Тёмный

SIMBA WASINGERUHUSU CHAMA NA INONGA KUONDOKA| WALIKUWA NA KIKOSI KIPANA, SASA HIVI WANA KIKOSI BONGE 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@mishlay8164
@mishlay8164 13 дней назад
Mimi nawaambia ninyi mmeshindwa kuchambua kweli leo ,nyee sindiyo mlikuwa mnasema Chama anawasumbua simba ,
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 13 дней назад
Mbona Feisal , Bangala, Mayele waliondoka na Young ipo
@sevelintino6181
@sevelintino6181 13 дней назад
Vichwa maji nyie wahuni mtupu
@OnesmoMwacha-wp4bo
@OnesmoMwacha-wp4bo 13 дней назад
Mwaka huu mtatapika tochi nyie machawa..mambo ni Crown media.
@raymondlaurent4167
@raymondlaurent4167 13 дней назад
Hatimae wee ndiye mwenye unafanya bangi ionekane aifai 😂😂😂
@user-zd1zc8dr1f
@user-zd1zc8dr1f 13 дней назад
Umefuata nn sasa
@Medicalstevo95th
@Medicalstevo95th 13 дней назад
👑 crown media for life
@xfamefatetv
@xfamefatetv 13 дней назад
Mchumba mpya ni mbaya kwa X wake. Tulia kwenye ndoa wewe😂
@godfrey3926
@godfrey3926 13 дней назад
Exactly, hawa wana hasira Yanga haijafanya kitu ingawaje wanakaribia kumpoteza mungu wao, Aziz Ki aliyesajiliwa South Africa. Wamemuokota Chama wakifikiri ndio atakayechukua namba ya Aziz Ki lakini sidhani kama mzee anaweza kuwa na kasi kama ya Aziz. Badala ya kusajili wachezaji, wanasubiri Simba iache..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jamessanga6768
@jamessanga6768 13 дней назад
Ngoja league zianze 😅😅
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 13 дней назад
Wahuni tu hawa mnakula hela za bure😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 13 дней назад
Huyu Oscar bhana sasa wachezaji hawapo tayari kuitumikia team kama Inonga wa nini sasa
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo 11 дней назад
Nyie si mlisema Chama aondoke Simba
@romanambelle6356
@romanambelle6356 13 дней назад
Waongo roho inawauma mnashabikia wsaliti. Serious kawe nyumbani kwako acha ujinga mnahongwa hongwa ili mshabikie ujinga. Akija Messi utasema Chama ni zaidi yake
@omaryngumbe603
@omaryngumbe603 13 дней назад
Wakati wapo walikua wanasema waondoke Now wameondok wanasema wasingeruhusiw kuondoka #waandishi wa habari ni kama wanasiasa
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo 11 дней назад
Kabisa 😂😂😂
@user-wi9og8om4b
@user-wi9og8om4b 11 дней назад
Nyinyi kachambueni mchele tu ligi si ita anza, niwaone tena mtakavyo jikanyaga kuchambua
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 13 дней назад
Waondoke wote kwanza inonga chama walikua wahujum watimu.
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 13 дней назад
Wezi wale subirini muone shoo ya vijana
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 13 дней назад
Chama inonga manula waliuza mechi mpaka manula akafungua duka leo mnawatetea wabaki wasaliti tunataka simba mpya safisha wote
@mdachijembe9611
@mdachijembe9611 13 дней назад
Kwahiyo mnataka tuendelee na maduka ata kama yanatutia hasara
@bestman8182
@bestman8182 13 дней назад
Subiri Crown media iwanyooshe mpate kuheshimu professional za watu endeleeni kujaza chawa studioni na kuwaita wachambuz
@jdanny497
@jdanny497 13 дней назад
Yani watangazaji a Tanzania hovyo sana
@GODFREYMBOGE
@GODFREYMBOGE 13 дней назад
Hii mada mmechambua kitoto! Mlitaka Chama na Inonga wafie Simba! Chama aliondoka Simba na Team ikaendelea alirud acha aende
@raymondlaurent4167
@raymondlaurent4167 13 дней назад
Kitulizeni hapahapa wasafi kila kitu iko
@asteriashios1852
@asteriashios1852 13 дней назад
Simba na inonga japo walikuwa wanzuri lakini walishachoka kubaki Simba ukichoka pia hufanyi vinzuri ni vema ukabadilisha wakaone upepo mwingine ndo maana Simba haikuwangangania si vyuma vingine vipo?
