Тёмный
No video :(

SIKU 61 TANGU KUTOWEKA KWA MREMBO HUYU/NDUGU WAJAWA NA HOFU/MUME AHOFIWA....!! 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 165 тыс.
50% 1

Taarifa za Dada huyu aliyejulikana kwa majina ya Naomi au Sandra Orest Marijani zilisambaa katika mitanda ya kijamii kuhusu Kutoweka kwake.Ambapo alipotea tangu tarehe 15/6/2019.Lakini katika kupotea kwake kuna utata mkubwa.Dada huyu ni Mama wa mtoto mmoja na vilevile ni Mke wa Ndoa wa bwana Meshark Hamisi Luwongo...!Tizama na usikilize kwa makini ilivyokuwa kuhusiana na tukio la huyu dada...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 360   
@MetienneVlogs
@MetienneVlogs 5 лет назад
Tanzanian Swahili is very sweet to the ears hata sad news inasound vizuri 😁. Love from your shemejis kutoka Kenya 💕
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
Haaaa haa thank you shemeji
@shamimuabubakari3508
@shamimuabubakari3508 5 лет назад
Hahahhaha umenifanya nicheke wakati ni mambo ya kuhuzunisha shemeji
@sophiashayo1996
@sophiashayo1996 5 лет назад
😁😁😁😁shemegiii
@bhokemasyaga4654
@bhokemasyaga4654 5 лет назад
😍
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😍😚😘😙
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 5 лет назад
Kadada ka watu kazuri kishenzi 😢waja wameshakatanguliza kwa sir God 😢😥😥dunia hii Yesu arudi tu
@Quilant749
@Quilant749 5 лет назад
Yesu yuko njiani
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 5 лет назад
@Rukaiya Rukaiya waaah
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 5 лет назад
SubhanaAllah 😢😢😢Huyo Mume Yuafahamu Vizuri Alipo Mkewe
@KladesKladseee
@KladesKladseee 5 лет назад
nusaiba Hassan alimuua
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Nusaiba vp hl
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 4 года назад
@@zaerajuma9159 Alhamdulillah Nashukuru Hofu Kwako
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 5 лет назад
Kuna watu wanafanya vitu mpaka shetani anawakana kabisa, shetani anakamata daftari anajifunza uovu mpya ambao na yeye hajawahi kufanya. Yesu tumefika mwisho cha muhimu rudi uchukuwe kanisa 😭😭😭😭😭
@cathymathew6088
@cathymathew6088 5 лет назад
Kwakweli kW tukio hili huyu baba amem-overtake shetani
@tumainimango8140
@tumainimango8140 5 лет назад
nadia amisha kabisa
@sauhatmudy754
@sauhatmudy754 5 лет назад
Jamn aseee tujarb kua na hofu ya mung dah kifo cha kinyama jamn kwel
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 5 лет назад
Thanks hii hishu safi sana shemegi noma Hali zindua noma sana
@vevo3130
@vevo3130 5 лет назад
wanawake acheni kukaa kwenye kipigo na manyanyaso hamna taji la uvumilivu wa ndoa.....jipe amani ya moyo acha kuvumilia ujinga na ukatili mwisho wake ndio hii sasa! maskini Sandra Mungu akupokee makaoni mwake
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 лет назад
Ujawahi kuolewa ndio maana unafunza watu ujinga
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
@@priscasiame9179 wewe ambaye umeolewa kama umeshawahi kupigwa hadi kuumizwa ulivyovumilia umepata nini? usianze kujudge mawazo ya mtu bila kutoa yako
@vevo3130
@vevo3130 5 лет назад
@@priscasiame9179 labda fafanua ujinga ni upi ili tuelewe!
