Alichofanya kikwete 2015 ni sawa na alichofanya Nyerere 1995 ..ni kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa . Km wew ni mfuatiliaji wa siasa za bongo utanielewa tu.👀
As the time goes by,naona mh mstafu kikwete anapoteza ushawishi kwa watanzania kwa kasi sana,sioni makosa ya mh kikwete,tusimsononeshe rais mstaafu ana upendo mkubwa na bila shaka hana baya alilofanya kwa yoyote.
Kabisa Kikwete alifanya kitu kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Na kimsingi ana upendo mkubwa tuache kumfanya Rais wetu mstaafu ajione au kujisikia vibaya.