Тёмный
No video :(

Sheikh wa Uamsho aeleza jinsi walivyoingia katika harakati za mabadiliko ya katiba 

BBC News Swahili
Подписаться 615 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Sheikh Msellem Ali ni moja ya vinara wa kundi la Uamsho ambao hivi karibuni waliachiwa nchini Tanzania baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka saba.
Katika mahojiano haya na mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja, Sheikh Msellem anaeleza namna harakati zao katika mchakato wa mabadiliko ya katiba yalivyosababisha wakamatwe na kuzuiliwa mahabusu. Pia anazungumzia maisha yao ya kila siku ya gerezani yalivyokuwa.
#bbcswahili #Tanzania #dini

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 210   
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 3 года назад
Allah ametusmamia hatimae mumetok mashekh wetu Allah awape subra na ustahamliv pia anyoosh maishayenu yawe mazur inshallah
@abuunajat4450
@abuunajat4450 3 года назад
Upo sahihi sheikh mselem Allah akufanyie wepesi katika mambo yako yote tupo pamoja inshaallah ujumbe umefika ahsantee sana
@ahmedabry3508
@ahmedabry3508 3 года назад
Mashallah sh msellem namkubali Sana anajua nini anachoongea... Allah amuweke yarabb
@salehsuleimanmbaruk2645
@salehsuleimanmbaruk2645 3 года назад
Kuna siku hii hakki itarudi na itakuwa sawa wallah na na allah ndio ameahidi hii
@muhammedkhamis1407
@muhammedkhamis1407 3 года назад
Insha Allah Shekhe Wangu Haki Hayizami Allah Akufanyiye Wepesi Fi Duniya Wali Akhera Pia Maneno Yako Yapo Juu Ya Mstari
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 года назад
Hongera
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 3 года назад
Imagine BBC hamuwezi kurusha ujenzi wa meri ziwa victoria hamuwezi zungumzia Ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme hamuwezi rusha namna vijana wanaweza jiajiri ....mtahoooji hao mkiona wananchi hawana time mtaenda kuhoji Tundu lisu mkitoka kwa lisu mtaenda kwa mboowe ......haki ninyi niwachochezi sana
@alfredfanuel5536
@alfredfanuel5536 3 года назад
Nakuunga mkono kk
@bakariamour6024
@bakariamour6024 3 года назад
Kwa iyo wewe hupendi bbc wanavyohoji watu walionyanyaswa wasitoe dukuduku lao ? Basi inawezekana ikawa mmoja wa wawatesaji
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 года назад
@@bakariamour6024, naunga hoja yako ndugu, yawezekana huyu KAMALO ni damu ya kizazi kisichopenda haki...
@imash04tv20
@imash04tv20 3 года назад
kajifundishe kuongea kwanza ww hata kuongea hujui eti meri sasa meri ndio nn hile ni meli ...halafu wamsubiri binti kiziwi ahojiwe ukamuangalie kwa hamu wakati alifanya uhalifu hao masheikh wameonewa ww unaleta usiasa wako wauwaji wakubwa nyinyi yani watu wanahasira ww mshenzi ingekua unajulikana ulipo ww ungefahamishwa kidogo
@athumanijuma3085
@athumanijuma3085 3 года назад
Uchochezi wao uko wapi? Sisi wananchi tunahitaji tuwe na Katiba mpya hayo mambo ya mambo ya mabwawa yanatusaidia nn kama hatuna sauti na juu ya kuishauri Serikali? Angalia mambo ya miamala
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 года назад
MIHAZARA YA DINI NA TAFSIRI ZA QUR-AAN YOTE MWENYEZI MUNGU AMEYAELEZA TABIA ZA FIRAUNI WATU MAJAHIL KIBRI WAHUNI WAIZRAILI HAWASHUKRANI NA YOTE HARAMU NA DHULMA MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MOTO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥UNAWASUBIRI MOTONI NYUMBA ZAO HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 года назад
Watu wawema sana wazanzibari maadui wa dini ya kiislaam nyerere alifanya mathambi huko nyuma aliharibu sana sasa hata miyaka mia haitabona hiyo donda
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
Sheikh Mselem bin Ally tunakupenda kwa ajili ya Allah hakika wewe unakipaji cha kuongea na maneno yako yamejawa na falsa wenye akili timam ndio tunakuelewa
@ramadhanimatanza9514
@ramadhanimatanza9514 3 года назад
Ahahaaaaa INA maan wasio na akili hawatamuelew ahahaaaaaaa ila lweli
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
