Mpaka nimetoa machoji hiii move inaelezea maisha abayo yanatuzuguka wakulima na wafugaji hiii huwa ni Vita Kari mno sana kati yawakulima na wafugaji nikama Vita ya makabira #Gabo_hongera_sana_mungu_hakupe_maisha_malefu
Gabo unaweza sana..utazani umekuja kijijini kwetu ukayaona yote haya..na ajabu kesi moja ipo ofisini mwenyekiti wa kijiji amekula hela ambayo msukuma alikuja kulipa baada ya ng'ombe wake kula shamba la mtu..aiseee
Baba sasa umenishinda tanmbia nilijua kimakonde tu kumbe ad nyumban mkwidada Dee isenga sako silye kumgunda gwanu alafu ukundiga hahaha hatal sana watu wairinga tujuane hpa
Siyabongaaa😭😭😭 umenikumbusha kipind nilipokuwa mdogo wafugaji walivyokuwa wanapewa haki kuliko wakulima 😭 Daaah nikikumbuka naumia Sana😭 hii umecheza uhalisia wa maisha ya watanzania wengi wakulima
Ume igiza kitu ambacho kipo kabisa ata kwenye jamii zetu ata juzi kwetu Dodoma ichi kitu kime jitokeza wilaya ya chamwino na serikali ilikuja na ika wakandamiza wakulima serikali haina kazi kabisa tuta uana
Duuuuh hiii movie nataman aione rfk yng isaya msigwa babaake alikua na bustani kubwa wasukuma wakaingiza ng'ombe akaja kuwakuta pale wakt wanazozana mmoja wa wale wasukuma akamlenga kwa mshale bahati mbaya ukampata msukuma mwenzie. Wkt anaenda kuripoti kituon akakuta tyr msukuma mmoja kamtangulia na keshatoa hela. Mpk leo kesi ipo mahakamani huu mwaka km wa 5 hiv kila cku inapigwa kalenda mama wa watu keshatoa hela za kutosha lkn ndo bhc tena mzee kapewa kesi ya mauaji huku akitetea mazao yake.
SIYABONGA DACHI KAKUNJA MTOGA PAFWE GETE GETE! Nyongise hilo Muvina: hiyo ndio hali halisi Wanyalu Manyanyaso na Kuonewa huwa hatutaki kabisaa: Wajukuu wa Mkwawa
Serikali inabidi iweke watu Ambao wata simamia sheria vzr na sio kura lushwa2 za wafugaji naku wakandamiza wakulima wakumbuke mkulima ndo kila kitu katika hili taifa masikini