Тёмный

MAMAALIYE TESEKA MIAKA MITATU (3) KWA KANSA APONA/ALIYEMSABABISHIA AFARIKI KWA PRESHA 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

ALIYE SUMBULIWA NA SALATANI KWA MIAKA MITATU(3) APONA MADHABAUNI/ALIYESABABISHA AFARIKI KWA PRESHA

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 4 месяца назад
Kiboko.niombee nipate pesa.kila Siku Wachawi.wafe Wote
@niyiesther6571
@niyiesther6571 8 месяцев назад
BWANA YESU KRISTO tuponaye nasi bwana
@niyiesther6571
@niyiesther6571 8 месяцев назад
Na sisi wanao tutesa baba tuwaone na wafe Kwa JINA la YESU KRISTO wa NAZARETH MUNGU MKUU ALIE HAI
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 2 месяца назад
Hamna uchonganishi ndio ukweli Tanzania hatupendi ukweli tumezoea Kona kona
@rosehaule5705
@rosehaule5705 2 месяца назад
Kiboko naomba uniponye kifua Changu hakiponi kinanisumbua niliota nakula nywele
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DominicaKimario-di7ux
@DominicaKimario-di7ux 2 месяца назад
naomba baba umuombee mwanangu dorice anaenda arusha kufanya itavfwuu arusha anaomdoka nabasi sasaivi kesho asubui anaenda tren bemdoni
@dorothtobias8053
@dorothtobias8053 2 месяца назад
NABII KIBOKO YA WACHAWI NAOMBA UMUOMBEE JOEL LUSIANI MASAWE ANAETESEKA KWA MAPEPO ZAIDI YA MIAKA 30
@winfridakalinga-vy2hb
@winfridakalinga-vy2hb 4 месяца назад
Baba nabii Mimi winfrida mponye mama ulimuombea jumamos ulisema Leo tukupe mrejesho anaumwa sana msaidie baba
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 7 месяцев назад
Mimi nabiii siachi kuja kwako japo nakuja kwa mwezi mara moja natokea Zanzibar mimi lucy ipo siku nitafunguliwa tu na mimi
@mwizanchuroeustace9302
@mwizanchuroeustace9302 5 месяцев назад
Nabii nitabirie maisha yangu yamekuwa magumu bila mafanikio Mimi na familia yangu
@gkoejohnkkzlsbbrj6303
@gkoejohnkkzlsbbrj6303 7 месяцев назад
Mungu wamazaboa ya mutumushi pasteur Dominique kiboko ya wachawi naomba unguse tumbolangu naminiitwe mama kwa jina la yesu christu Amen
@MariamSabuni
@MariamSabuni 6 месяцев назад
Baba naomba maombi yko nateseka sana na kansa nmetibiwa lkn bd imeniludia apa nlipo cna ata ela nmefilisika kbs naomb watu walionifanyi hv wateketeze wote kwn nateseka sna pia naomb uponaji baba
@BernadettarKalama
@BernadettarKalama 10 месяцев назад
God bless u more pastor
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 месяца назад
Jesus Jesus 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Jesus Jesus
@SarahKelvin-w7z
@SarahKelvin-w7z 6 месяцев назад
Nabii naomba anaecheza na akili za mwanangu shuleni skate moto
@NeemaMkami
@NeemaMkami 8 месяцев назад
Mimi mtumishi nateseka tangu niingie kwenye ndoa ni shida na misiba na sielewi nisaidie baba
@HappyRaphael-i5b
@HappyRaphael-i5b 4 месяца назад
nabiiii mme wangu mwezi watatu sasa amevujika mkono na bado haja pona naomba maombi yako mtume
@marykisaka-m7o
@marykisaka-m7o 4 месяца назад
Mungu naomba urejesho wa familia
@marykisaka-m7o
@marykisaka-m7o 4 месяца назад
Mungu naomba urejesho wa familia
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 8 месяцев назад
Mungu naomba ufute mihuri ya kichawi niliowekwa, huwa nachanjwa usiku na pia huwa napaa na hujiona nipo juu ya anga, na naona miji mizuri chini nami nipo juu. Naomba mtumishi uniombee 🙏 09.01.24.
@TinaKitila
@TinaKitila 7 месяцев назад
Mtumishi naitwabite naomba uni ombee naumwa pumu baba
@JosephMinyal
@JosephMinyal 9 месяцев назад
Utapele wa kiroho
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro 5 месяцев назад
God of kiboko ya wachawi nikumbuke
@HellenLucia-qs4hx
@HellenLucia-qs4hx 4 месяца назад
Ni chanel gani kwenye azam?
@JoanithaPhirbet
@JoanithaPhirbet 3 месяца назад
Endelea kutuponya babaa
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 3 месяца назад
Barikiwa sana Nabii Dommy
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ALamayaniNdepesi
@ALamayaniNdepesi 3 месяца назад
Ameb
@Calvin-h9c
@Calvin-h9c 3 месяца назад
Mungu nikumbuke na mimi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 месяца назад
Amen 🙏 God is good
@ngenabuloze9984
@ngenabuloze9984 5 месяцев назад
Baba nisadie namimi
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm 2 месяца назад
Nabitabir juuyangu🙏🙏🙏
@1997Filee
@1997Filee Месяц назад
Amen 🙌
@happymahona8227
@happymahona8227 3 месяца назад
Gude gude
@KazKaz-k5f
@KazKaz-k5f 4 месяца назад
Ameni ameni
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 9 месяцев назад
Bwana Yesu naomba ufute laana mikosi balaa mizimu na mauti za kuonewa na wachawi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥×7
@RoseKimaro-o6n
