Тёмный

SEHEMU YA (2) KIJANA ASHUTUMIWAE KUIBA MILIONI SABA (7) NABII KIBOKO YA WACHAWI AFICHUWA UKWELI 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 67 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 222   
@YasminaMkali
@YasminaMkali 9 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi. Hakika utaokoa wengi wanao ONEWA. ❤
@onesmombele2571
@onesmombele2571 7 месяцев назад
Wewe sio kiboko ya wachawi tu, wewe ni fagia fagia kwa waovu. Nimekuelewa sana mtumishi, ni unachonikosha haswa ni kuweka wazi. Tofauti ya nabii wewe na wengine kuweka wazi ukweli. Ubarikiwe sana, siwezi kushika simu bila kukuangaria kidogo ukifanya miujiza hatariiiiii
@eliasgama-mo2ss
@eliasgama-mo2ss 6 месяцев назад
wewe ni nooma Sana hakuna tena kama wewe unachambua Mambo ya MTU vilivyo
@SAIDIMUHAMI
@SAIDIMUHAMI 6 месяцев назад
Ni kweli nabii ni kiboko ya wachawi
@TABWEAlyne
@TABWEAlyne 5 месяцев назад
wewe koma mchawi
@KhadijaHasani-xy9hb
@KhadijaHasani-xy9hb 5 месяцев назад
Tuwe tunachunguza na familia pia.​@@eliasgama-mo2ss
@DoreenThomas-uq7cm
@DoreenThomas-uq7cm 4 месяца назад
Mungu akubariki sana mtumishi kwa hayo unayoyafanya hakika kwa Hali hiiwachawi waliobakia wajiandae kufa
@furahaabonga6642
@furahaabonga6642 6 месяцев назад
Uyo mdada mjinga kweli unamwibia mamako hela unamuonga mwanaume,uyo mama amlipe uyo mfanyakazi wake fidia na pesa alizotowa kwa dhamana
@EmmanuelCharo-to4ij
@EmmanuelCharo-to4ij 2 месяца назад
Jamani mm na toka kenya naomba number ya uyo paster jamani mwenye anaweza ako karibu na uyo anisaidie kumpata
@DanielKiberiti
@DanielKiberiti 4 месяца назад
Tusaidie familia yetu kiuchumi
@fatumakimaro3186
@fatumakimaro3186 7 месяцев назад
Nakataa umasikin
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 месяца назад
Waumini acheni uchoyo wa kushangiliaa!! hembu pigeni makofi yakutosha ,vigelegele vya kutoshaaaa!!
@edgercyprian964
@edgercyprian964 4 месяца назад
Daaah kijna wawatu kasingiziwa kaiba kumbe ni mtoto wa huyo mama kachikua jamani daaah Rinah😢😢Mungu anakuona nizambi 😢 Sana Mlipe fidia huyo kijana Rinah huna huruma hata kidogo yaani daaah imeniuma Sana Kama ndio mdogo angu amefanyiwa hivyo jamani ila wasichana wengine bhana daaah Wana roho ngumu Sana unachukua pesa unampelekea mwanaume anaye weza kutafuta pesa ndio tuseme umempenda Sana sivyo machozi ya huyo kijana Rinah hayata kuacha salama kweli Tena.😢
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 5 месяцев назад
Huyo mama amlipa siku zenye amekaa jela kwa uongo
@adelinavernus9814
@adelinavernus9814 6 месяцев назад
Daah😢😢😢 nilikuwa siamini nimeanza kuamini
@VivvaaMgee
@VivvaaMgee 4 месяца назад
Hapo2 m ndo nakupendeanga mtumishi unayatumbua majipu yalio jificha
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 месяца назад
Nasema ttena Msiwaguse Manabii wa Bwana. Angalia hapo sasa. Wewe unaebisha unasemaje Tuwaombee Manabii!!