@vevo3130
@vevo3130 5 лет назад
@@lykamlaki1218 subiri tusikilize kwanza inawezekana ana point...hahaaaa hebu kwanza eeheh karibu uwanja ni wako
@shamsamazinge2556
@shamsamazinge2556 5 лет назад
@Prisca a siame ukiolewa ndiyo ukubali kufanyiwa vitendo viovu kwa kivuli cha ndoa? usifanye watu hatujui ndoa tutajua natuko ndani ya ndoa unyanyasaji na ukatili wa aina yeyote haukubaliki rafiki yangu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 лет назад
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun. Haya ndio matatizo ya pingu za maisha. M'ke unamkuta yupo kwenye ndoa tu lkn raha wala mapenzi hakuna, anadhalilishwa kwa kila hali na lakufanya hana. Anabaki kuvumilia na kutaraji mageuzi maskini mpaka anauliwa.
@mwaaathuman7332
@mwaaathuman7332 5 лет назад
Love Mummy
@dotopaul7474
@dotopaul7474 5 лет назад
Poleni wafiwa mungu awatie nguvu
@meshackalex124
@meshackalex124 5 лет назад
Uyo muuaji tena professional anajua kila kitu msisumbue vichwa
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 5 лет назад
Uyo Mme wake anajuwa kila kitu mwuongo
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Hongereni watu wa mitandao,nimejua nisiyoyajua,mmm kusajili laini ni muhimu sana.
@hellenkalimba5003
@hellenkalimba5003 5 лет назад
Huyo mumewe anajua kila kitu...aseme amempeleka wapi mkewe...achukuliwe akasaidie polisi
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 лет назад
hellen kalimba kumbuka inaweza kuwa sate up hataa marafiki sio watu
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 5 лет назад
Tanzanie mko vizuri kwauchunguzi da geah tunaomba muendelezo uyo mume anajuwa mkeo alipo anazugatu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Innalilah Wainnailah Rajiun, subhannallah, mtihani kwakweli.
@mkobainnocent2368
@mkobainnocent2368 5 лет назад
daaa very sad,, ila teknologia na Mungu vitu vya kuogopa sana,pole kwa familia,
@MrSokwe
@MrSokwe 5 лет назад
Huyo mume wake kajitumia message kwa simu ya mke wake mwenyewe halafu kamuua, huyo dada kama angeamua kuondoka kweli kwa mumewe lazima angewajulisha ndugu zake.
@romeocyrill6635
@romeocyrill6635 5 лет назад
MrSokwe HAKIKA.... na kama kweli alijitumia basi wacheki simu zote zili ping katika mnara gani kama zimeping kwnye mnara mmoja bila shaka mume anajua zaidi kinachoendelea.
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
Anajua mkewe alipo mficha anakuwa karibu na ndugu ili kujua analopanga
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
@@romeocyrill6635 katili sana huyo mwanaume
@MrSokwe
@MrSokwe 5 лет назад
Romeo Cyrill kwa taarifa nilizozipata mume amekiri kumuua mkewe na kumchoma moto na kuzika majivu yake shambani na juu yake akapanda mgomba 😤
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 лет назад
tatizo Wanawake Wa siku hizi ssi ving,ang,anizi ushaona ugovi hauishi sepa usitafute makubwa jamani . eti kisa umeolewa mmejenga na mume ndo unang,ana . wengine wakigombana na waume zao wanaaza kusema nataka haki zangu Mara nyumba iuzwe tugawane Mali huku ukiwa bado upo hapo ndani . mwanaume gani anaekubali Mali ziuzwe kirahisi mgawane hawakubali kufilisiwa na ndo maana watu wanapelekana mahakamani kibabe kugawanywa kwa nguvu Wanawake wenzangu tukiona mambo hayaendi ndani tuondoke kistaarabu tusianze tabu wanaume sii
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 лет назад
Kamwe. Yalinikuta ila sipendi ugomvi. Nilitoka kimya kimya tu. Niliacha kila kitu. Alhamndulillahi niko salama na nafanya yangu nayeye yuko na pesa zake ila niko NA amani Kuliko mwanzo
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 5 лет назад
Mi nakuunga mkono ni kweli
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 5 лет назад
Ni kweli
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 лет назад
حليمه ال umeonaee bora kusepa
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 лет назад
