Тёмный

Sheikh Nurdin Kishki na Ustadh Shafii Walivyojibu Hoja za Wakiristo Juu ya Majini na Uisilamu 

Ustadh Shafii Online Tv
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

usisahau Ku subscribe channel hii

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 4 месяца назад
Mashaallah . Mada nzuri masheikh zetu Allah awahifadhi duniani na akhera 👏
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 8 месяцев назад
Maashallah ma sheikh endeleeni kupana ujuzi Allah pekee njo atawalipa
@ArafaSuleiman-u4j
@ArafaSuleiman-u4j 2 месяца назад
Maashallah tunawapenda sana masheikh wtu
@brotherblood728
@brotherblood728 8 месяцев назад
Ujumbe Mujarab kabisa MaashaAllah
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 8 месяцев назад
Masha'allah Masha'allah
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 8 месяцев назад
Shekhee Allaah akulinde
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 8 месяцев назад
Maasha Allah, Wallah Uislam raha sana
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 2 месяца назад
Salam alk ustadh shafi sisi hatuna elimu na tunajifunza ningeomba hichi kipindi kiendelee
@pekeetv
@pekeetv 8 месяцев назад
Maashaallah
@OmariSuleiman-n3y
@OmariSuleiman-n3y 8 месяцев назад
Shafi ukifa huozi kam kweny mpira tungekuuita maestro kiboko ya shombo chukuwa mauwa yko🎉
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 месяцев назад
Allah anamuombea Dua kazi kweli kweli duuuuuuuu!!!!!
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
Elimu yenu ndogo sana mmeweza kusema yesu mungu mwenyewe hajawahi kusema hata sehem moja sasa utaelewa lugha ya kiarabu wakati hujaisoma?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 месяцев назад
@@MohamedMohamed-u3t1n wewe nihonyeshe wapi kwenye biblia Yesu alikataa alipoitwa Mungu nakuonyesha kwenye biblia Yohana 20:28 ,29 anakubali kuitwa Mungu akamwambia umeniona umeamini au umesadiki na pengune mathayo 28:17 wakamusujudia hapo je alikataa kusujudiwa ? Nyie waislamu mna yesu feki awezi kuwa Mungu ndomaana wakristo tunamkataa huyo Allah wenu sio Mungu wakweli njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 месяцев назад
@@MohamedMohamed-u3t1n elimu yetu ndongo wakati Muhammad alikutwa ajui kusoma Wala kuandika na huyo unamuweka wapi na nyie waislamu mmemfuata mtu kama huyo kilaza Soma Quran 7:157 hona alivyokuwa kilaza na nyie waislamu mnekuwa hivyo hivyo
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 8 месяцев назад
Allah pia nae anaomba? Hii nayo kali
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 8 месяцев назад
Subiri Mume Uolewe Wewe Mana Tayari Papa Kashawaambia Mfirane Subiri Uolewe
@Allykitambi-g4u
@Allykitambi-g4u 8 месяцев назад
Nyie wakristo acheni kushabikia vitu msivovijua baada yake jifunzeni mutagundua kitu
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 2 месяца назад
Shetani alimwambia ikiwa wewe ni...? Naona Sheikh hapo kapindisha kidogo😁😁, but all in all ujumbe mzuri sana wa kujifunza isipokuwa tu kwa wale wenye shingo ngumu hawatoelewa.