@RoseKimaro-o6n 9 месяцев назад
Amina nabii lazima nifike buzz kwa uwezo wa Mungu
@MargaretKanini-q1e
@MargaretKanini-q1e 8 месяцев назад
Woi mutumishi.i wish i knew you before my mum cold be alive and my brother😭😭😭😭😭and also my family could not be like this.but God will help us.Amen
@MargaretKanini-q1e
@MargaretKanini-q1e 8 месяцев назад
Naomba uniombee kabula ni lundi kwetu niwe nimefunguriwa na nyumba yangu yote na familia yetu yote.
@HellenLucia-qs4hx
@HellenLucia-qs4hx 4 месяца назад
Mungu wa paster Dominic naomba ufungue maisha yangu,ufungue nyota yangu kwajina layesu amen
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 7 месяцев назад
Na mimi ndowa yangu naami itafunguka tu haijarishi mume wangu anaowa owa ila kupitia mungu wa kiboko ya wachawi mume wangu atafunguliwa na mimi nampambania kimaombi kwa sadaka na kwa kutoka Zanzibar kuja kwa nabii kiboko kwa mwezi mara 1 naamini ipo siku virivyo silini vitafunguka
@ItonIsack-yj6me
@ItonIsack-yj6me 9 месяцев назад
Nabii naomba uniombee matokeo yangu ya kidato cha nne npate ufaulu mzuri na mkubwa
@MargaretKanini-q1e
@MargaretKanini-q1e 8 месяцев назад
Nabii wa mungu.naomba mke mwenye analalia kitanda changu na mume wangu aondoke leo. Na mwenye aliotutenganisha na mume wangu kama ni kiuchawi akufe fefefe!!! Ndio watoto wangu wapate furaha.
@maryinyas9320
@maryinyas9320 8 месяцев назад
Naomba Mungu aniponye tumbo langu la uzazi kwa annointing ya nabii huyu.
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee mungu nisaidie mimi niko marekani nateseka saana na chumaulete nateseka nakukosa kazi nataka mungu wa kiboko ya wa chawi nataka nifunguliwe nipata kazi mwezi huu yakudomu kwa Jina la yesu kristo
@MerryElias
@MerryElias 7 месяцев назад
Amina mtumishi tafika buza kwajina la mungu naamin mateso yangu ya ameishaa🙏🙏
@juliambatha7485
@juliambatha7485 9 месяцев назад
Pastor Niko na shida chungu mzima,nimeteseka sana .Mimi ni mkenya nsaidie nabii
@JeskaKimanda
@JeskaKimanda 3 месяца назад
Naomba Mungu aendelee kukutunza kwa ajili yetu
@annamlozi4538
@annamlozi4538 9 месяцев назад
Hubiri watu waokoke sio kuchonganisha watu.
@IssaZungu
@IssaZungu 4 месяца назад
Nabii mm asha omari. Naomba unikomboe maisha yangu mm na familia yang
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 9 месяцев назад
Naomba gari na driver maana nimezeeka unihurumie Mume wa wajane
@arafasaidi2723
@arafasaidi2723 7 месяцев назад
Mungu. Nipe. Maono. Ysmsrazi. Ysngu
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 9 месяцев назад
Pastor naomba namba yako ya simu na mahali Unaishi. Asante.
@MargaretKanini-q1e
@MargaretKanini-q1e 8 месяцев назад
My Name is margaret came from kenya
@perrymagitta7783
@perrymagitta7783 8 месяцев назад
Mungu teketeza waganga na wachawi wote duniani"Amina"
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee mungu nisaidie unapogusa wengine na mimi nigusa
@EmmaShaban-m8u
@EmmaShaban-m8u 10 месяцев назад
Baba naomba na mimi siku mungu akuguse unione unisaidie maana sio kwa taabu hizi ninazopitia
@SarahKelvin-w7z
@SarahKelvin-w7z 6 месяцев назад
Naomba yoyote anaecheza na afya yangu afr
@gracemyula2659
@gracemyula2659 10 месяцев назад
Roho ya kukataliwa initoke na pesa mikosi
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 9 месяцев назад
Naomba Bwana Yesu watoto wa maadui zangu wanitunxe
@AnethRitte
@AnethRitte 10 месяцев назад
Naomba Bwana Yesu aniponye kichwa
@annamlozi4538
@annamlozi4538 9 месяцев назад
Mchungaji gani mchonganishi.
@juliuspesambili6657
@juliuspesambili6657 10 месяцев назад
Baba nabii nitabirie
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 9 месяцев назад
Uchawi wa wachawi wote uteketeeee
@mamanyonzo_og2607
@mamanyonzo_og2607 10 месяцев назад
naomba nifunguliwe karama yangu
@annamlozi4538
@annamlozi4538 9 месяцев назад
HUKUMU NI YA MUNGU TU.
@ShabaniRamadhani-hx1nc
@ShabaniRamadhani-hx1nc 10 месяцев назад
Nguvu ya MUNGU INATISHA
@BIGSTAROGTZ
@BIGSTAROGTZ 8 месяцев назад
Nice🎉🎉🎉❤
@Lightiness55Mazua
@Lightiness55Mazua 10 месяцев назад
Nabii tabiria ndoa yangu
@williamchausa8375
@williamchausa8375 10 месяцев назад
Mimi William nakufuatilia
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
Powerful powerful
@emmyandrew8670
@emmyandrew8670 10 месяцев назад
Mambo ya.Mungu makubwa sana
@AgnessNjoz-ex2mp
@AgnessNjoz-ex2mp 10 месяцев назад
Nabii ubarikiwe Sana
@ComasOgiro
@ComasOgiro 8 месяцев назад
Amina amina
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
❤😂
Далее
KAMA HUKUUMIYA KWA HAYA WEWE UNAPATA DHAMBI
20:12
Просмотров 14 тыс.
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
Просмотров 7 тыс.