Wallaah ust juma faki Mashallah unajuw san Allah akulind na hasad akuzidishie kipaj chako kizid kukuw zaid ya hapo Mashallah aqaz kw ujumla bila kumsahau kiongozi faki mbarouk
MashaAllah Ustadh keep it up kwa ujumbe,,,Qaswida zafaa ziwe za mafunzo na sio masimango na mafumbo kama waimbaji wengine,,,we appreciate Qaswida zote zenye mafunzo mema❤❤,,Allah akuzidishie kipaji chako ndugu yetu Amiin 🤲