Тёмный

Mkude Afunguka Alivyoipokea Thank You ya Simba, Atoa Yamoyoni 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 284 тыс.
50% 1

Jahazi

Спорт

Опубликовано:

 

25 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 163   
@ebenezershekinadoxa1052
@ebenezershekinadoxa1052 Год назад
Hongera mkude kwa hekima katika majibu, maana kuna mtu hapo ANALAZIMISHA, ULAUMU NA ULIE, YAANI MASWALI ELEKEZI ILI UROPOKE VIBAYA. BIG UP
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 Год назад
karibu clouds tv
@user-um4fr9rm1o
@user-um4fr9rm1o Год назад
Ladwa wengi ni wabinafsi ombaomba na mamba wengi wao hawajui jinsi ya kutumia vyoo vya kisasa Accra ni stinkingfake habari Kamili Ya ubakaji na mauaji nchi hii ni mbaya Zaidi Barani Afrika pia ina baadhi ya magonjwa mauti watu kuna Ubakaji wa kijinga sana,ubakaji, kuua, kuua, kuharibu hiyo ndiyo yote wakati mtalii anatembea njiani watamtukana kila wakati. Hakuna haki katika nchi hii. Ikiwa umewahi kutaka kutembelea mahali hapa basi uko mahali pabaya. Tanganyika ni nchi masikini yenye watu wengi wasio na usafi hivyo inaleta maana kuwa kuna magonjwa mengi makali huko. Zanzibar daima imekuwa katika habari kwa reaosns mbaya na kwa ukuaji wa terrosirm huko inaweza kusemwa kuwa nchi mbaya zaidi ya afrika.
@rajabyusuph7062
@rajabyusuph7062 Год назад
Kabisa wanamfosi awakane Simba lkn ametumia hekma kwasababu anaelewa ametombali na Simba
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o 3 месяца назад
Hiiii ni necha ya watangazaji/waandishi wa siku hizi Wanataka udaku tuuuu
@bernadethakiula8554
@bernadethakiula8554 Год назад
Naikumbuka Ile mechi ya NKANA ulisetia ukanyoooooka NUNGUNGU ❤❤❤ nakupenda
@enockmwilongo5771
@enockmwilongo5771 Год назад
MKUDE your the best man umejibu maswali vizur mno nakukubali sana fundi wa mpira
@abuuworldwidetz6362
@abuuworldwidetz6362 Год назад
Kwetu sisi mkude atabaki kama father wa soka kwenye mioyo yetu kama mashabiki ya Simba tunakupendaaaaa JONAS MKUDE your the only one in our world of FOOTBALL
@user-um4fr9rm1o
@user-um4fr9rm1o Год назад
Nchi ni Pretty mbaya Kura ya watu hasira uchi lakini angalau watu kufanya watumwa nzuri yake sawa lakini kuna Waafrika wengi mno ambao wanadhani wao ni ngumu mahali hapa ni messed up wao kula kila mmoja, kuna 12 umri wa miaka sigara heroin na kubaka wanawake wajawazito mahali hapa ni mbaya. Tanzania ina Maarufu Serengeti park West African Crap Box. Kuenea kwa jangwa. Nchi Maskini. Jeuri. Hi-jackings. Umaskini. Sababu ambazo hutaki kuwa hapa. Ina Hifadhi maarufu Ya Serengeti Tanzania ambapo al qaeda ililipua ubalozi WA MAREKANI mwaka 1998.
@edwardmachumu2440
@edwardmachumu2440 Год назад
Wanahabari bana chenga sana maswali gan hayo Sasa, safi mkude kwa majibu mazuri 👏👏👏👏
@yusuphmagambo7633
@yusuphmagambo7633 Год назад
Majibu mazuri sana kutoka kwa Jonas Mkude salute kwako
@mindoimlangi6954
@mindoimlangi6954 Год назад
Kila kitu kina mwisho hongera sana mkude mchezaji Mzuri sna popote uendapo I will well
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Kwenda ķwa yanga..kiungo mbolea, uko vizuri mkude
@mossesmziba8496
@mossesmziba8496 Год назад
Mkude hongera kwa hekima uliyo jaliwa.Nimependa majibu yako .
