Hawa walio edit hii movie pumbavu kabixa movie nzur inafundisha , lkn wameona gere wameona Bora waiharibu kwa kutia mziki na mdundo Sasa maana yake nn ? Na wakat mwanzo haikua hivi Hawan akili kabixa. Yaan hata baadh ya maneno ya kuelimisha yanayotamkwa huyasikii puuzi kabixa alie editi muziki kwenye movie hii.... 😢
Sasa we bro hebu jiangalie umri wako Kisha wataka kujifananisha na wale wajinga wanaojiita sharo baro mpaka unaenda kubadilisha nywele rangi jiangalie vizuri bro hata kama una acting film but but Wacha kujifananisha na wanawake...