Rahma Khassani wengi ving,ang,anizi ifike stege mtu useme inatosha. na ndo maana tukaekewa talaka. ukiona mapenzi yameisha sepa usivumilie
@meena-ol6fo
@meena-ol6fo 5 лет назад
Haina mjadala hapo investigation ianze haraka jamaa aeleze yuko wapi mbwa huyu
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 лет назад
Amina Ibrahim sijaelewa sentensi yako unamaana gani kusema "yupo wapi mbwa huyu? 😢😢
@danielx8
@danielx8 5 лет назад
Jamaa pumbu sana..samahani kwa lugha yangu
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 лет назад
Tunaosumbiria muendelezo tumjue mchawi tuko hapa😊😊😊
@zenamshana6852
@zenamshana6852 5 лет назад
Dah mdada mzuri jaman amekufa kifo kibaya mungu ampokee kwenye makaz yake
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Amin
@mariamakwinya4156
@mariamakwinya4156 5 лет назад
Daah mungu amfichi mnafiki kwakweli
@madamloveness7274
@madamloveness7274 5 лет назад
NDOA jambo gumu sana kulisiskia masikioni mwangu mpaka naogopa kuingia huko,ila kuna uwezekano kafanya yake na akachukua simu ya mkewe na kujitumia sms mwenyewe.
@silvasiame9861
@silvasiame9861 5 лет назад
Ndoa sio jambo gumu Dada, Wagumu wanandoa wenyewe, ni kama chombo tu cha usafiri ila je waliokipanda hicho chombo wanakiendesha vile ipasavyo au la! Kila namna watavyokiendesha lazima wawe na hakika kuwa watapata matokeo kulingana na wanavyokiendesha chombo hicho.
@pamphiliabongole8460
@pamphiliabongole8460 5 лет назад
We nawe una mambo yako kipi rahisi sasa
@zakyahya4645
@zakyahya4645 5 лет назад
Nikweli yawezekana kajitumia sms yeye mwenyew Kisha kavunja na cm yenyewe
@angelabdala7330
@angelabdala7330 5 лет назад
usiogope kuingia kwenye ndoa watu Hawa hawafanani usihofu ww ingia tu
@jumaomari7819
@jumaomari7819 5 лет назад
Maajab
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 лет назад
Aisee huyo mwaname apate kibano cha maan anajua yupo wapi au kamuua jamn dada mzur sna ndoa hizi hatr sanaa
@floramwanjonde9968
@floramwanjonde9968 5 лет назад
Mume akamatwe anajua vizuri sana
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 5 лет назад
Mambo ya mtandao siku hizi Safi sana,,,hakuna Siri tena
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 лет назад
Mtu awezi kuondoka bila kuwasiliana na na family yake niuongo huyo mwanamke ashauliwa mwanaume amemuwa mkewe sisi wanawake tunavumilia mengi wanaume ni watu wabaya sn kashamnyonga mkewe😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@petermim
@petermim 5 лет назад
Kuna Mauaji yakipangwa...yanapangika inawezekana akajitumia meseji baada ya mauaji, au ugomvi ukachukuliwa ndo katoloka kumbe no..😳😳😳😳😳😭😭😭
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 5 лет назад
Ndo yaliyojiri aisee, so sad
@yusufally6853
@yusufally6853 5 лет назад
Government where you're don't keep prison killing him direct. SUBHANNA LLAH.inna Lilah wainna ilaih rajiuun.
@luizabahati5198
@luizabahati5198 5 лет назад
Aisee..sitapuuzia habari tena..niliona hii post amepotea Ila sikupata mashaka Kwa kuwa niliona ni mtu mzima..daaa..kumbe amemuua mumewe...aisee...huyu ni kifungo Hadi kifo
@kweka14l35
@kweka14l35 5 лет назад
😫😫😫😫😫😫 too Sad
@najma3268
@najma3268 5 лет назад
Aisee ushahid mzur sana wa mtandao
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 5 лет назад
Inshaallah gear tunasubir muendelezo pande za muscat Oman hp
@lailazingbar935
@lailazingbar935 5 лет назад
Tukomae tu na kazi mambo ya kuolewa hayaa ni shida
@madolovetanzani248
@madolovetanzani248 5 лет назад
🕺🕺🕺🕺😍😍
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Upo makini
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 лет назад
Damu ya mtu kali! Hata ukiua peke yako itajulikana tu! Hatari sana
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Geah Habibu
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 5 лет назад
Rlp 😭
@asiakise2072
@asiakise2072 5 лет назад
Kama ni Kweli Mme wake Atakuwa anaangalia sana channel ya investigative discovery 🆔 maana mambo kama mzungu...
