Тёмный

SIRI MUJARABU YA SURAH AL-FEEL KATIKA KUTIBU SIHR YA AINA YOYOTE | SIRI ZA QURAN | Mohamed Alidini 

Mohamed Alidini
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

SIRI MUJARABU YA SURAH AL-FEEL KATIKA KUTIBU SIHR YA AINA YOYOTE | SIRI ZA QURAN | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri ya Surah Al-Feel katika kutibu Sihr ya aina yoyote kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
-----------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah: AL-FEEL
Ayah: KAMILI
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
 Kuwa na Udhu na Kuelekea Qibla
 Soma Surah Al-Feel
 Dua ifuatayo mara moja:
اللّهم يا مالك يوم الدين إياك نعبد وإياك نستعين، اللهم أنت الحاضر المحيط بمكنونات الضمائر، اللّهم عزّ الظالم وقَلّ الناصر وأنت المطلع العالم ولا حول ولا قوة إلا باللّه العلي العظيم، اللّهم إن الجنّ والسّحرة ظلموني وأساؤوا إليّ ولا يشهد بذلك غيرُك، اللّهم أنت مالكهم فأهلكهم، اللّهم سَرْبِلْهم سِربال الهوان، اللّهم قـمّصهم قميص الردى، اللّهم اقصفهم ست مرّات، اللّهم اخفضهم مرّتين، فَأَخَذَهُمُ ٱللَّهُ بِذُنُوبِهِمْ وَمَا كَانَ لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مِن وَاقٍۢ غافر: ٢١ اللّهم كِلَّ سلاحهم واضرب وجوههم ومزّقهم تمزيق الرياح للجراد، اللّهم فُتَّهم فتًّا وحُتَّهم حتًّا واجعل أمرهم شتًّا، اللّهم أطفئ نارهم وشِلَّ إرادتهم، اللّهم جرّدهم من حولهم وقوّتهم وسلّطهم على أنفسهم، اللّهم سلِّط الظالمين على الظالمين وأخرجنا من بينهم سالمين، وَإِنَّا عَلَىٰ ذَهَابٍۭ بِهِۦ لَقَـٰدِرُونَ المؤمنون: ١٨ﱡوَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ سبأ: ٥٤قَالَ هَـٰذَا رَحْمَةٌۭ مِّن رَّبِّى ۖ فَإِذَا جَآءَ وَعْدُ رَبِّى جَعَلَهُۥ دَكَّآءَ ۖ وَكَانَ وَعْدُ رَبِّى حَقًّۭا ٩٨ﱠ الكهف: ٩٨ﱡ وَقَدِمْنَآ إِلَىٰ مَا عَمِلُوا۟ مِنْ عَمَلٍۢ فَجَعَلْنَـٰهُ هَبَآءًۭ مَّنثُورًاالفرقان:
٢٣ﱡتُدَمِّرُ كُلَّ شَىْءٍۭ بِأَمْرِ رَبِّهَا فَأَصْبَحُوا۟ الأحقاف: ٢٥ﱡ قَالَ لَا عَاصِمَ ٱلْيَوْمَ مِنْ أَمْرِ ٱللَّهِ إِلَّا مَن رَّحِمَ ۚ هود: ٤٣ﱡ وَكَانَ أَمْرُ ٱللَّهِ قَدَرًۭا مَّقْدُورًا الأحزاب: ٣٨ﱡ فَٱنتَقَمْنَا مِنَ ٱلَّذِينَ أَجْرَمُوا۟ ۖ وَكَانَ حَقًّا عَلَيْنَا نَصْرُ ٱلْمُؤْمِنِينَ الروم: ٤٧ﱡ وَمَنْ عَادَ فَيَنتَقِمُ ٱللَّهُ مِنْهُ ۗ وَٱللَّهُ عَزِيزٌۭ ذُو ٱنتِقَامٍ المائدة: ٩٥ﱡوَظَهَرَ أَمْرُ ٱللَّهِ وَهُمْ كَـٰرِهُونَ ٤٨ التوبة:
٤٨
بسم اللّه قاسم كل جبّار عنيد وهازم كل شيطان مريد، أعوذ بالله منك 3مرات، ثمّ ألعنه بلعنة الملائكة والناس أجمعين وبالليل إذا عسعس والصبح
إذا تنفس والقمر إذا اتسق وبالعليِّ وما خلق، (قل أعوذ برب الفلق الـخ)3 مرات، ومن شرّ إبليس وجنوده ومردّته وأعوانه، أذكّركم بالسقف ومَن بناه وبالطور ومن أرساه وبالكرسي ومن سوّاه وبالعرش ومن أعلاه وبالنجوم الثاقبة والأقسام الإلهية والدعوات الربانية والآيات القرآنية والفيوضات النورانية وبنور النور، وبما غشي موسى على جبل الطور فـخرًّ موسى صعقًا، فتدكدك الجبل من هيبته فصار هباءً منثورًا، وبالصحيفة الكبرى وبالزجرة العظمى وبمن نادى موسى إنّني أنا اللّه رب العالمين، أزْجُر الصادر والوارد من الملاعين بـمحصِّناتٍ حـجوبية، حـَجَبْتُ كلّ كائدٍ ومعاندٍ وصَخْبٍ صاخبٍ وصرِّفْته