@alisaideabdala9784
@alisaideabdala9784 8 месяцев назад
Sheikh S.S.P wape hawo
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 8 месяцев назад
Wakristo tofautishen kat ya majin na shetan
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 8 месяцев назад
Wote wamelaaniwa yaani wamekataliwa kwenye ufalme wa Mungu alafu nyinyi munayapokea munaishi nayo.Kiimani mungu wa waislam tofauti na Wakristo Mungu wetu sisi anamwana ambae ni Yesu Kristo na ukimpokea huyo wewe ni kama lulu yaani kwa uwezo wa Mungu anatuma malaika zake wakulinde siku zote lakini sio kutumia majini na waganga. Nyinyi mkitaka kufanikiwa majini ,ulinzi majini,kuroga majini,kutibu ni miti shamba na majini ondoa nuksi majini maisha yenu siku zoote ni majina na waganga.Wote waabuduo sanamu Motoni
@shabbymakapane
@shabbymakapane 8 месяцев назад
@@andrewmhagama9816Soma BIBILIA Wewe halafu Wacha KUKUFURU eti Kuna MIUNGI Zaidi ya Mmoja ? Soma Bibilia
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 8 месяцев назад
@@shabbymakapane Elewa vizuri narudia kiimani Mungu wa waislam tofauti na wa Wakristo .Shetani atawapepeta kama ngano.Nyinyi mnaabudi msicho kijua
@shabbymakapane
@shabbymakapane 8 месяцев назад
@@andrewmhagama9816 Ni Kweli Hujakosea Ndugu , MUNGU wenu Sio Wawa Islamu Maana Wenu Anawaogopa Wanadamu Aliowaumba 😜😜😜 YOHANA 8:14 YESU Akajibu , Akawaambia, Mimi Ingawa Najishuhudia Mwenyewe Ushuhuda Wangu Ndio Kweli ; Kwa Sababu Najua Nilikotoka Na Niendako ; Lakini Ninyi Hamjui Nilikotoka Wala Niendako 🙏🙏🙏15 Ninyi Mwahukumu Kwa Kufuata Mambo ya Mwili ; Mimi Si Mhukumu Mtu 🙏🙏🙏 16 Nami Nijapo Hukumu , Hukumu Yangu Ni Kweli ; Kwa kuwa Mimi Si Peke Yangu , Bali Ni Mimi na Yeye Aliye Nipeleka , 🙏🙏🙏 huyu ndio 😂😂😂 YOHANA 17; 3 Na Uzima Wa Milele Ndio Huu Wakujue Wewe , Mungu Wa Pekee Wa Kweli ; Na YESU KRISTO Uliyemtuma , 🙏🙏🙏 YESU Ni Mkweli Hana MBAMBAMBA Yeye Ametimwa kazi Kwenu Nyie Mnaompa Yesu UUUNGU 😁😁😁🤪🤪🤪. MATHAYO 12:29 - 29 Na Mmoja wapo Wa Waandishi akafika ,Akawaaikia Wakisemezana naye , Akatambua ya Kuwa Amewajibu VEMA , Akamwiliza , Katika Amri zote ni Ipi iliyo ya Kwanza ? 29 YESU Akamjibu, Ya Kwanza Ndio hii , Sikia, ISRAELI ,BWANA MUNGU Wetu ni BWANA MMOJA :🙏🙏🙏 LUKA 18:18. Tena, Mtu Mkubwa Mmoja Alimwiliza , Akisema, Mwalimu Mwema , Nifanye nini ili nipate Kiuurithi Uzima Wa Milele ? 