Тёмный

SIRI NZITO! SAKATA LA GARI ya NANDY -"LOKOLE KUHUSISHWA KUVUJISHA UMBEA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 142   
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Usifanye kitu na watu ..binadamu hawaaminiki... Jiamini wewe na Mungu wako tu.. Watu hawana vificho😢😢😢watanzania ni hatari..kukuharibia ndo faida yao
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Kabisaaa
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Juma ni Muongo tuu ni chuki Binafsi tuu
@mustaphanext1088
@mustaphanext1088 Год назад
@@salomewandya7257a pop
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Год назад
Kabisa ndugu yanguuu watu mhhhh
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Год назад
Mzee w ufukunyuku!! Me nakupenda tu😁 iyo ni moja wapo y kz yako..
@katongomnkolongo135
@katongomnkolongo135 Год назад
Mnafundishwa msitamani vya watu rizika na cha kwako ukifuata ya watu kuna mda unaweza kufanya yasio mfaa mungu unatoa matusi ya nini
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Год назад
Mtihani kweli, Milioni 1 na nusu kwa Wiki, Yani Milioni 6 kwa Mwezi x Miezi 2 yani Nampa mtu Milioni 12 Ili kuuza Sura, Kweli nyie Wasanii.
@DM_15
@DM_15 Год назад
Hata boss wenu hivyo hivyo, chibu perfume ikowapi nazile karanga. Hoteli ile kipindiyakorona? Ilahongereni kwa kutusanua maana mitoto yetu kutwa kuvaakama wasanii eti wanataka kua kama hao wasanii
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
jumalokole maisha ya watu kilasiku ya kwenu munayafunika ya paziya
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Год назад
Naomba mumlete mwijaku aongee ukwel wa j maisha yake, pia nikawaida bhana kukod
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Hili janadume zimaa limekaa kumjadili mwanamke maisha yake pumbavu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
😂😂😂😂😂hehehe juma lokole mwenyekiti wa wambea😂😂
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Lengo lake juma lokole anataka Nandy apost card hana lolote nyooooh
@samniza1763
@samniza1763 Год назад
Wewe binti usidanganye wenzanko, wazungu wepi kwa mfano, labda huyo Sarah Mzungu koko mliomshobokea mkidhani Harmonize anafaidi lol! Naona umekosea Mzungu boss wenu naona ndio anafanyaga sana hayo mambo.
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Год назад
Zuwena kaenda kuhojiwa kwenye nyumba ya watu kisha meneja anasema na tofali za fens kashashusha kwa hela ya Diamond yaani sasa hivi anajuta kwann kajitapa vile
@marcosmartinho3873
@marcosmartinho3873 Год назад
Yaani uyo juma lokole shoga eti Tanzania mnamashoga wazuri
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
wasafi bona munaongeya ni ya Diamond nasiyo ya kwake mujiongeleye na nyinyi Diamond anamali gani
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Hiyo wasafi yenyewe mond kivuli tu mbona yakwenu hamyaongei mnaongea yawatu
@marthadanielgethro6216
@marthadanielgethro6216 Год назад
Ana share kama huamini angalia BRELAH pale ndyo unaona majina yake na hadi bi Sadra yupo ninacho shukuru serikal yetu haina siri elfu 20 tu ukitaka kujua mmiliki wa kampuni yoyote Tanzania nenda BRELAH me sikuamini nikaangalia huko
@lama6310
@lama6310 Год назад
Njoo nikutie dole upunguze nyege
@AhmedSalah-wm6tq
@AhmedSalah-wm6tq Год назад
Hata mnaesema boss wenu mondy anafanya hvyo wanatumia jina Lake ila cio vyakwake
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
😂😂😂😂😂😂nmecheka walah.dunia haina siri
@Heal-with-Dodo
@Heal-with-Dodo Год назад
I love this people😆😆😆😆😆😆😆😆
@kwisa4899
@kwisa4899 Год назад
Haya mambo Boss wenu ndio aliazisha..
