Тёмный
No video :(

Siku ya Arafa ni Lini? ::: Sheikh Mbarak Ahmed Awes 

Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Je Arafa ziko ngapi? Je watu wafunge siku ya kusimama kwa mahujaji? Maswali haya na mengi sikiza khutba hii ili upate majibu yako

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 225   
@kanoa645
@kanoa645 3 года назад
Maa Shaa Allah, SHUKRAN Sana 1. Napenda sana unavyofafanua 2. Rejea zako unavyoziweka 3. Unavyohusianisha na uhalisia Wewe ni mwalimu mzuri Alhamdulillah
@kibelaame5178
@kibelaame5178 3 года назад
Shukran umetutoa mbali hekma zako allah akulipe kher
@nurshariff2546
@nurshariff2546 3 года назад
The best explanation av ever heard maashaallah baarakallahu feek shekh mbarak
@husseinkakanga4082
@husseinkakanga4082 3 года назад
Shekhe umefafanua vizuri Sana mungu akufanyie wepesi katika majambo yako.
@wardaabubakar7548
@wardaabubakar7548 3 года назад
MashaAllah very well explained,alhamdulillah
@aminamadi6980
@aminamadi6980 3 года назад
Ma Sha allah shukran sheikh mbarak mola akupe kila lenye kheir na akupe umri mrefu ili tupate kufaidika hasa katika zama hizi za upotofu.
@kiumbetraders6106
@kiumbetraders6106 3 года назад
Shukrani
@mozaabdulla476
@mozaabdulla476 3 года назад
Shukran Sheikh Mbarak....MashaAllah
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Allah amezileta izi itilafu ili tujuane misimamo yetu yani mungu awezi kutuacha bila ishara...
@maryammohammed8924
@maryammohammed8924 3 года назад
Mungu azidi kukumiminia kher na elimu na umri uzidi kutuelimisha na sisi wasikilizaji tuzidi kupata moyo wa kufata however nyinyi masheikh wa hamasa wacheni kupoteza watu na kumlazimisha watu lazima wafate makka wacheni kuharibu dini yetu nzuri ambayo iko wazi imeelwza killa kitu kama sheikh alivoeleza. Jazaakallahu khayr sheikh
@user-zj2ps5hh5y
@user-zj2ps5hh5y 2 месяца назад
Al hamdulillaah,,Allah akujaze majazo mema mwalim umetupa elim na tumeeelimika.
@mozaabdulla476
@mozaabdulla476 3 года назад
Asnt sheikh nmekuelewa vzr sana ...MashaAllah...Allah akulipe kheir
@abbasmungia6107
@abbasmungia6107 3 года назад
Jazaaka llah khayra, umeeleweka sana.
@rashidmaina2166
@rashidmaina2166 3 года назад
mashAllah mwenyezi mungu akuzidishie elimu hili sisi pia tupate somo
@zenamfinanga1362
@zenamfinanga1362 3 года назад
Alhamdulillah allah akuzidishie umri na afya ili tuzidi kupata elimu kutoka kwako
@rahakesho5550
@rahakesho5550 3 года назад
Mashaallah sheikh nimekuelewa sana tangu nilipoanza kusikiliza hoja kwa kweli umeelewesha vizuri sio mashekhe wengine katoa kitabu kimoja cha upande wao kamaliza . M mungu atujaie mkono mmoja mpaka peponi!
