Тёмный

SELEMANI KIDUNDA AMUONYA MWAKINYO / NITAMPIGA AFE / MIMI NI MWANAJESHI SIWEZI KUPIGWA KIBOYA 

Manara TV
Подписаться 277 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

BONDIA SELEMANI KIDUNDA AMUONYA MWAKINYO / NITAMPIGA AFE / MIMI NI MWANAJESHI SIWEZI KUPIGWA KIBOYA
#manaratv #mwakinyo #kidunda #mfaumemfaume #twahakiduku

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 157   
@issamagambo1879
@issamagambo1879 5 месяцев назад
Kidunda umewajibu vizur sana hao maboya big up kwako
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 5 месяцев назад
Kwani yule msouth mkubwa ni dogo ila chamoto kakiona
@user-px7jf7xs6k
@user-px7jf7xs6k 6 месяцев назад
Km Kuna mtu ameliona jicho jekundu naomba like
@abdulmashaka7281
@abdulmashaka7281 5 месяцев назад
Niseme Pongezi sana kwako selemani kidunda kwa kuilinda rekodi Yako na heshima Pia Kwa wana Mburahati lakini kiufupi mpinzani wako ni mzuri Pia akirudi tena Tz au iwee kwao South Africa rematch game naamini utamuonesha kwa nini ulifika Olympic international boxing, kazi na umri tumalizie huyuu mtoto upumzike champion💪
@MnangwaOmari1971
@MnangwaOmari1971 6 месяцев назад
Kidunda upo Makini,ulingo unauweza! Huna mbwembwe kama wanavyojichetua mabondia wengine wa hovyo! Mwenyezi Mungu akuongoze katika kila lenye kheri nawe Inshaa Allah
@MgangaMasudi
@MgangaMasudi 6 месяцев назад
Ngumi ni promo achenikuzalaukazizawatu mwehu wewe sasa unaosemawanasemahovyo achaupuuzi hata mandonga muacheaongee ni kaziyake
@user-nx5be3ju3b
@user-nx5be3ju3b 5 месяцев назад
​@@MgangaMasudiKabla sijaimalizoa comment yako bado kidogo nikulaumu ila kumbe una maana nzuri sana ni kweli unachosema kila mchezo wa ngumu lazima promo alishawahi kuwaona akina Mohammedy Ali Floyd Mywethar kuwachangamsha mashabiki wa mchezo huo kupata hamasa zaidi ya kwenda kuona
@killagak903
@killagak903 5 месяцев назад
Kwenye kuhoji, mada ni moja na kumtaja Mwakinyo. Ongezeni weredi au mkapigwe msasa. Bado sana kwenye uandishi.
@abdulkidu2408
@abdulkidu2408 5 месяцев назад
Sema Waandishi Ni Wachonganishi Sana Yani Mnamuuliza Swali Kuhusu Fight Yake Au Kuhusu Mwakinyo Duuuh
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 месяцев назад
Waandishi wa habari ni wachonganishi Sana!! Wanataka kumchonganisha Kidunda na Mwakinyo Ila Kidunda anatumia akili Sana ktk kujibu ili asijeingia ktk Mtego wao. Big up Kidunda.