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Wanekosa kazi za kufanya na wivu utawaua nyooooh
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Kweli kabisa
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Год назад
Nilitaka nishangae mpare atoe gari😏😏😏
@-cv4qk
@-cv4qk Год назад
😅
@princesstatush1252
@princesstatush1252 Год назад
Wacha usenge wewe hivi nandy bridal hainunui range non hainunui range shushi hainunui range show zote hizo .....hivi esma ana hela Gani anunue range ,mbona hamsemi....zuchu ana hela Gani mbali na kuimba tuh anunue range
@lama6310
@lama6310 Год назад
Wivu tu.kwan Nandy Hawez Kununua Range Mtu kaimba Tokea Enzi Hizo😂
@irenekasa7113
@irenekasa7113 Год назад
Kufanya kazi muda mrefu sio kuwa na pesa
@lama6310
@lama6310 Год назад
@@irenekasa7113 Koh juma Kanunua Range Nandy ashindwe😂.siku ya Harusi alipewa Zaid ya Million miatatu, endorsement Ile ya Pombe Ambayo zuchu aliikataa Ilikuwa Million Miambili
@lama6310
@lama6310 Год назад
@@irenekasa7113 Koh juma Kanunua Range Nandy ashindwe😂.siku ya Harusi alipewa Zaid ya Million miatatu, endorsement Ile ya Pombe Ambayo zuchu aliikataa Ilikuwa Million Miambili.Range ya M 90 ashindwe ??
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 Год назад
​@@lama6310 kila hela inamatumizi yake
@shejamy06
@shejamy06 Год назад
Ila jumaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hv siku kukiwa hakuna umbea si atakuwa anaumwa kooooo mweeeee tanzania ni marufuku kuhama…. Yaaaan ukichoka lamba glucose tuendeleee na safar 😅😅😅😅😅😅😅😅
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@martharugwana2130
@martharugwana2130 Год назад
Juma Nasikia unalilla unalilia
@pedropedroagira3980
@pedropedroagira3980 Год назад
Sio tu kuonguelea gari la nandy ata na Zurichu kaikodi vile vile
@naplousemukunzi10
@naplousemukunzi10 Год назад
Na la zuchu je?? Range ww umepata Nandy kweri akose??
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
Hila juma hipo siku hutaskiwa na police kwajili yakufwatiliya mambo yawatu😢😢😢 kuwa makini sana Juma hipo siku hutakuja kujutiya hogopa sana kufwatiliya life tawatu nakuyahogeya bila ruhusa😢
@thomasjohn2554
@thomasjohn2554 Год назад
Acha makasiliko ndo kaz yake
@giftkyeti
@giftkyeti Год назад
Juma juma kma vile wanawake
@joliemugabekazi8223
@joliemugabekazi8223 Год назад
Juma juma unamaneno kweli
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Год назад
Hiii Hainanga jipywa shinda ni kucopy ty za wenyewe otherwise wamewekwa hapa ty na maisha ya fayvvny na nandy
@joelandekile3933
@joelandekile3933 Год назад
Kwan diamond hawezi ondoa hiki kipindi apaaa
@pendokayage3538
@pendokayage3538 Год назад
Juma lokole utakufa maskini mbwa ww mana kaz yako ni kufatilia tu maisha yawatu chaajabu yako huyasemi mbona husemi kama ww n au basi acha tu 🙍🙎
@ndolimwakijuja7948
@ndolimwakijuja7948 Год назад
Mwenzio ana Rengii lkn dada 😎
@pendokayage3538
@pendokayage3538 Год назад
akwendre huko yan angekuwa mate ningemtema mbali huyo
@zuweinaally2413
@zuweinaally2413 Год назад
Mwezi wa Ramadhani wacheni Umbea.
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Na swaumu yote hii ila bado wanapiga umbea duh
@achirafisaid4322
@achirafisaid4322 Год назад
Mtuleteye habari za Esma na harmo
@nelsonresbron5820
@nelsonresbron5820 Год назад
Huo uongo milion 90 ukodi miezi miwili sin unanunua jipya
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Год назад
Angefunga mkataba na mzungu ata asingeumbukaa,pesaaaa inakupamba na inakufedhehesha!!!!!
