Тёмный
No video :(

SHEIKH ALHAD AMWAGA MACHOZI AMLIZA MUFTI , UMETUVUMILIA MENGI, HUZUNI NA MAJONZI VYATAWALA MSIKITINI 

BABDEO MILADU
Подписаться 251 тыс.
Просмотров 120 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 149   
@highmedland9280
@highmedland9280 Год назад
Shekh wangu kuondoshwa ktk cheo ulichokua nacho umshukuru sana Allah na uwape shukran walio kutoa ktk uwongozi hio ndio kheri y'ako ya kusamehewa madhambi y'ako kubaki salama na mwenye afya njema, Allah akurehem na akufanyie wepesi ktk hajazako njema inshaallah🙏
@joneschaungu6355
@joneschaungu6355 Год назад
Amevuna alichopanda
@salmakaratta1420
@salmakaratta1420 Год назад
Daima vipenzi vya Allah ndy hupitia mitihani migumu,Hivyo Mwenyezi Mungu atakupa njia ya kutokea InshaAllah.
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
Mitihani tumeumbiwa wanadam ila yote ni kumshukuru allah ktk kila mtihani unaokukuta neno moja tu ni kuseme alhamdulillah huwezi jua ya mungu ni kwann wamekuondoa ktk nafasi hii dua yangu kwa allah akujalie subra uvumilivu na akupe kheri hapa duniani na kesho akhera
@safiambamba8722
@safiambamba8722 Год назад
Alhamdulillah. Natamani masheikh wetu waachane na kusema mabaya ya watu katika vyombo vya habari na hata katika mijumuiko ya watu mana dininyetu inakataza. Mwite mwambie, mkosoe na mwelekeze ili akawe mjumbe mzuri zaidi kwa waumini wengine Jamani it’s not a muslim culture kusimama mbele za watu kumzungumzia vibaya muumini mwenzio. Subhanallah!!
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Год назад
Duh
@jasminyabdully499
@jasminyabdully499 Год назад
😭😭😭Allah akuongeze Sheikh Alhad Mussa
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Год назад
Huyu ndo stering ✔️ ALLAH akupe nguvu kwahiki kipindi kigumu Shekhe wetu tukopamoja sana nawe usivunjike Nguvu Mkuu Insha Allah 👍
@sokoinemallya3395
@sokoinemallya3395 Год назад
Huyu shekhe wa mkoa alikuwa anakubalika sana ni kiongozi mwenye hekima na muadilifu sana MUNGU akujalie subira na imani siku moja utakuwa shekhe mkuu wa Tanzania.mimi japo mkristu namkubali sana shekhe huyu anaeongea. Mungu akupandishe juu baba musa
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 года назад
Yarabi tuzidishie Imani na mapenzi baina yetu kwa ajili yako.
@zulfatabdallah7942
@zulfatabdallah7942 Год назад
Amiin
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
Amiin
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 2 года назад
ALLAHUMMA GHUFIR LAHU WAARHAMHU MASKANAHU FILJANNA. POLE SANA MUFT WETU, SHEIKH WETU WAMKOA, SHEIKH WA WILAYA YA KOROGWE TANGA, WAFIWA PAMOJA WAISLAMU WOTE MLIYO GUSWA NA MSIBA HUO ALLAH MJAALIYE MAKAZI MEMA MAREHEMU WETU WOTE WAKIISLAM NA UWAEPUSHE NA ADHABU YA QABR KWAREHMA ZAKO TUKUFU
@wadudi2741
@wadudi2741 Год назад
Kwani nani kafarikihapo
@fakihmohammed3923
@fakihmohammed3923 Год назад
Jamani ww, aamiin
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Allah akujaalie Pepo inshaallah kwa chozi lako la kheri m ele ya mjjumbe wa Allah na !mbele zetu sis zote ameen
@sabrinamchipu7657
@sabrinamchipu7657 Год назад
Mie pia machozi yamenitoka mwenyezi mungu akuongoze ila kama umfanya sheria inavyosema katika ili linalokuondoa leo madalakani basi mwenyezi mungu hulipa hapa hapa duniani naka kweli ulikwenda kinyume ba sheria katika ilo linalokuondoa apo ulipo basi mwaka atakaa na mkewe inshallah
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Год назад
Kiukweli waislamu mmefeli sana Doctor mwaka mhuni tu wa mjini anawafitinisha hadi mnamuondoa huyu shehk ktk kiti jamani ,kiukwel mimi ingawa ni mkristo imeniuma sana