@HassanJames-cy8hs
@HassanJames-cy8hs 5 месяцев назад
Oya kidunda achakujichanganya kwa mwakinyo wewe utakufa vibaya by Hassan MTANGA
@gauchogaucho7583
@gauchogaucho7583 5 месяцев назад
Ww sioo mtangaa hasan
@KhamisMasao
@KhamisMasao 5 месяцев назад
Sawa ila kiukweli hii fight kidunda ulipigwa hatuna chuki tuseme kweli tu nakupenda sana bondia wetu
@RamadhanKhalfan-tq1go
@RamadhanKhalfan-tq1go 5 месяцев назад
Umeongea point jinsi ulivyoulizwa kuhusu mwakinyo umejibu vizuri hunachuki namtu
@user-nx5be3ju3b
@user-nx5be3ju3b 5 месяцев назад
Muandishi acha uchonganishi Hassani Mwakinyo hajamdharau Kidunda kbs ludieni maelezo yake vzr alafu muanze kutengeneza mabifu yanu kwenye mitandao mkaawachia watu wakiwa na chuki na visasi upande wangu hajamsema vibaya Kidunda
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 6 месяцев назад
Kidunda anaright kali km AJ,nouma sana uyu kiumbe🔥🔥🔥
@maulidmponda8224
@maulidmponda8224 2 месяца назад
Light ipo lkn haitumii brain nyingi na Champion ni nzuri zaidi na hana kuficha ukweli na huyo na msouth alibebwa tu lkn alipigwaa ila mtu kwako lkn hamna kitu na wakirudiana kidunda atapigwa ko hiyo iko waziiii
@Lujomagang
@Lujomagang 6 месяцев назад
Aaah,, waandishi wametumwa kuwachafua mabondia wetu bora tz 🇹🇿 🥊 kudUnda na mwakinyo big up kudUnda kwa majibu sahihi
@abdimakame7929
@abdimakame7929 6 месяцев назад
Uyo mtangazaji ni Mchonganishi sana.
@gabriellaizer9925
@gabriellaizer9925 5 месяцев назад
Mtangazaji Rudi darasani ongeza confidence acha kubahatisha maneno
@IslamThedon
@IslamThedon 5 месяцев назад
Ana hekima na busara, hana majigambo Good fighter
@Cyprian_Artists
@Cyprian_Artists 5 месяцев назад
KIDUNDA ANAJUA KUJIELEZA💪🏽🧠
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 6 месяцев назад
Nashukuru kakaangu mwakinyo kukihojiwa bondia mpaka wamtaje mwakinyo mwakinyo kawa kama simba sport timu ndogo ikimfunga simba sherehe na timu furani bila kuitaja simba haziwezi
@japhetmungas3670
@japhetmungas3670 5 месяцев назад
Wewe unajitoa ufahamu..... Mwakinyo ndio hua anapenda kujilingalisha na mabondia wenzake na anapendaga kujiita yeye ni Bora kuliko wenzake.... Sasa ukisema Kila bondia anamtaja unamaanisha nn apo
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 6 месяцев назад
Mtangazaji mchanganishi mbn Mwakinyo alipongeza mchezo ule na alisema mabondia wote wameonesha uwezo ila wenzetu wametuzidi kwenye manegment zao bondia kapewa nyumba anagharamiwa kila kitu
@rajabumsingwa1075
@rajabumsingwa1075 6 месяцев назад
Sana tu jamaa alielezea kirefu sana tu
@legendarymmwamba4136
@legendarymmwamba4136 5 месяцев назад
SMART SANA SOLDIER SALUTE KWAKO
@jumaajunior7914
@jumaajunior7914 6 месяцев назад
Watangazaji wachonganishi👊
@kareem1182
@kareem1182 5 месяцев назад
sis tunajua umepigwa mojaa
@mohdalwaili5289
@mohdalwaili5289 5 месяцев назад
Kweli kapigwa lakini anakataa mpaka afe
@Bakaribaruti
@Bakaribaruti 6 месяцев назад
Chuo gani Hawa waandishi mamburura wamesoma ,sijapata kuona waandishi wanafiki kama Hawa ,uziri mwakinyo tumemsikia wanayoyaongea angekua bondia sio professional angeshareact kwauchochezi ,Hawa jamaa warudi Tena darasani hawana ethics za uanahabari
@husseinomary3893
@husseinomary3893 6 месяцев назад
"... respect bro, umeonyesha ukubwa wako ni interview ya Kikubwa Watoto wadogo wajifunze kupitia wew
@saidkapolo8617
@saidkapolo8617 5 месяцев назад
Kwa watangazaji awa Amna viwango vya utangazaji.
