Тёмный

SHUSHO ''WATU WENGI MAISHA YANGU HAWAYAJUI/KIMWANAUME GANI HIKI NAJUUTA/KUNIVUA NGUO'' 

Mchezakwao Startv
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 228 тыс.
50% 1

#mchezakwao #christinashusho #mahusiano
Fatilia mahojiano maalum yakwake Christina Shusho kupitia kipindi cha Mcheza kwao ambapo ameweka wazi juu ya taarifa zilizopo mitaani kuhusiana na ndoa yake pamoja na kile kinachoendelea cha ndoa na mahusiano ya waimbaji wa mziki wa injili ambayo yamekuwa yakiingia katika sintofahamu, Sasa hayo ni machache kati ya mengi ambayo Shusho yote katupa majibu yake.

Опубликовано:

 

20 сен 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 450   
@sallytumain7618
@sallytumain7618 3 года назад
Dada Shusho kwenye Swali la pete hapana unatudanganya Dada yetu mtangazaji kauliza swali zuri sana lkini naona umelikwepa kutoa majibu ya kweli.pete ya ndoa haiwez kubadilishwa badilishwa sjawahi ona .Tulikuzoe ukiwa nayo kidolen kwa ss wapenz wako tunaokufatilia.Hapo ilipaswa ujibu ukweli.
@HappyAnord-fb9nq
Kristina mnamlaumu tu Bure na kumtukana Ila ninachojua shetani Yuko nyuma yake sio yeye kabisa, Mimi na wewe tumuombee Mungu Sana, mwenzenu kakamatwa
@dokasa9176
Sasa mm ushauri wangu mama nakuomba urudi kwa mumeo na watoto wako kwa kuwa ni sawa na kwamba umemvua YESU KRISTO Utukufu wake na kumkanyaga chini ya miguu yako
@user-lv2fu9ip6h
Diamond kesha mnusa huyu mwanamke tayari,kesha nogewa
@safarivahocha8077
Huyo Christina Shusho ni kahaba tu
@meyasadavid9801
Christna umekengeuka sana kumuacha mmeo huna bei duniani rudi kwa shusho haraka umepotea tamaa za dunia zina mwisho ucje kufa kibudu mama
@adeladaudi2047
Urudi kwa mmeo, acha kujiuza mitandaoni dada! Umelitukanisha jina la BWANA😢😢
@ANNAMLAKI
@ANNAMLAKI 14 дней назад
Mshukuru mungu atauliolewa mdogo ni mungu alitaka iwe ivo naalikuwa na sababu pengine usinge kuwaapo alikupa mume watoto ukamjuwa mungu umekuwa sta sema mungu asate na mungu anasababu tena jivuniye wapo wazuri awana kitu atamungu awamjuwi muweshimu mume wakoo kunaneema sana mkiwa wawili utengano ni zaifu majina sikitu kitu ni yesutu
@duke6318
Huyu hajielewi kabisa. Being famous has ruined her.
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 года назад
Swali la kwa nini waimbaji wengi wa kike mahusiano yao yanavunjika..jibu zuri alilijibu Rose Mhando tu. Lakini pia yamkini hawa wadada wanapokua wanamuziki wakubwa wa kuitwa itwa na watu kwa heshima au sifa na kupata pesa wanaanza kushindwa kuheshimu waume,hili linaweza kua kubwa zaidi kuliko wanavyosema maneno mengi ya stress sijui na nini lakini hawa wanapo pata pesa wanawadharau waume
@jameskipara711
Huyo Alisha muasi Mungu kitambo sana tamaa yamafanikio imempoteza
@user-os3tg5bo6v
Wewe tumekujua umalaya ,wako,mawaziri,wanaume mpaka mume kukukamata,leo unadai Mungu amekuita ,siyo Mungu ni shetani ,acha kudanganya.Amen
@mage5371
Christina acha manjonjo kiukweri umetuangusha sana kina mama
@egnomsigwa8418
Dada napenda sana nyimbo zako ila tabia yaco ya usaliti Mungu anakuona
@mercymeriy7851
@mercymeriy7851 Год назад
shusho tuimbie ..nimapito..tunayo pitia song..ii maisha ya siku hixi weeee.......
@adamchambo12
@adamchambo12 3 года назад
Asante Sana Dada Christina,namshukuru Sana mungu kwaajili yako Kwa jinsi mungu anavyokutumia,nimekusikiliza vyema kwenye mahojiano,umeongea kweli mungu akubariki.
@elfridaezekiel4478
Christina ulianza vizuri, bt sasa hatubarikiwi na mziki wako.
@mutheekigwaci4871
@mutheekigwaci4871 3 года назад
Christina Shusho big up yourself...unangonga facto tupu..nice words of encouragement🙏🙏👸
@joshualemayian4647
@joshualemayian4647 3 года назад
Thanks alot shusho to me I accept u to be apart of being I singer I ❤ and accept u as a life coach. Out of this u taught me saaana
@EsauBanda-cw3cf
Unapendeza Sana kuwa changu doa Una mwili mzuri utapiga hela Sana Kwa kina harmonia diamond
Далее
Wengi Hawajui Nilikua Muislam, Rehema Simfukwe
9:58
Просмотров 31 тыс.