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 Год назад
Sheikh Alhad kuwa na subra Allah akupe stahimilivu ndani ya moyo wako mengi uliyatatua kihekima Allah akupe Afya njema
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 Год назад
Rizk imeisha babangu inshallah utapata zaidi ya hapo🙏🙏🙏
@twalibumasoud0783
@twalibumasoud0783 Год назад
Maalim @alhad twashukuru sana kwakutuongoza paka kufikia Leo kuondoka kwa cheo chako maana kila binadam anamapungufu yake kwakwel umejitahid mwalimu au shekh wetu alhad mussa salum mungu AKULINDE insha'Allah ,,ILA shekh wetu mcheshi we shekh wareed karibu sana katika kitu cha cheo🙏🙏🙏😍😍
@hussainmaulatz6758
@hussainmaulatz6758 Год назад
Nimemfahamu shekhe walid nikiwa nasoma kwa shekhe ramia bagamoyo ni mtu mzuri sana na nini dalili za mtu mzuri watu wengi humkimbilia na yeye hachagui wote ni wake kama mzee muhiya na wa wanawe na ndio uislamu ukiwa na cheo usijione bora kuliko wengine ALLHA ATUHIFADH WAISLAMU WOTE ALLHA HUMA AMEEN.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Год назад
Walid yupi sasa,maana wako wawili...huyu alietumbuliwa au alieteuliwa
@mariamukila7595
@mariamukila7595 Год назад
Ee mwenyez mungu tuongoze wajawako na utuepuxhe na Kila baya lililo mbele yetu na uwajalie upondo maxhee wetu wote Kwa ujumla
@anikulislam4851
@anikulislam4851 2 года назад
Alhadulillah Assalatu assalamu alayka yea rasulallah sallallahu alayhi wasallam alllah hafiz alllah huakbar,yes all'answer control of allah no tention, waiting that's right.also, alllah Allahus samad,
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
Hapa haikutumika hekma ilifaa hata kwa baadae wamuondoe ila sio kwa hii style maana haikuleta picha nzuri. Kwa sasa, watachimbuka wengi kama kina mwaka. Haijapendeza
@sallyandmozachannelchannel37
Ni muda muafaka, kinyume hii kadhia ingeendelea
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 Год назад
Wangeitana huko ofsin wakayaonge wakayqmqliza kuliko hivi mitandaon haileti picha nzur
@user-hs8fu1ut8r
@user-hs8fu1ut8r Год назад
Wamemuonea sana sana huyu shekh..kama kweli wamemtoa kwenye uongozi kwasababu ya mke wa mwaka watapata malipo yao hapahapa duniani..maana huyu shekh yeye hakumuita mke wa mwaka aende kushtaki pale bakwata naomba hilo lijulikane
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
@@user-hs8fu1ut8r hamna sidhani Kama hiyo ni sababu
@joycehamis4925
@joycehamis4925 Год назад
Umenena vyema sana🙏🙏🙏
@nehemiahbudi5753
@nehemiahbudi5753 Год назад
Umefanya mema sana na pia umefanya mabaya, ila mda umefika wa wewe cheo hicho kukuacha si kwa ajili ya Dr mwaka ila tu mda umefika. Mwenyezi mungu anawapenda waja wake, bado yupo na wewe usilie umesalimika na balaha ambalo lingekushinda, mshukuru Mwenyezi mungu sana kwa kukuepusha
@khamisiramadhani3380
@khamisiramadhani3380 Год назад
Shekhe analilia cheo chake kimekwenda kwa mtu sahihi sana Allah amjalie shekuu mpya khery na baraka zake aenderee kuwa mcheshi kama kawaida yake
@wadudi2741
@wadudi2741 Год назад
Hhhhhhhhh
@abdaraudugu33
@abdaraudugu33 Год назад
Wewe simugu huwezijua yamoyoni
@twahambowe440
@twahambowe440 Год назад
Aamiin Aamiin allaahumma Aamiin
@rahmalutengwe2901
@rahmalutengwe2901 Год назад
Siku zote kuna vitu 2 yaaani elimu na akili.Yatupasa kutumia akili Zaidi.katika muktadha mbalimbali
@saadomar2480
@saadomar2480 Год назад
Acha tabia uhaasid kaka haikusaidii. Ebu kua namaneno mazuri yauchamungu.