@MrEve1975
@MrEve1975 5 лет назад
Pamoja na hayo bado amecheza kijinga kutumia cmu na line ya mkewe kijingaaaaaaa
@venstonvedasto
@venstonvedasto 5 лет назад
Ina balaa ile channel
@halimamofat5070
@halimamofat5070 5 лет назад
Muendelezo jaman mmewe kamuuwa alaf kamchoma moto namagunia ya mkaa alaf majivu kachanganya jamaa kakamatwa tayar dunia sjui tunaenda wapi maana alivyo fanya ivyo kwanza alichukua sim yamkewe akaandika uwongo
@issamsemwa498
@issamsemwa498 5 лет назад
Huyu jamaa achukuliwe na akaisaidie polisi kwa uchunguzi zaidi,maana wataalamu washagundua hapo jamaa anahusika
@laliapamba4187
@laliapamba4187 5 лет назад
Issa Msemwa Mume ameshakiri long time kumuua mke wake na kumchoma moto alinunua mkaa gunia mbili baada mwili kuteketea wote akachukua majivu akayazika na kupanda mgomba. Chezea Police wewe wakitaka lao hukwepeshi maneno
@issamsemwa498
@issamsemwa498 5 лет назад
@@laliapamba4187 duuuu acha masihara maana sijafatilia hii stori tena ni hatari mbaya
@laliapamba4187
@laliapamba4187 5 лет назад
Issa Msemwa sio masihara but ndio ukweli mabaki ya meno na mifupa yamepatikana pia, mume amewapeleka Police alikofanya mauji, alikochoma na alikopeleka majivu kuzika ambapo ni Mkurunga, ameua Gezaulole na kumchoma kwenye tanuri hilo la mkaaa then akachukua majivu akaenda kuyafukia shambani kwao mkuranga halafu akapanda mgomba. Huo ndio mwisho wa hiyo stori/tukio mume yupo Police kwa Murder
@issamsemwa498
@issamsemwa498 5 лет назад
Acha akanyee debe mshenzi huyo maana roho imeniuma sana aise kama nimefanyiwa mimi hivi
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
@@issamsemwa498 kuwen na subra wanaume
@mchomemtuveta6317
@mchomemtuveta6317 5 лет назад
Dah nalia sana kusikia hivyo ila mungu muweke pahala husika
@mosesmkoma6882
@mosesmkoma6882 5 лет назад
Mbona kuna taarifa huyu Dada kafa nimesoma kwenye group wattsup ,si wagezaulole
@platnumtanya2880
@platnumtanya2880 5 лет назад
moses mkoma ni wawapi??
@riziksandube8061
@riziksandube8061 5 лет назад
Inaumiza
@helencescramsey1111
@helencescramsey1111 5 лет назад
Sad
@kuruthumukhamis5737
@kuruthumukhamis5737 5 лет назад
Wanaume baadhi niwauwaji mungu ailaze lohoya marehemu pema
@shababygirlshambuwa8388
@shababygirlshambuwa8388 5 лет назад
subhana llah. poleni familia . mume anajua huyo kila kitu musiumize vichwa
@fatmakhamis1018
@fatmakhamis1018 5 лет назад
asiwatie msituni huyo jamaa akamtwe. anahusika moja kwa moja hizi ndoa sasa zimekua ndoano mpaka wengine tunaogopa kuingia msikubali ameshauwa huyo
@sauhatmudy754
@sauhatmudy754 5 лет назад
Jamni mpaka naogopa ndoa
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 лет назад
Daaaah ndoa Ina Siri kubwa jamani??usiombe kuishi kwenye ndoa bila amani ni shida xanaa
@kirokamissiondispensary7168
@kirokamissiondispensary7168 5 лет назад
Huyu kaka anajitoa ufahamu anajua kila kitu huyu asiwachanganye bhana yani natamani mim ningekuwa baba wa huyo Dada ningeshampiga shaba huyo mume afilie mbani chizi huyu....