@sadickmguruka
@sadickmguruka 3 года назад
Shekh mubarack nakuelewa sana Allah akulipe kila la kheri
@sheikhabdulmajidabdallah9625
@sheikhabdulmajidabdallah9625 3 года назад
Baaraka llahu fiika Habiib, hawa vifuata upepo hawajui watendalo naomba tuendelee kuwaelekeza mpaka wataelewa kwani vichwa havifanani, kuna vingine ni zaidi ya mawe kwa ugumu, sisi Arafa ni jumanne inshallah
@nurmarkonah5580
@nurmarkonah5580 3 года назад
MASHALLAH Allaah akujazi khery sheikh
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
InshaAllah Mola akuhifadhi sheikh kutokana na nyoyo na ndimi za mahasidi
@jumaaomary4949
@jumaaomary4949 3 года назад
Mashallah sheikh wetu Allah akujazie kheri
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 3 года назад
احسنت مولانا ودكتورنا الفاضل
@masikakhamis6807
@masikakhamis6807 3 года назад
Maa Shaa Allah it's simple explanation for anyonee who is mature enough n has faith to understand.muhimu wa kusoma diin ni kuijua na kuifuata wala si kufuata mtu wa billahi tawfiq
@esheashur8417
@esheashur8417 3 года назад
Eshe said Zen
@khamisikombo5310
@khamisikombo5310 3 года назад
Allah Swt Akupe Umri Mrefu Shekh Hakika Umeyaweka mambo Sawa
@mwanaabualfani7241
@mwanaabualfani7241 3 года назад
Shukran Shekh,nimeelewa khutba yako Ma Shaa Allah,Allah akupe kila kheri na akuepushe kila la Shari
@saidnaweka7145
@saidnaweka7145 3 года назад
Shee Allah yupo Sema yenyekuelimishaaa
@hassansalat619
@hassansalat619 3 года назад
MashAllh sheckh mbarak mola akuhifadhi
@SaidAli-ir1om
@SaidAli-ir1om 3 года назад
Simple and clear Mashallah
@allykisuda4568
@allykisuda4568 3 года назад
Jazakallahu khayran ya Shaykh
@mohaedjaffer7709
@mohaedjaffer7709 3 года назад
Wasomeshe zaidi al habib ilmu ni bahri wallah
@tifaabdullahi2733
@tifaabdullahi2733 3 года назад
Mashallah shukran Allah akuhifadhi
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 3 года назад
Mambo tiffa
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Utapotezwa kisikiliza wazushi
@tifaabdullahi2733
@tifaabdullahi2733 3 года назад
@@abdulazizmwipi9295 poa vp hali
@tifaabdullahi2733
@tifaabdullahi2733 3 года назад
@@jumanneissa8226 vipi yaani
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
@@tifaabdullahi2733 sijui nianze vp kukueleza kwamba huyo shekh amedanganya hiyo hutba Kuna hotba moja amradiwa sema takuandikia uisikilize Kisha utajua ipi hakh inshallah
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 3 года назад
Masha allah shukran kwa kutufahamisha vizuri allah akuhifadhi yarab
@dahirgaraar360
@dahirgaraar360 3 года назад
Allah akubariki umeondoa mushkeli kwa elimu na ushahidi mzito wa nususi na bila ushabiki. Mwenye kutaka kujua kajua asiyetaka kujua halazimishwi.
@husseinally1318
@husseinally1318 3 года назад
Mashallah sheikh allah akupe umri mrefu ulio na kheri ndani yake sheikh
@jailaninkya8978
@jailaninkya8978 3 года назад
Nakuelewa sana
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Allah_akuhifadhi_tusitukanane_Waislam
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 года назад
Jazzaka Allahu kheir
@mwinyimkuuabdallah9636
@mwinyimkuuabdallah9636 3 года назад
Jazakallahu khayra
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 года назад
Ahsnty shekh wang mung akujaze kila la kher achana na hawa mawahab wanababaika babaika
@nasorjuma3726
@nasorjuma3726 3 года назад
Ah samtu shekh mungu akupe afya na mwisho mwema
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Mashallah
@salimkigarimbwe4911
@salimkigarimbwe4911 3 года назад
Maashaallah...mwenye kuelewa ameelewa
@shaibuabdul5062
@shaibuabdul5062 3 года назад
Mashaallah shekh Mubarak mwenyezimugu akupe umri mrefu
@salimkigarimbwe4911
@salimkigarimbwe4911 3 года назад
Aamyn
@razaqathman8389
@razaqathman8389 3 года назад
Inshaallah
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Na_kuelewa_sana_Mimi_kila_anae_sema_ktk_Maullama_sipingi_wala_situkani_Yyt_hakuna_haja_ya_kutete
@jimjam4148
@jimjam4148 3 года назад
MASHA ALLAH.
@hassanobathany6697
@hassanobathany6697 3 года назад
sheikhe toa hadith moja mtume aliosema funga siku ya 9 ya dhulhija.. unasemaje saum haifungamani na arafa wakat kwa akili ya kawaida tu .. hajj ni arafa sisi tunawafungia walosimama arafa
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Allah atunusuru
@khamisabdi4595
@khamisabdi4595 3 года назад
Tunawafungia waliosimama? Kwa ushahidi upi unaosema tunawafungia waliosimama?