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Unaweza kua mchezaji mzuri lkn kocha akawa Hana mipango na ww badala kuweka benchi ukazidi kupoteza kiwango kukuacha ni heri kwako ili kupata changamoto kwengine upate namba
@kasimukipande8494
@kasimukipande8494 Год назад
Saf Sana mkude karibu Yanga
@HuseiniSemdoe-qe7er
@HuseiniSemdoe-qe7er Год назад
mkude nakubali sana jeshi langu mumgu akufungulie popote uendapo❤❤❤❤❤❤❤
@abdulfadhilsaid4327
@abdulfadhilsaid4327 Год назад
Kwer mkude anaipenda simba analia
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
Tayari n mali ya Wananchi 🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏 MKUDE karibu sana
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
😅😅😅😅😅mhhhh
@DONALDYOWAS-rr7tz
@DONALDYOWAS-rr7tz 2 месяца назад
Mkude simba unajua kuujjiib vizr san
@bantuboy-ne3mj
@bantuboy-ne3mj Год назад
Sio mashabikii achenii uwong sema wachambuzii na vyomboo vya Habari
@emmanuelnyakatai7311
@emmanuelnyakatai7311 Год назад
Nashangaa Sana mkude Bado haujui kujielezea ase Mungu akusaidie na management yako ikufunze namna ya kuongea na jamii, umekuwa wewe saiv inatakiwa huongee kipro
@franciskasanga3491
@franciskasanga3491 Год назад
Mkude Yuko vizuri Bado.
@juliusmichael6204
@juliusmichael6204 Год назад
Mkude God bless you a lot
@denismbuya9342
@denismbuya9342 Год назад
Habari zimepungua ,zinatafutwa Kwa nguvu, Thank you Mkude
@cryptoroyaltour
@cryptoroyaltour Год назад
MIMI SIO SIMBA, ILA NAJUA WAANDISHI WANAJIZIMA DATA TU, MBONA SIMBA MWAKA JANA WALIWAAGA VIZURI WACHEZAJI WAO KWENYE SIMBA DAY? WAANDISHI WANAFIKI TU
@user-mu7cp4ir7s
@user-mu7cp4ir7s Год назад
Big up brother Mkude much respect to U
@user-yb8zp4nv9h
@user-yb8zp4nv9h Год назад
Mkude nakukubali sana sana sana . Na nimependa majibu yako
@issufomabbetto321
@issufomabbetto321 Год назад
umesema vizuri wanataka wakuchonganishe na clab na mashabiki
@danielnyangasi8808
@danielnyangasi8808 Год назад
Amewajibu vzr sana walitaka kuleta umbea safii Mkude
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Год назад
​@@danielnyangasi8808true
@boazgodfrey865
@boazgodfrey865 Год назад
Watangazaji na waandishi mna matatizo Gani,? Mbona Jonas yupo direct n anaeleweka,,,?huyu ni professional player na amejitofautisha sana, na huyo sio okwa,,, very good mkude, wonderful answers upo Vizr sana
@godwinemanuel1873
@godwinemanuel1873 Год назад
Mtangazaji ama mwandishi wa habari ni kama spy hawezi uliza swali akakujibiwa tu ataridhika ndio maana unakutwa swali 1 linaulizwa hata kwa aina 5 tofauti lakn ni swali lile lile 1 hivyo wanafanya kazi yao kama waandishi unapohijiwa na mwandishi unaweza kataa swali kujibu kuficha kitu lkn kwenyew maswali yanayokuja ukajikuta umelijibu bila kutumia nguvu
@leganimwagala7684
@leganimwagala7684 Год назад
Wanahabari chenga sana hawa wanalazimisha vitu ambavyo siyo mpaka mkude kawazidi wote
@frankmahuna-so8hy
@frankmahuna-so8hy Год назад
Wewe ndo Chenga hao wako Kazn wewe umesomea huo uwandishi au unajifrahisha tu
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Год назад
Umesomea uandishi au unaandika pumba tu hapa??
