Тёмный

SIRI YA SURA YASIN KATIKA KUONDOA HARAKA MARADHI YA MAJINI NA UCHAWI 

Miraj Khan
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Wasiliana na Sheikh Nassoro Muhammad kwa namba hizi 0717749113 kwa Maswali, ushauri na kwatiba za kuwatoa majini na vifungo mbalimbali
⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 745 661 711)
⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

Опубликовано:

 

28 ноя 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@japharymakula262
@japharymakula262 4 месяца назад
Shukran sana sheikh nafanyia kazi hili inshaallah, jaafar kutoka kahama
@janataninaim9193
@janataninaim9193 2 года назад
Mashaallah tabaraka Allah allah akujazi kheri fidunia wal akhera
@binthatv2794
@binthatv2794 2 года назад
Manshallah Allah akujaze Amani akupe kila la kheri akufungulie riski akupe umri murefu wenye furaha manshallah
@aishaabdallah5838
@aishaabdallah5838 Год назад
Maashaallah shekh nassor nakupenda kwajili ya Allah unatupa faida kubwa sana wallahi
@rehema5110
@rehema5110 Год назад
mashallah
@nasramohamed9497
@nasramohamed9497 Год назад
Mola akupe kila la heri duniani na ahera asanti sana
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 8 месяцев назад
Alhamndulillah Namuomba ALLAH Akujalie Zaidi Amiina
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Год назад
Allah_akulipe_kheri_DAIMA_nimefurahii_sana_yasin_ni_kisomo_kizito
@athumanimachozi3360
@athumanimachozi3360 2 года назад
Jazzaqallahu kheri, Al akhiy Allah s.w) akuifadhi mzee wa kazi
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 года назад
Allah akupe kila la kheri amiin upo sahihi
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 10 месяцев назад
Shukrani Sana shekh wetu Qur'an ni tiba sema ibilisi anatuzonga na usingizi
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 8 месяцев назад
Kabisa ukitaka tu kusoma quran wasinzia
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 8 месяцев назад
Asalam alykum waramatullah warakaatu shekh Nassoro tuletee ya kujifunga mwili inshaallah shukran shekh wetu Allah akuhifadhi.
@user-pc6io7wt5l
@user-pc6io7wt5l 4 месяца назад
Tunaomba tuletee za kujifunga miili sasa maan ni hatar sana
@hidayahemedi9423
@hidayahemedi9423 2 года назад
Mashallah mashallah mashallah sheikh jazakallahul khair
@saandiyamusilm399
@saandiyamusilm399 Год назад
Mungu yakupe kila cha kheri amin shukrana
@simwangepierre4036
@simwangepierre4036 Год назад
Alihamdullilah Yah Rabb, Aksante sana Sheikh
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 года назад
بارك الله فيك
@FatumaTwalib-so9wj
@FatumaTwalib-so9wj Год назад
Mashallah 🙏
@welcomeorange7357
@welcomeorange7357 2 года назад
Jazakallah khair
@AishaAthimani
@AishaAthimani Месяц назад
Alhamndulillah shekh wangu nilisoma nilipatwa na mambo makubwa nilitapika sana vitu vikaanza kunitembea mwili mzima yamejitokeza majini yanasema yalipotoka
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 дня назад
Allahu Akbar Pole sana Aisha Allah akufanyie wepesi yatoke
@mwanamakahaji240
@mwanamakahaji240 3 месяца назад
JAZAKA LWAHL-KHEIR
@chimenyamwatuwa7341
@chimenyamwatuwa7341 Год назад
Mashaalah
@rolandolussoca8124
@rolandolussoca8124 Месяц назад
Shukrani djazila
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
shukran sana shekhe
@abdulmalickupete7540
@abdulmalickupete7540 2 года назад
Shukrani al akhy
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 Год назад
shukran shekhe
@user-sk7ir2nv1z
@user-sk7ir2nv1z Месяц назад
Mashaallah ❤
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 14 дней назад
Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu,shehe namiaka zaidi ya ishirini naumwa jamani nisaidieni dua
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 2 года назад
Shekhe barakallahu shukrani
@salummnguruta4518
@salummnguruta4518 Год назад
Kwenye kila alamnashrah unaanza na Bismillah au unaunganisha?