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 года назад
hoja zako zina nguvu shekh wangu
@supermwaki6199
@supermwaki6199 3 года назад
Mashaallah
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 года назад
Uthi wetu mungu aku nusuru nakila mahasid
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 3 года назад
Sasa ww ndio umeandika nn
@benyoussoufaboubcar1575
@benyoussoufaboubcar1575 3 года назад
Allahuma Hdinã ila al_HaQ
@sadickmguruka
@sadickmguruka 3 года назад
Nyie mnao ona hamjaelewa mawaidha haya kwanini mnatukana punguzeni jaziba dini ni nasaha
@masudmvudi8061
@masudmvudi8061 3 года назад
Jazaakallahu kheira
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 3 года назад
Huundio Uislamu
@muhammadkarama9996
@muhammadkarama9996 3 года назад
Ibada ya hajj imefaradhishwa mwaka wa sita lakini hajj ilikueko kabla ya kufaradhishwa. Kwani sheikhe langu umesahau kuwa mtume swallalahu aleihi wa sallam alikutana na aws na khazraj wakati wa hajj? Au shekhe langu bayatul aqaba ilitokea lini?
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 года назад
Siyasa haina mana katika dini kisimamo cha arafa nikimoja tu maana ya cc kufunga ni kuwa cc hatuko katika uwanja wa arafa ndomana tunaunganao swaumu
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 3 года назад
Toa dalili sheikh.
@hashimuabdallah4211
@hashimuabdallah4211 3 года назад
Ha ha haaaa mjadala uliopo sio arafa ziko ngapi hoja mm nataka kufunga CKU ya mwezi 9 mfunguo 3 je nihesabu tarehe mwezi mosi had 9 nifunge au niangalie mahujaji wakicmama kwenye viwanja vya arafa ? Hoja iko hapo kwahyo sheikh amejitahidi kufafanua vzur mno tujitahd kuckiliza na tuache ushabiki hii dini
@majidsaid08
@majidsaid08 3 года назад
Mwanzo jiulize ilmu yako na huyo shk. Iko sawa?? Alafu kitabu gani chasema funga yetu yaenda na kisimamo cha arafa... ?? Kabla ya hajj kufaradhishwa mtume s.a.w alifunga siku tisa ya kumi akatoa idd.
@hashimuabdallah4211
@hashimuabdallah4211 3 года назад
@@majidsaid08 kabisa ndugu, huwa twakurupuka tu katka mambo mazito Kama haya na yote kwa kuwa tumeng'ang'ania micmamo ya masheik zetu badala ya kuangalia mambo yalikuwa VP wakati wa bwana mtume rahma na aman ziwe juu yake mfano mdogo ni rahisi kujua Kati ya funga ya mwenzi 9 mfunguo 3 na kufaradhishwa ibada ya hija kipi kilitangulia ukilijua Hilo wala huumizi kichwa wajua tu malumbano yameletwa na watu Fulani kwa lengo la kuwagawa waislam
@swahibually1723
@swahibually1723 3 года назад
@@hashimuabdallah4211 صدقت يا أنت.Unajua hawa wenzetu walionyweshwa kikombe cha UHABI,ni vichwa NGUMU mnooo,hivi kweli unaelekezwa ya kua; Mtume s.a.w alifunga swaumu ya Arafa kabla ya kufaradhishwa hija,bado unang'ang'ania kua,funga ya Arafa ni lazima izingatie Mahujaji kusimama ktk viwanja vya ARAFA;Unashindwa kujiuliza;Je wakati Mtume anafunga siku ya ARAFA kabla ya kufaradhishwa hija,ni akina nani waliokua wanasimama hapo kwenye viwanja hivyo vya ARAFA ili swaumu ya Mtume iweze KUSWIHI?Kwa kweli nimeamini kua,uongofu upo kwenye mamlaka ya ALLAH peke yake, ukiambiwa hata hoja hii pia haimtoshi Mtu kuelewa,huu ni mtihani,;Na Ndio maana hata Makafiri,vyovyote utakavyotoa ushahidi,muda wa kua hajapata hidaya kutoka kwa ALLAH,hawezi amini,ndo hawa Mawahabi.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 года назад
Shekh kasim tunaomna huyu mtu utuekee sawa
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Год назад
Hawez hata kwa dakika moja...sio kasimu tu kamuite na barahian na ww pia uwemo
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 года назад
Wewe ni mpotofu, wacha kupotosha watu. Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana SIKU Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah. Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ‘Arafah, Anateremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni”. Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya Arafah Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata" [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya Arafah”. [At-Tirmidhiy] Arafah inapatikana Saudia tu, na Hadithi zinasema tufunge SIKU ya Arafah, sio mwezi tisa.
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 3 года назад
Akiliyako niyakiwahabi huna tofauti namakafir mpuuzi mkubwa
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 года назад
@@mdoekibai5063 Mawahabi ni Waisilamu wanaofuata Quraani na Sunna kwa mujibu wa ufahamu wa Salafus Swaalih. Wewe ni Ahlul-Bidaa ni Waisilamu wanaofuata uzushi na bidaa ndani ya dini.
