Тёмный

SIMBA HAWAKUJIANDAA NA USAJILI WA MKUDE KWENDA YANGA|VIDEO IMEWAFANYA SIMBA WASIMUAGE JONAS MKUDE 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 50 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Ni kweli kabisa Mkude kafanya vibaya sana yaani anamkata Simba Yani daah
@hajially4527
@hajially4527 Год назад
Watu wa simba viherehere pia hawanaakili ety mkude msaliti mtu mmemuacha nae mpira ndo kazi yake sasa acha atoe siri za madunduka 😅😅
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Wajinga Kwa hiyo walitaka afe na njaa!
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Год назад
MKUDE🙌
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Год назад
Hawa. Simba. Ni. Viherehere. Wanasumbuliwa. Na. Yule. Shoga. Mkubwa. Wao. Anaetangaza. Anataka. Bwana. Ahmedy. Ally
@magdalinekwezi3616
@magdalinekwezi3616 Год назад
Msemaji wa Simba ajirekebisha kuongea!!
@yassinmtaun2108
@yassinmtaun2108 Год назад
Issue sio video bana, issue ni kwenda Yanga
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga Год назад
Hii ni loose loose situation, ukimwaga mboga..... 😅😅😅
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Год назад
😂😂
@WestChoma01
@WestChoma01 Год назад
Hii imeenda
@kisinza6077
@kisinza6077 Год назад
Shida siyo sisi, rekebisha kauli, shida ni Simba wamekurupukaaaaaaa,,, wamekurupukaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣. Sisi tunawaheshimu akina E. J. Lunyamila. Licha ya kwenda kunywa kahawa Msimbazi. Narudia tenaa,, Wamekurupukaaaaaaa🤣🤣 nani hao? MAKOLONGADAAAAAA
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Год назад
😂😂
@patkrinsliy7389
@patkrinsliy7389 Год назад
Simba hawakuwa na kumuhitaji Mkude siku nyingi tu. Walihangaika sana kutafuta njia ya kumuondoa ndani ya simba. Mkude wa sasa hakizi mahitaji makubwa ndani ya simba. Yanga kumsajili Mkude ni PR Zaidi baada ya kupokonywa Fabrice Ngoma.
@user-dg5mn8mv4v
@user-dg5mn8mv4v Год назад
😂😂😂😂natamani kujua wakat unaandika haya ulikuwa kwenye mood gani
@haidaris.kalunga9541
@haidaris.kalunga9541 Год назад
Edo usiendekeze Uzungu na kuidhalilisha Simba. Namba 9 Simba inavaliwa na nani? Namba 30 inavaliwa?
@sharlynshabani6815
@sharlynshabani6815 Год назад
Hance ni HB jmn .........mi napend tu unajua kuchambua
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Год назад
Mkude. Ameachwa. Na. Makolo. Iweje. Leo. Asiingie. Timu. Iliomuhitaji. Munaongea. Nini. Nyie. Wasenge. Wakubwaa. Mkude. Kahamia. Yanga. Kunachaziada.
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga Год назад
Kwani yule ni Mkude au katuni, shida hapa ni Simba vs Yanga 😅😅😅
@williamalex788
@williamalex788 Год назад
Naweza huna akili jioni?????
@williamalex788
@williamalex788 Год назад
😅😅😅😅😅
@davidpeter8099
@davidpeter8099 Год назад
Me hata mkude afanye nini mkude atabaki kuwa mioyoni mwa mashabiki wanaojielewa
@ramadhaniabas3135
@ramadhaniabas3135 Год назад
Kacheza miaka mogera halafu huyoo. Kipa man zaman angeeenda liver. Tungeona. Kama angeshimikaaa
@yusuphikram7906
@yusuphikram7906 Год назад
yan bongo wataka ufananishe na ulaya
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Год назад
Kwan mkude ndie ametengeza video
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Год назад
Ndio tatizo club kuendeshwa kimila au kikabila ni ujinga wao tuu
@methuselambonimana4499
@methuselambonimana4499 Год назад
Hata yanga hawakumchukua mkude kwa kuwa walimuhitaji. Acheni ufala. Kila kitu mpaka mjilinganishe na wazungu. Huo nao ni uzwazwa. Yeye si ndiye amekataa kuagwa. Kama amekataa kuagwa ulitaka simba wafanye nini. Walisema watakuja up coming aliyepewa ni nani? Unalinganishaje hili na la Sumayi wakati ulinzi wake ni wakikatiba. Sio wa ssm.
@user-vs8tw7xo9i
@user-vs8tw7xo9i Год назад
huyu hance buyu kweli huyu
@yusuphikram7906
@yusuphikram7906 Год назад
huyo edo miyeyusho tyu
@user-lf4cz7mq9w
@user-lf4cz7mq9w Год назад
Huwezi kumuita mtu katuni cartoons will be your family tree
@saedsoud9181
@saedsoud9181 Год назад
Aulizwe kwa Madrid na Barcelona, ukivuka boda hakuna ulegend
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp Год назад
Yule hatuwez kumuamin tena ht akisitaf bas simba hawez kupata tena kazi mana kashakua mchawi
@yusuphikram7906
@yusuphikram7906 Год назад
babalevo umeongea vizuli leo ila edo miyeyusho
@pauljohn6393
@pauljohn6393 Год назад
Ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali ni kama ilivyokuwa kwa Liverpool walivyoachana na Owen na yeye akaenda man United na uli gend wake ukafa mara moja
@AlexKing-yg2cc
@AlexKing-yg2cc Год назад
Hapana, umesahau. Owen alisajiliwa na Manchester united akitokea Newcastle united. Baada ya kutoka Liverpool alikwenda Real Madrid baadaye Newcastle united. Na ndipo baada ya Newcastle united akasajiliwa Man U.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
​@@AlexKing-yg2ccOWEN ANA BALAA YULEEE HATARI YULEEEE
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Что думаете?
00:54
Просмотров 255 тыс.