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 5 лет назад
Dada Gea tafuta hiyo hbr mbona inasemekana mmewe kamuua na kamchoma moto na askari wanamshikilia huyo mme na kishawapeleka eneo la tukio na wamechukua jivu kwa ajili ya DNA plz hebu utuletee hiyo taarifa 😂 wanaume punguzeni viranga mnafikiri tutawavumilia mpaka lini ? Hatujawazaa nyie mbona mama zenu wamewaacha ? 😂😂😂
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 5 лет назад
Kwakweli tunako endea hawa wanaume mmmmmhhhhh mtihani
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 лет назад
Huyo aliwawa na mumwe labda akamzika, jamaa achapwe viboko mpaka aseme ukweli. Dada geah mwendelezo utuletee plz
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
Jaman huyo mme mbona ameishakamatwa na amesema ukweli kuwa alimuua na amemchoma kwa kutumia mkaa magunia mawili ya mkaa alafu amezika majivu. Subirini muendelezo mtayapata yote hayo. Wanaume ni wakatili jaman daaah
@pendokapungu4324
@pendokapungu4324 5 лет назад
Weeeeeeeee😥😥😥😥😥😥
@anethalmodad4317
@anethalmodad4317 5 лет назад
Haaaaa jamaniii unasema ukweli Ehhh mwenyenz Mungu
@shamimkingazi8925
@shamimkingazi8925 5 лет назад
Wivu wa mapenzi ya kutoaminiana ndo hutokea mawwaji subhana Allah
@jacklinegodfrey5509
@jacklinegodfrey5509 5 лет назад
Mungu wanguu jamani
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 лет назад
Kama huyu mwanaume.kafanya hivyo kakosea sana duuuuh bora angemuacha aende na maisha yake tu kuliko kumfanyia kitendo kibaya hivyo duuuuu hizi ndoa ni mtihani kweli mungu tutangulie sisi waja wako tumekosa utu kabisa
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
Jamani wanaume mnanini yarrabi pumzika salama dada😭😭😭😭😭
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 5 лет назад
Dah wanaume hawaa khaa Mungu anawaonaaa......!@muendelezo bc da Geah.....
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 5 лет назад
@Ali Ali nyauu mwenywe quma kwelii wee Ushoga wako pelekaa Magomenii au unatafuta bwanaa falaa kwelii wewe pelekaa Utahira wako kwenuuuuuuu mshenzii kweliiii.....mbwaa kasoro mbooo#f**k U
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 лет назад
Daaaah damu ya mtu haiendi buree mume ndo amemuua Dada wa wayu💔💔💔💔😭😭😭😭
@danielx8
@danielx8 5 лет назад
Wamemuuwa
@jennipherjosephu9129
@jennipherjosephu9129 5 лет назад
kuna watu wangetakiwa kuishi na wanyama wakali na si kuishi na binadamu
@nobbylovetv4977
@nobbylovetv4977 5 лет назад
Kweli harusi siyo shela na tarumbeta.. Bado mnanishauri harusi... Hapana kwakweli nitabaki tu na wazazi wangu hata niwakosee nini awawezi nifanyia huu unyama aise
@ishaq9925
@ishaq9925 5 лет назад
kumbe maskali walitaka kufanya Jambo huwa wanawezaeee mmh
@sumamwamalekela1069
@sumamwamalekela1069 5 лет назад
Binadam wamejibebea hukumu sasa ,wanahukum wenyewe.Mungu atusaidie inaumiza saana.