@rehemamkumba9233
@rehemamkumba9233 Год назад
Great professional player 💪
@user-yq5he3jj9v
@user-yq5he3jj9v Год назад
Uk0 vzr mkude
@oscarkallinga8343
@oscarkallinga8343 Год назад
Mmezoea kuchonganisha watu kenge nyie.Mkude Kajiongeza sana kwenye kuwajibu.
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 Год назад
I love you wewe ndo icon ya simba
@SakinaJackson-um5ns
@SakinaJackson-um5ns Год назад
Yaaan mnalazimisha mkude aiseme vibaya simba daah asante sana mkude umeongea vizur sasa c bado tunakupenda mkude wetu kila la kheri uwendako
@eliaszephania3115
@eliaszephania3115 Год назад
Kalibu yanga mkude
@AugustinoMbilinyi-ei1nj
@AugustinoMbilinyi-ei1nj Год назад
Nakubali Sana mkude
@abdulrahmankanduka1977
@abdulrahmankanduka1977 Год назад
Nenda mwamba aunadeni na sisi Tupo pamoja kwa kila hatua mwamba
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 Год назад
Safi sana mkude nakkubali broo najua utarud simba tena nilimia sana ulivyo toka simba lla ndio mpira
@rhoidaamontunawategemeasimbaye
Wasikulazimishe kutoa majibu mabaya endelea na hekima yako Kaka mkude huna haya hiyo ni kazi Kama kazi zingine.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Kwa kweli sasa simba watakaa wamfanyie kitu kwakuwq kelele zimekuwa nyingi kwako kaka ila haikuwa lengo la simba kukupa kitu
@RashidiharunaHaruna
@RashidiharunaHaruna Год назад
Hapo upo xaw kak mkude
@husseinabdhallah8792
@husseinabdhallah8792 Год назад
Simba tnakosea hpa kwa mkude ningekua na uwezo ninge mtoa kikosin saw dogo nkambakisha mkude master
@abdallahmzee7677
@abdallahmzee7677 Год назад
Mkude nakupenda sana.
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 Год назад
Hii kweli bongo mkude hajastaafu soka kuachwa na simba ni sawa tu kwani timu ni moja tu.
@philemonsokime5032
@philemonsokime5032 Год назад
Very clever of your own version, Mkude.
@roddydax7498
@roddydax7498 Год назад
karibu yanga
@RebekaChard
@RebekaChard 3 месяца назад
Karbu sana yanga🎉
@user-ji7dy8xt2v
@user-ji7dy8xt2v Год назад
Clouds mnafeli na hizo interview za kiboya, had mchezaji anawazidi uelewa
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Wanalazimisha aseme vibaya simba lakini wapiii😂
@irinikoipai3936
@irinikoipai3936 Год назад
Nyie waandishi kumanina zenu
@user-bp1vs3ss2v
@user-bp1vs3ss2v Год назад
Karibu jangwani kaka yangu
@abelyhokororo8622
@abelyhokororo8622 Год назад
Waandishi wa hovyo sn wa nalazimisha mawazo yao yawe ya Mkude hivyoo kabisa
@chiconinde8135
@chiconinde8135 Год назад
Siyo wa hovyo, hata wewe kesho uanweza kupata bahati ukahojiwa na waandishi. Siku zote wako trick sana kupata kile mashabiki wanachotaka. Kazi ni kwako kujibu kitaalamu badala ua kuropoka. Kumbuka Feisal walimfuata Unguja akafunguka kila kitu😅😅😅
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Год назад
Mukude 🎉ni mwamba🎉
@EdwinOnesmo-cn7py
@EdwinOnesmo-cn7py Год назад
Mkude alionekana ameisha kiwango chake ni pale alipokua ajaft kwenye mfumo wa kocha ajaribu kwingne
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Год назад
Sasa mchezaji unatak kukaa kila siku bna tutawaaga Simba day bna acheni porojo thank you atapewa mtu yeyote tu
@thetanzaniaanimalchanel1564
Aagwe siku ya simba day mfano akisajiliwa na yanga atatoka yanga akaagwe simba sema TANZANIA tunafeli mtu mmeshajua mnamuacha ni kwa nini asicheze mechi ya mwisho ndio iwe siku ya kumuaga.