19 YESU Akamwambia , Mbona kuniita Mwema ? Hakuna Aliye Mwema Ila Mmoja , Naye Ndiye MUNGU , 🙏🙏🙏 Unaona MUNGU Wa YESU Ndio MUNGU Wa WAISLAMU 🙏🙏🙏 Maana na YESU Anajuwa Kuwa DINIANI Kuna MUNGU MMOJA Na Yeye ni Mtume 🙏🙏🙏 😜😜😜 Kazi Kwenu nyie Mnaojipangia MIUNGU Zaidi ya M MMOJA ,😜😜😜 Ndio Maana Nilikwambia SOMA BIBILIA , Msikie Mtume. YESU , YOHANA 8:21 Basi Akawaambia tena , Mimi Naondoka , Nanyi Mtanitafuta : Nanyi Mtakufa katika KATIKA DHAMBI YENU :😜😜😜 Mimi Niendako Ninyi Hamwezi kuja ,😜😜😜 YOHANA 12:36. Maadamu Mnayo Nuru Iaminini Nuru hiyo , Ili Mpate Kuwa Wana wa NURU . Hayo Aloyasema YESU , Akaenda zake , AKAJOFICHA WASIMWONE😜😜😜👏👏👏 Huyu sasa Ndio MUNGU WA WAKRISTO 🤣🤣🤣🤪🤪🤪 MARKO 16:34 Ma Saa tisa YESU Akapaza SAUTI Yake kwa Nguvu , Eloi , Eloi , Lama SABAKTHANI ? Maana yake , MUNGU WANGU , MUNGU WANGU , Mbona Umeniacha 😂😂😂😜😜😜👏👏👏 Mungu wa Wa KRISTO Huyo Naye Analilia Msaada kwa Mungu wa WAISLAMU,😁😁😁
@shabbymakapane
@shabbymakapane 7 месяцев назад
@@andrewmhagama9816 1. SAMWELI. 28:5 - 8 Basi Alipowaona hao Majeshi ya WAFILISITI , Huyo SAULI Akaogopa , Na Moyo Wake Ukatetemeka sana, 6 Lakini SAULI Alipouliza Kwa BWANA , BWANA Hakumibu , Wala Kwa Ndoto ,Wala Kwa URIMU, Wala Kwa MANABII ,7 Ndipo SAULI Akawaambia Watumishi Wake Nitafutieni Mwanamke Mwenye PEPO Wa UTAMBUZI , Nipate Kumwendea Na Kuuliza Kwake . 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ 7 Watumishi Wake Wakamwambia , TAZAMA , Yuko Mwanamke Mwwnye PEPO Wa UTAMBUZI Huko ENDORI 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ 8 Basi SAULI Akajigeuza , Na Kuvaa Mavazi Mengine, Kisha Akaenda , yeye na Watu Wawili Pamoja naye, Wakamfikilia yule Mwanamke USKU ,🤪🤪🤪🤣🤣🤣 👏👏👏 wewe Unaanzaje Kumkataa SHETANI AKA PEPO ???
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 8 месяцев назад
Wanajua tatinzo awasomi waumini kwenyekwaya mmmm😮😮
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 8 месяцев назад
Hakuna binadamu anaezaa mtoto mwizi isipokua mtoto mwenyewe ndo hujakua mwizi sasa Mungu hakuumba majini yawe majini Aliumba malaika wema wote ila ibilisi akaasi na wafuasi wake basi wakapewa adhabu wakatupwa duniani ndo Hawa majini. Majini yote n waasi full stop
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 8 месяцев назад
We mkristo tofautisha jini na malaika aiseeeh malaika kaumbwa kwa nuru jini kaumbwa kwa moto
@officialdeking
@officialdeking 8 месяцев назад
Elimu hafifu soma sana mkuu
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 7 месяцев назад
Tafuta elim acha kutia aibu Jin ni jin na maraika ni maraika
@IsmailElmazroui
@IsmailElmazroui 7 месяцев назад
Malaik wt ni wema Kwa mwenyez hawapong akiwa mtoa roho, anaedhib, na llt like baya Kwa mungu ni mwema mbaya atakuw Kwa binadam Kwa matendo yke
@MAGUNGAGinger
@MAGUNGAGinger 4 месяца назад
Hakuna malaika aliyewahi kumuasi allah
@abuuwandi1354
@abuuwandi1354 2 месяца назад
Kwan ukibatizwa ndio unakuwa mkiristo?au unakuwa mwanafunzi soma vzr bibliya ili ujuwe maana y kubatizwa n nn
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 7 месяцев назад
Dini ya majini… danganyeni wasiojua uislam.
