Тёмный

Simba 4-2 Asante Kotoko | Highlights | Mechi ya Kirafiki 28/08/2022 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 322 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@RashidKhan-zq2hy
@RashidKhan-zq2hy 2 года назад
Adhana Maa Shaa Allah alhamdulillah rabbil aalamiin uisilam raha
@suleimanhabib7072
@suleimanhabib7072 2 года назад
mashallah kabisa an
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 года назад
Cha msingi fuata nini Mungu anataka,usilewe dini ukaacha maazigo ya Mungu
@peterjohn7613
@peterjohn7613 2 года назад
Simba nawakumbusha kumwacha Onyango nje mnafanya makosa makubwa, Onyango ni beki bora sana kuliko hao waliopo
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Outtara hamna kitu
@tmagoti
@tmagoti 2 года назад
Wanangu SIMBAAAAAAAAA🦁🦁🦁🦁 NguvuMoja
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 2 года назад
Chama hafai kabisa du huyu jamaa anajua sana mwache tu
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 2 года назад
Adhana maa shaa Allah
@athanasevaristmahega7488
@athanasevaristmahega7488 2 года назад
Mpira safi kabisa hongera simba
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 2 года назад
Huyu jamaa Mohamed Quattara ni mzito sana. Hana speed na wala huwezi mlinganisha na Onyango. Kwa huyu jamaa akina Mayele watampita sana na Yanga itaifunga Simba Mpaka basi
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 2 года назад
Wewe bwana acha kutaja utopolo hapa nawe hao utopolo hata watufunge mara 100 hamna la maana huyo mayele mbona kacheza na ruvu hakupata gori usilinganishe na mech za kichawi huzi za utopolo na kolo hizo mech sio kipimo cha timu kuwa mzuri au sio mzuri mech zao madudu meeengi mara huyu anapitia mlango huu huyu hataki kupita hapa mda unaokuja utamjua nani bora kimataifa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Rejea ile mechi ya ngao Tumefungwa Magoli rahisi Kupitia Kati Kati Kwangu me outtara anachomxidi onyango ni kupiga Pasi tu
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 2 года назад
Bao la kwanza walilofunga Asante Kotoko ni Sababu ya Uzito wa Quattara. Hapo Onyango asingepitwa kizembe namna hiyo
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 2 года назад
Mabeki wa Kati wa simba wanahitaji msasa wa kutosha jmn mana hizi through balls zinapita bila kupingwa mfano zile zilizo mfikia mayele na hili goli la kwanza la Asante Kotoko.
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 2 года назад
Victor na Mzungu awana viwango bado Sana no 6 anazunguka tup
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 года назад
Hongera Simba kwa ushindi ila kuna mahali panavuja na panahitaji marekebisho ya haraka sana.
@amriamraan2612
@amriamraan2612 2 года назад
Wapi?
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 года назад
@@amriamraan2612 wanavuja sehemu ya kujilinda na kupelekea mabeki kuchoropokwa haraka na wapinzani hasa upande wa kulia.
@grederoperater7970
@grederoperater7970 2 года назад
Masha Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 года назад
SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪
@alitante4279
@alitante4279 3 месяца назад
Sasa yupo kwetu unyamani watakomaaa🎉🦁🦁
@janaakimu6171
@janaakimu6171 2 года назад
Mimi Ni #SIMBA Damu ila daghhhhh I'm still need #ONYANGO😭😭😭😭
@Othman496
@Othman496 2 года назад
Pascal kabombe jitahidi kwenda na muvument ya mpira sio unasikika tu kwenye matukio nauwataje wacheji: sio anaweka ndani kele wanaondosha ndonn sasa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Huyu Outtara Sijui Kama Atatusaidia Simba Me naona hana Uwezo wa kukaba wa kumshinda onyango Ila sababu ni mchezaji wa kocha atacheza tu na ametucost na ameendelea kutucost Kama bado hajawa fiti tunaomba kocha amtumie onyango Kwanza Tumefungwa Magoli Mawili na Yanga Kw Kupitia Kati Kati Kama hilo goli la asante kotoko Hawezi one v one pia ni mzito yani akipitwa tu ni balaa
@sngrafx
@sngrafx 2 года назад
Hujui mpira Wewee kaa kimya
@sulemaanmarika7087
@sulemaanmarika7087 2 года назад
Dah Adhan hiyoo! Watu wanaitwa kwenye kher lakin maskio yamewekwa pamba
@abdisalim7900
@abdisalim7900 2 года назад
Nakubaliana PETER JOHN kumweka ONYANGO mda mwingi nikujichimbia kaburi
@worshipperstalk
@worshipperstalk 2 года назад
🔥🔥🔥
@zubedaramadhani1289
@zubedaramadhani1289 2 года назад
Kocha asipoangalia hao ma bek tutafungwa sana kwann asimchezeshe onyango na mmoja kati ya hao?