@hildarajab2891
@hildarajab2891 5 месяцев назад
Sasa huyo mtoto ndoanaangaliaje nalinavyo tafuna tuu eti anampndisha mamayke nakumshusha na mchungaji wawatu😢
@samyomondi
@samyomondi 9 месяцев назад
TOKKENNI BABELI JAMENI😢😢😢😢😢
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana mtumishi
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 7 месяцев назад
Mpaka machozi yamenitoka😢
@FlorahKamayugi
@FlorahKamayugi 3 месяца назад
Naitwa flora niko moshi nabii naomba unitabirie baba familiayetu upande wakwa baba atuelewani na kwa mama ni ivoivo baba nitabirie baba angu
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 2 месяца назад
baba nisaidiye napugu kiwadam marakeamara tatizo awaniambiitatizo
@NiphaMedi
@NiphaMedi 4 месяца назад
Nina uhitaji naww pasta mume wangu kaondoka nyumban kaniachia mtt wamiaka miwili naomba nisaidie arudi naitaji kuongea naww
@andersonanderson4408
@andersonanderson4408 5 месяцев назад
Unapatikana wapi mtu wamungu nimethulumiwa pesa zangu ila naamini kupitia mathabauii lazima nipewe pesa yangu ikitamka neno mojatuuu naamini kabisa
@HawaOman
@HawaOman 16 дней назад
Ahsante mungu kwa ajili ya mtumishe wako
@LilianMushi-ho8qf
@LilianMushi-ho8qf 4 месяца назад
Shalom baba pindu pindu kata kata funua hivyo watu tupone
@mwizanchuroeustace9302
@mwizanchuroeustace9302 5 месяцев назад
Hakika wewe kupitishia shuhuda za wangine nimekukubali we mwisho wa manabii niokoe nami niwe mtu katika watu.
@CuttyLushazy
@CuttyLushazy 2 месяца назад
Naitwa happy natokeya Moshi naomba unikague baba
@CuttyLushazy
@CuttyLushazy 2 месяца назад
Naitwa happy natokeya Moshi naomba unikague babaa
@DmMh-kl4bz
@DmMh-kl4bz 4 месяца назад
Kweri baba wasaidie wanyonge na mimi nitakuja kanisani siku moja kabla ya mwezi wa nane
@ElizaMolle
@ElizaMolle 6 месяцев назад
baba nawomba namimi unisaidiye watu wamekataa kulipa elazangi
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 4 месяца назад
Kiboko niombee.nipate.pesa.kila.siku
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 2 месяца назад
Uongo tupu serikali tutoleeni huyu mutu
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 5 месяцев назад
Hana hata aibu lione halina haya kumbe mwanao mwizi. Haribu kabisa washaa
@ashadaudselemani9999
@ashadaudselemani9999 10 месяцев назад
Nakataa uzito
@RoseShayo-kf1pw
@RoseShayo-kf1pw 5 месяцев назад
Nabii wewe ni kiboko njoo fagia nakwenye familia yetu
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 2 месяца назад
niombeyebaba Mimi naitwa Manka nisaidiye baba
@AlfredMtandi
@AlfredMtandi 2 месяца назад
Nabii naomba maombi Yako yanifungue namimi
@FrolaRaphael-e4s
@FrolaRaphael-e4s 6 месяцев назад
Naitwa richald lafaeli.nanianae niroga
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 9 месяцев назад
Machozi yananitoka jamani huyu mungu niwamajaabu
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 8 месяцев назад
Mungu ameona nchi ya Tanzania Ina uonevu sana ndio maana ameachilia manabii wakuona Mungu ni mwema
@MeshackEliah-sr4eq
@MeshackEliah-sr4eq 19 дней назад
Ubarikiwe na Mungu 🙏
@SilivanusMsaki
@SilivanusMsaki 5 месяцев назад
Mimi naitwa silinuc msaki naomba uniombee
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 2 месяца назад
nabinisaidi ye napigasim sikupati
@ArnoldAbraham-yo5zg
@ArnoldAbraham-yo5zg 10 месяцев назад
yaan mungu anakuona wee dada !!