@MAGUNGAGinger
@MAGUNGAGinger 4 месяца назад
Elimu huna
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 3 месяца назад
@@MAGUNGAGinger Sahih Muslim 450 a Imepokewa na Dawud kutoka kwa Amir ambaye alisema: Nilimuuliza Alqama kama Ibn Mas'ud alikuwa pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) katika usiku wa Majini (usiku alipokutana nao Mtume). Akasema (Ibn Mas’uad): Hapana, bali tulikuwa pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) usiku mmoja tukamkosa. Tulimtafuta kwenye mabonde na vilima tukasema. Ama amechukuliwa (na majini) au ameuawa kwa siri. Akasema (msimuliaji). Tulitumia usiku mbaya zaidi ambao watu wangeweza kuutumia. Kulipopambazuka tukamwona akitokea upande wa Hiri'. Aliripoti (msimuliaji). Tukasema: Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tulikukosa na tukakutafuta, lakini hatukuweza kukupata na tukapitisha usiku mbaya kabisa ambao watu wanaweza kuutumia. Akasema (Mtukufu Mtume): Alinijia mualikwa kwa niaba ya Majini na nikaenda pamoja naye na kuwasomea Qur'ani. Akasema (msimuliaji): Kisha akafuatana nasi na akatuonyesha athari zao na athari za makaa yao. (Majini) walimuuliza (Mtukufu Mtume) kuhusu riziki yao na akasema: Kila mfupa unaosomewa jina la Mwenyezi Mungu ni riziki yako. Wakati itakapoanguka mkononi mwako ingefunikwa na nyama, na mavi ya (ngamia) ni lishe ya wanyama wako. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: Msifanye istinja kwa (vitu) hivi kwani hivi ni chakula cha ndugu zenu (majini).
@BobgIsmail
@BobgIsmail 2 месяца назад
Wakristo walimuwenu ni waislam tunaijua bibilia zaid ya wachungajiwenu wote duniani
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 2 месяца назад
@@BobgIsmail 😂😅😅😅. Wewe sijui umevuta bangi au nini? Unasema nini
@godwinmsuya6080
@godwinmsuya6080 7 месяцев назад
Na haswa huyo Shafii ana jini maimuna......
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 7 месяцев назад
😂😂😂😂ametema madin ya kiwango Cha juu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 8 месяцев назад
WENGI WANAJUA UKWELI LAKINI WANAUFICHA KWA UWONGO Wengi wao wanajua Ukweli lakini wanauficha kwa Uwongo wanaouzambaza. Ndio maana wakaitwa Makafiri.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 месяцев назад
Makafiri ni nyie waislamu ndungu za majini au mapepo wachafu Soma Quran 6:128 uone mtakapopelekwa nyie na majini mapepo wachafu na waislamu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 8 месяцев назад
MALENGO YA MAKAFIRI @@prochesernest5439 Sijui kama Kiswahili ni lugha yako ya Tatu au hujui maana ya Kafiri ambalo ni neno la Kiarabu na Kiswahili. Qur'an imelezea Imani na Malengo ya Makafiri dhidi ya Waislam. Tafauti na Biblia, kuna Surah ndani ya Qur'an inaitwa Makafiri.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 7 месяцев назад
@@prochesernest5439 QURANI 6:128 Na ( WAKUMBUSHE ) Siku Atakayo Wakapo Wakusanya Wote , ( Awaambie ); " Enyi Makundi ya MAJINI ! Hakika Nyinyi Mmechukuwa WAFUASI Wengi katika WANADAMU ," Na Marafiki Wao Katika WANADAMU ( WATAGOMBANIA ) Waseme : " Mola wetu! Tulinufaishana Sisi na Wao . Na Tumefikia MUDA Wetu Uliotuwekea ," Basi ( MUNGU ) Atasema ; " MOTO Ndio Makazi yenu . Mtakaa Humo Milele " Ila Apende Mwenyezi MUNGU ( Kuwa Rehemu ) ; Hakika Mola wako Ndiye Mwenye Hikimab ( Na ) Ndiye Ajuaye , 130 . ( Siku ya KIAMA Wataambiwa ); " Enyi MAKUNDI YA MAJINI na WANADAMU ! Je, Hawajakufikieni MITUME Miongoni Mwenu Kukubainishieni Aya Zangu na Kukuonyeni Mkusanyo wa Siku yenu hii ya Leo ? " Watasema : " Tumeshuhufia Juu ya Nafsi zetu ( Kuwa Sisi WABAYA ", Na YALIWADANGANYA MAISHA YA DUNIA . Nao Walijishuhudia Wenyewe ya Kwamba Walikuwa. MAKAFIRI , 🤪🤪🤪😜😀😀. Aya Zinasema. MAJINI NA WANADAMU MAKAFIRI MOTONI JIKO LINAWAHUSU 😁😁😁. Swali kwako @prochesernest 5439 Wapi ANDIKO Linasema WAISLAMU MOTONI ??? 😂😂😂 Wewe @prochesernest5439 Tanuli la MOTO Linakuhusu 😄😄😄 Jitahidi sana Kupotosha Aya za QURANI Lakini Juwa JAHANNAMU Inakuhusu 😹😹😹
@joephmaukilo
@joephmaukilo 8 месяцев назад
Wakristo hatusemi Muhamad ameleta shetani ila yeye amesilimisha shetani na majini nao wamesilim lakini Yesu alimfukuza shetan akamwambia nenda zako shetani sasa nyinyi mashehe apo mutusaidie wapi majini walibatizwa wakawa Wa Kristo.
