PAGE HII INAHUSIKA NA MASWALA YA AUDIO PRODUCTION KATIKA NYANJA MBALIMBALI HIVYO KWA WALE WANAO PENDA KUJIFUNZA PRODUCTION MNAKARIBISHWA KU SUBSCRIBE CHANNEL YANGU ILI MUWEZE KUPATA VIDEO ZA MATOLEO MBALIMBALI KWA WAKATI PAGE HII PIA IMELENGA KATIKA KUINUA UWEZO WA MAPRODUCER WA KITANZANIA VIPAUMBELE -UPANGILIAJI WA MUZIKI (MUSICI ARRANGEMENT) UHANDISI WA SAUTI (AUDIO ENGINEERING) UHANDISI WA UNASAJI WA SAUTI (RECORDING ENGINNERING) UHANDISI WA USAMBAZAJI NA UANDAAJI WA NAKARA ZA MUZIKI (MASTARING ENGINEERING) UTENGENEZAJI WA MUZIKI (MUZIKI PRODUCTION) UANDISHI WA NYIMBO (SONGWRITING) N.K
@@RayMwidete kama huna badget ya kupata soundcard .... Unaweza kununua usb card (converter) ambayo inakupa port ya mic na headphone kwa matumizi ya kawaida...... Professional unahitaji kuwa na soundcard
Ni masomo mazuri sana..Mwalimu wa Muziki, mie nina bajet ya kununua HEADPHONE kwajili ya kufanyia Mixing na Mastering. Je, ninunue Headphone yenye Sifa gani Kionvozi? Maanake sina Monitor Speakers
kuna headphone nyingi nzuri kulingana na mfuko wako .................. ukipata M Audio, AKG, KRK ,senhanser ni brand nzuri kuna AKG kuanzia range ya 200k na kuendelea depending na model ... naweza kukutumia baadhi ya model kwa whatsapp
@@tweakingtricks1087Nampango wa kufungua Local studio Vijijini Ila Mm sio producer nipo interested sana Na Muziki Naomba Unisaidia Nichukue vifaa Gani Specifically Ili nivinunue kabisa Producer ntatafuta Nikikamirisha vifaa...
@@tweakingtricks1087 kunabaazi ya vifaa vangu va Studio vimeibiwa Sasa nanza kujipanga upya Sasa naitaji kuunga subwoofer Kwenye sounds card Lakini sikuwai kuunga subwoofer Kwenye sounds card
Sahani jaman soon ntarejea... Nina project ya kizunguka mikoa takribani 8 ... So inaniwia vigumu kushoot na kuedit but niko mwishoni na ntarejea..... Thank you for your concern brother
Kaka, je kwa sisi tunaotengeza podcast na matangazo je ni plugins gani za waves ambazo ni the best...? Naomba ukipata muda tufikirie na sisi. Ubarikiwe sana
@@japhetjaphet5996 unaweza tumia kampuni yoyote kwa windows product line au mac kinacho matter zaidi ni specific requirements kama RAM CPU etc Na mfuko wako unavyosoma
*11:52* Feet 5 na sio mita 5 guyz (kwenye point inayohusiana na speaker placement)..... sorry ulimi hauna mfupaunaweza tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NO0RCqXNVO4.html unaweza tama video hii pia kupata kujua zaidi kuhusiana na series hii