Kama umesikia unaitwa wapi na unatokea wapi like hapa joo!! Salute kwa weremura walahi nimerudia Mara toop lkn sijakinahiwa na style Kali ya dogo ya michano!!
Jama ana style Kali ya kuflow sema ryhme zake ni za musoma...akikaa town hata miaka miwili na waliofika mjini...jamaa atatisha Sana'a mungu amsimamie ameeen
@@apiovlwiwa2576 labda kama utakua umenielewa vibaya...jamaa mkali sana wa flow...ya akiswitch atatisha zaidi akichukua flow akaifanya zaidi kwenye modern flow na uandish akachanganya na swaga...kuna lugha naikosa kueleza vizuri...jamaa mkali watoto wa mjini wanasema akifika mjini atatisha zaidi haina maana nimemzalau kua wamusoma hapana bro....
uyo weremula ni combination ya flow zifuatazo...nawasikia 1.kala jeremiah 2.langa kileo 3.mangwear 4. montrah da future 5.godzillah package flan ivii anajua sana jamaa akomae kwenye uandish maana flow anazo nyingi
Umesahau na mchizi wangu kutoka A-Town wanamuitaga Stopper Kama hujasanuka sikiliza Ngoma ya mtu tatu kaka. Huyu homeboy hatar sana. Ntakutafuta homeboy
This is the best free style I have ever seen in this channel this were mulah is on fire 🔥🔥🔥 Every time I visit this channel I don't tire listening to him ...much love from Kenya ❤❤❤
Nahic ujumbe umefika coz dj leo katisha kajua kwenda na style ya uchanaji wa mchiz.. ndo mana mchiz kwnye coment tu inaonesha kiasi gan katisha.. kwaufup Dj katisha na mchiz katisha.. nice
Dk 10 za maangamizi Ndio my favorite kipindi nimesikiliza floor nyingi lakini huyu were muller ni shida anajua mnoo ,kwa siku narudia kuangalia hii floor zaidi ya Mara 3.big up were muller