Тёмный

Simulizi ya kusisimua ya aliyeongoza kwa ufaulu Udom; alikuwa akiuza karanga Mbeya, rafiki wa kiume 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Nevi Nzowa ambaye ni Mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Hisabati na Takwimu kutoka Ndaki ya Sayansi Asilia na Hisabati kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyeongoza kwa ufaulu baada ya kupata GPA ya 4.5 na kuwa mwanafunzi aliyefaulu zaidi akisimulia maisha yake tangu afike chuoni hapo na mara baada ya kumaliza masomo yake ambapo alikuwa akifanya biashara ya kununua karanga vijijini na kuuza mjini Mbeya.
Nzolwa amehitimu Mafunzo yake Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) leo Alhamisi, Novemba 30, 2023 kwenye mahafali yaliyofanyika jijini Dodoma.

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@kelvinmwakalebela8547
@kelvinmwakalebela8547 9 месяцев назад
Hongera 🎉🎉 Mdada,,No matter how matter it is, You're the Best
@MariaJoseph-zm7sj
@MariaJoseph-zm7sj 4 месяца назад
Hongera dear
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 месяцев назад
Dada Hongera Saaaana Mno mno SIFA KWAKE KRISTO ALIE TUPENDA KWA KUKUINUA
@JoshuaTv-hi7mx
@JoshuaTv-hi7mx 9 месяцев назад
Ongera.dear God win always
@erickegidius6625
@erickegidius6625 9 месяцев назад
Hongera ni Hatua nzuri. Elimu ni kitu bora na ni Nuru.
@AsmaKapaya
@AsmaKapaya 9 месяцев назад
Heeeeeee mbona kuna watu wanaona wivu sana humu,,,nyie mliosomea ivyo vyenu mlivyovichagua mbona hamjawa mabest,,au hamkujitambua mnachohitaji
@aud548
@aud548 10 месяцев назад
Sasa comments zote naona honger a za kinafiq au kumzogoa binti💔... Mnakosea sana asee...Kajitahidi kafanya to the best of her ability kwenye eneo lake( course yake) na akapewa zawadi ya kushinda kama mwanafunzi bora kiujumla..wao waliosoma Medicine na mengineyo hawajasoma pia masomo ya huyu na kamwe hatutojua wangeperform vipi huku...kuna sababu kwa nini Medicine huwa haina Distinction grades because even though umemaliza na ukapasi vyema ...ndo kwanza kujifunza udaktari unaanza kiuhalisia unapomaliza chuo...hivi vitu havifanani ...stop belittling huyu binti...it's her achievement , her prosperity ...amestahili na ameshinda ...APONGEZWE.
@navynzowa6653
@navynzowa6653 10 месяцев назад
Asante sana
@jackytuyi8899
@jackytuyi8899 4 месяца назад
Watu wanachekesha kweli
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 10 месяцев назад
Mbona Hao wa bachelor ya medicine hawajawa wa Kwanzaa achen maneno
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 9 месяцев назад
Mungu akunyimi kira kitu
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 9 месяцев назад
Uzuri wa hesabu ina jawabu moja tu. Sasa njoo PSPA kila scholar ana mtazamo wako
@neyfkthedon384
@neyfkthedon384 10 месяцев назад
Bachelor of pharmacy, microbiology, au medicine hapo ndio tungempa maua yakeee
@Maconcepty
@Maconcepty 10 месяцев назад
Maupumbavu best student😂
@juliusevance
@juliusevance 10 месяцев назад
Hiyo ni kawaida sana ingekuwa bachelor of medicine,,,,hapo tungempa Maua yake
@musicthrowbackworld
@musicthrowbackworld 10 месяцев назад
Wabongo rohoo mbaya tuu Koo ulitaka aferii
@djpassovertz..tunaishimaramoja
@djpassovertz..tunaishimaramoja 10 месяцев назад
Hongera best..Ila ungekuja kwetu PSPA..Ungeongoza ningeitwa mbwa..Kule sio kwa mchezo
@neemadaniel6233
@neemadaniel6233 10 месяцев назад
Mmh. Ndugu pspa ninayoijua mm acha utan bhana
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 9 месяцев назад
PSPA ya Dr. Ajali Mustafa, Marijani Ramadhani, Katomero, Mmasi, Prof Kopoka, Dr. SANSA, Prof. Kessy hapo ukipata GPA ya 3 jipongeze
@djpassovertz..tunaishimaramoja
@djpassovertz..tunaishimaramoja 9 месяцев назад
@@mohamedhaji2200 Kuna kiumbe kilikua kinaitwa chang'a,Ombeni, utajua kwann kuku hakojoi
@neemadaniel6233
@neemadaniel6233 9 месяцев назад
Haya bhana ,sie tulimzoea chang'a,pro kopoka,Dr ajal,Dr sengat
@neemadaniel6233
@neemadaniel6233 9 месяцев назад
Umenikumbusha omben ni kiboko fundisha yake ya upole ila mitihan mmh hatar
@juliusevance
@juliusevance 10 месяцев назад
Hiyo ni kawaida sana ingekuwa bachelor of medicine,,,,hapo tungempa Maua yake
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 10 месяцев назад
Usikariri kama wewe ulishindwa kupata hyo GPA kwa medicine wenzako wamepata acha wivu
@jackytuyi8899
@jackytuyi8899 4 месяца назад
Heeee we naye
Далее
ПЛАН ПРОТИВОДЕЙСТВИЯ МЕДВЕДЮ.
00:28
🍎 Apple Pie Cinnamon Roll Donut #Shorts
00:21
Просмотров 2,3 млн
Mwanafunzi UDOM atetea PhD kwa Zoom Meeting
5:30
Просмотров 10 тыс.
DP Rigathi Gachagua Addresses the Nation
2:00:02
Просмотров 40 тыс.