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 13 дней назад
Chama angelibaki angelicheza number ya Nani? Inoga alikuwa anatuchomesha
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 10 дней назад
Wauze tena tufungwe 5!
@bestman8182
@bestman8182 13 дней назад
Hatuhitaji ku replace mtu, tunahitaji watu wa kuisaidia Simba kufika mbali. Chama Chama Chama kila siku kwani alizaliwa kufia Simba? Kwani kabla ya Chama Simba iliacha kucheza? Simba imekosa kombe misimu mitatu na huyo Chama akiwemo kikosini mbona hakuzuia hilo lisitokee?
@rebecamemu9899
@rebecamemu9899 13 дней назад
Point bro
@SNAKETV20
@SNAKETV20 13 дней назад
Nyie ndo mnatuletea majonzi jamani acheni waende@
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 13 дней назад
Edo ni mnafiki kuliko wachambuzi wote hapa TZ.
@shabaniiddy4942
@shabaniiddy4942 13 дней назад
Mnaongea km mmekata vichwa ama kweli rizki ni ngumu mpaka hamjitambui
@chamyluna8030
@chamyluna8030 13 дней назад
Swali Moja tu la kujiuliza aliyemleta chama na inonga ni nani kisha wanashindwaje kuleta zaidi yao
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 13 дней назад
Simba wako serious ndio maana Chsma na Inonga wameachwa. Huko AFCON DRC walitandikwa.
@RasoulBadowewe
@RasoulBadowewe 13 дней назад
Nyie ndo wanafiki cana mala inonga hawafai
@PerfectGirl-dj7zq
@PerfectGirl-dj7zq 13 дней назад
Huu uchambuzi sio mnazingua kwasababu walishaondoka watu Kama kina okwi,mafisango nk il Simba bado ikaendelea kufanya vizuri
@IbrahimuMussa-xb7lm
@IbrahimuMussa-xb7lm 13 дней назад
Acheni ushabiki washenzi nyie
@hidayajuma7946
@hidayajuma7946 10 дней назад
Hawa wachambuzi kaziyenu kuchambua mziki tarabu nasiompila
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 13 дней назад
Kw3nda nje ya nchi inakuuma! Kwani umeombwa mchango😂
@user-uw5oh5yy5m
@user-uw5oh5yy5m 13 дней назад
Sasa hivi Crowm Media ndio habari za mjini😊
@raymondlaurent4167
@raymondlaurent4167 13 дней назад
Sasa wew mtu ya crown media na unakuja comment wasafi ii ndo unafikiri yaani nyie ni WANAFIKI mnasikiliza wasafi na mnajifanya mnapenda crown 😅😅😅
@user-wi9bp4uo4j
@user-wi9bp4uo4j 13 дней назад
Mtasema yote Hadi mtapike
@josiacharles2778
@josiacharles2778 13 дней назад
Sasa nyie naisi kumbe mlikua amuangalii mechi za Simba inonga baada ya kutoka afkon hakua tena na mpango wakucheza Simba.
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 13 дней назад
Wewe Cha Nan babu
@wizzy200
@wizzy200 13 дней назад
ndio maana crown tv inapamba.moto yan
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 13 дней назад
Mchezo ni wachezaji 11 tu ndani wengine wanakaa nje.
@fadhiliabasi6585
@fadhiliabasi6585 13 дней назад
Madikio yangu hayaburudiki kuwasikia
@saidrajabu635
@saidrajabu635 13 дней назад
Vibalaka fc mambo yapo crown
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 13 дней назад
Hao wazee
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u 13 дней назад
Ki Aziz hayupo wataenda wapi
@user-st8hd9iq4o
@user-st8hd9iq4o 13 дней назад
MAHIRA WAKUBWA MBANA WAKINA MAYELE WALIONDOKA ULITAKA WABAKI WAFANYE NN MAYELE NA BANGALA HALAFU CHAMA NA INONGA BORA NI WAKINA NANI ?? MBWA NYIE
@GeorgeSikazwe-mm7nn
@GeorgeSikazwe-mm7nn 13 дней назад
Wapuuz wachambuz chm alikuwep kaondok achen ujinga ninyi..wanaondok kina benzema madrid...kumbe ni wa mchongo ninyi
@KiyaanSalim-ih9qo
@KiyaanSalim-ih9qo 13 дней назад
Hakuna watangazi waovyo kama Hawa
@dannydannizo8099
@dannydannizo8099 13 дней назад
Tatizo mbachambua mpira kwa mihemko hamna professionalism kabisa ... yaani mnaongea hisia.. Badilikeni...sioni uchambuzi apa
@emmanuelnkinda3924
@emmanuelnkinda3924 11 дней назад
waoovyo ninyi
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 13 дней назад
Hahahaha hakuna wachambuzi hapa hawa wote ni vichwa maji tu
@user-ej8pc7kl8z
@user-ej8pc7kl8z 13 дней назад
Hawa Jamaa wababaishaji
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 13 дней назад
Edo, Chama amechukua nafasi ya nani kule yanga? Oscar uliwauliza Simba kwanini wanatoka nje? Kama hujawauliza huna sababu ya kuwasemea. Mipango ya ndani ya Simba wanaijua wao. Acheni kupiga ramli. Ninachowashangaa Wachambuzi; mnataka kutuaminisha kwamba ninyi mnajua kila kitu na mna akili kuliko Viongozi wa Simba mnayoikosoa sana. Ningewaona wa maana sana kama mngekuwa mnapata opinions za upande mnaoukosoa kabla ya kukosoa. Lakini kila siku mnakurupuka kulaumu kitu msichokijua kwa vile hamhakiki kabla. Otherwise kazi yenu ni nzuri. Hamko biased kama wachambuzi uchwara wengi nikitoa mfano wa Salamba na Kessy. Mpaka wanakera kwa ujinga wao.
