Maa nshaallah! Shekhe washauli Wenye ndoa zishikeni vizur ndoa ni hadimu wanawake wengi hawana ndoa na wanatamani kuzipata hawazipati. Allah akupe jana Shekhe kwa kazi kubwa uliyo ifanya,. In shaa allah
Masha Allah Masha Allah!! Baba kobelo ume ongea sanaa. Zoezi liendelee na mwakani Insha Allah. Ila safari ijayo wenye Wake mmoja mmoja pia wapewe nafasi ya kuongeza ili wajane tustirike Insha Allah.
Manshallah Allah awalipe kila la kheri ma sheikh ila muwaelekeze na ma sheikh wa inching nzingine wako na uwezo wafanye hivo kwasababu si 🇹🇿 tu iko na hiyo shinda
Jaman Mnavisa nyinyi we sheikh jafar ha ha Mwachen Shwikh Nurdiin mwenyewe katulia pirika hizo alizonazo kisha aongeze mke si nikujitia mashakan jaman😢Mwachen Mama yetu Maijemkamtia preasure😀😪
Asalaam alykm nimpongeze shekh Nurudin Kishki nimefurahi kukuona na mtoto abduli akiongea mimi nakuombea kwa mwenyezi Mungu akujalie kila la kher mimi naitwa Safina almasi irika nipo singida natamani uje kwetu utuombee nasi tupate waalimu wakutufundisha pamoja na watoto wetu,,
Sheikh kishiki kuoa wake mpaka 4 si tatizo lkn wanaume wengi hawana mahaba ya kweli kwa wake zao pia wengi wanawaacha ovyo wake zao bila hata sbb yeyeto.
Katika historia ya tz sheikh kishki ameeka hitoria pia kile alichokifanya hakijawahi tokea tanzania In Shaa Allah mungu amlipe kheri yeye na kamati nzima ya Al hikma na wote walochangia.. Amiin
Namkubali sana kishki, kwenye masuala ya kuoa hafati mkumbo, ana misimamo yake ya kisheria. Pia Mtume alikuja kuongeza baada ya kufa Khadija. Kishki الله akutunzie Khadija wako.
Kwakweli Shekh ulioongea yoote yapo juu ya mstari na saiz tunafanyiwa Kila njia ili Zinaaa ionekane jambo la kawaida na wameshafanikiwa utamkuta mwanafunzi tu wachuo Muislamu anaishi chumba kimoja na John pita pasta wanawake wengi saiz hawazitaki ndio