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 6 месяцев назад
Yani hii TV ya manara mmiliki mpuzi na watangazaji wapuuzi
@petertv1578
@petertv1578 6 месяцев назад
Kabisa
@edgarnestory8466
@edgarnestory8466 6 месяцев назад
Wanahabari wengi wachonganishi, thus why mnauliza maswali na kulazimisha mtu aonekane mbaya
@cairoshampeny
@cairoshampeny 6 месяцев назад
Waandishi shikamoo mnajua kukandamiza mambo wasenge nyie namnajua wazi mwamba alipigika
@user-ww8db6fj8s
@user-ww8db6fj8s 5 месяцев назад
Broo m ni bonge la shabiki yako ila m najua unajua toka moyoni umebondwa bro inabidi ukubali usiwe kama bondia mdogo inabidi ukubali mbona twaah alikubali mziki
@mubajoti743
@mubajoti743 5 месяцев назад
Ww hujui ngumi twah kakubali kutokan na maamuz ya majaji ila kidunda hajapigwa coz majaji ndonwameamua na kidunda mwnzo kaongz fight ila mwish kaongozw kwaio ile ni drow
@JumaFadhil-no7ow
@JumaFadhil-no7ow 5 месяцев назад
Wakati juzi kapigwa kama ngoma😅😅
@user-ot9zo5ww6v
@user-ot9zo5ww6v 5 месяцев назад
salute sana mjeshi wetu..
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 6 месяцев назад
Bro uko smart saana
@AthumanDaudi-f4s
@AthumanDaudi-f4s 6 месяцев назад
Akuna wandishi apo upumbavu 2 mnaleta
@Lujomagang
@Lujomagang 6 месяцев назад
Mwandishi kuMa ndoo,, maswali gani Asa ayo au ndo wanavuta mda wa daku
@allyally1077
@allyally1077 5 месяцев назад
Ikitokea umepigana na mwakinyo ukampiga mm nitakunya stend ya Tanga mchana kweupee
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 5 месяцев назад
Mwapenda sana mipasho nyinyi watu wa nyumba ? Nyumba? 😂😂😂😂😂
@michanoboy8948
@michanoboy8948 5 месяцев назад
Hamna waandishi hapa... ✍️ Lopolopo tu
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 6 месяцев назад
Acha kutafuta kiki umpije mwakinyo ww ataubebwe vp utapijwa tu
@joelkihogo9312
@joelkihogo9312 6 месяцев назад
Kwan mwakinyo anauwezo gan .....
@shadidasadick5077
@shadidasadick5077 5 месяцев назад
Acha unafiki ingia na we
@msongamwinyi2877
@msongamwinyi2877 6 месяцев назад
Hii chanel ovyoooooooooooooo
@King-Buda
@King-Buda 6 месяцев назад
Hamna waandishi humu mnaleta umbeya kwenye mambo serious
@user-gx2fs1th3l
@user-gx2fs1th3l 5 месяцев назад
❤ Salut brother
@user-nx5be3ju3b
@user-nx5be3ju3b 5 месяцев назад
Wewe muandishi unaemuuliza Kidunda unantamani muandishi gan mwenzio tuandae pambano anaekukera sana kwenye kazi zako ili tumalize ubishi?sheenzi kbs hamjuagi kbs taaruma zenu nyie kenge maswali ya uchonganishi tu
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 6 месяцев назад
Watangazaji sasa iyo kuhoji kwa kiengereza na mnamuhoji msuahili hii inamaanisha nini? Mbona mmekua watumwa wa lugha za kigeni
@highcancara1993
@highcancara1993 5 месяцев назад
Kidunda anawajibu kijeshi wao wanataka awajibu kitiktok
@Hamad-iy4xt
@Hamad-iy4xt 5 месяцев назад
Umeongea pwent san broo kidunda
@khamis_zimbwe
@khamis_zimbwe 6 месяцев назад
Watangazaji waafki san sasa hapo mwakinyo kosa lake liko wapi
@nasrasalumu7005
@nasrasalumu7005 5 месяцев назад
Kwana muelewe kiduku kapigwa kidunda kapigwa hakuna sare pale na hata mwakinyo ndio kabisaa atapigwa mapema sana anachaguaga vibonde mwakinyo hana lolote na yule msauzi kwa bongo mabondia wetu wajipange sanaa bora ya kidunda na twaha wanajitaidi mwakinyo hamna kitu mpeni tu vibonde hata mfaume anampiga
@hassankimwan4402
@hassankimwan4402 5 месяцев назад
pool professionals yani mtangaj anatafuta kuchonganisha na kidunda
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 6 месяцев назад
Jini makata bado hupo vizuri nakukubali sana
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 5 месяцев назад
KIDUNDA ASAMALEE HUYO ANAKUJAAA KIMBIAA KAKA 😂😂😂
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 5 месяцев назад
Asamallee ndio nani😂😂😂
@user-dm2pc8qr1r
@user-dm2pc8qr1r 5 месяцев назад
Waandishi wa habali hadi ulaya wanaoji ivyo,wao wanaandaa fight ya mbele.
