🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 look alike imewezaaa big up sana kingwendu,Niko na classics zako zote kwenye vcd's kwa vintage collection zangu za bongo and Kenyan comedy...big up sana👋👋🔥🔥🔥
Sema wana wamefiti sio pw wamefanana na hao wana myziki wahusika sii pw hilo house la Mond na Harmo sio pwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu wanangu me wa mwisho leo😂😂😂
Nlikua nimeingia box untill i saw diamond 😅then i looked twice...good content. I grew up watching kingwendu all the way from kenya and i respect his efforts...+1 like ,+1 subscriber from me.
🤣🤣🤣 Kingwendu ! hii moja kwa kweli, sijuwi nisemeje. Ila, ninaiangalia sana, lakini siichoki. Mungu azidikukulinda ili tuendeleekuangalia vituko vyako vingine. Tena wanafanana kama waimba miziki. Sasa yule mwanamke ndo Kajala au ??
Kingwendu has been having a dream to have a video with Diamond but to no vain, he had to make it happen. Big artists please help him achieve his dream, he made us laugh as kids
Hii ndio tofauti kubwa sana ya Kenya na Tanzania. Wasanii was TZ hukuzana wenyewe kwa wenyewe bila chuki Bali kwa upendo ila hapa Kenya,msanii mdogo haezi akakuzwa na wasanii wakubwa. Diamond kakuza Harmonize,mara Harmonize kakuza Ibraah, Rayvanny kakuza ama kaimba na msanii mdogo lakini Kenya,ole wetu na chuki. Somedays TZ will even overdo us in economy and the infrastructure