Тёмный
No video :(

Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi 

Kalamutz
Подписаться 135 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

One and One na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@SURASHY24
@SURASHY24 5 месяцев назад
Sheikh walid nakpenda sana kwaajili ya allah unasoma Quran vizuri sana
@a.856
@a.856 5 месяцев назад
Jazakallah khayran
@mzamilomocho6531
@mzamilomocho6531 5 месяцев назад
Shekh,, siku Moja natamani kama sio MDOGO wangu basi mwanangu atakuja asome kwako inshallah..
@abdimohamed7622
@abdimohamed7622 3 месяца назад
Masha Allah mungu ampe umri mrefu na afya na ibada mustajabu
@MohamedMeja
@MohamedMeja 15 дней назад
Masha allah ust khalid
@swabiaa1489
@swabiaa1489 3 месяца назад
Nampenda sana sheikh walid
@chikujuma18
@chikujuma18 5 месяцев назад
Mashallah shukuran sheikh Walid tunakupenda kwa ajili ya Allah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 5 месяцев назад
Mash Allah Shekhe Walid nakupenda kwa ajili ya Allah.
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 5 месяцев назад
Binafsi shekhe Walid ni swahibu yangu Ni shekh wangu Ni mwalimu wangu Ni mtu mwenye hekima na hekima ndo uislam wenyewe Lkn hapo kwenye mahojiano na huyo mwanamke ambaye inaonyesha USO wake wallah ni fitina kubwa binafsi sijapendezwa Wanawake hebu jitambuweni ndugu zenu
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 5 месяцев назад
Wewe Imani ipo moyon umeona yupo uchi hapo ndo maana waisalmu wengi wazinifu Sana yn upo kimwili
@KhalidMzala
@KhalidMzala 2 месяца назад
Mashaallah ❤
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 3 месяца назад
Hakika walim wahakikishe kujua jukumu hili la kujua tafsiri ya Quraan ndio sahihi. Shukran kwahilo lifanyiwe kazi🙏
@worldlyrics7499
@worldlyrics7499 5 месяцев назад
Mashaallah sheikh
@minnahhers7437
@minnahhers7437 3 месяца назад
Ma shaa Allaah Tabarak Allaah
@AshuraaMajdi
@AshuraaMajdi 3 месяца назад
Mashaa Allah Allah akulinde daima
@omarmohamed-kn6fb
@omarmohamed-kn6fb 5 месяцев назад
Tabaraka Allah Bi Ahsani Halikin
@yusufuadamu5476
@yusufuadamu5476 5 месяцев назад
ما شاء الله
@rukiaabdi9226
@rukiaabdi9226 5 месяцев назад
MashaAllah.shukran
@suleimanmohamed3175
@suleimanmohamed3175 5 месяцев назад
{ وَبَشِّرِ ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ أَنَّ لَهُمۡ جَنَّـٰتࣲ تَجۡرِی مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَـٰرُۖ كُلَّمَا رُزِقُوا۟ مِنۡهَا مِن ثَمَرَةࣲ رِّزۡقࣰا قَالُوا۟ هَـٰذَا ٱلَّذِی رُزِقۡنَا مِن قَبۡلُۖ وَأُتُوا۟ بِهِۦ مُتَشَـٰبِهࣰاۖ وَلَهُمۡ فِیهَاۤ أَزۡوَ ٰ⁠جࣱ مُّطَهَّرَةࣱۖ وَهُمۡ فِیهَا خَـٰلِدُونَ } [Surah Al-Baqarah: 25]
@bentybenty2343
@bentybenty2343 5 месяцев назад
Masha ALLAH ❤❤❤
@rahmaseif9672
@rahmaseif9672 5 месяцев назад
Mashalla
@ahz6907
@ahz6907 5 месяцев назад
24:54 suratul baqarah aya 25
@jamshedaltiwani6481
@jamshedaltiwani6481 5 месяцев назад
A.aleykum Baada ya miaka takriban 11 sasa ndo leo nakuona tena host wa kipindi hiki!! Classmate A level, Imenibidi nirudishe dakika nyuma kuona jina la host! Hahah Allah akubarike akujaalie kila la kheri kwenye maisha! Milima haikutani ila binadamu tunakutani Mohamed zahor said!
@zaynulkhatamiiy2023
@zaynulkhatamiiy2023 5 месяцев назад
( وَبَشِّرِ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ أَنَّ لَهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ ۖ كُلَّمَا رُزِقُوا مِنْهَا مِن ثَمَرَةٍ رِّزْقًا ۙ قَالُوا هَٰذَا الَّذِي رُزِقْنَا مِن قَبْلُ ۖ وَأُتُوا بِهِ مُتَشَابِهًا ۖ وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ ۖ وَهُمْ فِيهَا خَالِدُونَ )
@shabansaid2323
@shabansaid2323 4 месяца назад
Mwenyezimungu atujaalie miongo mwa hao
@AshuraaMajdi
@AshuraaMajdi 3 месяца назад
Haya ndo maadili ya dini yetu ❤ lkn kwenda kwenye media za wanawake wasiyo jistiri 😢😢😢