@allynicco4607
@allynicco4607 6 месяцев назад
Yaan hapa hamna kitu hata kuhoji hawajui
@masoudhamad1592
@masoudhamad1592 5 месяцев назад
🤝
@user-vh8wr5ji2k
@user-vh8wr5ji2k 6 месяцев назад
Huyo mtangazi mchonganishi tu Hana jipya akiwa na hoja kama hizo za kumdisi mtu hawez kuwa kipaumbele
@user-ro8rm4kd8c
@user-ro8rm4kd8c 5 месяцев назад
Kidunda mm ni shabiki wako mkubwa t mzee baba na pia ni mfuasi wa mwakinyo pia…..lkn kwa lile pambano kaka ulipigwa t mbn mzee wa shoo shoo kachapika na kakubali t
@user-rn1en4tq5z
@user-rn1en4tq5z 5 месяцев назад
Jamaa yangu umejibu vizuri ila hawa waandishi kumbe niwachonganishi wanafosi ugombane na rafikiako vile kaongea mwenyewe akumkandia bondia yyote
@sasquaremusic3140
@sasquaremusic3140 6 месяцев назад
Watangazaji mbona mnazingua sana sababu unawachonganisha watu kwa kuuliza kitu cha uongo.nilichek interview ya mwakinyo Wala hakuzungumza vibaya kuhusu kidunda nyinyi ni #wachonganishi..huwa sijazoea kukoment ila hili limeniuma na umekosea mwandishi...#big brother Selemani kidunda umejua kuwajibu kwa usahihi..
@user-vl3xk1mb6h
@user-vl3xk1mb6h 5 месяцев назад
Alikuwa anacheza faulo nyingi yule msauth wamemnyima2 kidunda basi
@CosmasAsenga
@CosmasAsenga 5 месяцев назад
Aliye shinda apewe kifupi dogo mkali😂😂😂😂
@fainjohnbosco6182
@fainjohnbosco6182 5 месяцев назад
Kidunda anajielewa katika kujieleza, ngumi ni kazi na sio chuki
@user-lv3de1pi7j
@user-lv3de1pi7j 6 месяцев назад
Huyo mwandishi mda wote anamuongelea Hassan mwakinyo tu anamgombanisha mwakinyo na kidunda , mwandishi mkuda uyo
@user-pz7mi2sv4f
@user-pz7mi2sv4f 5 месяцев назад
Muandishi unafkii umekujaa sana Kila muda unamtaka mwakinyo tuu dah! acha kumjaza chuki kiduda amchukie mwakinyo
@robertdominic7298
@robertdominic7298 5 месяцев назад
Ukweli Sele ww ni boxer mzuri, huwezi fanananishwa na mtu kama Hassan ,umesstruggle kwenye ndondi za amauter ngazi A to Olympic huna baya kwetu well-done, ila pambano na Wellem juzi sorry, ulipoteza mwamba alikukabili vizuri,majaji na time keeper madhambi yao tumeyaona yote.