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Poleni sana wazushi yaani inasikitisha sana watu wazima wanapotezwa peupe mna watoto mnafamilia hivi nawapeni charrenge ukisema Tokyo nk wako mbele au nyuma hivi kwamfano huo kiyama kitakokea mwanza walio nyuma au mbele kwahiy kitakuatofautiana innalillah wanna illaih rajoon Kiyama sikumojatu dunia nzima hivyo hivyo mwenzi nimmojatu tumetofautiana saatu hivyo hivyo kiyama kitapiga sikujotu woote someni
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Ww mjinga tena chiz
@khamseysagrado7547
@khamseysagrado7547 3 года назад
Watu wa peponi nyie, matusi ya nn mwanachuoni wetu
@isackymuhammed6771
@isackymuhammed6771 3 года назад
Nakubali kiama siku moja na mwezi mmoja ila je duniani kote unaandama siku moja? Na anaeandamisha mwezi ni nani? Cha ajabu hata dunia ni moja ila wale ukiingia usiku hawa ni mchana au kuna dunia zaidi ya moja?
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Hicho ndo kipimo Cha elimu cha mtu jahil ndo wazushi mlivyo ikishiwa hoja matusi naunatukana unajua upo mbali hy ndo fulaha kwako lait uneku uso kwa uso usinge subutu nadhani unafahamu sisi sio wazembe kwa kila Jambo hivyo chunga Sana kua na adabu huwezi hoja nyamaza usifikil ukitukana humu ndo unaweza kumkimbia Kila mtu sio kila mtu unaweza kumkimbia chunga Sana nakuhusia usione wote waliopo humu Wana akili kama zako umesikia kijana Kama una bisha tukana tena
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
@@isackymuhammed6771 unatakiwa kuelewa kwamba Dunia tumetofautiana masaatu sio siku hskuna nchi duniani iliyo tangulia siku moja hivyo malekani muda huu inakalibia alfajili muda huu juma,3 kwao sisi tupo nyuma yao tukiamka j3 hiyohiyo moja hamna nchi iliyotangulia siku ndugu yangu ndoomaana kiyama kinakua sikumoja woote sio wengne ijumaa wengne juma mosi Kaka tusomeni
@munirriyamiy4194
@munirriyamiy4194 3 года назад
```arafa kwa mahujaji ni sehemu(arafa penyewe) na wakati (tarehe 9 dhulhijja) kwa Muandamo wa saudia , ama kwa wasiokua saudia ni wakati tu(tarehe 9 dhulhijja) kwa kuzingatia muandamo wa kila sehemu peke yake kwa mfano Tanzania tarehe 9 yao sio lazima iwe sawa na saudia kwahivyo watafunga swaumu ya arafa tarehe 9 kwa mujibu wa muandamo wa Tanzania ila kama muandamo wao utakua sawa na saudia basi watafunga siku ya kisimamo cha arafa pamoja na saudia wallahu aalam``` @munir_elriamy . . #eidmubarak #arafa #ibadhi #ibadayahija #dhulhijjah #chinjakwaajiliyamolawako #zanzibar #oman #tz #عيد_مبارك
@fatmasuwedsabour4165
@fatmasuwedsabour4165 3 года назад
Umesikia mtoto wa bachu kasome tena bado debe tupu wewe unasikia vichwa hvo
@munirriyamiy4194
@munirriyamiy4194 3 года назад
@@fatmasuwedsabour4165 tunamuomba Allah mtukufu kheir na salama.
@kassimismail4373
@kassimismail4373 3 года назад
Tanzania pia mwandamo hufai kuwa moja je Pemba na Bukoba Zina matlai mamoja?
@munirriyamiy4194
@munirriyamiy4194 3 года назад
@@kassimismail4373 fuateni viongozi wenu ndio mafunzo ya qur_an na suna hutapata tabu.
@saadiawarfa3480
@saadiawarfa3480 3 года назад
Asalam Aleykum Sheikh hao masheikh wamejitahidi Ma Sha Alllah lakini hakuna nchi duniani inapitana zaidi ya saa 24. Dunia ni mviringo wengine ni usiku wengine ni asubuhi na wengine ni mchana.. Tofauti ni kuwa elimu ya jiografia wengi hawana. Australia wanatutangulia saa 6 sisi na Saudia na Amerika wako nyuma saa7 hadi 12. Sote tuko katika siku moja. Ila Idi tunatofautiana masaa sio siku
@abdallahmkomboz2679
@abdallahmkomboz2679 3 года назад
Jambo si kupishana siku Bali n kupishana machomezo ya mwezi,,na ndio maana Mtume (s.a.w) amesema kukizbwa na mawingu tukamilishe 30!! Sasa je mawingu hufunika dunia nzima au hufunika ktk mji fulan!?