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
Hizi ni porojo tu hakuna kitu kama hicho ni mbinu wakiishiwa hoja wakristo wanakuja na porojo hizi
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
Hakuna siku mtume muhammad amesilimisha shetani huu ni uongo halafu shetani ni sifa na nyinyi hamjui maana ya kusilimu ndio mana mnapata tabu na porojo hata mkristo akisilimu maana yake sio mkristo tena ukisilimu unaacha sifa yako ya zamani mbona vichwa vyenu vigumu nyie watu majini ni viumbe waliishi duniani kabla ya binadamu wapo miongoni mwao wema na wengine waovu
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
Hakuna kitu kama hicho mtume muhammad amesilimisha shetani halafu nyio wakristo sio wasomi wa masomo ya dini ndio mana mnapata tabu ukisikia kusilimu maana yake unaacha sifa ya zamani ya ukafiri hata mkristo akisilimu huwezi kumuita kafiri kwa sababu kishasilimu
@Ramadhan12623
@Ramadhan12623 8 месяцев назад
Hapo mnakosea joeph ye kauliza mbn Muhammad kamsilimisha shetan, na majin, Kwanza kataja shetan na jini hiv nivitu viwili tofaut, Shetan ni sifa na jini ni kiumbe ila uyo uyo jini anaweza kuwa shetan hata binadam anaweza kuwa shetan, ndo mana yesu alimwambia yuda msalit toka Ee we shetan kwamaana umekuwa kikwazo, kwan uyu alikuwa ni jini, Shetan ambae awez kuwa mwema hata afanyaje ni Yule alielaaniwa na Mungu kule mbingun na awez kusilim ye kashapewa laana ya milele na ni Kiumbe wa moton uyo ndo ibliiis alielaaniwa, ila Qur'an inatuambia alikuwa miongon mwa majini aliasi amri ya Mola wake, kwahy bas jini yeyote au mwadam yeyote akias amri ya Mola wake kwakupitkia mipaka unachukua sifa ya ushetan ila ukitubia Kwa Mungu kabla ujaf anakusamehe lakin ibliiis Yule alielaaniwa kule Mbingun awez kutumia na hata akitumia akubaliw toba yake kwasabab alifany kibr mbele ya Mungu kwakukataa kumpa heshma Baba yetu aAdam na kuleta maneno ya kejel juu ya uumbaj wa Mung nakujiona yeye Bola, lakn hawa majin wengne wakiomba toba wanasamehewa nakumbuka shetan Pia anamajesh yake ambao nao kaz Yao kubwa kutaka kuwapoteza wanadam kama walivyotumwa na ibliis, na Pia wapo ambao wanapgania haqq na kuwalingania hao majin wenzao ambao wepeas kulejea Kwa Mungu, kama tulivyokuwa Sisi wanadam na majin ni Weng kuliko binaadam, Mungu anasema sikupata kuumba majin na wanadam isipokuwa ni Kwa lengo lakuniabudu Mimi Kwa hiyo Sisi sote tumeumwa Kwa lengo la ibada ndo mana moto umeandaliwa kwaajil ya wanadam na majin, Wapo katika majin waislam na Wapo katika majin wakristo na din nyingine nyiing hapa dunian, na kuwasilimisha majin sio vibaya kama unavyowasilimisha binadam kwamfano jini amemvaa mtu anapandixha mashetan maana akishaingia kwny mwil WA mtu teal ni shetan kwasabab Jin aruhusiw kukaa katika mwil WA mtu Kwa ukimkemea nakumuamuru nakutajia ukubwa wa Mungu na ukamtak atoke kweny hizo Mila mbaya alizokuwa nazo awe Muislam aachane na maswala yakuwaingia binadam na kufanya dhulma kwasabab uslqm umekqtaza dhulma miongon mwazo nikuingia kwny mwil WA mtu