@designdesign4426
@designdesign4426 5 месяцев назад
Kilichoandikwa na kilichosemwa ni kitu tofauti
@Chitte_Wa_Ukae
@Chitte_Wa_Ukae 5 месяцев назад
Wewe uliza maswali ya akili yaani ulitarajia kidunda akujibu kuwa kweli alipigwa? Uwe na akili jamaa kua acha utoto.
@user-fp9dv7pg4f
@user-fp9dv7pg4f 5 месяцев назад
Waandish sio mnagombanisha watu ila kidunda unajielewa sana
@AloyceMwakatala-si1rs
@AloyceMwakatala-si1rs 6 месяцев назад
Fait ya mwisho tumepigwa bro kiukweli ila majaji wametubeba ngumi ni mchezo wa wazi kila mutu aliona
@dstaroficial
@dstaroficial 5 месяцев назад
Yuledogo ngumi zake zna suny jicho bado jekundu
@KiandeMollel
@KiandeMollel 5 месяцев назад
Mwakinyo kweli kama dume aombe pambana na kidunda tuone kweli atatoboa au atatobolewa
@seifkulangwa3320
@seifkulangwa3320 5 месяцев назад
Hawa ndio waandishi tulionao wanamaswali yakijinga na ya uchonganishi
@saddammasige1481
@saddammasige1481 6 месяцев назад
Ndo maana dotto anawatukanaga amna akilk muonamuoji sele mwakinyo anatokea wp mnawachonganisha sele mtu mzima kaweza kwa majibu yake
@user-zb9dl6qw7o
@user-zb9dl6qw7o 5 месяцев назад
Hawa waandishi wetu wachonganishi ndo chanzo cha watu kuchukiana wanafosi vitu ili kumchefua mtu, michezo ni furaha sio vita.
@AdamChuma-vb6ef
@AdamChuma-vb6ef 5 месяцев назад
Nyie waandixhi wahovyo xana
@ebinssports5377
@ebinssports5377 5 месяцев назад
Hawa watangazaji hawafai.. mnajitungia vitu alafu mnalazimisha chuki
@MbarakaSuleman
@MbarakaSuleman 5 месяцев назад
Kadharirisha jeshi..hamuwezi champenziiiiiiiiiiiiiiiii
@frankraphael7546
@frankraphael7546 6 месяцев назад
Kikweli tuseme ukweli yule dogo msauzi atakuwa kama kidunda utindio waubongo alichezea sana sikuile mpaka Leo mjeshi kavimba
@gerovepetro7097
@gerovepetro7097 5 месяцев назад
I love you
@hansboytz7494
@hansboytz7494 6 месяцев назад
Humuezi mwakinyo
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 6 месяцев назад
Mshaanza ujinga
@user-sy2mp7mm8u
@user-sy2mp7mm8u 5 месяцев назад
Watangazaji hawana Elimu
@AbduliZety
@AbduliZety 5 месяцев назад
Uyu mtangazaji Kam choko anang'ang'ania mwakinyo tu Kam mm ndy kidunda ningemuwamba kofii kwanza la maana pumbavuu kabisa
@umarmakoo
@umarmakoo 5 месяцев назад
Kichwa cha habari na yaliyomo tofauti.... poor tv
@Hamad-iy4xt
@Hamad-iy4xt 5 месяцев назад
Hao waandish wa habari wachanganyishi2
@rahimhemed3370
@rahimhemed3370 6 месяцев назад
bwana c atuish kw kuopana km ww kidunda unataka uwonekane unashida n CHAMPIZ barid2 mana sasa mnareta ushamba
@aliasabakari9925
@aliasabakari9925 5 месяцев назад
Sema kidunda ana akili sana, hao ma presenter ni maboya, walikuwa wanalazimisha kumchonganisha Kidunda na Mwakinyo, jamaa kawajibu kindewa sana, big up
@omaryaman1312
@omaryaman1312 5 месяцев назад
wanahabar wanafiki saana, kwanza nilipoona kajifunga tuu huo ushungi nikajua hakuna mwanahabar hapa najuta kuangalia hii video