@user-ds4jq6bw5f
@user-ds4jq6bw5f 13 дней назад
Bado sana nimapema
@sanurymkangala3679
@sanurymkangala3679 13 дней назад
Nyie kweli ni chawa amna mchambuz apo
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq 13 дней назад
Yaan edo always yupo negative😂😂
@antonymodestus2872
@antonymodestus2872 13 дней назад
Mavi mavi tu chukua dole la kati
@ebbychipa8010
@ebbychipa8010 13 дней назад
Nyie mnanosema crown ndio habar ya mjin sasa uku mmefuata nn co kama shobobzinawaponza
@emilegentil9538
@emilegentil9538 13 дней назад
Mbona camera ni mbovu sana😅
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 13 дней назад
Mlisema simba ina wachezaji wazee chama mzee inonga mzee na wengine hivyo wanatakiwa vijana sasa wameleta vijana mnakosoa mbona hamna jema nyie
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 13 дней назад
Wachezaji wapo tuuu wewe inonga nani wachezaji wenye malingo hapana
@madolinmeshakey9864
@madolinmeshakey9864 13 дней назад
TUMERUHUSU WAENDE WAHUJUMU TIMU
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile 13 дней назад
Kaeni kwa kutuliaaa
@amosmchele2518
@amosmchele2518 13 дней назад
Kaeni hivyo hivyo
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 13 дней назад
Hebu chambuen ki mpira Zaid sio mapenz flan hv nyie ndo mlikuw mnamponda chama Kwa uwezo wake Kwa sasa na tabia za inonga saiv cjui mnaongea nn
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 13 дней назад
Kweli Oscar ni kichaaa wa fikra au unapenda kikii mnoo au unatumika kwenye fikra zakooo... lkn ni mawazo yako huru... SWALI; muhimu kuna nini mpaka wote giant wanachiwaa waondoke
@wetemjini8818
@wetemjini8818 13 дней назад
Majichwa mabaya
@flova7022
@flova7022 13 дней назад
Yangga Hana kikosi cha final. Hivi kuwa na watu wengi ndio kufika final . Mnaijua raja nyie
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 13 дней назад
Aise wewe kichwa kigumu weh!
