Тёмный
No video :(

SIMBA WASHINDA KESI YA LAWI ASILIMIA 90 WAJUMBE WA COASTAL UNION HALI JOTO 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Месяц назад
Unafikiri ni kwanini imekuwa ngumu sana Simba kumsajili mchezaji kutoka vilabu vyetu hapa nyumbani? Wasipoondoa udhamini wa Mtu mmoja kwa vilabu vingi kwenye ligi haya hayataisha kwa Simba.
@Mumlion2624
@Mumlion2624 Месяц назад
Binafs namuonea hurum lawi anakipaji lkn costalunion wanambania mno ..cecafa hajacheza yan wananikera muachen dogo aende kaonen changamoto mpya
@HalifaMohamedMohamed-pr5eh
@HalifaMohamedMohamed-pr5eh Месяц назад
Simba nguvu moja
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Месяц назад
Coastal imejaa wahuni wanafikiri uuzaji wa mchezaji ni sawa na kuuza ndizi
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Месяц назад
Hapo UKute kuna kakiongozi ni kayanga ndo kanatia ugumu
@DaudSlungwe
@DaudSlungwe Месяц назад
Lawi awai tu mazoizini simba
@iddykamona8917
@iddykamona8917 Месяц назад
Sisi Kama Simba,akibainika kuwa ni Kweli Simba walimsajili.na mchezaji na cost wameamua kuleta zengwe. akae nje miezi 6 baada ya hapo atapelekwa kwa mkopo ligi daraja la kwanza
@elibarikigideon6677
@elibarikigideon6677 Месяц назад
Acheni upumbavu Kama hamna Cha kuandika nyamazeni
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 Месяц назад
Ubaya ubwela
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Месяц назад
We kama unamtakia mema Lameck au kumpandisha daraja feadha zimewekwa kwenye account unashida na hela unajua anpokwenda kwa nini mashindano ya kumharibia. Simba ingemu expose Lameck kimataifa Coastal mna hatihati kwemda group stage mkishindwa Lameck kwisha na Simba itaendelea na vijana wengine siyo Lameck tena. Hivi hamsomi? Subiri dua ya Lameck atakayo waombea kukataa pesa za Simba.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Месяц назад
Ikiwa timu za nje zinakubali wachezaji wao wazuri waende Simba ninyi na Asec au Vita nani mjuzi zaidi Lameck akiprove Simba anaenda nje msijidanganye hmna hadhi ya kutamiwa wachezaji wenu kuliko Simba. Simba ni daraja kimataifa kwa wachezaji toka nje ya Tanzania Karaga baho mtakula kiporo.
@DaudiSamweli-nh1tu
@DaudiSamweli-nh1tu 25 дней назад
Hao ni yangaa wanafigis kwa simba
Далее
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,5 млн
WELCOME TO THE FAMILY, MOE! (Brawl Stars Animation)
00:40
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,5 млн