عنا، عَزَمْتُ على كل كائدٍ مَن قام وقعد، وأُقسم بــ (قل هو اللّه أحد إلـخ) 3 مرات، قطعت عنكم كل إحساس بــ (قل أعوذ بر الناس) 3 مرات، (إذا زلزلة الأرض زلزالها إلـخ) بسم اللّه الشافي، بسم اللّه كافي، بسم اللّه مُعافي، بسم اللّه الذي لا يضرّ مع اسمه شيء في الأرض ولا في السماء وهو السميع العليم، 3 مرات، اللّهم إنّي أستودِعك اليوم نفسي وأهلي ومالي وولدي، واستودعك ديننا وأماناتنا وخواتيم أعمالنا فسبحان اللّه الذي لا تَضيع الودائعُ عنده، وصلىّ اللّه على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليمًا كثيرًا إلى يوم الدين، ويختم بسورة الفاتحة.
 Usome mara 1, 2, 3, 4, 5, n.k. Nafasi na uwezo wako.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@HabibaMohamed-h3t
@HabibaMohamed-h3t 23 дня назад
Unaweza kula hikimaliza Kila kitu enye umesema❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 23 дня назад
Sijafahamu. Afwan!
@ArafaSuleiman-db9pw
@ArafaSuleiman-db9pw Месяц назад
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
@mohamedalidini
@mohamedalidini Месяц назад
WAIYYAAKUM. SHUKRAN!
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g Месяц назад
Maashallah shekh nimeipenda sana channel yako.jazakalkahu fiki.shekh alafu dua hii nitaipata wapi ili nii screenshot
@mohamedalidini
@mohamedalidini 21 день назад
Tabarakallah! Allah (SWT) Akuwafiqie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 месяцев назад
Assallam allaykum wallah nazid kuipenda chanel yako na kuifatilia kwan unajibu maswal vzr unayoulizwa na kutoa majibu kwa ufasaha tofaut na baadh ya chanel nyngne hata uulize nn hujibiwi nazid kukuombea dua kwa Allah akulipe kheir na baraka na akujaalie umri taweel
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 месяцев назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka malengo makubwa ya channel hii ni kutoa faida za Qur'an kwa manufaa yetu ya Dunia na Akhera. Ninafahamu fika ya kwamba kuna wale ambao watahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu haya. Nami bila shaka ni jukumu langu kuhakikisha kila mmoja amefahamu na kufaidika. Allah (SWT) Akubarikie katika mambo yako yote na Akuwafiqie kheri zote za Dunia na Akhera. Ameen! 🤲
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 месяцев назад
@@mohamedalidini Ameen kwa sote🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 месяцев назад
@@fathiyahmuzney7367 Ameen ya Rabb 🤲
@neemahalima5440
@neemahalima5440 6 месяцев назад
Mashalla ni kwa Neema tu za mwenyezimu, Allah akuzidishe baraka , amina
@mohamedalidini
@mohamedalidini 6 месяцев назад
Tabarakallah. Ameen ya Rabb! Shukran.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 месяца назад
Maan shaallah❤❤❤❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 месяца назад
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@nunuumohammed1015
@nunuumohammed1015 5 месяцев назад
Allah atuwezeshe iwe shifaa ya rabb
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 месяцев назад
Ameen ya Rabb! Shukran.