@TheBraouz
@TheBraouz 5 лет назад
Hapa ndo nasemaga kuna raha sana kuokoka kiukweli ukweli, cause vitu ambavyo kama ww ni mkristo uwezi hata fikiria kufanya, hata kama ni jaribu kubwa kiasi gani, You just pray na kumlilia Mungu. Am proud to be a Christian na kumjua nikiwa mdogo. Pole kwa familia na ndugu wa mdada uu hata na mkaka.
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 лет назад
Jamani jamani waume munatutisha, Daa geah naomba muendelezo
@saidkambi6792
@saidkambi6792 5 лет назад
police kwa nn wana muachia huyo jamaa wakati anaonekana kuna kitu anajua zaid#poleni sana
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Tatizo Tanzania tuko nyuma huku usa missing person anafatiliwa wanachunguza mazingira aliyoyaacha alivyoondoka hamna mama anayeondoka na kuacha mwanae hizo messege camera zinaonesha lakini bongo ndio basi tena
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 5 лет назад
Tuko nyuma kivi waliyo kuwa mbele ni nchigani ndungu yangu matatizo haya a cha Yuma wala mbele
@rwejunadeborah8946
@rwejunadeborah8946 5 лет назад
salma luhombero o
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Huyo mme anauhakika mkeo alipo aache kucheza na akili zawatu kama amemuuwa aseme tu maana sio kwautata huo maana dkuhizi wanaume kuuwa wake zao imekuwa desturi kama kuchinja kuku
@lashymreal6555
@lashymreal6555 5 лет назад
Mwenyezi mungu fanya miujiza apatikane akiwa hai Amen
@laliapamba4187
@laliapamba4187 5 лет назад
Lashy Mreal Alishakufa tangu siku hiyo aliyotoweka, mume ndio amemua mke wake akamchoma then majivu akayafukia na kupanda mgomba
@lashymreal6555
@lashymreal6555 5 лет назад
@@laliapamba4187 mungu wako are you sure
@laliapamba4187
@laliapamba4187 5 лет назад
Lashy Mreal Sure kabisa amemchoma na kuzika majivu mkuranga, mabaki yamepatikana meno na mifupa
@laliapamba4187
@laliapamba4187 5 лет назад
Lashy Mreal Habari ipo all over, tangu jana ndio taarifa inatrend kwenye vyombo vya habari
@lashymreal6555
@lashymreal6555 5 лет назад
@@laliapamba4187 Ahsante kw kunitaarifu my mungu atadeal na huyo mme wake
@hevenlightruta2892
@hevenlightruta2892 5 лет назад
Huyo mwanaume ni muongo itakuwa yy ndo kajitumia hz sms mwenyewe kwa no.ya mkewe ili aje atoe ushahidi huo wa kudanganyia watu
@sharifamfaume4083
@sharifamfaume4083 5 лет назад
Nikiyaona aya matukio naiwaza kesho yangu maana ndowa yangu ni migogoro kila siku na ataki tuachane
@annamkomba576
@annamkomba576 5 лет назад
Dada kimbiaa..usisubiri ukachelewaa ohoo..
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 5 лет назад
kama huelewani na mwanaume na mnaishi kwa vita achana nae,me mke wanu alipoanza umalaya nilipiga chini ili tusiuawane,nikatafuta mchumba mwingine kanizalia madume matatu,me ni mkristo ila niliona bora nimuache baada ya kuzaa nje,pga chini sharifa usiogope,leo ananitafuta arudiane na mimi too late,na nina amani sana,some times we have to be selfish in love,usipende asiyekupenda.
@taharayassin6528
@taharayassin6528 5 лет назад
Mungu amlaze mahali pema Ruge 💔
@aishajuma6860
@aishajuma6860 5 лет назад
Ck izi hakuna hata kuaminiana yaani hata mumeo ana weza kua adui wako dah mungu tunusuru dunia inapo elekea sipo.
