Тёмный
No video :(

Shimo linaloaminika ni ‘LANGO LA KUZIMU’: Linatisha na kuwaka MOTO usiozimika kwa miaka ‘53’ sasa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

18 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Месяц назад
ALLAH NI MKUBWA SANA NA ANAISHARA ZILIZOWAZI KWA WAJA WAKE
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@Asamtz360
@Asamtz360 Месяц назад
Nawaona mbali sana SNS siku za usoni msiache kufanya bidii zaidi graf yenu inapanda kwa 10.5% kila siku moja.MUNGU abariki kazi za mikono yenu
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 Месяц назад
Maaajabu ya mungu hayooooo jamani tumuombe mungu usiku na mchana 🎉🎉🎉🎉
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
SubhanAllah huo ni ukubwa wa Allah hakuna jingine
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 Месяц назад
SKY you're the best presenter ever of this century. Much love from D.R.Congo. We’re really getting informed about so many happenings of the whole world thanks to you. May God bless you! All the best for you the CEO of SNS.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 Месяц назад
Ninachojua huo moto ndio salama zaidi kuliko hiyo gesi, moto unawaka tu hapo ila gesi athari ingeonekana kwa binadamu
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 Месяц назад
Mhuku ipo hapa hapa duniani mungu atupe mwisho mwema maana mi navyodhani jehanam ipo hapa hapa
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 Месяц назад
Wanavaa vifaa maalum, havishiki moto
@jamal-dintz6465
@jamal-dintz6465 Месяц назад
Amin inshaallah
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Jenamu hipo nyumban kwenu
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll Месяц назад
​@@user-tq4lx9si1n😂😂😂😂😂😂
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@mwishehe
@mwishehe Месяц назад
kama chanzo ni uchimbaji wa gas hakuna haja ya kutengeneza mazingira ya kuwa na hofu kias cha kutoa majina kama hata, bali tukiri tu wote kwa pamoja ya kwamba hili nalo ni alama ya uweza wake mungu
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 Месяц назад
ndo tuamini kuwa Mungu yupo na kazi zake zinaonekana
@HansChuma
@HansChuma Месяц назад
Yan hilo shimo linaweza kutumeza watu wote tulio dunian na haliwez kujaa hata maramoja
@georgejustine2766
@georgejustine2766 Месяц назад
Daaaahhhh kiukwel mim huwa na enjoy sana taarifa ambayo inatolewa na Bundala yani mpaka na enjoy tena kazi nzuri kaka.
@freenaturetv
@freenaturetv Месяц назад
hii ndiyo dawa mpya na kinga ya kuzuiya ukimwi
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 Месяц назад
Yatisha sana aisee
@obeidgalib1878
@obeidgalib1878 Месяц назад
hio ni volkano
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Месяц назад
Tuambie Volcano Gani Inawaka Miaka 50 bila kupumzika
@EspiSimai
@EspiSimai Месяц назад
Mshaanza kukufuru Acheni hizo ndo maana majanga Hayes hayeshi dunian kw sababu ya kumkasirisha mungu
@dinosmack
@dinosmack Месяц назад
Fredrick Bundala sauti ya karne
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Месяц назад
Subhanallah
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z Месяц назад
AllahuAkbar
@AmmielNzala-fu4xu
@AmmielNzala-fu4xu Месяц назад
Lango la kuzimu ni kuikataa injili, kumkataa roho mtakatifu hilo ndio lango la kuzimu
@marthajeremiah
@marthajeremiah Месяц назад
Kuzimu ni level ya chini ya ufahamu wa kiungu na si mahali yaani low state of your mind .anger, guilt,fear,blame, etc.. ukiwa hapa lazima uone maisha ni kuzimu tosha...level za kiungu ni upendo furaha nà amani.....Kiwango cha kiungu .....diviné consciousness 💜🤍
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Месяц назад
Yaani mpaka tufike mbinguni tumechomeka balaa eeee Muumba mbinguni na nchi tusamehe zambi zetu.siwezi kutembelea hata kidogo nikichomeka mifupa yangu no way 🙏🏾🙏🏾
@Gody360
@Gody360 Месяц назад
Aseeeeee
@richkaja3317
@richkaja3317 Месяц назад
I wish nije nipaone napenda sanaa location za kutisha
@Bahati47
@Bahati47 Месяц назад
Kuna wale hawaamini jahannam😢 jamani jahannam ipo na nikali sana
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Месяц назад
Ni maajabu ya dunia MUNGU ni mkubwa😢
@aloyce_PD
@aloyce_PD Месяц назад
Skywalker
@BIGSTAROGTZ
@BIGSTAROGTZ Месяц назад
Watu uwa wanakibilia like sana sijui ninini😂😂😂😂
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Месяц назад
Unaomba kijanja like 😏😏😏
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Makala nsuri sana kaka bundala unatisha una baya kutoka donhom nairobi
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 Месяц назад
Bongo fister ni huntum was Kwanza kuleta Makala Ayo
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
​@@belitomanuel6240sijaelewa
@TVT4888
@TVT4888 Месяц назад
😢😢😢😢😮😮😮😮
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Месяц назад
Labda niwape elim ya bure kuzim ni mahali pa kiroho na hakuna MTU aliewahi kufika , kwahiyo mnataka mseme kule kuzim shetani atakapofungwa miaka elfu ni hapo 😂😂😂 mnachekesha , ni Sawa na watu wanaosema mpinguni mahali pa Mungu ni huko juu kwenye mawingu, Pia peponi ni mahari pa kiroho , huwezi kufika kwa mwili wa kawaida wa kibinadamu,
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Месяц назад
Mungu kaumba kila kitu then wa mwisho katika kuumbwa ni binadamu, so kwakuwa ametuahidi kutakuwa na mwisho na huo mwisho utatokea hapahapa Duniani. So yawezkana sehemu ikawa kubwa kuliko unavyoifikiria. So ni mtazamo tu wa watu
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc Месяц назад
Dunia hii mh
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x Месяц назад
Hahaha Fredrick Bundala acha biti. Ongea kama unavyoongea kwenye GPS
@bensonscott3491
@bensonscott3491 Месяц назад
We ndio mara yako ya kwanza kumsikiliza au
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x Месяц назад
@@bensonscott3491 Nishamsikia sana.. Sns nipo muda sana.
