Тёмный

RIPOTI MPYA ya KIFO cha NUSURA wa UDOM, MAMBO 13 MAZITO, HAKI za BINADAMU WAMALIZA UTATA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

RIPOTI MPYA ya KIFO cha NUSURA wa UDOM, MAMBO 13 MAZITO, HAKI za BINADAMU WAMALIZA UTATA...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania, leo Juni 2, 2023 imetoa taarifa juu ya Matokeo ya uchunguzi wa kifo cha Nusura Hassan Abdallah aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Ripoti hiyo inasomeka kama ifuatavyo; Mtakumbuka kuwa tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ilitoa taarifa kwa Umma kupitia vyombo vya habari ikielezea nia yake ya kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Marehemu Nusura Hassan Abdallah, ambacho chanzo chake kilizua mkanganyiko, ambapo baadhi ya watu walikihusisha na ajali ya gari iliyomhusu Mhe.
Dkt. Festo John Dugange (Mb), Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - OR, TAMISEMI (Afya).
Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa, THBUB imekamilisha uchunguzi...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Uongo tu dah 😭😭😭🙏🙏
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Wote waliosingiziwa walipwe tena sana😮
@veronicabusinge8795
@veronicabusinge8795 Год назад
Sasa waziri ameingiaje haponi uonezi tu kufuatana na maelezo Yao duu 😮
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Год назад
Nchi ya hovyo sana hii Mnauwa nguvu ya kesho
@fashion7442
@fashion7442 Год назад
Uongo lakini tumeupokea maana hatujaelezwa ile kanzu ilikuwa mbadala wa nini
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Год назад
Mumuachie sasa hawarayake kama itakua mmemshika simmeshafahamu ukweli
@amanisewando529
@amanisewando529 Год назад
Huo ndio ukweli, wabongo tuache uzushi
@vincentlihendeko1906
@vincentlihendeko1906 Год назад
WEE ACHA HIYO NAMBA ZA GARI HAZIJAKAMILIKA
@raiderking4637
@raiderking4637 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania yetu tunaipenda
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Год назад
7
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Год назад
wana fichiana siri asee hii nchi bwana aya amekufa
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Nonsense
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Год назад
Mumuachie sasa hawarayake kama itakua mmemshika simmeshafahamu ukweli
Далее
PUBG MOBILE | Metro Royale: Fun Moments #4
00:16
Просмотров 262 тыс.