@@ramadhanimatanza9514 yaa km kina balozi seif Ally iddy
@mayasahamisi1233
@mayasahamisi1233 3 года назад
Ametumwa huyu sis tunaelewa
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
Katumwa na baba yako
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 года назад
@@abuubakalmtangenange4389 na mama yake pia umemsahau😅
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Kwahiyo wewe sasa umekuwa mhalifu mkubwa zaidi baada ya kutoka gerezani , maana umesema wahalifu bongo wakitoka jela ndio wanakuwa wahalifu zaidi?
@nasirahmed3295
@nasirahmed3295 3 года назад
Mahojiano na Maswali aloo fanya huyu polisi mbona la msingi alifanyiwa vipi
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 года назад
Yan BBC wanavyoichungulia Tanzania kana kwamba makao makuu yao yapo hata Tanzania
@the_white_43.
@the_white_43. 3 года назад
kwani hapo kosa ni lipi...kumuuliza huyo shehe ni kosa...da,,,,wanzania..
@hassanjr5318
@hassanjr5318 3 года назад
Masheikh walitumiwa na wanasiasa
@komboomar8275
@komboomar8275 3 года назад
Thibitisha kwa hoja sio kupiga mdomo tu
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 года назад
Mashekhe sio wageni,ni raia wa Tanzania na wanahaki kutoa maoni yao kuhusu mustaqbal wa nchi yao. Hata mapadri pia wanatoa maoni na katiba inawapa mwanya huo kwa vile ni raia.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 месяца назад
​@@ahmedalbalooshi8518wanaongozwa na katiba au Qur'an?
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Год назад
Ww kuikosoa selekali hadharani nikosa kubwa sana Kwa mujibu wa wanawazuoni wa ahlu sunna wal jamaa
@alawiyaalimakame4918
@alawiyaalimakame4918 3 года назад
Aliy
@husseinparco9640
@husseinparco9640 3 года назад
Hakiiii haito potea Shehe wetu na Haki Itasimama na wale viongozi wote wali Wazulum na Wao Allah Atawaonyesha ikiwa wapo Duniani au Washatangulia lakin Watakiona
@priscasantony7404
@priscasantony7404 3 года назад
Mungo ww ulikuwa na lako ukifanya tena jama watawachukuwa tena bora lea wanao tu
@edlumala9428
@edlumala9428 3 года назад
Pigania haki yako mpala tone lako la mwisho! Kama ulionewa fungua case kushitaki serikali kwa udhalimu waliokufanyia! Kama unajua hujafanya kosa lakini.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Kwani sheikh muongozo wako ni upi Kati Qur'an na katiba?
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 года назад
*Hii Dini Inapenda Kuchaafua Amani, Somalia- Al Sbabab , Nigeria - Boko Haram*
@karimmkejina980
@karimmkejina980 3 года назад
Ndio akili ya makafili hiyo ilipoishia sio kosa lako
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 года назад
@@othmanalnabhany3208 *Wewe Una Akili - Coz Haujui Asili Yako - Mweusi Au Mweupe - Unahaha*
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 года назад
@@othmanalnabhany3208 *Boko Haram, Al Qeuda, Al Shabab - ni vijana wa kikristo wenye Amani*
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 года назад
*Msumbiji Kuna Vijana Wa Itikadi Kali wanaua watu, kwa sababu ya mafuta*
@karimmkejina980
@karimmkejina980 3 года назад
wazungu ndio shida kwenye hii dunia wanapandikiza wahuni wao kwa kigezo cha dini hilo unatakiwa ulijue ndio maana magufuli aliwajua
@alfredfanuel5536
@alfredfanuel5536 3 года назад
BBC nyie hamna nia njema na TZ, ipo siku watz watanielewa..... hamtakuja fankiwa kamwe
@madetetv6576
@madetetv6576 3 года назад
Nia gani kutoa habari ndo kosa
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 3 года назад
Mshamba sana wewe badosana
@alfredfanuel5536
@alfredfanuel5536 3 года назад
@@ibrahimsheha215 tatzo elimu yko ndgo
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 года назад
Wasiopenda haki izungumzwe utawajua tu.
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 года назад
@@alfredfanuel5536 kama elimu yako ndo itanyima haki isizungumzwe, bora niikose hiyo elimu, potelea mbali na elimu yako kubwa, bora Ibrahimu mwenye elimu ndogo lkn anaitambua haki..
Далее