@farajimketo3272
@farajimketo3272 Год назад
Allah amfanyie wepes
@aminatasaid8531
@aminatasaid8531 Год назад
Allah akupe subra
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 года назад
Amin
@beatricemsita6776
@beatricemsita6776 Год назад
Mimi siyo mwislam kwa dini Ila tujitahidi kuwaheshimisha viongozi wanao tuombeeni na kutuongoza kwa khaki ya MWENYEEZI MUNGU. Hatuwafundishi wasio mjuwa MUNGU kuona Wema na kuonyana kwa upendo na subila kiukweri ni kumpa Adui nafasi Ya KUTUKANWA mwenye heshima mpe heshima tujifunze kwa MANABII na mitume kustahimiliana
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Nisiwe mnafiki ingekuwa sura ndo uislam basi shekhe huyu angekuwa no.1 ila uislam si sura Mungu anajua yupi muislam Safi
@mlawatvonline3720
@mlawatvonline3720 2 года назад
Mashaallah
@joharilissu1618
@joharilissu1618 Год назад
Allah atujalie iman
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 2 года назад
MashaAllah!
@mozasalim9697
@mozasalim9697 Год назад
Mwalimu wangu alhad mussa tangia akiwa mwalimu wa madrasat maamory alikua ako na machozi yaharaka sanaaaaa ilikuaga yuatuliza marangine pale maamory tmk.
@haridsalum5545
@haridsalum5545 Год назад
Nakumbuka aliwahi kumfananisha magufuri na nabiah Allah Muhammad swallaallah was aley wasalam na hayo ndiyo malipo yake
@ummiramadhan5144
@ummiramadhan5144 Год назад
Am really sorry shekhe wangu
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Год назад
😄😄
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Год назад
Hehehh
@abuuminya8746
@abuuminya8746 2 года назад
اللهم صل على سيدنا محمد عدد ما تنفست الأرواح منذ خلقتها
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 Год назад
Sasa hivi Kawa mpole baada ya kupigwa chini ndio anaonyesha unyenyekevu wamuonee huruma au
@thabit6861
@thabit6861 Год назад
Hawezi kuwa na tabia za mtume acha uongo
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
msanii no moja Tanzania top in dar
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 Год назад
Ni sheikh wa kuigwa una hekma ulizojaaliwa na Allah
@wspwsp2764
@wspwsp2764 Год назад
Ktk cmnt watukanaji wengi .tenawajuuzi kweli ,lakiniyafaa wawepia wenye subira kwani nawao itafikasiku watatukanwa,,,,,,,,kamatudani tudani,,,,,,,,Allah atustir nahalihio
@husseinally5550
@husseinally5550 2 года назад
Kulia kwa mtu hakufahamishi ukweli wa maneno yake
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Год назад
Ukiwa na roho mbaya huwezi elewa nini maana ya machozi.Tena hasa kwa mtu mzima anafanya jambo hilo mbere ya macho ya watu wengi.Hata kama anabaya inamaana hana hata jambo moja zuri alilo watendea waislam?
@sufuzo2298
@sufuzo2298 Год назад
Hakika inahuzunisha
@animamichael3968
@animamichael3968 Год назад
allahumma amiyn
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 года назад
Allahumma Amiin
@aramamisamatime3183
@aramamisamatime3183 Год назад
Shekh Alhad Mussa ulikua sahiii ndoa ailazimishwi ulisimamia haki
@user-li4kt7lz1r
@user-li4kt7lz1r Год назад
Swali najiuliza hii ndoa ilio ya mwaka ndio yakwanza kuivunja na kama alikosa kwann hawakumkanya yani hii si haki wallah
@hajihamzaabdulhameed7337
@hajihamzaabdulhameed7337 Год назад
Amyna yarab
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 2 года назад
غفر الله له واسكنه فسيح جنانه
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Braza meni ulijusahau Sana wala hayupo Kwa ajili ya waislam Bali tumbo lako,pole kila jambo huwa huisha
@aishaabdi2059
@aishaabdi2059 Год назад
😭😭😭😭subuhannaAllah
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Jamani jamani jamani😭😭😭😭
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 Год назад
ALIKUWA afaa aondolewe kitambo wamechelewa ALIKUWA anaharibu Tanzania kwa kibri chake na kujiona dini anaipeleka kwa KICHWA chake vibaya
@anikulislam4851
@anikulislam4851 2 года назад
Wa alaikum salaam wa rahmatullahi wa barakatuh
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 2 года назад
Mashaa Allah
@banihashim5347
@banihashim5347 2 года назад
Msanii Alhadi, Hapo Tayari Kashamkorofisha Mufti, Ana khofia Kuenguliwa nafasi yake na Ndio Maana Anakimbilia Silaha ya Watoto (Kuliaa😭😭😭) Alhadi Ni msanii Sana, Tena Anaweza kuwauza Wooooote hapo, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
kweli huyu ni kenge
@wadudi2741
@wadudi2741 Год назад
Imeishahiyooooo
@latifahhossein2515
@latifahhossein2515 Год назад
Hakuna mapya hapo
@aishasharcky9102
@aishasharcky9102 Год назад
Angekua hivyo basi huyo mufti asingempa binti yake wakumzaa amuowe acheni kuongea msiyo yajua
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Год назад
😭😭😭😭
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 Год назад
Astagfirullah MFANO wa watuwapeponi
@khalidbelhasa2137
@khalidbelhasa2137 Год назад
UKIZOEA KULA KUKU WA BURE SIKU, UKIWAKOSA ,LAZIMA UZIMIE NA KULIA AU KUCHANGANYIKIWA.