@nebulanhiijjj
@nebulanhiijjj Год назад
Asalamalekum sheikh kama hujii kuisoma yassin je
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 6 месяцев назад
Bismillahi Rahman Rahmi niyamuhimu sana.
@nurusalumu8663
@nurusalumu8663 Год назад
Shekhe mm nimesoma nikaona miujiza mikubwa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 9 месяцев назад
Twambie umefanyeje umesema alamnshrah jumla 498
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 дня назад
Umeona nn dada tupe ushahidi
@israkikitano311
@israkikitano311 2 года назад
Uko vizuur Alhabib
@munaisa5850
@munaisa5850 Год назад
Mashaallah
@omaryjongo7436
@omaryjongo7436 5 месяцев назад
Asalaam alaikum sheikh wangu.Msaada Wako HASAD imenikumba Hali ya kiuchumi inazidi kuporomoka ,Wateja wamekoma na Hali imenibadilikia Sana
@aminamkindi922
@aminamkindi922 2 года назад
Asalam aleykum hakika nitasadiki maana surat Yassin ilinikomboa na uchawi na majini,ALLAH KAREEM 🙏
@Namanda425
@Namanda425 Год назад
Vipi ilikukomboa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 10 месяцев назад
​@@Namanda425ni kweli namimi imenisaidia Sana unaisoma mara 3 kila ikifika mubin unasimama na kusoma alamnshrah 10, ukimaliza.sema ya rabbi nifungue vifungo vya kishetani mpaka unamaliza
@RazzackNdayambaje
@RazzackNdayambaje 23 дня назад
Naam shukran sana,kwakuzingua nyumba imefungwa kichawi tunaweza tumia utaratibu huo?
@user-yi8yr9gl8i
@user-yi8yr9gl8i 4 месяца назад
Asant ustadhi
@user-wq8lp4th2b
@user-wq8lp4th2b 4 месяца назад
SHUKRAN
@jenephawangui7472
@jenephawangui7472 2 года назад
Asalaam aleikhum shekhe. Nafaa hiki kisomo nisome mara ngapi labda Kwa wiki? Shukran
@AbujannatyRayaan-sf4fx
@AbujannatyRayaan-sf4fx 21 день назад
As salaam alaykum wa rahamatullahi wa barakaatuh Akhil kariim Baarakallahu fiik! Mimi Nina swali ! Nimepata clip hii Leo lakini nataka niulize tu haya yalioaungumziwa hapa yanapatikana katika kitabu Gani? Na ni Nani katika wema walio tangulia ameyafunza haya ? Ao Mtume (Rehma Na Amani ziwe juu yake) kayafunza haya kweli ? Naomba Ndugu yangu Lillahi unipe ushahidi
@user-bk2de8ov6c
@user-bk2de8ov6c 4 месяца назад
Bismillah
@AishaAthimani
@AishaAthimani Месяц назад
Shekh wangu niendele kusoma tena yatatoka?
@user-yi8yr9gl8i
@user-yi8yr9gl8i 4 месяца назад
Kama mimi sijuwi ata kusoma nishaumwa sikunyingi na nishahangaika shehe sasa kama kusoma hatujuwi tunaweza kusomewa
@abilahirufai8269
@abilahirufai8269 2 года назад
Mm nauliza unavyosoma Surat Inshrah unaanza bismillahi au unasoma bila bismillahi
@zakariaathman9019
@zakariaathman9019 Год назад
Lazima bismillahy
@kassimukilima
@kassimukilima Год назад
unaunginisha. unapoanza na Bismilahi maana unaanza kitu kingine
@marohoibramaroho7511
@marohoibramaroho7511 11 месяцев назад
Mími sijui kusoma kurani lkn naomba kisomo
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 10 месяцев назад
Jifunze utajua
@alimwamgunga3588
@alimwamgunga3588 8 месяцев назад
Unaweza kusomewa kaka ukihitajia
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 3 месяца назад
Shehe tunataka kusomewa
@chibarmohamed1913
@chibarmohamed1913 Год назад
ahsante sana sheikh ila nna suali moja ukisoma hio mubiyn ya saba ukasoma huo sura alamnashrah zote , unaishiya hapo nakuomba dua zako au unamalizia yasin tena adi mwisho??
@aminaally5436
@aminaally5436 Год назад
Unamaliziy
@adelinibrahim9283
@adelinibrahim9283 Месяц назад
Mpaka mwisho utamaliza
@user-yi8yr9gl8i
@user-yi8yr9gl8i 4 месяца назад
Kwa siku ngapi
@hamzamatar6708
@hamzamatar6708 2 года назад
Shekhar ikiwa namsomea mtu??????
@mirajkhan_
@mirajkhan_ 2 года назад
Mpigie sheikh kwenye namba yake kwa maelezo zaidi
@alhajjanabi1298
@alhajjanabi1298 Год назад
NAOMBA NAMBA YAKO SHEIKH WANGU
Далее
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 5 млн
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 153 тыс.