@khamisissa252
@khamisissa252 3 года назад
Kenya mwezi huonekana na bado watu wapinga.... Hata huyu sheikh Aweis Eidul fitri alimkhalifu Chief kadhi.... Mbona tumekuwa wepesi wa kusahau... Mwezi ulionekana Qadhi akapinga...
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Kiswahili lugha ya Taifa.... Siku ya arafa twauzungumzia mchana wake hatuzungumzii usiku. Kama wengn watakuwa usiku na kismamo cha Arafa mchana ww huoni balaa hilo la kulinganisha kismamo na saum?
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
@@khamisissa252 haki alisimama nayo.... He is not a football fun.... Ana dalili kwann asema arafa ni siku ya tisa kutoka muandamo msikize vizuri
@scottuk4683
@scottuk4683 3 года назад
Sorry naomba kuuliza wakati Mtume wa Allah alipokua akifunga kabla ya kufaradhishwa Ibada ya Hijjah. Je alikua akifunga kwa nia gani? Yani nia ya kufunga kwake huko alikua akiweka nia ya nini?
@jumasaid8777
@jumasaid8777 3 года назад
Hawajibu!!!
@swahibually1723
@swahibually1723 3 года назад
Scott uk,Naona kichwa chako kina shida kidogo namna ya kupambanua Mambo, Alinuia hivi NANUIA KUFUNGA SWAUMU YA ARAFA KWA AJILI YA ALLAH,hiyo ndio nia aliyokua akinuia,tatizo la Mawahabi wana vichwa NGUMU sana,wanapofundishwa wanafundishwa UBISHI na wala hawafundishwi Dini,wewe unaambiwa ARAFA NI SIKU YA TISA YA MFUNGUO TATU,na Mtume alifunga kabla ya kufaradhishwa hija,leo mnalazimisha kua funga hiyo inafungamana na hija, jiulize Swali; Kwakua Mtume alifunga swaumu ya Arafa kabla ya kufaradhishwa hija na hakukua na watu wanosimama pale kwenye viwanja vya ARAFA,je alikua anamuunga nani mkono kwa huki kufunga ARAFA, acheni UBOYA BASI MAWAHABI,kueni waelewa mkielezwa,msiwe kama mliougua Vichaa zamani,au mna LAANA ya UBISHI,?
@scottuk4683
@scottuk4683 3 года назад
@@swahibually1723 sitaki matusi kwasbb na mm natusi nayajua sawa? Swali langu unlikumbuka? Kwani si Mtume wa Allah alifunga Arafah kabla ya kufaradhishwa Hijjah? Sasa je wkt alipokua akifunga alikua akifunga kwa nia ipi? Mbona hayo masafura yako unanletea mm lkn mashia ndo zenu mkiulizwa mnapandisha masafura. Mm sijakataa kua Mtume wa Allah alifunga kabla ya kufaradhishwa ibada ya Hijjah, lkn je nia yake ilikua ni ipi? Swali dogo masafura kibao. Yani mashia nyie mnavo jifanya mumesoma sana lkn jazba tupu.
@swahibually1723
@swahibually1723 3 года назад
@@scottuk4683 Bahati mbaya sana Mimi sio Mshia,kwa haki ya ALLAH,ninawachukia sana Mashia na Mawahabi,sababu ya kuwachukia ni kwamba;Mashia wanawatukana Maswahaba na Mawahabi wanawatukana wanawachuoni,kwa kuwaita Waabudu Makaburi,ni MATUSI makubwa sana kuwahi kutokea ktk ulimwengu wa Kiisilamu,hivyo Basi, Swali lako la namna Mtume alivyonuia SWAUMU YA ARAFA umelielewa, ubakie kua mbishi na muongo kwa kusema; SWAUMU YA ARAFA ni kuwaunga mkono mahujaji,hutakua na nukuu yoyote juu ushahidi wa hilo zaidi ya kuwasilikiliza walionyweshwa kikombe cha UHABI (UPOTOFU WA KUWAGAWA WAISILAMU KWA ITIKADI ZISIZO NA MAREJEO) اسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
@scottuk4683
@scottuk4683 3 года назад
@@swahibually1723. Kwahio kabla ya kufaradhishwa Hijjah Mtume wa Allah alipokua akifunga alikua akinuia kufunga Arafa sawa? Na baada ya kufaradhishwa ibada ya Hijjah alikua akinuia vp? Ww hata ukikataa lkn ni mshia kwani unzania utasema km ww mshia? Siunaonekana kwa vitendo vyako tu? Haya nkuulize kwanza wahabi ni nn kwani?
