Тёмный

SASA NI CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD 

MARANATHA ONLINE TV.
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....
⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
*** OUR PLAYLISTS***
⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: www.youtube.co....
⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: www.youtube.co....
⚫️ MAFUNDISHO: www.youtube.co....
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: www.youtube.co....
⚫️ UCHUMI: www.youtube.co....
⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: www.youtube.co....
⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: www.youtube.co....
⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: www.youtube.co... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 7 дней назад
Hongera sana
@shibalubela6500
@shibalubela6500 День назад
🙏
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 13 дней назад
Tunaokufahamu tangu mnazi mmoja tunaijua bidii yako Mtumishi. Mungu akubariki sana
@YusuphuNzingula-cj1ob
@YusuphuNzingula-cj1ob 13 дней назад
Hongera mtumishi wa Mungu askofu naomba Mungu akutumie sana kwa viwango vya juu zaidi
@VivianRichards-sh6dm
@VivianRichards-sh6dm 9 дней назад
Kwann umetoka EAGT mtumishi,japo napenda mafundisho yako
@xedameena3225
@xedameena3225 9 дней назад
Mungu akubariki sana masihi wa Mungu
@xedameena3225
@xedameena3225 9 дней назад
Barikiwa sana kwakumtii Roho Mtakatifu
@angelfaustine283
@angelfaustine283 10 дней назад
Ubarikiwe sana Baba mchungaji Mungu azidi kukutunza daima
@boazmwakalonge-ch9qp
@boazmwakalonge-ch9qp 10 дней назад
hongera sana mkuu umeubariki moyowangu
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 10 дней назад
🎉🎉🎉Ninamtukuza Mungu baba ubarikiwe sana Mungu akuinue juu zaid nasi tuinuliwe kupitia huduma hii njema
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 дней назад
Baba Mungu akazid kukutunza sana nliskia ushuhuda wa Moses alikutaja juu ya haya yote unasema ubarikiwe sana tunajifunza mchakamchaka wako na bidii ya kumtafta Mungu
@sifakiteve5927
@sifakiteve5927 10 дней назад
Barikiwa sana Baba Askofu Fj Katunzi
@janethmazengo7388
@janethmazengo7388 11 дней назад
Amina Askofu katunzi Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri
@bahatishitindi
@bahatishitindi 11 дней назад
Mungu akuzidishe zaidi
@xedameena3225
@xedameena3225 9 дней назад
Pastor wangu huyu Yesu akutunze baba tuko nyuma yako❤
@GerardMushy
@GerardMushy 11 дней назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@xedameena3225
@xedameena3225 9 дней назад
Haleluuya ❤❤❤
@VictorjeremiaJeremia
@VictorjeremiaJeremia 12 дней назад
Aaameni kubwa sana watake wasitake YESU wa 💪💪 atatangazwa tu maana alioneka kule kwenye Holi la ngombe wakamzalau
@tujajackson8142
@tujajackson8142 13 дней назад
Amen
@gemasaleko-mn6qf
@gemasaleko-mn6qf 11 дней назад
Mungu mkuu sana ubarikiwe sana askofu wetu
@mosesjohn9996
@mosesjohn9996 11 дней назад
Libarikiwe sana kanisa kwa MAONO mema
@GidionMwanyambo
@GidionMwanyambo 11 дней назад
Apa sijaelewa Yuko pa moja na mzee mwaisabira
@ElinamiMmary
@ElinamiMmary 13 дней назад
Mungu Akubariki Sana Baba
@shukrankalinga8562
@shukrankalinga8562 13 дней назад
Injili iende mbele❤
@MdabuloDispensary
@MdabuloDispensary 11 дней назад
ubarikiwe sanaaa
@GidionMwanyambo
@GidionMwanyambo 11 дней назад
MUNGU akubaliki askofu
@EmmaAbrahaman-bp8fo
@EmmaAbrahaman-bp8fo 12 дней назад
Hongera Sana Bishop
@RachelJoseph-l6c
@RachelJoseph-l6c 13 дней назад
MUNGU akubariki sana askofu katunzi ❤️
@majaliwafred1102
@majaliwafred1102 13 дней назад
Amen nmejifunza na kubarikiwa sana
@ElwarSymphony04
@ElwarSymphony04 13 дней назад
Jina jipya 🙏🙏Mungu ni mwema sana
@dibeazicha-dj5hb
@dibeazicha-dj5hb 13 дней назад
Amina baba Askofu Katunzi, nimebarikiwa
@elizabethconstantino6056
@elizabethconstantino6056 11 дней назад
Songa mbele Pastor
@florianhenry7198
@florianhenry7198 11 дней назад
Weka video Bishop mkuu wangu
@ERICAHMWAKILUNGU
@ERICAHMWAKILUNGU 12 дней назад
Kwahiyo sio miongoni mwa makanisa ya EAGT..? Tunakuombea kamanda wa Yesu Kristo
@imanimputa1926
@imanimputa1926 13 дней назад
Injili iende mbele
@festonkandonga85
@festonkandonga85 13 дней назад
Mhhhhhhhh hiiii mgawanyiko sijui kama Mungu anaipenda?