@fedyrunya2130
@fedyrunya2130 5 лет назад
Huyo kasha kufa kabisa maana Mme
@hawasaid8262
@hawasaid8262 5 лет назад
Katikakupigana pengine kampiga kwabatimbaya pengine kamuuwa kamfukiya au kamtupa sirianayo yeye anasumbuwa watu kashamuuwa uyo anaogopa kesi
@jehhus6126
@jehhus6126 5 лет назад
Hakutegemea km atamuua
@vailetdavid7928
@vailetdavid7928 5 лет назад
MUNGU wangu dunia inaelelea wapi iyo stori inafanana na stori ya uko marecan baba moja aliua mke na watoto na kilicho fanya polisi waanze uchuguzi wa kumtafuta ni rafiki yake ya kuona anapiga simu rafiki yake hapokei na mume alikuwa bega kwa bega na mapolice kama huyo mume bega kwa bega ila ile aikuchukuwa hata week alijulikama only 3 days dunia imekwish nilisikiliza stori nzima sikulala usingizi adi nilioto.Watoto wakiwa wazima wanatupwa kwenye tanki la mafuta mmoja akisema baba usifanye hivyo kwa dada yangu na mm utanifanyia hivyo bila huruma anawatupa wakiwa hai kweli
@kulwaseif6156
@kulwaseif6156 5 лет назад
Jaman dah kwa kwel
@pendomariki6562
@pendomariki6562 5 лет назад
Mwendelezo tunasubirii
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
Asije akamuuwa uyo shemeji mpelelezen jamani
@marygaspary199
@marygaspary199 5 лет назад
Huyu dada atakuwa aliuawa na huyo mwanaume, na akamficha tungojane hapahapa jeshi letu la police sikivu na makini litatujulisha kila Kitu.
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
Ndiyo taarifa imeishatoka kuwa mme alimuua alafu akachukua magunia ya mkaa akamchoma moto alafu akazika majivu
@barikiwa22
@barikiwa22 5 лет назад
@@alexandrinadomaino9868 Oh noo! heartless man!
@florencekichindaflorenceki3564
Ohh my God 😭 😭 😭
@challabeel578
@challabeel578 5 лет назад
@@alexandrinadomaino9868 imet0k wp niitafutee ?
@happymichael4172
@happymichael4172 5 лет назад
Unyama wa hali ya juu
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 5 лет назад
Mmmh apo ni kwenye kiza apo looh
@remiomar7154
@remiomar7154 5 лет назад
Ndoa zishakuwa nongwa bora kuwaoshea waarabu Choo n kupiga deki ndoa zinaogopesha siku hz....... Tunamuombea apatikane akiwa hai tupate full story kama bwana alihusika
@jehhus6126
@jehhus6126 5 лет назад
Mume kamuua
@mdomani2404
@mdomani2404 5 лет назад
Kauliwa na mme Kaenda kumzika kwao mkuranga mwenyew na AWali alimchoma moto,
@remiomar7154
@remiomar7154 5 лет назад
@@mdomani2404 mungu wangu nayeye anyongwe hakuna pewa dhamana
@remiomar7154
@remiomar7154 5 лет назад
@@jehhus6126 mmmmh mungu wangu nahisi tumbo laniuma
@jehhus6126
@jehhus6126 5 лет назад
@@remiomar7154 atari sana mchezo Wa kupigana unaua bila kutarajia ukiona limetokea ndio majuto yananza Asa angalia kaua mke nayy anaenda kula kifungo cha maisha bora angejipeleka mwenyewe police tungesema kama lulu bila kukusudia ata yeye mpk kazika jamani huyu baba asiachiwe afie jela tu
@loyceemacy9185
@loyceemacy9185 5 лет назад
Mungu tusaidie Hawa wanaume sio watu jaman mungueeeee😭😭😭
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Siyo wote pako Wanaume wazuri
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 лет назад
Mwanamke mzuri ameharibiwa hivihivi.