@feswalsalim7909
@feswalsalim7909 3 года назад
Yote ni dawa mihimuu arFah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
Kinachoniuma msikiti mzuri,mji mzuri,watu wazuri ila mtihani msomeshaji upumbavu wa kufunga tofauti siku ya arafa dunia nzima uko kwenu na Tanzania subirini tu hivo vitabu unataja nikuwachanganya waislam tu
@khamseysagrado7547
@khamseysagrado7547 3 года назад
Salafiyya hawatukani, usitudhalilishe,haatuuuu burhaaaanakum
@khamisabdi4595
@khamisabdi4595 3 года назад
Kwn miaka ya 1900 mlikuwa mnafunga vp siku ya Arafa?
@swahibually1723
@swahibually1723 3 года назад
Selemani kishema, Hembu toa majibu, Mtume s.a.w naemaswahaba zake waliifungaje ARAFA?Walijuaje kwamba Mahujaji sasa wamesimama ktk viwanja vya ARAFA? Lakini mbona historia inaonyesha Mtume alifunga swaumu ya Arafa kabla ya kufaradhishwa hija?Je kwa wakati huo kwa kua hakukua na mahujaji,nani alisimama ktk viwanja vya ARAFA ili swaumu ya Mtume ya Arafa iweze KUSWIHI?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
@@swahibually1723 pumbavu akili matakoni mavi kichwani hamna akili nyie
@isackymuhammed6771
@isackymuhammed6771 3 года назад
@@selemankishema5780 jibu usimwage mitusi mbona unaidhalilisha elimu yako au hamna kitu apo ni mitusi tu
@rizkay3667
@rizkay3667 3 года назад
Na Kama nimefata makka na Niko mji mwingine kwetu mwezi haukuoneka.na nikafunga arafa na makka ntakua nimezipata fadhla za arafa
@mohammedomar7280
@mohammedomar7280 3 года назад
Wacheni comments za kijahil toeni hoja na nyinyi tuwasikie
@abuuhudhayfah5108
@abuuhudhayfah5108 3 года назад
Shekhe mm Nina swali kama kuna uwezekano wa kunijibu basi Naomba unijibu, Baadhi ya mashekhe wanapo Zungumzia mas,ala haya wanaleta hoja ya kuwa dunia ya leo imetanuka kimawasiliano, hivyo basi inatkiwa watu wafunge kwa mwandamo moja, kwa sababu taarifa zinatufikia kuwa sehemu funi mwezi umeandama, Lakini wakati mnawajibu mashekhe hao mnajaribu kuvunja hoja hiyo kwa kusema haitakiwi kuangalia mambo ya mawasiliano kwani Zamani watu walikuwa wakifunga na kufungua vip? Kwa maana hiyo mnataka tufunge na kufungua kwa kuona mwezi , Sawa swali langu, Je, hapo Zamani Kenya Watu walikuwa wanafungaje wa mijini na vijini? Bila shaka walikuwa wakifunga kwa kutizama mwezi, Sasa kwanini zama hizi mwezi ukiandama twaona chif kadh awatangazia watu na vyombo hivyo hivyo, mnavyo vikataa? Je mtume swalallahu alayhi wasama ameweka mpaka wa kupokea taarifa za mwezi unapo Andaman? Yani makusudia masafa maalumu ya kupokea taarifa za mwezi. Naomba majibu ili nibainikiwe,
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 Год назад
Wajua kwenye kungalia mwezi kuna ikhtilaaf maana kufuata mwezi wa ulimwengu mzima si makosa na pia kufuata mwezi wako si makosa lakini kawaida arafa ni tarehe tisa kama namna mtume alvobainisha wala si kuangalia mahujjaj wafanya nini.
@fezamore7064
@fezamore7064 Месяц назад
​@@maawymuhammad6779 tupe dalili ya hadithi ya mtume kuwa alisema tufunge mwezi 9 na sio Arafa akhiy?
@mudhihiriswalehe737
@mudhihiriswalehe737 3 года назад
Shekhe mbona unayumba.