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 13 дней назад
Sijui kwa nini inakuwa hivi ,,japo nasikia alikuwa na muda hahudhurii kwenye vikao vya E.A.G.T LAKINI pia anavyosema alipata Neema ya kuanza utumishi mbona hasemi CHINI ya Mtumishi Nani ?? Maana hata Elisha Baba yake wa kiroho ni NABII Elia
@simoneliufoo4933
@simoneliufoo4933 13 дней назад
Si ameshamtaja Askofu Kulola au hujafuatilia yote.​@@LeonardEdward-fb2bn
@samuelErnest-s9q
@samuelErnest-s9q 12 дней назад
​@@LeonardEdward-fb2bnBaba yake WA kiroho ni Mch Erastus Andrew aliyekuwa Mch kiongz Eagt mnazik mmoja now askofu WA faith word church alianza kutumikia.kama Mch msaidizi Kwa rwakatare
@SamwelLaizer-o7l
@SamwelLaizer-o7l 12 дней назад
Hakuna shida kutoka katika Huduma Fulani au Kanisa Fulani na Kuanzisha Huduma au Kanisa lingine tofauti na ulipokuwa mwanzo. Kinachotakiwa kwa mtumishi Yeyote wa Mungu ni Kuondoka bila Kuanzisha fitina, faraka na kulichonganisha Kanisa na waumini wake. Pia Usimfananishe Mchungaji au Huduma yoyote ndani ya Kanisa la leo na Manabii Waliotangulia zamani kabla ya KRISTO YESU BWANA, Kuja duniani, kufa na kufufuka kutoka wafu. Eliya ndiye Aliyemuinua Elisha awe mtumishi wake na hizi Huduma zilizoko Ndani ya Kanisa ni Yesu Kristo ndiye aliyezitoa na kuwapa watumishi wake, Efeso 4:11---14
@rachelkabunda6140
@rachelkabunda6140 7 дней назад
KABLA YA TAG WALITOKEA -PENTEKOST HOLLYNESS KKKT ILITOKA -RC MWAKA 500 BK EAGT ILITOKA - TAG ANGLIKANA -ILITOKEA - RC MOROVIAN ILITOKEA - RC DINI ZOTE UNAZIONA ZILIJIMENGA TOKA UPANGANI HIVYO NI KUPANUKA KWA KAZI
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 11 дней назад
EAGT WAMEKUKOSEA NINI BABA JAMANI MPAKA UMEAMUA KUJITENGA... DUNIA INAELEKEA UKINGONI.
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 7 дней назад
Kumbuka EAGT nayo ilijitenga kutoka TAG
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 7 дней назад
Mnasahau EAGT ilikuwa TAG ?eti dunia imefika ukingoni kwa kuwa siyo EAGT tena...😂
@jacobmassabalivetv8855
@jacobmassabalivetv8855 4 дня назад
Kabla ya EAGT ,TAG,AG Bado watakatifu walikuwepo na mbinguni wataingia,mwabudu Mungu katika roho na kweli
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 4 дня назад
Mchungaji umeikikbia EAGT yetu😂
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 10 дней назад
Mnafanya dini kuwa biashara Kuna haja gani Askofu katunzi kusajili kanisa lake na yeye?
