kilichompa umaarufu salama ni muziki
@katanjeedward5040
@katanjeedward5040 4 года назад
Asalaam aleykum - Dada Salama- lakini mbona una wahoji tu watu maarufu ‘ ? Najua kipindi chako ni kizuri mnoo lakini changanya Na wale wengine wa kawaida kidogo au watu tofauti tofauti pia ‘
@femexpress7857
@femexpress7857 4 года назад
Tafadhari click link hapo chini Ku subscribe RU-vid channel hii kwa habari na matukio mbali mbali.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-n1SmHa4_PNE.html
@Kibitiyetu1
@Kibitiyetu1 4 года назад
Salama Naomba Uni Unblock Instagram @eliasakitasa
@azizarajab2650
@azizarajab2650 4 года назад
Hii unaswali na herin
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
Hereni tunatowa kipindi cha swala
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 4 года назад
Inshallah Allah will keep guiding him anajielwa huyu.Hana Scandal.Lets not charging too much.
@dashcombokinondoni1992
@dashcombokinondoni1992 4 года назад
Cocaine tamu kumbe
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 года назад
Wazazi wenu nimandugu na nyote mlilelewa na mama mmoja how comes kakako ana akili tofaut and he is not copyng from you
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
Tetete si kila mtu anazaliwa na akili yake jaman
@suhailaali4175
@suhailaali4175 4 года назад
Yeye na Nasib Ndugu vipi? Mama mmoja au mama zao Ndugu?
@islandgirl4578
@islandgirl4578 4 года назад
Hapan mama ake na diamond na mama ake rommy wamezaliwa mama mmoja baba mmoja mama ake rommy ndo wakwanza
@ayubusanga1937
@ayubusanga1937 4 года назад
Mtoto wa mamaake mkubwa
@dusilaabuock8060
@dusilaabuock8060 4 года назад
Romy na Esma ni baba mmoja, so walikuwa karibu wazazi na wameishi kama familia since then.
@islandgirl4578
@islandgirl4578 4 года назад
@@dusilaabuock8060 acha uongo kama hujuii uliza mama ake rommy na mama ake esma wamezaliwa tumbo moja
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 года назад
@@islandgirl4578 😂😂😂😂😂😂😂😂
@chicharito4201
@chicharito4201 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 2
17:20
Просмотров 63 тыс.
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Просмотров 20 тыс.
MASANJA COMEDY INALIPA KULIKO UCHUNGAJI
36:21
Просмотров 1,1 тыс.
Joshua Maponga on African Feminism
47:48
Просмотров 72 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
A CHAT WITH AISHA YESUFU
1:06:08
Просмотров 65 тыс.