@abinandrimana7150
@abinandrimana7150 Год назад
asalaam aleykum warahmatullah wabarakatul kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa masomo mazuri mbali mbali najua kazi nzito sana ila nina ombi langu kwenye dua za kusoma ukiweza kutuandikia tutashukuru sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Waalaikumussalam Warahmatullah. Nimeiandika hapo chini kwa description. Naomba ungalie na uichukue. Pole kwa kuchelewa kujibu.🙏
@abinandrimana7150
@abinandrimana7150 Год назад
@@mohamedalidini SHUKRANI
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
@@abinandrimana7150 AFWAN.
@aminamohammed7055
@aminamohammed7055 2 месяца назад
shekh naomba utusomee hicho kisomo halafu tuwe tunakiskiliza kwa sababu hio duwa wengi hatuijui
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 месяца назад
Insha Allah! Allah (SWT) Atuwafiqie Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MwanaidNyuchi
@MwanaidNyuchi 5 месяцев назад
Assalam alaykum shekh hii dua haipo kweny kitabu ukanisaidia
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 месяцев назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Naomba uniandikie email yako ili nikutumie hii Dua. Shukran.
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 Год назад
SHUKRANI sana Shekh naomba namba yako ya simu tafadhali
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
+254 700047708
@HalimaAbdallah-c4y
@HalimaAbdallah-c4y Месяц назад
Sheikh samahani mimi naomba namba zako
@mohamedalidini
@mohamedalidini Месяц назад
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.
@AINURUSINGH
@AINURUSINGH 4 дня назад
A ndika dual disability engine atujui kiarabu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 дня назад
Insha Allah! Pia unaweza translate kutumia Google Translator.
@aminasuleimanmohammed4487
@aminasuleimanmohammed4487 4 месяца назад
Ustadh Mimi nataka hio dua
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 месяца назад
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Nitumie ujumbe kwa hii namba yangu ya WhatsApp nikutumie hiyo dua: +254 700047708. Afwan.
@aminasuleimanmohammed4487
@aminasuleimanmohammed4487 4 месяца назад
Nimetuma hujibu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 месяца назад
@@aminasuleimanmohammed4487 Nimekutimia. Natumai umeipata. Na kama la, Insha Allah (SWT) nitakutumia tena. Afwan.
@ramadhanimiraji2271
@ramadhanimiraji2271 Год назад
Ukitufundisha sheikh tuatajie kitabu
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Assalam alaikum. Nielezee naweza nikakusaidia vipi?
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 Год назад
@@mohamedalidini naomba namba yako tafadhali shk
@monicajeremiah
@monicajeremiah Год назад
As salaam Alaykum Naomba namba wengine hatukusom kunlluan
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Waalaikumussalam Warahmatullah, +254700047708
@eastafricahealth8168
@eastafricahealth8168 Год назад
Asalam aleikum Naomba namba ya simu shekh
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Waalaikumussalam Warahmatullah, +254700047708
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 4 месяца назад
Shehe vp nitakihifadhi chombo changu Cha baharini,Nyumba, eneo,shamba,ama shughuli yangu yeyote kutokana na ushirikina wa aina yeyote wenye kuandama watu Ili wasifanikiwe ktk shughuli zao
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 месяца назад