@salamanyale2226
@salamanyale2226 3 месяца назад
Kwani c hyo amejistir
@Nailafussy-kg7qz
@Nailafussy-kg7qz 2 месяца назад
Manaangaika kujistiri, tusioilewa turapataje wachumba??
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 5 месяцев назад
Host ashanivunjia Saumu,hivi kwa misingi gani wanawake wa kiislamu wana ruhusa ya kutoa matangazo na sauti zao tena bila nikabu
@qalbi8198
@qalbi8198 5 месяцев назад
😂😂Pole lkn usisahau kuilipa
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 5 месяцев назад
@@qalbi8198 ahsante nishapoa,ntailipa InshaAllah.....ila vijana ambao hatujaoa tukiona zile type zetu za wife material hatuna budi bali kutamani tu
@user-cc6dx4kn7w
@user-cc6dx4kn7w 5 месяцев назад
Sasa sheikh walid sauti nzuri kama ivyo mwanamke anaachaje kukufata umuoe? Vip ulimuoa? Sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah
@trucking2298
@trucking2298 5 месяцев назад
Usufi nayo kazi
@salamanyale2226
@salamanyale2226 3 месяца назад
Mliachiwa hyo 2 kujion nyinyi mlitabiriwa pepo
@user-uk9oz6hn9s
@user-uk9oz6hn9s 5 месяцев назад
Mm mwanagenzi. Lakini sijapatapo kuona mwanamke akimhoji sheikh nielemisheni
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 5 месяцев назад
Haya mambo yapo katika nchi za kidommkrasia tu, mwanamke kumfanyia interview mwanaume daah huuu msiba
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 5 месяцев назад
Mmeanzaa
@claudenduwimana9595
@claudenduwimana9595 5 месяцев назад
Uyu host napenda anavo ongeya na uso wake piya
@user-uw8pg9ju5s
@user-uw8pg9ju5s 5 месяцев назад
Kabla ya usheikh wa mkoa alikuwa kanyooka kidogo lakini sasa hivi hovyo kabisa
@naufalfarouk-ts5jo
@naufalfarouk-ts5jo 5 месяцев назад
Kuna ktu gan kibaya kwke au ni chuki tu
@matanohassan9667
@matanohassan9667 5 месяцев назад
KWANI lazima awe Kama unavotaka wewe atazidi kuwa tofauti yeye KIONGOZI Na anaingiliana Na JAMII Nyingi alzima abadilike
@kimwerihamza4152
@kimwerihamza4152 5 месяцев назад
Acha uharamu huo,ubinafsi tu umewajaa
@matanohassan9667
@matanohassan9667 5 месяцев назад
Yaonekana uko Na HASADI Nyingi Sana Inshallah ukurudie mwenyewe
@barwani890
@barwani890 5 месяцев назад
Hizo nifitna tu kumchukia ustaadh waleed Allah atakulinda ndugu yangu
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 5 месяцев назад
Host vaa nikabu hiyo ni shubuha kukaa na maharimu kwako munaangaliana uso kwa uso hakuna ktk dini hiyo
@hussenahmed4284
@hussenahmed4284 5 месяцев назад
Navile host nimzuri mashallah
@mansoorjalaludin429
@mansoorjalaludin429 5 месяцев назад
Kwanza unatakiwa kutambu ni Sunna nikabu pili km si mke wa mtu haimlazimu
@abdilahiabdilahi3748
@abdilahiabdilahi3748 5 месяцев назад
Na Madaktari wafanye nini? wavae vipi?
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 5 месяцев назад
Ila dini za kishetani Bwn yani zina Sheria za kimwili tu
@hilalihalfani7333
@hilalihalfani7333 5 месяцев назад
Huyo camera Mani ni baba yako
@issazalala4907
@issazalala4907 5 месяцев назад
Kamaume gundua shee waridi anapata shida kumtizama host 😂 marachini marajuu dada vaa nikabu waridi anawake4
@ahz6907
@ahz6907 5 месяцев назад
Hamna bwana.ni kwamba hawezikumkazia macho wakati wote maana hata dada hatoweza kuwa comfortable kumhoji.
@hadijamkieti1751
@hadijamkieti1751 5 месяцев назад
Sasa Bismillah. Mnasema sio aya ya kwanza sasa inakuaje fat-ha iwe na aya Saba. Tusome jamaani
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 5 месяцев назад
Mbona sijamsikia akisema hivyo, kila nilivyomsikiliza
Далее
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 25 млн
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
Просмотров 84 тыс.
KAMA MKEO HAIJUI SIRI HII HUNA MKE | SHEIKH IZUDIN
38:55
Tafsiri ya Suratul Maaun / Sheikh Walid Alhad
1:19:40
Просмотров 15 тыс.