@elishamafulu106
@elishamafulu106 8 месяцев назад
AMEN AMEN BABA
@NanaelyNdimbo
@NanaelyNdimbo 5 месяцев назад
Nakuja sio muda mrefu nabii nakuja baba
@NanaelyNdimbo
@NanaelyNdimbo 5 месяцев назад
Nakuja sio muda mrefu nabii nakuja baba
@BMDESIGNZ
@BMDESIGNZ 10 месяцев назад
Mungu akubariki sana mchungaji kututeteya sisi wanyonge
@DoreenThomas-uq7cm
@DoreenThomas-uq7cm 4 месяца назад
Ubarikiwe sana mtumishi
@AishaShaban-x4m
@AishaShaban-x4m 3 месяца назад
Daaa najikuta nalia mwenyewe
@NeemaPierson
@NeemaPierson 8 месяцев назад
Tuna Kila sababu kumshukuru Mungu kwa ajili yako Mtumishi. Mungu azidi kukubariki.
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 3 месяца назад
NABII TAJIRI ANAITWA KISYER CHAMBILI AMENIDHURUMU MILLIONI 5 ya mishahara yangu naomba YESU ANISAIDIE
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@FiliminaSlaxmaygaare
@FiliminaSlaxmaygaare 8 месяцев назад
Hili kanisa liko wapi Jamani mm niende
@fatumakimaro3186
@fatumakimaro3186 7 месяцев назад
Yaani mpaka machoza yananitoka
@fatumakimaro3186
@fatumakimaro3186 7 месяцев назад
Yaani mpaka machoza yananitoka
@joshuamecky1806
@joshuamecky1806 5 месяцев назад
Mmmm?? Mungu tusaidie.
@LeahLaizer-v4n
@LeahLaizer-v4n 3 месяца назад
Nabii bwana yesu asifiwe
@magekimei4676
@magekimei4676 2 месяца назад
Mungu akulinde nabii
@ZuwenaSinkamba-cc2ml
@ZuwenaSinkamba-cc2ml 9 месяцев назад
Kwer inaum ndo maan mim napngan san na watu wanaosem ukwer unaum ,uongo ndo unauma
@mercymusembei5575
@mercymusembei5575 3 месяца назад
Amen nakataa umasikini
@sanchezcastro5976
@sanchezcastro5976 4 месяца назад
Baba naomba unisaidie
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Mwenyezi mungu akulinde baba
@mosesmasanja8295
@mosesmasanja8295 4 месяца назад
BWANA YESU atutuzwe. Nimetiwa umasikini kila ninachofanya sifanikiwi. Naomba msaada wako mtumishi wa MUNGU pastor Dominic.
@EmmanuelKisange
@EmmanuelKisange 4 месяца назад
Ninakata umasikini
@SamwelMichael-vt4kz
@SamwelMichael-vt4kz 4 месяца назад
Mung akulinde bb
@AnnaOmary-t6x
@AnnaOmary-t6x 7 месяцев назад
Nahitaji msaada kaka
@magrethpeter
@magrethpeter 3 месяца назад
MUNGU akuweke
@snazzyally1255
@snazzyally1255 10 месяцев назад
yesu akupe umri mrefu ili uendelee kutusaidia
@renaldegidi
@renaldegidi 5 месяцев назад
Nisaidi namimi jmn
@lucasmveyange3339
@lucasmveyange3339 4 месяца назад
Lucas Anthony Mveyange naomba unifungue pastor
@SophiaUnderson
@SophiaUnderson 5 месяцев назад
Dunia ina mengi
@jastinmnyari8504
@jastinmnyari8504 5 месяцев назад
pastor dominic
@mwizanchuroeustace9302
@mwizanchuroeustace9302 5 месяцев назад
Naitwa mwizanchuro Evodius naomba unitabirie siko sawa kabisa naishi maisha ya afadhali ya Jana nimechoka na magonjwa yasiopona vyote vipo kwangu nimechoka sana
@SesiliaNenula-d8t
@SesiliaNenula-d8t 9 месяцев назад
Mungu akusaidie uishi miaka mingi sana
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 3 месяца назад
Eti mtumishi wa mungu jamani mungu simama piga mpinga kristo huyu katika jina la yesu kristo wa nazarethi
@LevinaShirima-gz9lb
@LevinaShirima-gz9lb 4 месяца назад
Na Mimi nitabirie baba
@SilivanusMsaki