@hamisifaki5623
@hamisifaki5623 3 года назад
Wafundi seni mawahabi Mana wanajaziba yadini hawaijuwi
@khamisissa252
@khamisissa252 3 года назад
Kenya mwezi huonekana ila hamtaki tu.... Hamkubali mwezi wa wasomali wala south coast. Hakuna ikhtilafu ni ushabiki tu
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Heheee tengeza wako tuufuate. Mwakaa maskani mkila mogokaa mlikimbia madrasa kazi kutukana masheikh. Shurrupp!
@khamisissa252
@khamisissa252 3 года назад
@@coolvoices6608 subhaaanallah Allah akusamehe kwa Shutma hii
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine, tubuni na kumpokea na kumuamini YESU KRISTO mpate okolewa, YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima mtu haji kwa BABA isipokuwa kwa njia ya mm asema BWANA.yohana mtakatifu 14:6
@kayadigo8970
@kayadigo8970 3 года назад
Usihangaishe nafsi ndugu...hakuna muislamu atakae ingia kwa io dini yenu ina matatizo mengi sana.Uislamu mpaka umetajwa ndani ya bibilia yenu na bado mnakataa tu!!
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@kayadigo8970 hakuna anayekulazimisha kuingia wala kuamini lkn Kuna siku inakuja mtatamani mumjue YESU KRISTO lkn mtakuwa mmeshachelewa na yoyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa,
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@kayadigo8970 yoyote asiyemkiri YESU KRISTO akiwa duniani atamkiri akiwa jehanamu
@kayadigo8970
@kayadigo8970 3 года назад
@@marianachriss2444 Endelea kutuletea porojo zako za kiupuzi hapa...kwanza apa kwa masheikh wetu ulikosoa njia kuja hapa nn!!..Hujui penye wenzako wanapatikana nn??
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@kayadigo8970 huo ndio ukweli uamini au usiamini, ukubali ama usikubali, Hakuna JINA lingine wala mwokozi mwingine waliopewa wanadamu chini ya nchi isipokuwa ni YESU KRISTO pekee,na wewe aliyekwambia ucomment nilipo weka comment Nani?
@abalfadhilabdulqahari3018
@abalfadhilabdulqahari3018 3 года назад
Shekh mpaka machoz yanitoka kwa furaha niliyo nayo daah hawa watu bhn hawaelewi hata waelezwe vipi.
@saumuali5127
@saumuali5127 3 года назад
Mashallah shekh Allah akubarik akuzidishie ilmu, hekma za kutokudharau mashekh wengine. Mashekh wengine waige mfano wako tusiwape wapinzan wetu njia za kuzd kupinga dini yetu.jamii tujitahidin tusiwatukane mashekh wetu ,tujitahid kuchunga ndimi zetu.Dunia mapito,tukumbuken siku nzito yamalipo
@omarykissite6766
@omarykissite6766 3 года назад
shubhaat tu sio hoja
@jumasaid8777
@jumasaid8777 3 года назад
Hilo suala . ni mukhtalafu kwa wanazuoni wakubwa..
@wangnjamealawy3387
@wangnjamealawy3387 3 года назад
kwahyo?
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Kweli_na_ikhitilaf_zisitugombanishe_
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 3 года назад
Hawa wahabi wanalaana hawaeliwi kbs
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Ukisikia mzushi wa Kenya ndo na1 huyu anashubuhati nying sana ukiacha uongo huu anasema Allah yupo mahali popote pale sio juu tunamuuliza vipi toilet yupo? Simahala popote yaa nidaa Alhamdulillah kua na sunna
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Kwa akili zako timamu choon ukioat tatiz unamuomb nan... Kuwa na akili bac naudhik na majitu makubw kama nyie alaf mwaongea ujinga
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
@@ramadhanikileo4615 hua siongei na mbumbu Kama wewe nenda kasome dini Allah yuko juu acha akili ya kupandikizwa unapo shuka wahai kwami tume unaposikia utelemsho au kushushiwa wahai kusha inakua kutokea chini kwenda juu au kutoka juu kwenda chini ? Kasome
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Vizur san lkn hata ww bado sana tena san.. Ww ndo mbumbu uckariri manen ya wanazuon mtume katuachia vtu viwili tu quran na sunnah..fungen na funguen kwakuuon mwez... Hiv kabla ya internet watu walijuaje saudia leo nimwez 8 au 9 .. Mfano mdogo tu waislam wa tokyo japn arafa yao nilini ikiwa saudi na japn wamepishan masaa zaid ya6 . bado pia marekn masaa yao yapo nyuma arafa yai nilini...