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa ombi lako. Njia bora ya kutoa na kuzuia sihr, hasadi, jinn au sheitan iwe nyumbani, shambani, mahali pa biashara utachukua maji ya mvua yalokingwa chomboni moja kwa moja pale mvua ikinyesha kiasi cha lita 5 au 10. Ukikosa unaweza tumia ya kawaida. Lakini ya mvua ni bora zaidi. Yasomee maji hayo Surah zifuatazo mwanzo mpaka mwisho mara moja moja: Al-Baqarah, Sajdah, Yasin, Ad-Dukhan, Al-Waqiah, Al-Hadid, Al-Hashr na Al-Mulk. Ukimaliza nyunyiza hayo maji kwenye corner za nyumba au duka, kwenye mipaka na katikati ya shamba. Insha Allahu Taala Allah (SWT) Atakuhifadhia vitu vyako na shari zote. Ama Dua ya kukihifadhi chombo chako, Mola Akipenda nitakuarifu. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote, Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 Год назад
Shk namba yako haipo tafadhali tusaidie hiyo namba
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
+254700047708
@alikombo723
@alikombo723 Год назад
Assalam alaikum, shekh samahan naomba unisaidie hili tatizo langu. Mimi nimetumiwa jini mwilini mwangu na takribani ni mwaka wa tatu sasa bado halijaondoka na nimeshatumia dawa nyingi tu pamoja na visomo mbalimbali lakini bado linanisumbua, na kuna siku nilikwenda kwa shekhe mmoja akanipa dua fulani hivi nisome na ndani ya hio dua niliiltakiwa nisome hiyo sura mara 215, nilitakiwa nifanye kwa muda wa wiki saba sasa wakati nasoma hio dua nikawa nikawa nasikia mingurumo kama ya radi nje na ilikuwa imegawika sehemu mbili, mmoja kama unakuja hivi na mwengine kama unaupiga huo unokuja, nakati yakitokea hayo mimi huwa na hofu sana na moyo hunienda mbio, sasa shekh je hio mingurumo ilimaanisha nini na utanisaidiaje hili tatizo linalonisumbua, naomba msaada wako khekh wangu
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Waalaikumussalam warahmatullah wabarakatuh. Kwanza kabisa namuomba Mola akuondoshee tatizo hilo na akunusuru na kila shari. Kuhusu hiyo mingurumo, huo unaokuja ni wa Marohani au Malaika wanaowakilisha Surat Al-Fiil wanakuja kupambana na huyo kiumbe. Na huo mwengine unaopiga ni wa huyo jini (kiumbe). Anajaribu kuwazuia ili usitibike. Wasia wangu ni kwamba usichoke wa kuogopa kusoma visomo vyako ulivyopewa mpaka umshinde huyo kiumbe. Pia unweza soma Ayat Al-Kursy mara 99 kwa kikao kimoja. Hiyo ni tiba kubwa tena mujarrab. Miye nishamsomea dada mmoja akiwa na watatu. Na kwa uwezo wa Allah tukaweza kuwatowa wote. Bila shaka kuna tofauti ya hao viumbe. Wale kuingia wenyewe ni haraka sana kuwatoa. Lakini wale wa kutumwa inachukua muda na hufaulu kwa uwezo wa Allah (SWT). Namuomba Allah (SWT) akupe afueni ya haraka na akulinde na shari zote, ameen 🤲
@alikombo723
@alikombo723 Год назад
@@mohamedalidini ahsante sana shekh wangu kwa ufafanuzi wako na kwa ushauri wako pia. Na vipi kuhusu huyu jini kama yupo tumboni na wakati mwengine kuna kitu kinakuja kunikalia kooni kama kinataka kutoka je nitumie dua au dawa gani haswa ili niondowe hili tatizo
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
@@alikombo723 Chukua mafuta ya Habbat Saudaa na uyasomee Sabu' al-Munjiaat nazo ni sura zifuatazo: Surat Sajdah, Surat Yasin, Surat Dukhan, Surat Al-Waqiah, Surat Al-Hadid, Surat Al-Hashr na Surat Al-Mulk. Kisha kunywa kidogo asubuhi kabla hujakula kitu na jipake mwili mzima wakati wa kulala. Njia nyingine ni kuwasomea Surat Al-Baqarah nzima na utumie kwa kufuata maelezo yalotangulia. Kwa uwezo wa Allah (SWT) huyo jini atanyomeka au kutoka mwilini. Kuna video nimeelezea kuhusu majini na namna ya kuwatoa mwilini. Afwan.
@alikombo723
@alikombo723 Год назад
@@mohamedalidini shukran shekh wangu Allah akubarik, na hiyo video mbona sijaiyona kwenye hii chanali yako
@alikombo723
@alikombo723 Год назад
@@mohamedalidini na hizo sura unazisoma mara ngapingapi kwenye hayo mafuta
@monicajeremiah
@monicajeremiah Год назад
Utatusaidiaj sheh hatukwenda chuo
@mohamedalidini
@mohamedalidini Год назад
Assalam alaikum. Nielezee naweza nikakusaidia vipi?
