Тёмный

SHUHUDIA HAKIMI ALIVYONOGESHA TABASAMU LA WANAFUNZI ARUSHA 

Yanga TV
Подписаться 646 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Спорт

Опубликовано:

 

26 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@othumanally4529
@othumanally4529 Месяц назад
Hakika huyu Hakimi ni kijana shujaa, mwenye upendo, jasiri nà mcha Mungu....Dhambi zàko źote umetuachia sisi Watanzania...kwa kitendo cha kuwasaidia hawa watoto wetu wenye uhitajì hakika Mungu akupe nguvu na kipaji chako cha mpira akuongezee zaidi na zaidi.
@darkrive1493
@darkrive1493 Месяц назад
Tanzanians people is brothers. Thank you from Morocco
@HassanBds
@HassanBds Месяц назад
Thank you Yanga for the footages of Hakimi ❤🇹🇿🇲🇦❤️
@adilibenjellal3221
@adilibenjellal3221 Месяц назад
حكيمي احسن ممثل للمغرب وبعده الافريقي ويستاهلو تنزانيا
@hawajohn749
@hawajohn749 Месяц назад
Mungu awe nawe brother
@alishaplate6290
@alishaplate6290 Месяц назад
Mpk machoz ya furaha yamenitoka walah mungu mzid msaidia huyu kijana afike mbali na injinia wetu mjaliye nae afike mbali mungu ibarik Tanzania mungu ibarik familiya yangu mungu ibarik tem yangu pendwa yanga izid kusonga mbele mungu ibarik viongoz wote wa yanga nao wawe na moyo wa ushikamano na upendo ameni
@AdyanMbuyu
@AdyanMbuyu Месяц назад
mungu ambariki
@dianarosekaugira5608
@dianarosekaugira5608 Месяц назад
Nimepnda anavyo tabasam HAKIMI inaonyesha TZ ipo vzr sana kaipenda
@BADAWY575
@BADAWY575 Месяц назад
Hers bwana adi unasikia kulia kwa furaha anazo tupa.
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Месяц назад
MashaAllah😢
@LuckyTemu
@LuckyTemu Месяц назад
Kavaa simple 2
@JAWADJAWS
@JAWADJAWS 28 дней назад
Mama Africa fes Maroc 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉😢😢😢😮😮😮😮😮
@SamAbd-ij1wo
@SamAbd-ij1wo Месяц назад
So so proud of our Achraf, that's the Africa we want, that's the Adrica our King wants. SOUTH TO SOUTH.
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 Месяц назад
Allaah Akbar
@mwafyelatv1436
@mwafyelatv1436 Месяц назад
Imeipenda hii sana yanga mnazidi kupasua
@user-sp7nm9xc8l
@user-sp7nm9xc8l Месяц назад
Acha Engineer aipeleke Yanga nchi ya Ahadi nchi ya maziwa na asali
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
😂😂😂wee nimecheka kinoma
@AchrafAchraf-ue5wl
@AchrafAchraf-ue5wl Месяц назад
❤❤
@michaelbucga
@michaelbucga Месяц назад
No 1
@abdelillahsamel8054
@abdelillahsamel8054 Месяц назад
👉🇲🇦🕊️👉🌍
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Месяц назад
Mashaallah
@ibrahimmwasamila6412
@ibrahimmwasamila6412 Месяц назад
🎉🎉🎉
@BADAWY575
@BADAWY575 Месяц назад
Music tone katika hii video nakupa maua yako moyo unavyosikia kama lile jimbo la tunda man ft nani huyu........'song lenyewe hili hapa moyo unaweweseka tunda nikikuona na nafsi eeeeeeeeeee Eng Hers pomoja sana dua muhimu sana sana tu
@perlan8231
@perlan8231 25 дней назад
👍👍👍✌️✌️✌️🤲🤲🤲♥️♥️♥️🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
@mwafyelatv1436
@mwafyelatv1436 Месяц назад
Sasa nimejua kwanini yanga inapewa kipaombele na selikari yetu hawa jamaa wanajitambua sana
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Месяц назад
Makolo wanaumia
@user-zw9oj6ej9v
@user-zw9oj6ej9v Месяц назад
Hii nzuri lkn kwanini mjini tu, jamani wahisani kamahawa tuwapeleke vijijini kunashule zinauhitaji zadi.
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Месяц назад
Hii shule waliyoenda iko tengeru ni ya walemavu
@malabainoonlinetv1166
@malabainoonlinetv1166 Месяц назад
Walimu wa shule sasa kazi kwenu kutUnxa na kuthamini mlichonacho
Далее
TAZAMA CHAMA AKIWA MAZOEZINI LEO AVIC
8:13
Просмотров 15 тыс.
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
Рэм Чемп и ПОП ММА
0:36
Просмотров 991 тыс.