@estheryrajabumahamba6374
@estheryrajabumahamba6374 5 лет назад
Bora hata huyo dada amepata wa kumtafta sasa sisi wengne Mungu ndo wangemuachia Mungu huyo akamatwe tu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Daaa jamani poleni kwa kupotelewa na ndg yenu ila huyu baba huenda kamuua mkewe maana ngojera zimekuwa nyingi sana. Mimi naiomba serikali imkamate huyu baba akajibu mashitaka. Daaa jamani wanawake tunaolewa ila ndoa zinashida jamani Mungu wa mbinguni azisimamie ndoa hizi.
@happybalama3591
@happybalama3591 5 лет назад
Abanwe anajua Mkewe alipo
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
@@happybalama3591 kweli kbs atakuwa anajua alipo.
@happybalama3591
@happybalama3591 5 лет назад
Kaishakamatwa na amwkubali jamani
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
@@happybalama3591 bora akamatwe tu.
@tumakassim6286
@tumakassim6286 5 лет назад
Yarabi jaalia apatikane huyu dada ☹️☹️
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 5 лет назад
duuu!mnaua dada mzuri hivyo jamani acheni ukatili
@shollaemmanuel6210
@shollaemmanuel6210 5 лет назад
Mmmmh shemeji anahusika kabisa
@tedymalaas9145
@tedymalaas9145 5 лет назад
Yeyote alie mkatili Mungu anawaona jamani 😢😢
@saudambinga3832
@saudambinga3832 5 лет назад
Mwendelezo tunausubiri Gear
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 4 года назад
Mwendelezo upo
@kelvinlaurent3029
@kelvinlaurent3029 5 лет назад
Duuh hatar sana
@shamimuabubakari3508
@shamimuabubakari3508 5 лет назад
Yaan jaman hiv wanaume wanaroho gani jamani vituko afanye yeye alafu akiambiwa au kuulizwa tena anaona kero looh jaman yarabby tunusuru hua mtu tunamani kuolewa lakin ukija kufikiria haya ya hawa wanaume wakatil ham yote inakufa kaamua amuondoe kabisa ili asimkere kwa mambo yake
@khadijakassim3798
@khadijakassim3798 5 лет назад
Huyo Chris watt kabsa
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 5 лет назад
Tumalizieni kipande chapili ila tunamuomba mungu aludi salama 🙏🙏
@selemanilisecamp3349
@selemanilisecamp3349 5 лет назад
Yani Naomi
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 5 лет назад
Huyo mume akamatwe ajielezee vizuri kuna siri hapo
@yusufally6853
@yusufally6853 5 лет назад
Fatuma Hengo .anyongwe.
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 5 лет назад
@@yusufally6853 achomwe moto 😢
@glorymnzava5169
@glorymnzava5169 5 лет назад
Huyu mwanamme amepoza chombo dada mzur sana
@claralassonn8833
@claralassonn8833 5 лет назад
Iyo laini isiyo sajiliwa inaonyesha kabisa uyo mwanaume anajua mkewe yupo wapi
@estabaro6538
@estabaro6538 5 лет назад
Wanaume tumewakosea nini 😭😭😭😭
@shaddytzblog1907
@shaddytzblog1907 5 лет назад
Dah
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Technology...
@suzannmaswatu6501
@suzannmaswatu6501 5 лет назад
daaah jamani,
@abuukatana
@abuukatana 5 лет назад
Mdada mzuri
@ms.upendojohn9270
@ms.upendojohn9270 5 лет назад
sanaaa
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Dunia inaelekea mwisho
@edinamfinanga8391
@edinamfinanga8391 5 лет назад
Huyo bwege haina haja yakumsikiliza nyongelea mbali
Далее
Isha Mashauzi - Thamani Ya Mama
10:03
Просмотров 791 тыс.
HEKAHEKA: Mwanamke alivyofia Guest House Dar
10:43
Просмотров 40 тыс.
Schizophrenia | 4 Traits You Need to Know
13:05
Просмотров 1 млн
EP4 Zouchu Performance
4:51
Просмотров 281 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 121 тыс.
BWANA HARUSI AGOMA KUINGIA UKUMBINI,KISA HIKI HAPA...!!
14:35