@AminaMwamba-v8w
@AminaMwamba-v8w 5 месяцев назад
Asalam Aleykum warahmatullah wabaraqatuh Naomba number yako ya simu thafaadhli
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 месяцев назад
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ya simu ni +254700047708. Unaweza wasiliana nami kwa WhatsApp ukipenda. Allah (SWT) atupe kheri zote. Ameen!
@monicajeremiah
@monicajeremiah Год назад
Sisi wengin hatukusom tunafanyaje she
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g Месяц назад
Maashallah shekh nimeipenda sana channel yako.jazakalkahu fiki.shekh alafu dua hii nitaipata wapi ili nii screenshot
@mohamedalidini
@mohamedalidini 23 дня назад
Tabarakallah! Barakillahu Feek ya Ukhty. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g Месяц назад
Maashallah shekh nimeipenda sana channel yako.jazakalkahu fiki.shekh alafu dua hii nitaipata wapi ili nii screenshot
@mohamedalidini
@mohamedalidini Месяц назад
Alhamdu Lillah! Tabarakallah. Nimeiwka hapo kwa description chini. Lakini naweza kukutumia ikiwa na harakt (Fat'ha, Kasra, Dhumma ..) pdf document aitha kwa WhatsApp or email. Nitumie ujumbe kwa WhatsApp kwa namba hii ili nikutumie +254 700047708. Afwan.
@HabibaMohamed-h3t
@HabibaMohamed-h3t 23 дня назад
Pia mmi nimeweza kukukosana na bibi ya brother yaung nime kaa mwezi mbili mmi na yeye bila kuongelishana
@HabibaMohamed-h3t
@HabibaMohamed-h3t 23 дня назад
Nitafanya nni sheikh amekata msamahe
@HabibaMohamed-h3t
@HabibaMohamed-h3t 23 дня назад
Ni sadiya
@HabibaMohamed-h3t
@HabibaMohamed-h3t 23 дня назад
Biya brother hani ongelishe
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g Месяц назад
Maashallah shekh nimeipenda sana channel yako.jazakalkahu fiki.shekh alafu dua hii nitaipata wapi ili nii screenshot
@mohamedalidini
@mohamedalidini 23 дня назад
Tabarakallah! Dua ndio hii: اللّهم يا مالك يوم الدين إياك نعبد وإياك نستعين، اللهم أنت الحاضر المحيط بمكنونات الضمائر، اللّهم عزّ الظالم وقَلّ الناصر وأنت المطلع العالم ولا حول ولا قوة إلا باللّه العلي العظيم، اللّهم إن الجنّ والسّحرة ظلموني وأساؤوا إليّ ولا يشهد بذلك غيرُك، اللّهم أنت مالكهم فأهلكهم، اللّهم سَرْبِلْهم سِربال الهوان، اللّهم قـمّصهم قميص الردى، اللّهم اقصفهم ست مرّات، اللّهم اخفضهم مرّتين، فَأَخَذَهُمُ ٱللَّهُ بِذُنُوبِهِمْ وَمَا كَانَ لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ مِن وَاقٍۢ غافر: ٢١ اللّهم كِلَّ سلاحهم واضرب وجوههم ومزّقهم تمزيق الرياح للجراد، اللّهم فُتَّهم فتًّا وحُتَّهم حتًّا واجعل أمرهم شتًّا، اللّهم أطفئ نارهم وشِلَّ إرادتهم، اللّهم جرّدهم من حولهم وقوّتهم وسلّطهم على أنفسهم، اللّهم سلِّط الظالمين على الظالمين وأخرجنا من بينهم سالمين، وَإِنَّا عَلَىٰ ذَهَابٍۭ بِهِۦ لَقَـٰدِرُونَ المؤمنون: ١٨ﱡوَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ سبأ: ٥٤قَالَ هَـٰذَا رَحْمَةٌۭ مِّن