Kelvin naomba mtuletea shaynizer please tumemumiss sanaa naye awe miongo mwenu kwa movie, tunawapenda sanaa kutoka 🇰🇪🇰🇪tafadhali nipee likes kama unataka shaynizer back
Angalia na muda pia m nadhani mnapoteza muda sana kufanya kazi nyng ambao ungetumika kuweka series moja moja kila siku ikiisha mnabandika mzigo mpya ili mwendelee kuteka mafans wenu
Hee jamani mbn imeshia patamu ivyo?? Ila movie nzuri inafundisha na kuelimisha kama wapi watu kama hawa kwenye comment bc mubadilike mwisho nimbaya naomba like zangu please
Brother Kevin respect kw mambo ambao unaonea kaka Kevin umenifunza.mengi sana tang nianze kufatiria Dont tv pia Mke wako namupend sana..ni TOSE B kutok.kigali Rwanda
Mimnanikera na huo msuko wenu watoto wa kiume move nzuri lkn hao wanaume kusuka mnakaa vibaya Kelvin jitahidi angalau wabadilike wanaigana hadi msuko kaa
Aisee Ina unyama mwingi sema tuombe msicheleweshe sna vipande vinavyofata ..... Pia jitahd iwe ndef hata daka 30 Hadi 45 hvi jamn ili story iwe inanoga . Pia atleast baada ya sku 2 tuu bas upload kipande kinachofata tusichoke sana kusubr