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
@@jumanneissa8226 ww ndo ziro kabisa jibu swali ukipata tatiz choon unamuomb nan swali dogo tu
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
@@jumanneissa8226 inawez ikawa umenizid elmu lkn sio akili.. Elimu yak yakukariri mwanazuon wako pole
@EL-GHAFIRY
@EL-GHAFIRY 3 года назад
Samahn mm nataka ujibu hutuba ya Abdul fadhil na umjibu shekh hashim acha ujinga naona kila siku warusha iii ii watu wamesoma tofaut na zaman soma ndugu acha kuzua
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Umeekew kilichoongelew
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Yani watu wakichoka kubishana kuhusu simba na yanga na siasa wanaingia kutukana masheikh.... Sheikh mbarak ni msomi.... Si kawaida ya simba kujibu paka 😅
@yakubrubeyjuma9151
@yakubrubeyjuma9151 3 года назад
Mbarak Aweis mna itikadi potofu za tawassul na maiti/makaburi
@hashimuabdallah4211
@hashimuabdallah4211 3 года назад
Mada iliopo hapo ni funga CKU ya arafa au tawasul na makabuli?
@abdulhamidmshana4618
@abdulhamidmshana4618 3 года назад
Acha poyoyo shekhe
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Nyie mashabiki wa Yanga na Simba dini fuateni tu.... Uliishilia darasa la ngapi katika kuisoma dini madrasa?
@khamishamadjuma8947
@khamishamadjuma8947 3 года назад
Jamani kilamoja afuwate anavo weza
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 3 года назад
kasome
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Elimu yako ww imeishia wap
@Humble.....
@Humble..... 3 года назад
akasome wp??? Mbinguni au???
@ahmedsaid-ht3ib
@ahmedsaid-ht3ib 3 года назад
Wivu ndio uko nao sheikh Mbarak ni tegemeo la wengi east africa
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 года назад
We uko wap au na we niwavaa vipedo
@khamseysagrado7547
@khamseysagrado7547 3 года назад
Wanachuoni wetu wa mtandaoni sheikh selemani kishema na sheikh jumanne isa mbona mwatukana,?....jibuni hoja kielimu basi, mwatutatiza wanafunzi wenu
@yakubrubeyjuma9151
@yakubrubeyjuma9151 3 года назад
Wengine wetu hatuweziswali nyuma yako Aweis mpaka useme wazi tawassul na maiti kwenye makaburi ni SHIRK
@ismailibrahim1111
@ismailibrahim1111 3 года назад
Sisi pia itikadi yetu ni kuwa nyinyi mawahabi sio waislamu na hatuswali nyuma yenu wala hatuswali kwenye miskiti yenu.Mkitukana masheikh wetu hatuwezi kunyamaza tutawapiga if possible eliminate all of you from mother earth
@khamisjuma6790
@khamisjuma6790 3 года назад
Yakub rubey unalazimisha vitu usivyovijua usiwe mpotofu
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Ww ndo ziro kabisa jiulize shirki n nn na tawasul n nn
@watchenyoyyourday2669
@watchenyoyyourday2669 3 года назад
Huu ni uzishii tuu
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Uzuri umeuskiza na umekugonga moyoni
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 года назад
Hata ww umezuxhwa we pia n marehemu
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Akili hamna humo zimejaa uzushi hao ndo masufy
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 3 года назад
Ww ni dhehebu gan
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 года назад
Hujielew
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
Alafu nanyie wanaume wazima mnakaa msikitini wanaume wazima mmetulia tuli acheni ujinga
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Huyu hayupo sawa kiakili
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 года назад
Hujielew ww wahabi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
@@sirajimsuya6226 wahabi ndio nini
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
We mwarabu alafu unatia aibu mpumbavu wa dini unaongea utumbo acha kuwadanganya watu utaulizwa mpumbavu wewe.
@yusuflittanda2949
@yusuflittanda2949 3 года назад
Badili lugha, msikilize ikiwa haifai achana nae, hadha salaam alleykhum
@nadhramussa2176
@nadhramussa2176 3 года назад
Umelewa naona jina kubwa au lakubandikwa, kama jina. Lako haswa ,kama hujafaham mashekh wapo ulizia
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 года назад
Hawa mashabiki wa simba na Yanga na Diamond na Kiba wanachangia maswala ya dini.... Mtihani mkubwa.
Далее
The history of Masjid Aqsa :: Sheikh Mbarak Ahmed Awes
35:03
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,1 млн
Misk ya Roho | Ndoa | Sheikh juma Amir
1:02:36
Просмотров 398 тыс.