رَّبِّى ۖ فَإِذَا جَآءَ وَعْدُ رَبِّى جَعَلَهُۥ دَكَّآءَ ۖ وَكَانَ وَعْدُ رَبِّى حَقًّۭا ٩٨ﱠ الكهف: ٩٨ﱡ وَقَدِمْنَآ إِلَىٰ مَا عَمِلُوا۟ مِنْ عَمَلٍۢ فَجَعَلْنَـٰهُ هَبَآءًۭ مَّنثُورًاالفرقان: ٢٣ﱡتُدَمِّرُ كُلَّ شَىْءٍۭ بِأَمْرِ رَبِّهَا فَأَصْبَحُوا۟ الأحقاف: ٢٥ﱡ قَالَ لَا عَاصِمَ ٱلْيَوْمَ مِنْ أَمْرِ ٱللَّهِ إِلَّا مَن رَّحِمَ ۚ هود: ٤٣ﱡ وَكَانَ أَمْرُ ٱللَّهِ قَدَرًۭا مَّقْدُورًا الأحزاب: ٣٨ﱡ فَٱنتَقَمْنَا مِنَ ٱلَّذِينَ أَجْرَمُوا۟ ۖ وَكَانَ حَقًّا عَلَيْنَا نَصْرُ ٱلْمُؤْمِنِينَ الروم: ٤٧ﱡ وَمَنْ عَادَ فَيَنتَقِمُ ٱللَّهُ مِنْهُ ۗ وَٱللَّهُ عَزِيزٌۭ ذُو ٱنتِقَامٍ المائدة: ٩٥ﱡوَظَهَرَ أَمْرُ ٱللَّهِ وَهُمْ كَـٰرِهُونَ ٤٨ التوبة: ٤٨ بسم اللّه قاسم كل جبّار عنيد وهازم كل شيطان مريد، أعوذ بالله منك 3مرات، ثمّ ألعنه بلعنة الملائكة والناس أجمعين وبالليل إذا عسعس والصبح إذا تنفس والقمر إذا اتسق وبالعليِّ وما خلق، (قل أعوذ برب الفلق الـخ)3 مرات، ومن شرّ إبليس وجنوده ومردّته وأعوانه، أذكّركم بالسقف ومَن بناه وبالطور ومن أرساه وبالكرسي ومن سوّاه وبالعرش ومن أعلاه وبالنجوم الثاقبة والأقسام الإلهية والدعوات الربانية والآيات القرآنية والفيوضات النورانية وبنور النور، وبما غشي موسى على جبل الطور فـخرًّ موسى صعقًا، فتدكدك الجبل من هيبته فصار هباءً منثورًا، وبالصحيفة الكبرى وبالزجرة العظمى وبمن نادى موسى إنّني أنا اللّه رب العالمين، أزْجُر الصادر والوارد من الملاعين بـمحصِّناتٍ حـجوبية، حـَجَبْتُ كلّ كائدٍ ومعاندٍ وصَخْبٍ صاخبٍ وصرِّفْته عنا، عَزَمْتُ على كل كائدٍ مَن قام وقعد، وأُقسم بــ (قل هو اللّه أحد إلـخ) 3 مرات، قطعت عنكم كل إحساس بــ (قل أعوذ بر الناس) 3 مرات، (إذا زلزلة الأرض زلزالها إلـخ) بسم اللّه الشافي، بسم اللّه كافي، بسم اللّه مُعافي، بسم اللّه الذي لا يضرّ مع اسمه شيء في الأرض ولا في السماء وهو السميع العليم، 3 مرات، اللّهم إنّي أستودِعك اليوم نفسي وأهلي ومالي وولدي، واستودعك ديننا وأماناتنا وخواتيم أعمالنا فسبحان اللّه الذي لا تَضيع الودائعُ عنده، وصلىّ اللّه على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليمًا كثيرًا إلى يوم الدين، ويختم بسورة الفاتحة.
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 23 дня назад
@@mohamedalidini maashallah shukran sana shekh Allah akupe Kila la kheri na akuondoshee Kila lililokuwa nzito kwako..nakupenda Kwa ajili ya Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 23 дня назад
@@FatumaAdinani-o1g Tabarakallah! Nami pia nakupenda kwa ajili ya Allah (SWT). Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 22 дня назад
@@mohamedalidini Amiin🤲🤲🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 22 дня назад
@@FatumaAdinani-o1g Ya Rabbal 'Alameen!
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 460 тыс.
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
FAIDA YA AYAT KIFAYA DUWA KUBWA SANA HII SIMCHEZO
8:52
FAIDA YA SURAT ZALZALAH KATIKA TIBA. NO.1
30:29
Просмотров 10 тыс.
TAFSIRI YA SURATUL FAT-HA | SHK MSELEM BIN ALY
1:00:47