@SilivanusMsaki 5 месяцев назад
Naitwa silivanuc msaki naomba uniombee mguu wangu upone kiboko wawa chawi wapige wachawi wote wafe wote wanatutesa bila sababu
@emmanuelmazengo3535
@emmanuelmazengo3535 3 месяца назад
Ma pastors wengi sana ila kiboko ya wachawi mmoja tu hapa tumepata nabii wakwel nakukubar sana pastor
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 2 месяца назад
nabiniombeye
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 4 месяца назад
Amen Amen 🙏
@NanaelyNdimbo
@NanaelyNdimbo 5 месяцев назад
Mungu mlinde nabii ili siku moja nimuone uso kwa uso
@mwizanchuroeustace9302
@mwizanchuroeustace9302 5 месяцев назад
Kazi tatizo kwangu,marafiki wamenikimbia niliowasaidia wote wameenda naomba unisaidie kiukweli
@PetersamweliMollel
@PetersamweliMollel 10 месяцев назад
Bwana yesu asiviwe pasta me peter nakuomba uniombeye kwamaana Kila nikifanya kazi sioni ela inapita wapi please and please 🙏
@EzekielMangu-hg1bl
@EzekielMangu-hg1bl 4 месяца назад
Amen
@BalbinaMassawe
@BalbinaMassawe 2 месяца назад
Mwenyez mungu akulinde mtumish unatuokoa sana
@jofreydaud256
@jofreydaud256 4 месяца назад
Nabii mmewangu kipato kina yumba Sana na tulitamani tununuwe kiwanja tujenge mwakaa uu mambo mengi Sana kwenye family yangu baba nisaidie
@walterkavishe1630
@walterkavishe1630 10 месяцев назад
Mtumishi niko nasikiliza kipindi na pia nasikiliza mpaka asubuhi nabarikiwa ntafanya hima wiki ijayo Nije madhabahuni baba hapa nasubiri mama akirudi anisaidie nauli nije
@JanethEmmanuel-mr5le
@JanethEmmanuel-mr5le 3 месяца назад
Mwenyenzi mungu akupe maisha marefu mtume wa mungu tuombee na sisii
@AkiliNapoleon
@AkiliNapoleon 4 месяца назад
Jambo mukubwa ukuye kwetu bkv Congo babamungu amekutumakweli
@HappySambo-e9d
@HappySambo-e9d 7 месяцев назад
Mtumishi iyonikweli kabisa ata na Mimi napitiya mahisha hayo yakuzingiziwa sana tu lakini kwahimani nahamini siku moja atanitendeya na mimi
@NairatiMtandu
@NairatiMtandu 4 месяца назад
Naitwa neema athumani Ninaimani kubwa sana ninaamina tatizo langu linakwishaa
@kitangeellyabisai2547
@kitangeellyabisai2547 2 месяца назад
Bariwa mtumishi, Huyo kijana aache kazi kwa huyo mama.
@AnnaOmary-t6x
@AnnaOmary-t6x 7 месяцев назад
Nashida
@lukaschakupewa
@lukaschakupewa 2 месяца назад
Asante yesu kwa roho yako kuwa ndani ya watumishi waminifu amen
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn 5 месяцев назад
Mutetezi wawanyonge God bless you 🥰🥰🥰💯 Amen amen amen 🙏
@sanchezcastro5976
@sanchezcastro5976 4 месяца назад
Mungu akubaliki sana.. Castro novatus ndege
@JanethDaudi-c7q
@JanethDaudi-c7q 8 месяцев назад
Ante mungu kwakumkomboa kijana hyu😂😂😂😂
@josephinekamluc1969
@josephinekamluc1969 10 месяцев назад
Abii nisaidie mm nipate mumemchamungu
@davidapudo7886
@davidapudo7886 4 месяца назад
David Apudo watching from Kenya
@DanielKiberiti
@DanielKiberiti 4 месяца назад
Ameni
@KirrinkolMeiyo
@KirrinkolMeiyo 4 месяца назад
Nabii wa mungu mm natoka kenya natamani kuonana n ww lakini sijui chia nn atanelekeza
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 5 месяцев назад
😢😢 natamani kurudi Tanzania nikuone hakika nafaidika na haya mahubiri
Далее