Тёмный
No video :(

SAM SIMBA AMPA MAKAVU KISUGU BAADA YA KUSEMA YANGA INAWAROGA WACHEZAJI WA SIMBA/ACHA CHUKI UJINGA 

Scope Media
Подписаться 55 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

#alikamwe #azizki #hersisaid #mayele #yanga #yangasc #yangatv #live_ #msuva #yangaleo

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@JalaliHalumwa
@JalaliHalumwa Месяц назад
Mbona mashabiki wa yanga hawaiongelei mazaifu ya timu yao kwa media wew ni boya tuu
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 Месяц назад
Kisumu Hana uwezo wa kupamnanua mambo ni mshahabiki tu wa kawaida Hongera Sam kwa kuwapa elimu
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh Месяц назад
Bro unajuaaa kuchambuaaa mpila waliomkubaliii huyuu jamaa ngongaaa likeee hapa young africans ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@johnmkombozi3106
@johnmkombozi3106 Месяц назад
Msema ukweli safi sanaaa
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 Месяц назад
Sam ni mchanbuzi mzuri saana wa mpira, Kisugu ni shabiki kipofu
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Месяц назад
huko vizuri
@wimranpatrick
@wimranpatrick Месяц назад
Bijana ngom kapombe zimbwe muzamiru mwenda kibu ......
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm Месяц назад
Kwakumuangalia tuhivi kichwa tenge nimchawi tena huyo anatia kisimo
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Huyu kisugu ashitakiwe na atoe ushahidi wa yanga KUWAROGA Simba pia kagoma yusuph ana miaka 29 Awesu Awesu ana miaka 28 hao nao ni vjana
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Месяц назад
Kwani Hawa Simba hawawajui Wachawi si wawatafute nao Wawaloge hao Yanga!
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 Месяц назад
Kauli za Kisugu zidi ya Yanga ni za kijinga saana. Huyo huyo Kisugu ndie alikuwa nasema eti Yanga inanunua mechi sasa mumuswali Kisugu jee kupigwa na Yanga msimu huu wawo pia waliuza mechi zoote kwao? Kisugu ni chawa kabisa
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Месяц назад
Huyo kisugu ni mwehu na hana elimu yupo kma hazimtoshi
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Месяц назад
Kisugu ni kichaa sio wa kumwendekeza maana anaongea pumba tupuuu😂😂
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Месяц назад
Sasa kwani KISUGU anajuwa nini?? Kisugu ni shabiki tuu sio hajui lolote,
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Месяц назад
Kisugu,jemedali,jofreya,wall kalia na mzee wa jambia ni mafara wakubwa kwenye soka
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Месяц назад
Kisugu ni shabiki mandazi sana. Anaanza kujitengenezea njia ya kuja kuonekana kuwa,kutokufanya vizuri msimu ujao ni sababu za nje ya uwanja.
@JosephatMwaipopo
@JosephatMwaipopo Месяц назад
Huyu kijana amesoma na anachambua mchezo sio kama akina Kisugu na G64 wao wanaropoka tu
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Месяц назад
Vaa jezi ya Yanga
@PETERPHILIPO-zm5jy
@PETERPHILIPO-zm5jy Месяц назад
naw nu msenge asisem ukwel
@OmaryAthumani-db3vp
@OmaryAthumani-db3vp Месяц назад
Tena wakatae kabisa mashabiki maandazi ambao hawajui mpira wewe uko sawa kabisa nakuelewa
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r Месяц назад
Kisugu hana tataizo matatizo wanayo waandishi wa habari ambao wanamuhoji kisugu.Kisugu hana akili ata kidogo.Hajaenda shule hajui kusoma wala kuandika.Unaenda vipi kumuhoji kisugu?Kila siku munamaptia umarufu mtu mwenyewe anaongea utumbo tu.
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Месяц назад
Tatizo lake ni mzaramo huyo
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Месяц назад
Na msomi GB64 je
@Nurdinhamisnurdin
@Nurdinhamisnurdin Месяц назад
Unajua kuchambua football brother wape elimu ya football ⚽
@MahamuduLiwowa
@MahamuduLiwowa Месяц назад
Kisugu sio anaakili tena akapimwe akili oyo chawa wa mo tatizo munaleta wachezaji wabukubuku
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 Месяц назад
KAMA KUNA UCHAWI BAADHI YA MIKOA AU SEHEMU NCHINI INGECHUKUA UBINGWA KWA KUPOKEZANA
@MahamuduLiwowa
@MahamuduLiwowa Месяц назад
Kisugu akapimwe akili kwanza
@user-vr3hp4xs8m
@user-vr3hp4xs8m Месяц назад
Samsimba we ndio shabiki mkweli wa simba.huyo kichwa tenge ni shabiki mandazi anakunywa bangi,tena bangi hio ananywea matakoni
@Issanuru83o
@Issanuru83o Месяц назад
Huyu ndo shabiki wa simba mwenyew kujtambua
@johnurio9151
@johnurio9151 Месяц назад
Kisugu siyo tu mjinga ni tahaira,huwa anajiropokea tu kinachokuja kichwani,hata ukimuuliza Jana ulisema nn huwa hakumbuki,,,,yule anatakiwa awe Tanga kwenye mashamba ya mkonge kukata katani au stand kupiga debe
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
Huyu mtangazaji mjinga sana,mtu kesha kwambia ili ufanikiwe what u have do in football,we umo tu na maswali ya uchawi,inaoneka unapenda sana uchawi mkuu.kama ni uchawi wote wachawi😂😂simba wanashindwa .nini kuriroga yanga! .uandishi wa aina ganini.. hoji TECHNICAL QUESTIONS sio hui upumbavu..
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Месяц назад
Unajua ikiwa mtu AMBAYE Kila jambo lako unalo fanya lazima uende Kwa waganga unapo feli hayo mambo lazima useme umelogwa !! Huyo KISUGU na mwenzie Gb 64 ni washirikina chochote kwao lazima Kwa waganga awajitambui kwanza mnaweza kushitakiwa kwani mnachafua brand ya timu ya Yong Africa
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 Месяц назад
Hata mwandishi naye ninkihiyoo...haiwezi kuuliza maawali ya kopbavu kama haya.....kwani miiko Yako ya uandishi unaruhisu kufanya haya unayo yaganya?
@georgealphonce100
@georgealphonce100 Месяц назад
Lakini ni kweli washabiki wa Simba mmelogwa,maana Kila mara mnajadili mambo ya Yangu na si timu yenu
Далее
Получили тысячи $$ на "старье".
20:10
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
Просмотров 16 млн
KATOMBI ATUMIWA PESA NA KASOLO LIVE
3:41
Просмотров 9 тыс.
Получили тысячи $$ на "старье".
20:10