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Outtara hamna kitu kabisa sema tu ni chaguo la kocha Hawezi kumuweka benchi onyango
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Outtara hamna kitu kabisa sema tu ni chaguo la kocha Hawezi kumuweka benchi onyango
@StarDugs
@StarDugs 2 года назад
Ivi Azam mnajua highlights nyinyi
@isackphilip4051
@isackphilip4051 2 года назад
Mashallah
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 2 года назад
Quattalla ovyo sana. Siyo baki mbishi kama Onyango na Baka. Anakata tamaa mapema sana
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Ampishe onyango Tu
@saidmfaume1282
@saidmfaume1282 2 года назад
Simba kwenye kujilinda ni hovyo kabisa kama hawakurekebisha itawagharimu sana hasa kimataifa.
@charlesally6028
@charlesally6028 2 года назад
Beki ya simba inafanya makosa mengi hawako makini🙏
@ramadhanikatumbati8386
@ramadhanikatumbati8386 2 года назад
Sakho kiukweli Yuko vzuli
@billywilliammyovella2202
@billywilliammyovella2202 3 месяца назад
Mukwala yupo hapo?
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 2 года назад
Mwl Mzungu ajui Mbio na kutafuta mipila tafadhari Sana Mwl
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Mzungu hamna kitu sema kocha hawezi kukuelewa maana ni mchezaji wake
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Mzungu hamna kitu sema kocha hawezi kukuelewa maana ni mchezaji wake
@CyimSky
@CyimSky 2 года назад
Gocha inaonekana ameweza kutambua udhaifu wa sako sasa anaanza kufanya maamuzi yanayoweza kuzaa matunda
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 2 года назад
Simba ni chama Simba ni inonga
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 2 года назад
Triplex CSS CCC, Umeshakuwa Mtanzania kabisa
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 2 года назад
Mwl Uwe Makini na Matora na Bocco na Mkude waondoke Alaka Sana sio watu wema
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 года назад
Hili li chama linajuwa ila alichokifanya ninkibaya sana
@leeobite5657
@leeobite5657 2 года назад
Adhana inaadhiniwa lkn chaajabu mpira unaendelea tyu...mbona Allah Aheshimiw?
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 2 года назад
Chama ni KDB wa bongo
@BenMtweve4
@BenMtweve4 2 года назад
🦁🦁👍👍🔥🔥
@hilaryngonyani6750
@hilaryngonyani6750 3 месяца назад
Mukwala kumbeh ndo uyu basi hatariii
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 года назад
Inonga na Outtar kwa nn wanakuwa mstar Mmoja ?
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 года назад
Hii tim haina kocha tutasubir sana kuona burudani ya simba
@amirlehao8945
@amirlehao8945 2 года назад
Inonga anaanza kuvuja saana
@denisekenwhite7766
@denisekenwhite7766 2 года назад
Good pre season for Asante kotoko
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Huyu Outtara mzitoo
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 года назад
Chama umefanya upuuuzi wa khali ya juuu sijawahi ona kwani lazima kumpa mtu mkono
@daddynamombas3898
@daddynamombas3898 2 года назад
Ngoja tuone nadhan kocha anajua anachokifanya kikifaulu tutafurahi kikifeli kitamghalimu so ngoja tuone muda utaongea kikubwa dua kwa viongozi,kocha na wachezaji.
@salihalash4111
@salihalash4111 2 года назад
I dont think you will see beautiful stadiums like this in tanzania Only in Sudan
@mduda_i
@mduda_i 2 года назад
we have the most beautiful stadium in east and central africa, do your research 😂 you will be ashamed
@salihalash4111
@salihalash4111 2 года назад
@@mduda_ihahahahh which stadium you even have? A club like simba dint even hve private stadium and fir 10 years they talking about mo arena which is fantasy
@issackntacho710
@issackntacho710 2 года назад
Hahahaaaa,,,,is that a beautiful stadium that makes you be proud of?,,, come in Tanzania there are so many best stdiums
@mokaamohammed2441
@mokaamohammed2441 2 года назад
don't worry about this comment this from Al mreekh fans they are always trouble makers between Al hilal and other teams we are from the same land mama Africa
@Abasiyacity
@Abasiyacity 2 года назад
Sudans biggest stadium is still under construction, this just Alhilal stadium 🏟🔥
@stevesayoni7455
@stevesayoni7455 Год назад
Hatali
@eliyamloy3490
@eliyamloy3490 2 года назад
Yan mpira ndio tumejua katikati Kwenye namba 6 hakuna kama Kanoute
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 года назад
Mwalimu ni mtaalam anajua ila onyango na inonga wanacheza vizuri Sana kuliko huyu outtar. Mzungu naye mmm acha tuendelee kumwona.
@mohamedisalumu5135
@mohamedisalumu5135 2 года назад
Yani Bado tunauzembe wa beki kutegeana sijui utaisha lini mana otatar kma onyango tu
@levocatuspjohn8638
@levocatuspjohn8638 3 месяца назад
Kumbe huyu mukwara alishawahi kutukanda wooooiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣 utopolo njooni uwanjani tutawapa pipi ya kijiti
@ramadhanirajabu8932
@ramadhanirajabu8932 2 года назад
Sijamuelewa msudani kbx mzito xan
@mbwizax87
@mbwizax87 2 года назад
Sakho kafungisha goal la kwanza kwasababu ya misifa yake
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 2 года назад
Kwenye ule ugomvi chama kamkanyaga kwa makusudi mkono wa mchezaji wa Asante kotoko.