@boscow9380
@boscow9380 Месяц назад
Ameingia ndani ya moto 😮
@issakamangila4143
@issakamangila4143 Месяц назад
Dunia ina mambo ya ajabu sn
@jerrychiswa2494
@jerrychiswa2494 Месяц назад
We jaman unajua ila vijana wako waache kaunafiki
@jumaibrahim9773
@jumaibrahim9773 Месяц назад
Mvua amna
@TwahirAbdalla
@TwahirAbdalla Месяц назад
Nimekukubali🎉
@mundhirothman9842
@mundhirothman9842 Месяц назад
Watie 2 maji ya kutoshaaa utazima huo au wawape kazi fire kitaeleweka
@maulidubaya1642
@maulidubaya1642 Месяц назад
😂😂😂😂
@maulidubaya1642
@maulidubaya1642 Месяц назад
Noma sana😂
@p.kasongot979
@p.kasongot979 Месяц назад
Volcan iyo 😂😂😂😂😊
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Месяц назад
Hakuna Volcano Ya kuwak Miaka 50 bila Kuzima
@StevenPeter-ov7pj
@StevenPeter-ov7pj Месяц назад
Mh
@patrickmligo9335
@patrickmligo9335 Месяц назад
Wa kwanza leo like zangu😅😅
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n Месяц назад
Toka hapa😂
@titusfaya872
@titusfaya872 Месяц назад
Acha ushamba we pimbi zitakusaidia Nini sasa
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Месяц назад
Huu ni ujinga na urofa hakika🤯💯 +MUNGU+ atusaidie sana🙌
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Месяц назад
Hebu mpeni like mwezenu kawahi 😂😂😂😂
@alphadreammedia
@alphadreammedia Месяц назад
Wa Kwanza kwenda wapi
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Месяц назад
Subhannallah subhannallah subhannallah. Ishara zote nimazingatio tunaomba utuhifadhi na majanga hayya
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Месяц назад
Lango la kuzimu, kamuulizien Wamayo ama Rwanda magere. 😂
@rahiyayousaf3093
@rahiyayousaf3093 Месяц назад
😅😅😅wamayoo voo😅😅.nimemiss storry zake kwakwelii
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Месяц назад
Iyo propaganda za watu wa mangharib.ilo ni shimo kufungua mwenyewe dunia.
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
😂 kila kitu, watu wa magharibi eb tuache hii mitazamo sometimes
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Месяц назад
Umeanza upumbavu wako hujawakuwa naakili tofaut mambo ya magalibi alafu huna elimu wewe
@steveanthon5523
@steveanthon5523 Месяц назад
Alishukaje chini kufanya uchunguzi! aliwezaje kuingia kwenye shimo la moto bila kuunguwa? hapo Sky umeniacha njia panda, shimo lenye moto wa kutisha mtu anaingiaje kuingia kufanya uchunguzi na asiweze kuunguwa?
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Месяц назад
Alikuwa amevaa nguo za kuzuia asiathirike na moto kama ambavyo kwenye picha anaonekana
@Zuu673
@Zuu673 Месяц назад
Ndomana wakasema pa ajabu😂😂😂
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Месяц назад
Huwa kuna nguo za kuzuia moto kabisa... Hata hapa Tanzania zipo zinatumika pale hospital ya mloganzila
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
😂😂 jmn huon picha
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Месяц назад
Wenzetu wako mbal kk
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Месяц назад
Hao walio karibu na hilo shimo awasikii joto la moto au?
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 Месяц назад
Kuzimu hapawaki moto kuzimu wanaishi watu na majini
@fidelfidel4818
@fidelfidel4818 Месяц назад
Ulijuwaje
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs Месяц назад
Kuna mpuuzi mmoja Ana soma comment yangu
@afromixstudios
@afromixstudios Месяц назад
Wa kwanza kama kawaidaa 😂😂😂😂
@user-kz2sx8md3e
@user-kz2sx8md3e Месяц назад
Hilo ni kwaajili ya kuwasaidia waliokwenye nchi zenye baraf
@venasmlega6727
@venasmlega6727 Месяц назад
Kama vile mlishawah kufika 😂
@madjidfine4295
@madjidfine4295 Месяц назад
Nakubal sana kka tunakuamini sanaaa pande zote
Далее
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Просмотров 2 млн