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 5 месяцев назад
Jifunze kiswahili wewe wacha kuchekesha😂😂😂😂😂😂😂 hujui😂😂😂😂
@MarwaJames
@MarwaJames 5 месяцев назад
Jicho hilo mbona jekundu
@cairoshampeny
@cairoshampeny 6 месяцев назад
Kwamwakinyo ndokabisa utauliwa mkuu tulia ule peshen
@katambihamisi4130
@katambihamisi4130 5 месяцев назад
Tatizo hawa waandishi wanadhani wanae muhoji ni mtoto mwenzao, ukiwasikiliza vizuri point yao kubwa ni kutaka kidunda azungumze vibaya juu ya mwakinyo, wanafiki sana hawa😂😂
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye 5 месяцев назад
Hujapigwa wap ww katompa kakupga, yule dogo msouth kakupga et jini makata jini gan ww na ukijiloga kuludiana nayule dogo utaumbuka
@fadhilially7357
@fadhilially7357 6 месяцев назад
OYO MWENYE DOMO ANAZINGUA SANA
@mtazycomedy
@mtazycomedy 6 месяцев назад
Tuwabonde wa njee
@malimanyanja562
@malimanyanja562 5 месяцев назад
Tanzania bondio ni umoja tu ww kama unachuki zako pita kishoto mwakinyo anajua Zaidi yao wote
@OmaryBakari-nk4ti
@OmaryBakari-nk4ti 5 месяцев назад
Aache tambo za uwongo kwan aliempiga ni mkubwa??? Akubali tu anko sele
@neponova8988
@neponova8988 6 месяцев назад
Manara mnafanya kazi poa ila acha maswali ya chuki yatakushusha tu…unajua ku-interview acha kuiga mtindo wa kifala unaotrend wa kuuliza maswali ya uchonganish…Mwakinyo hajaongea chochote negative kuhusu Kidunda….mnakata sana
@sosthenessotter9432
@sosthenessotter9432 6 месяцев назад
Mwamba huyo(full package)..
@user-nq2mf7rp4m
@user-nq2mf7rp4m 5 месяцев назад
Mwamba kila akikwepa mahojiano hayo we unafos t habar ya mwakinyo ., mwandish Mwakinyo bwana ako au
@AbdulKorongo
@AbdulKorongo 6 месяцев назад
Waandishi wa habari wasenge kweli hawa mwakinyo si alisifia mbwa nyie
@user-de2cx5tm4y
@user-de2cx5tm4y 6 месяцев назад
Wachonganishi san nyie wa kaka
@SaidiSudi-tk9rq
@SaidiSudi-tk9rq 6 месяцев назад
Hao waandishi hamna kitu hawaulizi maswali yenye weledi zaidi ya kugusanisha waya tuu😂
@gichinsamorai3192
@gichinsamorai3192 5 месяцев назад
HAO MADOGO WAMETUMWA ILI WAMCHONGANISHE MWAKINYO NA SOJA HUYO ILA HII INTERVIEW WAMEHARIBU APO TU WAJIFUNZE KU CONCENTRATE NA MTU HUSIKA KWA EVENT HUSIKA ILA SIO KUMTAJA MWENGINE KAMA UCHONGANISHI HIYO NI NUN- PROFFESSIONAL NYAU NINYI.
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 месяцев назад
Afundishwe usafi bondia wetu anyoe nywele na anyoe ndevu maana anaonekana kwenye media lazima awe msafi mashabiki zake wanamuona na wanataka kujifunza kutoka kwake
@mohamedidrisa4192
@mohamedidrisa4192 5 месяцев назад
😂😂😂 yani unaitaji usafi kwa mwanajeshi.yani mwanajeshi awe msafi.akili unayo kweli wewe
Далее
Дежавю, прескевю и жамевю!
00:59
Просмотров 284 тыс.
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 20 тыс.