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 2 года назад
Mpe nyekundu
@cat-kr1ro
@cat-kr1ro 2 года назад
This defender quatarra was very poor.. So tired
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 2 года назад
Kweli time shinda LAKINI leo HAKUNA kiwangu chochote
@africaendlesscruising
@africaendlesscruising 2 года назад
Hii ni Asante Kotoko gani?
@leahgabriel5089
@leahgabriel5089 2 года назад
ya ghana
@klangeniustz5767
@klangeniustz5767 2 года назад
Hello habari wanachama wa simba naombeni saport ya kusikiliza bila kusahau kusubscribe andika klan genius song sawa
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 2 года назад
Ouattara hapo nado hafai
@mamutz5479
@mamutz5479 2 года назад
Kwili kabisa hanakasi kabisa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Sana
@Shijajohn5084
@Shijajohn5084 2 года назад
Huyu outara atafutiwe namba nyingine cio hyo ya beki wa mwisho hawezi kabsa kufanya maamuzi.
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Upo sahihi maneno yako maana mtu wa mwisho ikishaa hana mamuz ya faster
@thomasabelmwakipesile5280
@thomasabelmwakipesile5280 2 года назад
Hata mechi na Yanga nilimshangaa amemwona mayele yuko mbele yake akamkimbia ili acheze offside bila kuangalia mabeki wengine wapo kwenye position gani! Kwa ujumla yule jamaa hana uwezo wa kumweka benchi beki yoyote kati ya Inonga na Onyango! Sema ni mchezaji wa kocha!
@djibrilsaidikagambaje97
@djibrilsaidikagambaje97 2 года назад
Imenikumbusha chama alichomfanyia nchimbi
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Onyango n beki kuliko waliopo
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 года назад
Inonga n mchezaji
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 2 года назад
Sana yan uyu jamaa anajua
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 2 года назад
Huyo chama kumbe sio mstàrabu hata kidogo. Mtu anakataa kukubali samahani yako kisha u amkanyaga mkono kwa makusudi. Ovyoooooooooo.
@yohanamchekwa1803
@yohanamchekwa1803 2 года назад
ndo ulicho kiona wewe?
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 2 года назад
@@yohanamchekwa1803 . Ndiyo nimeona hicho kwani mpira ni uadui? Wewe hukukiona?
@Saidkhel
@Saidkhel 2 года назад
Andamana
@Saidkhel
@Saidkhel 2 года назад
Kumbe mnafuatilia simba nyie utopolo
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato 2 года назад
@@Saidkhel kumanyoko Shoga Wewe 🖕🖕🖕🖕
@AcksunBonifas-mj2sw
@AcksunBonifas-mj2sw 3 месяца назад
yes now ni ni familia sas😂😂😂😂😂
@jamalhatibu777
@jamalhatibu777 2 года назад
Hii ni mechi ya kirafki ya kimataifa lengo kubwa ni wachezaji kujiweka fiti na mwalimu kupata nafasi kuona matatizo yako wapi, kwa mchezaji profesional kama chama kuonesha vitendo ambavyo si vya kiungwana vinamuondolea hadhi yakuitwa mchezaji wa kimataifa, kuna sababu gani ya kumkanyaga makusudi mchezaji aliedondoka chini kwa sababu tuu kakataa kunyanyuka? shame on you.
@Saidkhel
@Saidkhel 2 года назад
Tuliza kinyeo
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 2 года назад
ONYANGO ARUDISHWE HARAKA KABLA YA HU YU KOCHA KUTUAIBISHA, SI KOCHA
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 2 года назад
Kama onyango ni mzee mbona yeye kocha pia mzee?
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 2 года назад
Sasa na yeye kwa nn agome kunyanyuka bora alivyomkanyaga akome
@wajawemaonlineTV
@wajawemaonlineTV 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-CZX_KvtwUBc.html USISAHAU JAMBO HILI KUHUSIANA NA TOBA MZUNGUMZAJI SHEIKH ABDUL RAUFU AL MUNAAWI
@RashidKhan-zq2hy
@RashidKhan-zq2hy 2 года назад
Adhana Maa Shaa Allah alhamdulillah rabbil aalamiin uisilam raha
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 2 года назад
Acha ushamba wewe uislam na ukristro wte ni MUNGU 1 tu Acha kuleta udini wewe
@isackphilip4051
@isackphilip4051 2 года назад
Mashallah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
🔥🔥
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 2 года назад
Chama ni KDB wa bongo
@sophiahussein8858
@sophiahussein8858 2 года назад
Mashallah
Далее
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 578 тыс.
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
Просмотров 720 тыс.