@flova7022
@flova7022 13 дней назад
@@frankhoffa8356 ongea kimpira usibwabwaje kamma mgambo waa soko.. raja na Ahly utamtoa nani
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq 13 дней назад
Mhuni nimhuni tu wanaongea nini hao
@emilegentil9538
@emilegentil9538 13 дней назад
Crown media for life
@xfamefatetv
@xfamefatetv 13 дней назад
Fureshi
@mashipeter4819
@mashipeter4819 13 дней назад
Tuache na Simba yetu. Wewe si shabiki wa Yanga??. Waache waende. Wakijifunza wasipojifunza ni wao. Mmeanza kuiogopa Simba. 😂😂😂
@Mra_brandvevo
@Mra_brandvevo 13 дней назад
Kama hamuna contents muache uchambuzi
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 13 дней назад
Mmedumaa nyie crown oyeeeee
@user-ch3pb6rc7z
@user-ch3pb6rc7z 13 дней назад
Ila bongo bwana
@romanambelle6356
@romanambelle6356 13 дней назад
Hovyoooooo mmeshalipwa
@user-qo5it1uc9m
@user-qo5it1uc9m 13 дней назад
Hamna kitu hapa wasafi
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 13 дней назад
Ovyo kbaaa
@bestman8182
@bestman8182 13 дней назад
👑 👑 👑 👑 👑 ❤❤❤😅
@princejosephat8316
@princejosephat8316 13 дней назад
Nyie mkalale tu
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 13 дней назад
Pumbuvu kweli nyie acheni unafkiiiiiii nyie
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 13 дней назад
Ooh, si ndo mlisema inabidi waondoke au
@aptiitv2376
@aptiitv2376 13 дней назад
Hao wapuuzi wanatumika tu
@saidhussein6771
@saidhussein6771 13 дней назад
Wachambuzi uchwara
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 13 дней назад
Nyie wa crown fatilieni crown msg za nn huku
@selemancokker4994
@selemancokker4994 13 дней назад
Naamini awajielewi kabisa wa2wache usafini kwe2 bhana
@user-yi7jj8rp5q
@user-yi7jj8rp5q 13 дней назад
Acheni uchawa
@JeffFerdinand
@JeffFerdinand 13 дней назад
Ivi nyie wapumbavu matako ya bibi zenu kama mnaingiaga kipindi mkiwa mnalewa au mnavuta bangi leo mnatwambia simba wangembakisha chama na inonga nyuma mnasema simba iachane na chama acheni usenge mbwa nyie
@relaxtube1362
@relaxtube1362 13 дней назад
Ni kweli Chama na Inonga walikuwa wachezaji wazuri lakini walikuwa wameshapoteza hamu kucheza Simba hivyo hata wangebaki isingekuwa manufaa kwa Simba. Inonga ilionekana wazi baada ya kijivunja mechi ya pili dhidi ya Yanga na Chama alishajiona mfalme Simba, alianza kusumbua kwanzia mwanzoni mwa msimu iliopita..alikataa kwenda pre season na wenzie.
@relaxtube1362
@relaxtube1362 13 дней назад
Its not the end of world kwa Simba. Walishapita wengine na Simba ilibaki..kawaida sana
@maryamnofli2109
@maryamnofli2109 13 дней назад
​@@relaxtube1362 Umesema. Kweli. Ndg. SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤
@relaxtube1362
@relaxtube1362 13 дней назад
@@maryamnofli2109 👊👊
@isackmkobe-qf7tc
@isackmkobe-qf7tc 12 дней назад
Nothing
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 13 дней назад
Hamna jema haswaa waswahili wa kibara mlipiga kelele sana wachezaji wazee leo wamesajiliwa vijana tumefanya makosa kuwaacha tushike lipi? Mbona vigeu geu nyinyi! Au mlitaka bado tubaki na wasaliti tuendelee kuteseka ndio lengo lenu? Sifikirii kama hamtumiki nyinyi
@aptiitv2376
@aptiitv2376 13 дней назад
Hao wapuuzi wanatumika tu
@amosmchele2518
@amosmchele2518 13 дней назад
Nyoko mpeleke kariua kwenu mshamba wewe
@user-wi9bp4uo4j
@user-wi9bp4uo4j 13 дней назад
Osika wewe kenge tu
@simongrayser5784
@simongrayser5784 13 дней назад
Hawa wasenge sio wa kuwasikiliza, kutwa kazi yao ni kuwakandia simba. IDIOTS
@wizzy200
@wizzy200 13 дней назад
Ila niseme nini nyiee wachambuzi.ni wajinga hamna kitu apo tengenezen timu yenu na nyieee
@user-ys4zk3hx4f
@user-ys4zk3hx4f 13 дней назад
𝙉𝙮𝙞𝙚 𝙢𝙖𝙠𝙪𝙢𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙣𝙙𝙤 𝙢𝙡𝙞𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙖 𝙖𝙩𝙤𝙠𝙚
@daudjacob2123
@daudjacob2123 12 дней назад
Yaan hawa jamaa hawaeleweki wazee wa stor za kahawa leo chama mzuri simba kesho mbaya mueleweke
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 13 дней назад
Chama inonga manula waliuza mechi mpaka manula akafungua duka leo mnawatetea wabaki wasaliti tunataka simba mpya safisha wote
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 13 дней назад
Wanafk wakubwa nyie,,chama ni Nan mbk asiondoke??mwanzo mlisema Simba ifanye maamuzi magumu kumuacha chama atawasumbua leo mmebadil maneno tuelewe lipi??Kuma zenu tuachieni team yetu
Далее
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 333 тыс.
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,4 млн