@hasnanassoro7142
@hasnanassoro7142 Год назад
Muogop Allah,nayy ndo muhukum,tumswalie mtum S,W,W,
@rahmayaledi1722
@rahmayaledi1722 Год назад
Sikuzote vipenzi vyamungu ndivyo vinavyopitia majalibu mengi
@yasiryusra3333
@yasiryusra3333 Год назад
Hhh dah noma sana
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Kumbe watu wazuri anawajua, sjui kwann hakufuata nyayo za hao anaowajua akaparaganyika na njia zake.... 🙄🙄🙄🙄
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Huyu sheikh anatumika na makafir
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 Год назад
Mungu akusamehe!
@josephluvanga5233
@josephluvanga5233 Год назад
Makafiri Ndio Watu Gani Samaki Wewe
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Год назад
Cheikh moussa acha Julia ndo Ivo imebaki wislam kutia magomvi Yao adharani mitandaoni hâta kujizalilisha kwa makafiri
@allythabit3236
@allythabit3236 Год назад
Mwenzenu analia kw kukumbuk alivyotumbuliw mengine n zuga tu
@ummiramadhan5144
@ummiramadhan5144 Год назад
😭😭
@hishamally4846
@hishamally4846 Год назад
nakshii manii
@mdsaid1527
@mdsaid1527 Год назад
Kila Jambo Lina sababu huenda ni kher kwako shekhe kuondolewa katika chemo hicho
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Год назад
Hakuna siri TN baina ya mwislam na mwislam ndugu yake 'kuitana wake chini water shida Zao wenyewe lazima Yao wafike mitandaoni njo wawajue kia wasomi
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 года назад
Jamaa anawapeleka watu peponi tu
@tracemsolla7604
@tracemsolla7604 Год назад
😭😭😭
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 Год назад
Asiekujua atakuonea huruma
@kessytajiri6320
@kessytajiri6320 Год назад
Mwamba Mussa Salum alijawa Kiburi. Acha akae pembeni, imetosha.
@omarimasanga
@omarimasanga 2 года назад
Huu ni msikiti gani?
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Год назад
Shekhee ALHAD analia mmmmmh kweli. Maji .yamezidi unga cheo. Kineenda kwa kuto kupendana majungu hayoo
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
huyu kinachoörisha cıo kukosa kaz ya uongoz n khof ya kuish hapo mjinin maana alkuwa akıwasema mashekh wenzake NJAA tu cjuı hamna pa kwenda sasa leo yyy atakuwa mgen wa nani??????
@allymwazoa8750
@allymwazoa8750 Год назад
Muhadhara huu niwamuda mrefu hauhusiani chochote na yaliyotokea karibuni.Mola ayatengeneze yote yaliyoharibika ktk mambo ya waislamu.
@abusultanzimbawy501
@abusultanzimbawy501 2 года назад
Si ww ulpata Ushee kwa kuaguliwa ulipewa Ushee na wagaga kule Mkoa wa pwani na pia masasi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
WEWE UTOPOLO NDIO MAMBO YENO HAYO 🤣🤣🤣🤣🤣 MTANIIIII
@abusultanzimbawy501
@abusultanzimbawy501 2 года назад
Wewe wacha unafiki
@sashawambura
@sashawambura Год назад
Anastahili msamaha kwa kujutia aliyo kosea..
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Poole ulijusahau Sana
@binallyamuz6895
@binallyamuz6895 Год назад
Ukikosa madaraka na kula hii ndo shida yake
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
anakuvumilia sana upuuzi wako
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 Год назад
Nimeumia kwakweli ht km ana makosa wasingefqnyq harakq hivyo
@kashobatv7710
@kashobatv7710 Год назад
Shekh akida yake inachangamoto
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 Год назад
Kwa nini hawa mabakwata wana videvu vya nandi ndevu kwao hawataki kabisaa sijui kwa nini au ni wale makachero ya nyerere
@hashimmazige
@hashimmazige Год назад
Kupokezana ktk madaraka ni Jambo la kawaida unakililia cheo ulitaka uongoze Hadi kifo? Lazima uamini qadar, pia hata mimi uliniuzi kusimamia kuua ndoa ya mtu si Jambo zuri, wewe ungejisikiaje kama unakorofoshana na mkeo hakuheshimu Halafu ukagundua Kuna kiongozi anampa taraka huoni nawe unamtia kiburi mke wa mwenzio?