@stevenwimbe3113
@stevenwimbe3113 Год назад
Tunakupenda mkude
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Год назад
Kaongea vzr sana waandishi wachochezi sana
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo Год назад
Nyie waandishi wa habari wengine ni wachonganishi Huyu mkude aende kiwango chake kimeshuka kusema kweli Sisi tunajiuliza sana kwanini mnahoji mambo mengine ambayo hayana mkanganyiko wowote haya mengine yanayo husiana na Siasa yanayosababisha maumivu kwa wananchi Mbona mnaogopa kuhoji ili msaidie ni kwa nini
@user-os2dc7hi7y
@user-os2dc7hi7y Год назад
Mkude ximba og.
@zayb_tz
@zayb_tz Год назад
Singida Fountain gate FC 📌
@user-jj6zl8hq9l
@user-jj6zl8hq9l Год назад
Daa japokuwa ndo hvy ilamkude atabaki kuwa kumbukiz kubw Kwa kilab kubwa hp tanzania hkn atakayekuj kufunja rekod yake miaka 13 .kwa ss wanna Simba bd tupo p1 Wana morogor wenzak
@fredymwengela6763
@fredymwengela6763 Год назад
Njoo yanga ukae kwenye nafasi ya fei toto
@neemamwijage
@neemamwijage 3 месяца назад
Mkude umejua kuwakomesha hao wanaopenda kujua na yasiyowahusu
@hamzamohammed8902
@hamzamohammed8902 Год назад
waandishi wa habari nyie wanafiki sana kashughulikieni ndoa zenu acheni uchonganishi hapo mlipo ukute hata ndani ya familia zenu hamko sawa mnakimbilia yasiyowahusu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Год назад
Hata kuuliza maswali awajui,,,.
@elishamwanjoka5742
@elishamwanjoka5742 Год назад
Messi kwa Barcelona ilikuwa financial fair play kimsingi. Apo rekebisha kwenye hansad
@elbarrey3305
@elbarrey3305 Год назад
Waaandishi ni wachonganish sana… But mkude is too excellent..mkude hongera sana hawa jamaaa ni wachonganish sana ila wametoka nishai 🤣🤣🤣🤣
@ashamustapher7044
@ashamustapher7044 Год назад
Ebu acheni uchonganishi wanaume waovyo sana, mnataka ajieleze vipi washakunoko sana
@patrickmbugani7340
@patrickmbugani7340 Год назад
viongozi mnamakosa cn kumuacha mkude tunalia moyoni jamani mkude abakie simba tu mnamuacha kiungo wanyumbani nani kiungo mkabaji kama mkude kwa nyumbani semeni
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Год назад
Mkude achana nao Waandishi wa Habari,unawajibu vizuri, kwamba Klabu itajua nini watakufanyia,baki na hilo mwanangu.
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Год назад
Mwacheni huyo mwanandika Ana kipaji kikubwa Msimgombanishe na Taasisi Bado atabaki kuwa Icon ya Club
@lwengephillip7516
@lwengephillip7516 Год назад
Mkude anaenda Singida fountain Gate
@user-vz4eu5bv8j
@user-vz4eu5bv8j Год назад
mungu awe pa1 na ww broo huna deni
@KiungoOmari-rx6cp
@KiungoOmari-rx6cp Год назад
Mkude apewe maua yake kabla hajafa nakukubali Dingiii we mtu na nusuuu
@alphascaona576
@alphascaona576 Год назад
Umezeeka ndugu
@nawafmohdy3476
@nawafmohdy3476 Год назад
Mbn mnaforce aseme vtu vya hvyo kam mnavyotaka nyny. Ni wana habar gan nyny mnafosi habr za kuchonganisha watu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Год назад
Acha kumtaja Mungu kwa hoja za kipumbavu,Mkude exposure yote hata kujieleza hujui.
@aminihamisi3551
@aminihamisi3551 Год назад
Mkude ni mkomavu sana wa fikra umejua kucheza nao kisomi sana
@user-zf7gt3be9e
@user-zf7gt3be9e Год назад
Broo ndomana mkubwa mkude uliowa mdasahihi umetishi mwamb
@user-bt7qe1cj2n
@user-bt7qe1cj2n 3 месяца назад
R.I.P,CAPTAIN
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 Год назад
Kweli cc wabongo ni watu ajabu sana ... Mkude ni mchezaji wa kumjadili juu ya kuachaa!!!?
