Тёмный

Sifa ya spika nzuri za studiobest :budget studio monitors 2024 

Tweaking Tricks
Подписаться 506
Просмотров 792
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@ntyukastudio
@ntyukastudio 5 месяцев назад
Unatoa Madini mazuri sana mtaalamu binafs nimekukubsli
@ahadijoel07
@ahadijoel07 3 месяца назад
Kwan bro una duka la vifaa vya studio
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 3 месяца назад
Kwa sasa hapana ila naweza kukurefer kwawauzaji ninaowafahamu
@frayz12
@frayz12 4 месяца назад
Sorry bro hivi 'M-audio Bx5' zina ubura mzuri...?
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 4 месяца назад
Yeah bx 5 ni njema pia ulipata Krk rocket 5 ni njema kweli na kama unachumba kizuri na kikubwa na kama mfuko unasoma inch 8 for both brands ni njema..... Coz unapata kusikia bass vizuri zaidi
@frayz12
@frayz12 4 месяца назад
@@tweakingtricks1087 shukran sanaa bro.. lkn je na mic microphone kama C1 behringer iko vzr..?
@mosessolo7387
@mosessolo7387 3 месяца назад
Kaka nisaidie jinsi ya kuunganisha compressor na sound card nimechemka
@joelmbughi428
@joelmbughi428 5 месяцев назад
Kaka naomba namba yako tafadhari
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
Mwanzoni mwa video kuna namba yangu ya voda hapo
@MTEZO.
@MTEZO. 13 дней назад
ivi unaweza kuunganisha sounds card na Subwoofer
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 13 дней назад
Yeah unaweza kuluunga ukiwa na pin za conversation jack to AV
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 13 дней назад
Lakini kwanini unataka kuyumia subwoofer kwenye setup yako
@MTEZO.
@MTEZO. 12 дней назад
@@tweakingtricks1087 kunabaazi ya vifaa vangu va Studio vimeibiwa Sasa nanza kujipanga upya Sasa naitaji kuunga subwoofer Kwenye sounds card Lakini sikuwai kuunga subwoofer Kwenye sounds card
@MTEZO.
@MTEZO. 12 дней назад
@@tweakingtricks1087 Kuna bahazi ya vifaa vangu vimeibiwa Sasa naanza upya ndonataka nitumie subwoofer Kwenye sounds card Lakini sikuwai kuunganisha
Далее