Baba yetu askofu jamani. Nimekuona nimefurahi mno.. Mungu akulinde. We ndo chimbuko la roho mtakatifu aliyejaa ndani mwanangu. We ndo chimbuko la elimu yangu, we ndo chimbuko la maendeleo yangu. Baba we ni mtakatifu anayetwmbea duniani. Tunakuombea sana na tunaomba uendelee kutuombea. Tunakupenda baba tunakukumbuka sana
Natamani mnipigie niwashuhudie juu ya huyo baba askofu. Huyo ni mtakatifu. Wasipomtangaza kuwa mtakatifu Mungu mwenyewe ataonyesha ishara zake kuwa huyu ni mwanae. Love you baba, live long mhashamu baba
Huyo ni baba amejaa roho mtakatifu tunashuhudia sisi tuliosoma shule yake. Zawadi yangu kubwa kwako baba ni utaikuta mbinguni... Mungu ndo anajua roho yangu.