Тёмный

Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule 

DARSA TV
Подписаться 96 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule
Mashaa Allah Dr. Sule akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Kisa Cha Watu Wa Lutwi / Namna Ya Watu Wa Lutwi Walivyoangamizwa / Sheikh Sule
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tV

Развлечения

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@suzysam6002
@suzysam6002 16 часов назад
MUNGU wa mbinguni akubariki sana umepaza sauti yako imesikika na kila mwenye masikio na wasikie , MUNGU akukumbuke siku zote za maisha yako
@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 3 часа назад
Hakika Dr. Sule hili jambo linachukiza sana, nakushukuru KWA kufungua mdomo wako juu ya jambo hili.. sauti y'ako ni sauti ya mungu.. mungu wa mbinguni akulinde.
@HemedMsangi-yy8pn
@HemedMsangi-yy8pn 11 часов назад
Na Dr. Sulle tunakushukuru sana na tunakuomba usichoke kuielimisha jamii na Allah atakujaalia utafanikiwa na insha allah Tutafanikiwa. Na viongozi wengine wa dini zote wakemee jambo hili kama dr.Sulle kwa nguvu zote.
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 дня назад
kaka Sule nimekusifu sana,viongozi wa dini wako kimya wanaogopa wazungu na viongozi tuna kwenda kwenye shimo kubwa sana
@davidmpesa2201
@davidmpesa2201 День назад
Hongera tuko pamoja kulipinga swala la ushoga hatutakiiii washindwe Kwa jina la YESU
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 3 дня назад
Hakika adhabu ya ALLAH haichagui hata siku Moja.. na inaangamiza sote.. Ya Rabbi tujaalie khatma njema na kizazi chetu
@magnet-mt7nt
@magnet-mt7nt 9 дней назад
Wote tupaze sauti kukemea ushoga kwaajili ya MUNGU na kwaajili ya vizazi vyetu
@OchinotzTZ
@OchinotzTZ 12 часов назад
Mungu aiponye nchi yetu kwa ushoga amen
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 8 дней назад
Inna lillah wainna illaih Rajiuun,,eee Mola wetu tunusur waja wako na vizazi vyetu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 3 дня назад
Dr sule upo sawa kwa hili na tupo pamoja naweAllah akuhifadhi
@SalumMohamed-sb6or
@SalumMohamed-sb6or 6 дней назад
Dr sulle Allwa akupe maisha mema na yabaraka ww itakua mfano na wengine wawe kama wewe
@HassanOmary-f3z
@HassanOmary-f3z 2 дня назад
Do k Sule wewe unatoa elimu nzufi san.mungu Akulinde
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 3 дня назад
Mwenyezi mungu utuhurumie. Lihurumie taifa letu baba mungu. Iangalie nchi yetu na viongozi wetu wajalie kutambua kwamba hilo ni chukizo mbele zako wewe ulituumba na ukatujalia utashi wa kutambua mema na mabaya tunakuomba uwajali wote wanaojihusisha na chukizo hilo awaacha kwani hatutaondoka na kitu hapa duniani. Tutaambatana na matendo yetu mema tu.
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 дня назад
Tunakushukuru na wewe
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 3 дня назад
Na Zanzibar tunakukaribisha Dr sule Karibu sana
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 6 часов назад
Mungu akubariki sana Sheikh
@boazmpazi260
@boazmpazi260 День назад
Safi sana hongera sana baba karibu Mwanza.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri День назад
Unainjilisha vema.Mungu akubariki sana.
