Shukran Sana. Maalim Omar Nyange POLENI Sana Kwa Msiba Allah AKUPENI SUBRA NJEMA , Kwa hakika ni Msiba wetu sote Kwa Maalim wetu. Allah ampe malipo mema ya Pepo ya Firdausi aamin. Sauti yko inatukumbush Maalim wetu
Sheikh kwa ujumbe wake na darsah zke Alhamdulillah zimesambaa dua nzima na ikiwa sio dunia nzima basi robo tatu ya dunia, Allah amkubalie hija yake na amjalie awe miongoni mwa waja wake wema amkunjulie kaburi lake.