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Год назад
Unalialia ki sinema tu, kwa makosa yako hukustahiki kuwa Sheikh mkuu.
@saidkahulu6112
@saidkahulu6112 Год назад
Allah ndo mwenyekujua imani ya kila mtu tusihukumu jamani
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 Год назад
Hubay bin salul kumbe bado mpo ulikuwa shekh wamipasho
@saidmussa9587
@saidmussa9587 2 года назад
Hill jinafka hili halielewek kilsto au pagan
@makameshibli2797
@makameshibli2797 Год назад
muogope Mungu ndugu yangu una uwezo wa kumjua mnafiki
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Год назад
Itanani waislam make chini mmalize shida zenu kiwislam kiundugu bila mitandaoni inaumalkn Sawa nyie niwasomi
@rosekitunda1563
@rosekitunda1563 Год назад
Utumishi ni kalama
@aly_asgar
@aly_asgar Год назад
Bora katolewa
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 Год назад
Mwaka kapewa nguvu bila jasho
@saadomar2480
@saadomar2480 Год назад
Lkn alhad nimwanachuoni. .mwaka nimfanyabiashara. Hanalolote
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 года назад
Hana lolote msanii tu huyu
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Год назад
Hahaha umezingua Sana wewe
@uledihassan6065
@uledihassan6065 Год назад
Msanii huyu
@jumaarashidi6265
@jumaarashidi6265 Год назад
tahira
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Sasa anamliza mzee wa watu
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Год назад
hahahaaaa
@markazalqaim
@markazalqaim Год назад
🤣🤣🤣🤣shahada ya firaun
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
Huyu msanii sana katoka kulia kwa marehemu kaja kumlilia mufti eti anamvumilia ili azidi kumvumilia kwa upuuzi wake kilamtu anamjua anaachisha ndoa za watu halafu anawatomgozaa wanawake walioachanishwa na yy dah huyu jamaa noma ila iko siku kiti anachojigamba nacho kitamfedhehesha tu maskini samaah mufti mkarimu mchamungu mtu wa watu ila kwa huyu hapana msani tu
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 2 года назад
Wewe mpuuzi sana ukiambiwa utoe ushahidi unaoo?
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
ushahidi anao ndo akasema..kwn we hujui
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
@@abdulrahmanmwadini5925 mpuuzi niww unaeongeaa upuuzi na kutetea wapuuz kuna Lundo la mashahidi ninaaakili timamu najua ninachoandika kwahio usitete watu wenye makosa we unajua kuachanisha wana ndoa arshi inatikisika au hujui dhambi yake kwahio mwambie msanii wako Allah anamuona na atamlipa atubu haraka na awe muadilifu. Laasivo machungu aliowafanyia watu hayatapita bure kamaatadinu tudanu what's goes around comes around hakuna mkamilifu tubuu taubatan nasuhaa
@abdaraudugu33
@abdaraudugu33 Год назад
@@sudaissaid8428 wewe jivishe uungutu kujifanya unajua yaliyopo nyoyoni mwawatu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@sudaissaid8428 MWACHE ALIEULIZWA AJIBU MWENYEWE HAJAKUULIZA WEWE KUNA HESABU SIKU YA KIYAMA
@salmakaratta1420
@salmakaratta1420 Год назад
Bismillah,kwa kiongozi mkubwa kama huyu ilitakiwa kutumika hekima na busara kukaa naye kumueleza mapungufu take,kwa maana ss binadamu hakuna mkamilifu.
@sheikhfirdaus9857
@sheikhfirdaus9857 2 года назад
Mashaallah
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 Год назад
Hubay bin salul kumbe bado mpo ulikuwa shekh wamipasho
@ibrahimundee5234
@ibrahimundee5234 Год назад
Mungu atuepushe nauchi wamadarak mbaya Sana kulewa namadaraka
@magrethchussi386
@magrethchussi386 Год назад
Hawakumtendea haki kwa nn wasimuite kwenye baraza hakumlazimisha Mkewe Dr Mwaka kutengua ndoa yake bali ni matakwa yake Queen mbona hadi leo anaitaka talaka yake ilaanazungushwa pana kitu nyuma ya pazia mdhambi kubwa sn mliyomtendea Sheikh kumtengua na inasikitisha sn sn
Далее
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37