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 2 дня назад
Sawa dk mungu akusaidie kupaza sauti
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 17 часов назад
Mungu awalaani wote wanaoutetea ushoga
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 2 дня назад
Sawa kabisa dk sule saidia watu kwakua upewa sauti na mwenyezi mungu
@mohammedgulam9274
@mohammedgulam9274 9 дней назад
Shukran Dr.❤
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 3 дня назад
In shaa ALLAH Allah tujaalie hili jambo liindoke katika taifa hiliii, Ya- Rabbi tuvue katika hili janga
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 2 дня назад
Sawa kabisa sule
@GodloveMvungi
@GodloveMvungi 2 дня назад
Mungu tuhurumie sisi waja wako
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 7 дней назад
Allah akusaidie Dr na watu wafahamu ubaya wa laanahii
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 дня назад
tusiite ndoa za jinsia moja tuite ushenzi wa jinsia moja,mazungu majinga sana
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 дня назад
Huwa nakubeza lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni baba umesema kweli vitabu vyote vinapinga ushoga Mungu akubariki
@MbarakSuleiman-s3r
@MbarakSuleiman-s3r 3 дня назад
Dr tuko pamòja wataje ile iwe funzo kwa wengine ahsante sheikh
@PaschalMakubi
@PaschalMakubi 3 дня назад
Mwenyezi mungu akutie nguvu katika hilo
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 дня назад
Hongera kwa ukweli mini mromani
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 3 дня назад
Kutoka 20:1-17 soma hapo utapata mambo yatakayo kukuhekimisha
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 дня назад
Soma maandiko hayo yote yapo kiatabu luthu kitabu cha mwanzo soma
@ZainabuMoody
@ZainabuMoody 21 час назад
Tukazane tyuu kumshtakiaaa munguuu juu ya ushogaa hakika woote wanao ruhusu na kuliunga mkono hili waangamizwe kama wakat wa sodoma na gomora ilivyokua aaaaaamin
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 дня назад
Na litatughalimu dunia itaomboleza kama tunaanza kulaumiana kwamba maisha magumu dunia itatughalimu nani atalipa ghalama hii ikiwa yesu amekataa kusamehe.kufuru saizi.tunazarauliana mpaka kenya wanaingia bungen wanavaa.nguo ya.spika wa bunge wakenya wanaingia.mpaka ikulu ni laana ya.ushoga wacha Mungu oneni mambo.haya
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef 3 дня назад
Tuko pamoja shekhe wetu dokta sule allah atie wepesi katoka hili
@HamisHaji-v6u
@HamisHaji-v6u 4 дня назад
Dr sule tupo na wewe bega kwa bega mungu atatulinda inshaallah.
@BilluAmour
@BilluAmour 4 дня назад
Sahihi kbx
@user-fw3jq3ff5s
@user-fw3jq3ff5s 4 дня назад
Si tuliambiwa watoto tusiwaguse hawa ni kushirikiana kuwaondoa kwenye viti vyao ndiyo kinachowapa kiburi na kumuasi allah
@lwakainaza
@lwakainaza 2 дня назад
Takbir
@mohammedgulam9274
@mohammedgulam9274 9 дней назад
Hatutaki ushoga
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 3 дня назад
Umeongea sahih shekh wetu serekali ikae ijadili ilo jambo
@samiukhamis2703
@samiukhamis2703 5 дней назад
DR upo sahihi
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 3 дня назад
Mungu atawalaan wote wanaotetea ushoga
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y День назад
Babu serikali za kiafrica zaabudu magharibi wanakubali sheria izo so its very hard bro
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 2 дня назад
Ushilika upo watoto
@user-mi9zf4ju6w
@user-mi9zf4ju6w День назад
Yaani maneno uliyoongea Dr. Sule nakuunga mkono kwa asilimia zaidi ya mia moja na nakuomba endelea na mapambano hayo, Watanzania woooote tuko nyuma yako. Naitwa Thomas Kobelo waMbezi Luis.
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 День назад
Viongozi wa Serikali wanaojifanya eti "Wanaifungua nchi" ndio hao hao wanao kingia kifua Ushoga na Ulawiti/Ubaha.
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 9 дней назад
Tuko pamoja Al hajj Dr Sule
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 3 дня назад
Kbs Dr.sule ongea
@pundatr8103
@pundatr8103 День назад
Ubalikiwe
@dearmama7865
@dearmama7865 3 дня назад
wataje sheikh
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 4 дня назад
Duh hii atali sana
@gracekisaka8461
@gracekisaka8461 16 часов назад
Uwuiiiiiiiii
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 7 дней назад
Laa Ilaha Illa Allah
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 2 дня назад
umefikisha dawa imewafikia,wanaibirisi,
@asmaali2911
@asmaali2911 4 дня назад
Sio Ruti ni Luti ❤nasahihisha tu
@MustaphaManole
@MustaphaManole 4 дня назад
Mbwa we kujua kwingi mbn ukusema ww
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 4 дня назад
Ushoga mbaya ila kunaujanja ndio kabroblem
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 3 дня назад
Ushonga kwa ujumla ni sehemu ya 22:23 kipengele nyeti katika kupewa mikopo kutoka magharibi ,IMF na Word bank.
