Zari kama mwanamke,Naomba nikwambie kuwa "YOU ARE DOING GREAT"..Kama ulivyosema hata kama Ivan angeacha billions endapo ungekua mwanamke mjinga for these two years toka afariki vingekuwa vishapotea vyote..Usijali kelele za chura,kaza mwendo mama..Kulea watoto watano si mchezo while playing both parts as a mother,father na kazi..Mwenyezi Mungu hatokuacha peke yako kamwe..
Jamani Millard Ayo Uwe Ukiongeza Mda kwa Mahojiano ya Zari na Huyu Mtangazaji.Yani huyu Muhoji yuko Sawa na Anaye Hojiwa naye Yuko Poa. Hongereni sana.
My dear Zari, akili yako ni sawa na akili ya wanaume 10 wanaotaka maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na upendo wa kuwalea watoto wako. Hao ni asset yako ya baadae.Your are really BLESSED.
Love you Zari and very proud of you. I have never seen a smart woman like you. Diamond Platnumz has lost a very bright and intelligent woman in this world.
@@worldposts3377 usiongelee kwa mapenzi ya diamond mi mwenyewe ni shabiki mkubwa sana wa diamond lakini hapa kapoteza mtu wa muhimu sana maishani kwake
@@rehemabaraka9895 yule mange ni mjinga sn anapenda kufatilia mambo ya watu sio zari tu hampenzi watu kibao anapenda kuwafatilia kama anolipwa mshahar mjinga yule akingii mwili kwa kufatilia watu na wigi lake moja mika 6 habadilishi😂😂😂😂
Hongera ZARI nikweli ukiwa na mwanamke MWENYE akili watoto na mali hazito potea...Hongera SN haya wenye michuki yao na roho za kutu. Mukuje mukuje...wakak mjifunze kuoa Madem waenye kujua maisha ni nini na MWENYE kuianda KESHO.....
Yaani Mondi ungejua ulichopoteza hapa!!!!! Pole sana. Nafurahi kuwa una makazi yako maana hiyo nyumba ya Wa Tz ingekutukanisha sana. Hongera sana mama Tee.
Yan ungejua , maisha halisi ya utafutaji usingeJudge, appreciate kila aliyefanikiwa na usi Judge chochote we wachukulie km chachu ya mafanikio ila usiamin wanachokiomgea
If it was da wachafu doing d's interview ma God da noise u would be hearing cheiii luck of professionalism ,thank u Millard ur so professional ,n for zari all I can say is I love u mama Tee
If zari who was bone and raised in Uganda knows how to speak swahili and you find someone who was raised in kenya that she doesn't know swahili .😁😀😀😁😁😁😁
Zari wew ni role modal wangu ni fan wangu pia unaniinsipire sana actually upo talented Kama unamkubali zari na umeona ni mama bora like yako tafadhal😍😘😋
WOW! WOW! That what I call woman with brain and she spits the truth. Nikweli ingekuwa manzi mjinga tugesikia mambo mob especially from Ivan family but they know what kind of woman she is.Love you ZEE your the real🐐🐐🐐 PLS PART TWO!!!!!!
kusema kweli uyu dada #Zari ana akili nyingi sana na ana pesa kuzidi maelezo sio vidada vyetu Vya #Bongo Vime kahaa tu kuchambana hata wakiwa kwenye conference room kujadili mambo ya msingi ni Vijembe tu Shenzi.
Ndio aliomsaidia Diamond kuwa tajiri....niwakumbushe Zari white party iliofanyika mlimani city walipata 3 billion mapato ya show hiyo....ndio ilimpa mwanga diamond
Hibah Majid nakuambia ma blogurs wa IG wana harisha uko hehe comanda yao ni the originaleast app, leo halali ana fufua makabiri nakuambia kuarisha nayo chaiiii
Ooh my dear zari I love you so so so so so so so so much bannage but last time you come in Uganda but I was not in ug but one day I will meet you Insha'allah bby wa ma'am ❣️🌹🌷🥀👍🙋♀️🙋♀️from me 👮♀️👮♀️👮♀️
Vegas bado anawashinda kwa uzuri wasichana wadogo wengi tu tanasha na hamisa hawamfikii zari kwa uzuri na pia tambua kwamba hamisa na tanasha wakifikisha umri wa zari watakua hawatamaniki tena 😁