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 7 дней назад
Fungua na wewe
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 13 дней назад
Ivi kwanini makanisa yote ya UAMUSHO munayaita majina ya kingereza kwanini msiite kwa kiswahili tuwe unaelewa maana yake kama KKKT tunajua maana yake sasa haya ya UAMUSHO yote mnaya andika kingereza tupo Tanzania hapa tunaongea kiswahili
@IsdoraMoshi
@IsdoraMoshi 13 дней назад
Ila kikubwa unaelewa jina la Bwana libarikiwe
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf 13 дней назад
Ndio maana hata neno batiza sio kiswahili bali ni Kiyunani likiwa maana ya zamisha au tosa kwenye maji au funika. Mnaodhani ni kiswahili mmekosa tafsiri mkaamua kunyunyiza, shetani mjanja!!!!!
@IsdoraMoshi
@IsdoraMoshi 13 дней назад
@@aderanderwa7623 hata Kristo mbona sio kiswahili na hujasema au unajua kiswahili chake mwenzetu
@IsdoraMoshi
@IsdoraMoshi 13 дней назад
@@EdwinMbwilo-fj6bf Mtu haangalii kusifia anaangalia akosoe wapi yani neno batiza sio kiswahili, wala Kristo sio kiswahili sasa sijui huyo alitaka makanisa yaiitwe kwa kiluga yani sjaelewa point yake ni nini
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 11 дней назад
@@EdwinMbwilo-fj6bf kunyunyizwa au kuzamishwa kama matendo yako sio mema haisaidii kitu ndugu
@GervasiMwacha
@GervasiMwacha 13 дней назад
Huyu nilizoea sana akitumika kwa E.A.G.T.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 12 дней назад
Amesha hama EAGT tayari
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 11 дней назад
Ana fundisho gani jipya au anabanwa kupiga sadaka na michango ya kanisa analolisimamia?
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 11 дней назад
Anabanwaje wakati yeye ndio Askofu Mkuu?​@@user-wl9ry9tk7p
@petermakanza1673
@petermakanza1673 9 дней назад
SIKILIZA MAFUNDISHO JINA LA KANISA HALIKUPELEKI MBINGUNI
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 7 дней назад
​@user-wl9ry9ttyk7p tumia akili kufikiri siyo magoti
@isackmtawa15
@isackmtawa15 13 дней назад
Sasa vifupisho ya CAG Vitachanganya watu Sasa....
@BoayHotay
@BoayHotay 13 дней назад
Makanisa 12000
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 11 дней назад
Yes kuna CAG CALVARY ASSEMBLIES OF GOD
@BoayHotay
@BoayHotay 13 дней назад
CAG= Cristos Assembly of God inafanana CAG=Calvary Assembly of God
@yesgood3491
@yesgood3491 12 дней назад
Inaçhanganya,lakini pia Nini maama ya Christos
@joelmusa961
@joelmusa961 12 дней назад
@@yesgood3491Christos the anointed one , ni sawa na Christ haina tofaut, ni sawa na messiah pia
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 11 дней назад
Maokoto tu.
@MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj
@MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj 10 дней назад
Unamaanisha kuwa sasa wewe sio muumini wa EAGT
@VictorjeremiaJeremia
@VictorjeremiaJeremia 12 дней назад
Aaameni kubwa sana watake wasitake YESU wa 💪💪 atatangazwa tu maana alioneka kule kwenye Holi la ngombe wakamzalau
@RehemaMwambene-nf3yh
@RehemaMwambene-nf3yh 11 дней назад
Amen
@RachelJoseph-l6c
@RachelJoseph-l6c 13 дней назад
MUNGU akubariki sana askofu katunzi ❤️
@eliassimonebalenha7892
@eliassimonebalenha7892 13 дней назад
Amen
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 13 дней назад
Amen
@RachelJoseph-l6c
@RachelJoseph-l6c 13 дней назад
MUNGU akubariki sana askofu katunzi ❤️
Далее
# funny#daily#vlog#family#prank
00:12
Просмотров 7 млн
Сколько стоят роды мечты?
00:59
Просмотров 803 тыс.
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Просмотров 216 тыс.
MAMBO 4 YANAYOATHIRI NGUVU ZA KIUME | Deo Sukambi
46:36
BABA MZAZI WA BISHOP KATUNZI ATOA SIRI NZITO
24:32
Просмотров 11 тыс.