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 19 часов назад
Ndio Baba sema wapone
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 3 дня назад
Lusifa ni hatari ushoga ni ushenzi mkubwa!! Mtiini Mungu mpingeni Lusifa na ushoga wake
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 3 дня назад
Wallah inashangaza k7b umeongelea ukwel bas watu kimnya ila ungekuwa unaongea kuhusu kusapot nyimb bas koment zingekuwa nying sana 😢innalillah wainna ilaih rajiuun
@HemedMsangi-yy8pn
@HemedMsangi-yy8pn 11 часов назад
Kiuweli serikali ya Dr. Samia Suluhu Hassani na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ichukue hatua kali ili kuinusuru jamii ya kitanzania haswa vijana ili Taifa lisije angamia.
@GOZBERTMTASINGWA
@GOZBERTMTASINGWA 2 дня назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢😢
@MwigaAdam
@MwigaAdam 3 дня назад
Woote tupaze sauti kukemea jambo hili jee kunamsaada gani kwawale mashoga na mabasha amabao tayari wameshaathirika?
@salomenchimbi6851
@salomenchimbi6851 2 дня назад
Umesema kweli hatutaki ushoga kabisa tunachukia sana
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 7 дней назад
Ahhh Luti gani unaharibu jina hapo.
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 4 дня назад
Ni Luti
@KibwanaOmar-dh2sh
@KibwanaOmar-dh2sh 2 дня назад
Ushoga ni laana ALLAH atatuangamiza
@user-sc5fz4gy5s
@user-sc5fz4gy5s 3 дня назад
Tukopa1 zanzibar 1
@zenarajab5104
@zenarajab5104 3 дня назад
Dokta Sule pasuwa kaka na sisi tupo nyuma yako
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 10 часов назад
Hii nchi inawakumbatia wazung na nchi nyengine za ushoga wanakopa kisha malipo ni ushoga
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 3 дня назад
🤲🤲🤲🤲🤲
@MustaphaManole
@MustaphaManole 4 дня назад
Tatzo la nchi yetu watu wanaogopa kufa kwann tusiandamane mbn Kenya wameweza kuandamana
@mpefu_4936
@mpefu_4936 День назад
Viongozi wako kimya wanataka kutuangamiza
@mpefu_4936
@mpefu_4936 День назад
Kwao wamealibu vijana wanataka wakatoge na huku kwetu atutaki ushoga
@hadijasharifu1463
@hadijasharifu1463 9 дней назад
Dr safi alokua shoga anataka kuacha unamsaidia vp ?
@salyali7807
@salyali7807 2 часа назад
14:41 mpigie simu ipo hapo kwenye clip
@user-kp5pi7ng5i
@user-kp5pi7ng5i 15 часов назад
natakiwa tuwenasiku maalumu yamaanamano kwa ajili yakuukemea ushoga naubasha kwahakuka tuko pabaya
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et 6 дней назад
Tunapinga ushoga kwa asilimia zote hatutakii ushogaaaaaaaaa😡😡😡😡😡😡😡
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 2 дня назад
Dr Sule adhabu ije mara ngapi?Tayari tumeanza kukung'utwa? Unambiwa cancer ya uume imeanza kushamiri sana nchini na baadhi Yao wameanza kukatwa uume wao, pamoja na sababu zingine za ongezeko la maradhi hayo ushoga nao unachangia sijawahi kuona eneo la dampo likageuka asali, hii laana' maana hata mbuzi hawakosei. Uchizi unatusumbua sana.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 дня назад
Docta sule kwahili nakuunga mkono tupaze saut!ushoga,ubasha,usagagi,na ufiragi tuwape adhabu kubwa
@kadoaugust6497
@kadoaugust6497 3 дня назад
Wabunge nyie ndiyo mna wajibu wa kwanza wa kulithibiti hili jambo
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 5 часов назад
Apa nimekukubali wambie waache misaada yakojinga kwa manufaa yao kuaribu watoto wetu wapuuzi kweli
@NickTajir
@NickTajir День назад
Mchungaji Nicky tajiri Niko pamoja na wewe aibu tanzania
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 4 дня назад
Ngoja upite uchaguzi kwasababu wewe ni ccm kuamini unacho kiongea na kilicho moyoni ni sawa nishida ukishatia nia kwa upande wa ccm jimbo la mbagala kuweka jina lako ila walikupiga panga
@guugug9gt829
@guugug9gt829 3 дня назад
Weweniwamotonituuuuu huna manusura kwa Allah
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 дня назад
@@guugug9gt829 Asante wapeponi sawabu unajiandikia mwenyewe hongera
Далее
Make Up with Balloons 💄☺️🍓
00:23
Просмотров 2,3 млн
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
JE YESU NI MUNGU?
29:27
Просмотров 28 тыс.