@luvmo04
@luvmo04 Год назад
Kama wasabi Media mwenyewe tunamjuwa sio huyo munaomuita Simba
@nawechi4818
@nawechi4818 Год назад
Nandy Ana range yake na kanunua mwenyewe Sasa kwann ashindwe kumnunulia mume wake range jaman ebu acheni kuongelea wenzenu
@marycelestin6586
@marycelestin6586 Год назад
Wewe pia Huna uhakika ulienda nae yard 😂😂😂😂😂 hapo hakuna mwny ukweli. Yetu 👀
@victormbekomize8154
@victormbekomize8154 Год назад
Hapa hakuna cha maana zaidi ya ujinga tu
@victormbekomize8154
@victormbekomize8154 Год назад
...hiki kituo kinatumika vibaya
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Год назад
Mmmmh
@adventinalaurent3999
@adventinalaurent3999 Год назад
😢😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
ila juma hapana kwakweli imeshindikana 😂😂😂🙌🏻
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Umbea wa ukweli
@AishaAdam-u9k
@AishaAdam-u9k Год назад
Ila jumalokole 😂😂😂😂
@lightnesslyson693
@lightnesslyson693 Год назад
Macho yangu au ilo kochi bovu mbn waharibifu nyie😂
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
Uyu Juma ipo siku Tuta sikia Dakota kampima kamkuta nyuma kapigwa na Kitu kizito vidole 4 vinazama
@joycendanundanu9218
@joycendanundanu9218 Год назад
😂😂😂😂😂Co yakucheka ila imnbd nichekee Ety kabigwa na nn? Vidole 4 Ety vinazama 😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Wajina wako huyoo keshaleft group letu mbona kitambo
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
@@joycendanundanu9218 Yani uyu mkaka siku adi siku ndio tunazidi kumosa
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
@@Pedeshee01 Yani dh!
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
@@mwajumakweli usimuite kaka wewe muite dada huyu keshaleft group la kiume mbona kitambo mtu ambaye hajulikani jinsia yake
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Hayo mambo wasafi ndio yenu sasa leo kafanya mwenzenu mnaanza kuropoka punga ww
@n7428
@n7428 Год назад
Umeona
@cocorita8367
@cocorita8367 Год назад
Wapuuzi hao huku Ulaya ni km huyo mwenye gari kambull mwanasheria angehusika
@augustinomasanje6
@augustinomasanje6 Год назад
Daaah so sad wabongo tutachukua muda sana kufanikiwa. Nandy ana platform ngapi za mziki zinazomlipa? Na isitoshe pembeni ya mziki ana biashara ngapi? Tupunguze wivu wa ajabu ajabu.
@Tanzania..cashauro
@Tanzania..cashauro Год назад
Kwani zake😅😅
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 Год назад
Qweli mnatafuta ugali lqn mtafiqa mbinguni mqiwa hoiii qwa umbeaaaa
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Kwanini utukutukie moyo na mipango ya Mungu jamani
@zullyaucky2934
@zullyaucky2934 Год назад
We nae hujielew unamuamin juma
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 Год назад
Yaan hapo mmefunga duuuuuuu mnashinda njaa bule
@marcosmartinho3873
@marcosmartinho3873 Год назад
Mnafundiswa musitamani vya watu nauyu juma lokole mwanamke au mwanaume watu wanakopa manyumba
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
alikutuma umulipishiye gari siwana pesa bona ivomaneno megi
@allybulushi624
@allybulushi624 Год назад
Kwani hichi kipindi nie kuzungunza Watu tu?hebu nambiyeni
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Nyie mashoga Acheni huo upuuzi na una fiki shida Yenu muone card tuu,Acheni Umbea wenu na chuki Binafsi,Sasa Nandy alisha nunua Range yake ya milion 2 na 40 atashindwa kumnunulia Mumewe!!!?? Waongo wakubwa nyie, mmmmmh shenzi Zenu nyie
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 Год назад
Ivi range ni mil2 jaman
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Год назад
Huo umbea juma kautoa kwa Mange
@JustineMathias-wj7bd
@JustineMathias-wj7bd Год назад
mnapoongea usenge tukitukana tunaaza kuonekana wabaya choko wew habar zako huna zawatu ndo unazo
@fortnatahashely1998
@fortnatahashely1998 Год назад
🤣🤣🤣 juma jamani
@zaggytv7012
@zaggytv7012 Год назад
Huyu mbwa naye kusema TU ya watu🙄Kila mtu afagie Kwake we kondoo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Ndio.mauzui ya kipindi chill
@zaggytv7012
@zaggytv7012 Год назад
@@tanzcanmediatv4473 ana udhi sana huyu juma
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@tanzcanmediatv4473 ata kama maudhui ila kwa mwanaume kuwa hvi aipendez kah
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
@@nancyg8664 hivi wewe juma umemjua leo juma amekuwa hivi miaka kumi sasa na kajenga analisha familia anasomesha academy ninyi mashabiki mnahemka lakini wanaosemwa wala utawakuta wote then wewe uumbuke na huna buku mfukoni
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@tanzcanmediatv4473 naanzaje kumjua leo sasa, ata kama anafanya hayo yote sijui kula kusomesha... point inabaki ileile mwanaume kuwa hivo kama alivo yeye (kama mwanamke)haipendez na inatia aibu, kuna njia nying za kutafuta ela ila umbea na iyo kaz anayofanya inafaa kwa wanawake tu Imagine ni mtoto wako wa kiume anatafuta ela kwa kufanya kama juma anachofanya utamtazamaje!??. Sio makasiriko ni mtazamo na ualisia wa jambo.