@shabbymakapane
@shabbymakapane 7 месяцев назад
Lete Andiko Ndani ya QURANI MUHAMMAD Amemsilimisha SHETANI ,
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 8 месяцев назад
LOL! MUNGU WA WAKIRISTO ALICHUKULIWA NA IBLISI😂
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 8 месяцев назад
Kwahiyo muhammad ndio ikabidi awasilimishe majini?Sisi tunaamini Mungu wetu yupo katika roho na kweli akilaani kitu amekilaani sio kama mwanadamu,Majini na mapepo wabaya wote wamelaaniwa.Mambo ya Walawi 19:31 Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. Kumbukumbu la Torati 18:9-12 Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale. Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa Bwana; kisha ni kwa sababu ya hayo Bwana, Mungu wako, anawafukuza mbele yako. Matendo ya Mitume 16:16-18 ( Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua. Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu. Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile .
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 месяцев назад
Sa mbona umeandika gazet kubwa halafu Halina maana,embu rud kaskilize tena uelewe
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 8 месяцев назад
@@huseinshedrack6180 Ili muelewe kuwa Mungu achangamani na majini mnatafuta pa kutokea lakini hiyo imewabamba.Mtatumia majini na mauvumba mpaka lini Munatakiwa mumuabudu Mungu katika Roho na kweli ili mpate kukombolewa haisee nyinyi mnajidanganya na bado mpo utumwani.Mnamwabudu shetani rusifer huo ndio ukweli.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 8 месяцев назад
😂😂😂 Mwambie huyo
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 месяцев назад
@@shabbymakapane huyo ni dish yy anasema Mungu wao amesha komesha Majin na lkn huyo huyo Mungu wao anakaa na Mashetan Wana piga story km marafiki wa dam,yaan biblia ni changamoto aisee
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 месяцев назад
Ayubu 2:2 [2]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
@ahmedmartin
@ahmedmartin 8 месяцев назад
nyie wakristo wa kizazi cha yesu jinn na binadam nani wawanza kuumbwa
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
Hawa wa paulo yesu hawajui hawa
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 месяцев назад
Najua Mlidanganywa na Allah wa Makka wa Muhamad eti Majini waliumbwa kwanza Kisha ndiyo akaumbwa binaadamu 😂😂😂 huo ni UONGO wa Allah wa Muhamad!!
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 8 месяцев назад
@@paulmushi2428 una andiko au unaropoka tu?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 месяцев назад
​@@MohamedMohamed-u3t1n Soma Biblia Mwanzo 1: 26-31 Maandiko ni hayo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 месяцев назад
​@@MohamedMohamed-u3t1n Kwa Mujibu Wa Biblia YESU KRISTO anatutambua Sisi tuliokubali kufuata YOHANA 14:6 na YOHANA 8: 12, YOHANA 6: 37
Далее
Как улучшить шоколадку Милка?
00:35
RAFIKI WA ALLAH NI YUPI ? SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:12:40
Просмотров 15 тыс.