Тёмный

SIRI ZA ERIC SHIGONGO - PART 1 

streetuniversity100
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 года назад
Absolutely uko sahihi kabisa
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 7 лет назад
toka siku niliyonunua kitabu chako kimenibadilisha sana na naamini nitafika mbali,na kimeniongezea hamasa ya kupenda kusoma vitabu vya inspiration na ujasiriamali .asante sana Shigogo!
@albertrwegoshora3970
@albertrwegoshora3970 6 лет назад
, ZR cut.
@bilalibilali1321
@bilalibilali1321 5 лет назад
Asante sana Kk ERIC kwa ujumbe wako mzuri
@davidbrahi1485
@davidbrahi1485 5 лет назад
Shigongo n mwandishi mzr kaka piga kazi ww n special sana
@chumutalakabembo4078
@chumutalakabembo4078 7 лет назад
nmeelewa.mungu awalipe kwa elmu mtoayo.
@marthaaugust4439
@marthaaugust4439 6 лет назад
ooohh , so sad and motivation
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 лет назад
Kanisani awwww to God be the glory hii story imeniumiza mimi nakumbuka nilikotoka tulikua tunatembea Peku Mungu ni Mwema jamani eh
@haddgome4682
@haddgome4682 9 лет назад
safi sana mungu atakulipa hapahapa duniani kwa wema unaoufanya
@ismailhussein1936
@ismailhussein1936 5 лет назад
Habar kaka Erick..naitwa Ismail Hussein nasoma St. Augustine university of Tanzania main cumpus Mwanza. Napenda sana speech zako ambazo kwa kiasi kikubwa zimenibadilisha mindset yangu...ila lengo la kukutumia ujumbe huu ni maombi ya kuja kufanya semina ya ujasiriamali katika chuo chetu ...na nimepata wazo hili baada ya chuo chetu kuanzisha club ya entrepreneurship na wewe ndo mtu sahihi ...mimi kama katibu wa club nimependa kukualika wewe kama role mode wangu uje utusaidie kututoa katika fikra za kufikiria kuajiriwa ...tafadhali kaka kama utaisoma text plz nijib kupitia ismailhussein150@gmail.com or 0768436289/0717815862
@bensonmoye9846
@bensonmoye9846 7 лет назад
nakukubar xana
@hemedkimbewele8012
@hemedkimbewele8012 7 лет назад
thanks 4 ur advice
@luganomwakibole2759
@luganomwakibole2759 9 лет назад
OOOh friend think beyond the world
@johnorinda8195
@johnorinda8195 Год назад
Ukimsaidia mtu kusimama Mungu atakusaidia kusimama
@mrbensonbabatz8218
@mrbensonbabatz8218 4 года назад
Balikiwa elick bado inatazamwa mpaka mwishon mwa mwaka 2019 tuko pamoja
@allyismail6002
@allyismail6002 8 лет назад
kama unataka kuruka kama tai basi jumuika na tai na tabia zako ziwe kitaitai.
@pastorulenjeonline1745
@pastorulenjeonline1745 6 лет назад
Nzuri
@magdalenaedward6828
@magdalenaedward6828 7 лет назад
MI nataka cd zako kama zipo na zinapatikana wap?
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 года назад
Lazima kuna changamoto ulipitia je ni zipi?
@jacksonemily6552
@jacksonemily6552 9 лет назад
Am Jackson emily, love you.
@luganomwakibole2759
@luganomwakibole2759 9 лет назад
Hi
@luganomwakibole2759
@luganomwakibole2759 9 лет назад
complain less and give more
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 лет назад
Kama sisi walikua wanatucheka wanatuita wamakonde hao wamevaa maplastic shoes hao jamani tumetoka mbali sisi asante kwa hii story
@frankgeorge3632
@frankgeorge3632 7 лет назад
Karibu kwenye fulsa itakayo badilisha maisha yako kwa muda mfupi BONYEZA link goo.gl/7Z4mju
@mfaumejohn4445
@mfaumejohn4445 7 лет назад
nahitaj kitab nakptaje
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 года назад
Unaitwa lkulu sababu ushakua maarufu,,,, vp fungu lakumi LA maskini linafika wap
@atoshalyimo2759
@atoshalyimo2759 8 лет назад
Taarifa kwa Wakazi wa Dar es salaam Kutakuwa na mkutano wa TREVO TANZANIA Ltd utakaofanyika katika Ofisi za trevo Moroco kwenye jengo lililoandikwa Baypot siku ya Jumamosi ijayo tarehe 05/03/2016 kuanzia saa tisa alasiri unaoelezea kuhusu wajasiliamali watakavyoweza kunufaika kwa kufanya biashara hii ya mtandao kwa kutumia trevo kwa kupata vipato vya wiki na vya mwezi na jinsi gani vipato hivyo vinaweza kuzidi milioni 10 kwa mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 466700 Kiingilio kwenye mkutano huo ni Jina na namba ya mdhamini wako ambaye utakayetumia namba yake ya udhamini wakati unajiunga na biashara hii WATAKAO HUDHURIA NI WHATSAPP 0714303409 ILI NIKUPE JINA LANGU NA NAMBA YA UDHAMINI Kwa habari zaidi kuhusu fursa hii ya TREVO pamoja na majibu ya maswali yanayoulizwa na watu kuhusu biashara hii ni whatsapp nikupe maelezo zaid 0714303409 MAFANIKIO NI HAKI YA WALE TUNWANAYOYATAFUTA KWA JASHO LAO KILA SIKU USIDANGANYIKE HAKUNA KIZURI CHA KUPEWA BUREE
Далее
SIRI ZA ERIC SHIGONGO PART - II
13:38
Просмотров 36 тыс.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Просмотров 4,6 млн
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Uwezo wa UTHUBUTU (Risk Taking) - by Anthony LUVANDA
35:43
Anthony Luvanda MADA Mtazamo wa kutengeneza biashara
46:10