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 Год назад
ok
@Lupyananywage-hq4ps
@Lupyananywage-hq4ps Год назад
💪
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Год назад
Wachambuzi wa kibongo bwana muna penda kurazimisha mwenyewe hasha kujibu mambo yote hanaiya chia taasisi mengine munatakanini mchambuzi wangu bora miraji jeme dari nyiye wengine nishidaa
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 Год назад
Jemedali kwa sababu anaiponda yanga ndio maana kawa bora kwako lakini hawa wanaokosoa kwako huwez kuwaelewa
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Год назад
Mkude tatizo muuni msela mavi..
@omarymtandi
@omarymtandi 3 месяца назад
umejibu kikubwa sanaaa
@JosephatJohn-zm6ng
@JosephatJohn-zm6ng Год назад
Sasa Jaman. Mbona mnamlazmisha Filing Zenu mbaya. Ilimladi unafikitu Acheni Upuuzi. Kwani laajab hapo ni lipi.? Kama kuagwa si ataagwa tu. Kwani Wamemtukana. ?
@MohamediMpapu
@MohamediMpapu Год назад
Alafu wandishi wa habari wa nchi yetu wanashida sana wachache ambao wanatoa habari na mahojiano yenye mantiki
@user-xb9cd4br4o
@user-xb9cd4br4o Год назад
❤❤❤
@user-dm4re9fu1o
@user-dm4re9fu1o Год назад
Ni mpambanaji
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Год назад
Ila Mkude unaonekana unajutia vitwimbwi uliekuwa ukivifanya maana hukuamini km leo Club imegoma kukupa mkataba mwingine ila ungekuwa na nidhamu usinge wachwa na aliekuwa anakubeba ni Mo na kwa sasa hayupo.
@Niitejogoo
@Niitejogoo 3 месяца назад
Rip gadner
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Hajibu swali alioulizwa anaongea lingine
@user-qj5ve3lt9q
@user-qj5ve3lt9q Год назад
Mkude
@nicholauslupimo2851
@nicholauslupimo2851 Год назад
Waandishi Hawa wanalazimisha ulaumu simba Hawa vipi
@user-qz8fi2eu8q
@user-qz8fi2eu8q Год назад
vizur
@BenjaminZebedayo-ev2vs
@BenjaminZebedayo-ev2vs Год назад
Jonas mkude popote kambi bro
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 Год назад
Huyu jamaa aje yanga nafas anayo
@user-dm4re9fu1o
@user-dm4re9fu1o Год назад
🎉
@tabletennis6296
@tabletennis6296 Год назад
Munataka ajibu munavyotaka nyny bas musingemuita
@user-dm4re9fu1o
@user-dm4re9fu1o Год назад
Ni mpambanaji 1:49
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Год назад
Nungunungu
@alphascaona576
@alphascaona576 Год назад
Meno ya paka kwa sasa
@josephluvanga5233
@josephluvanga5233 Год назад
Angekuq abdi banda hapo aloooo angeongea ovyo na alivyoajui kujielexea
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt Год назад
Jembe langu
@patrickmbugani7340
@patrickmbugani7340 Год назад
uko poa mkude tunakupenda wana simba
@abdallahmkodo
@abdallahmkodo Год назад
Mnamlazimisha mtu aongee mnachotaka nyinyi
@nasrinasoro8682
@nasrinasoro8682 Год назад
Safari azam na yanga itakuwa tishio nanyi mtaona
@WhokeyJr
@WhokeyJr Год назад
Nyie watangazaji ni mbwa mnamlazimisha aongeze vicvofaa
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Год назад
Aaaah kutokujipanga kimahojiano ndio huku
Далее
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 2)
15:24
Просмотров 2,4 млн
Yanga yagomea kuagwa Jonas Mkude, Simba SC wajibu
2:55
KAULI YA JONAS MKUDE BAADA YA KUMKANDA SIMBA GOLI 5
1:48
WAMILIKI WA MABASI DAR - DODOMA  WATOWA KILIO CHAO
29:02