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Год назад
Tatizo wamekua watu wa show off sana.
@zullyaucky2934
@zullyaucky2934 Год назад
We nae hujielew unamuamin juma
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Hili punga kazi kufatilia mambo ya watu tu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
@dicksonpaul6842
@dicksonpaul6842 Год назад
Ivi dida iki kipindi kinaanza SAA ngapi jmn na kinaisha saa ngap
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 Год назад
Kila J3 had ijumaa saa 5 had 8
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Ila hii channel jmn🤣🤣🤣🤣
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Год назад
Juma ombea 😂😂😂
@dinnarandrew1982
@dinnarandrew1982 Год назад
Juma muongo ni chuki ty hizo n'a ndio kazusha habari kuchagua watu!!!
@abdulab6202
@abdulab6202 Год назад
Acheni kutowa mambo ya watu haifai jamani kila mtu anachokuwa nacho kesha jaaliwa nyie hicho choyo
@omarabdulaziz3786
@omarabdulaziz3786 Год назад
Acha choyo baradhuli ww
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Sasa hivyo si ndio mnavyofanyiwa na bosi wenu mnajuana nyie leo kafanya mwenzenu mnaropoka punga ww
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Год назад
Radio hii au umbea wa chuki
@JacklineMmary-ft8yu
@JacklineMmary-ft8yu Год назад
Huo ni wivu tu
@queenlinda255
@queenlinda255 Год назад
😂😂😂
@isakamaganigani1587
@isakamaganigani1587 Год назад
Anko juma ukapimwe mkundu uwo si umeingiliwa wewe serikali si ukakupime bwabwabwa wewe
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
🤣🤣
@jennysalvatory8449
@jennysalvatory8449 Год назад
Hamna lolote nyie
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Waislamu kujieni huyu kafiri wenu msikae kuita wakristo makafiri haiwezekani mwezi mtukufu anawatia aibu 😏😏
@zuleikhahemed6224
@zuleikhahemed6224 Год назад
Muislam hawi na tabia ya kuftilia ya watu 🤣upoo
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
@@zuleikhahemed6224 hahahaaaa nimecheka Kwa sauti ati mbona huyu kavaa na mtandio swaumu imemkaba hatari sikiza sasa maneno yake 🤣🤣🤣
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@cheiknamouna2058 na anaitwa juma😆jina la kiisilam pure
@zuleikhahemed6224
@zuleikhahemed6224 Год назад
@@cheiknamouna2058 Kwan Kila mwenye jina la dini flan ni muumin🤣
@zuleikhahemed6224
@zuleikhahemed6224 Год назад
@@nancyg8664 kumejaa wasanii wa dini skuizi ktk dini zote mbili christian na islamic
@amawanda3082
@amawanda3082 Год назад
Wasafi ina ujinga tu
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Год назад
Channel ya ajabuu
@maryharoun2853
@maryharoun2853 Год назад
Mm,wee Juma hata aibu hauoni mwezi wote huu.
Далее