Тёмный

SKY TANZANIA AFUNGUKA RAYVANNY ANGECHAGUA VITA NA DIAMOND, YOUNG KILLER ANAHISI SIPENDI NYIMBO ZAKE 

EastAfricaRadio
Подписаться 510 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 5 месяцев назад
Watangazaji mnakosea sana sana bifu zinawasaidia nyinyi na si wasanii, kwanini Harmonize sahi hana dili lolote wakati Rayvanny ana madili kibao hadi ufaransa? It's because he has a clean profile, beefs zilimuumiza Harmonize sana kama ile scandal yake na Paula, amepoteza Sayona, CRDB na mengine kibao na tusidanganyane hakuna pesa ya mziki bila madili that's why Rayvanny got the money while Harmonize got the talks
@bigtv4204
@bigtv4204 5 месяцев назад
Real talk
@Larrytzatza
@Larrytzatza 5 месяцев назад
Facts brow.....Iko hvo duniani kote
@pasiasumaili7972
@pasiasumaili7972 5 месяцев назад
You have brain
@godeebrown1448
@godeebrown1448 5 месяцев назад
Men talk
@congoboymbeyas2440
@congoboymbeyas2440 5 месяцев назад
Uyu Dada uwaga na mpenda sana aende wasafi tv
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 5 месяцев назад
Mkaka anae jielewa you're smart boy and God bless you, i love you 😍 ❤❤❤💞💕🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@deogratiusaloyce2210
@deogratiusaloyce2210 5 месяцев назад
Shallout brother sky unajua Sana mtu wa maana sana
@draxelr-vc9wr
@draxelr-vc9wr 5 месяцев назад
sky napenda kilakitu chake big love bloo
@musajackson3289
@musajackson3289 5 месяцев назад
Huyu dada ana tabasamu zuri 😊
@jomiAfrica
@jomiAfrica 5 месяцев назад
Hii redio ilikua nzuri enzi jr saiz rushwa nyingi watangazaji wanalinga sana hasa hawa dakika kumi za maangamizi imekufa
@adamjosephkatigizu19
@adamjosephkatigizu19 5 месяцев назад
SKY WE LOVE U brother
@LizenMaker
@LizenMaker 5 месяцев назад
Nampenda Sana SKY
@bakariomari8758
@bakariomari8758 5 месяцев назад
Kwa kweli SNS wapo vizuri sana.
@Larrytzatza
@Larrytzatza 5 месяцев назад
Industry ya mziki inahitaji uwekezaji mkubwa wa fedha.....aya mambo ya kutaka wasanii wawe na mabeef kwa kudhani ndo industry itakuwa noma tunajidanganya bure tu..Nawaons sana RU-vidrs wengi hawasupport san wasanii kupatana et industry itapoa...ni fikra za zamani sana😂.....mambo ya beefs za wizkid n davido ya naijeria kutaka tuyalete bongo kudhan ndo tunakuza brands tunafeli😂wakati naijeria uko uko kuna wasanii wa juzi tu kina rema,Asake,ayra star,Omalay,ruger n.k....wametoboa vzur kwenye game bila kuwa na beefs na mtu yeyote ni talents na uwekezaji tu mziki umebadlika sas hivi!!😂Crashes haziwezi kukuza wala kuchangamsha game km tunavyodhani...Game ya muziki kwa sas inatakiwa ichangamshwe na mafanikio na impacts za kazi za wasanii mfano ukubwa wa shows...numbers za streams za kazi zao.....ukubwa wa albums wanazofanya... Ukubwa wa connections na featurings wanazofanya...big endorsement na vitu km hvo...Hatujifunzi kwa wenzetu wanavyofanya sas hv....nyie mumeona wapi wanaijeria sas hv wapo busy na mabeef ya wasanii???...Wenzetu wanashirikiana wanawekeza wanapeana connections wanaondoka......hii njia ya kuwadanganya wagombane ndo brands zao zitakuwa ni kuwachelewesha tu...na iyo njia tumejaribu tumefeli......na ayo mambo ni ya zamani san.....mziki ushabadilika sas hv watu tunatak tuone ukubwa wa kazi ulizotoa zimefika wap kitaifa na kimataifa.....sio suala la leo umeamk umempiga nan kijembe au umemsema nan vibaya mziki ushahama uko.....kuna watoto wa SA wa juz tu kina Tyler wanabeba grammy bcoz of talents n uwekezaji mkubwa..... bila kujigombanisha au kujishindanisha na mtu..na industry ya SA ishachangamka sas hv....tutawaona kina tyler wengi tu....bongo tupo busy na kiki za mapenzi na beefs za kisenge kuamini kwamb tunachangamsha game😂😂.....Wasanii washirikiane wakaribishe uwekezaji kweny game wapeane connections wafike mbali.....bongoflava wala haiihitaji beefs za wasanii ili industry ikue.....tunachohitaji ni ushirkiano mzuri, uwekezaji mkubwa na talents basi
@criminalminds7723
@criminalminds7723 5 месяцев назад
Unajua nini hata kwenye mziki zaidi ya watu kuimba na kushoot video Kali??ama huo uwekezaji unaongelea ni uekezaji upi?
@yasnshaban9827
@yasnshaban9827 5 месяцев назад
Nakala ndefu alafu pumba tupu tafuta sababu ya wanaijeria kwnn wanetoboa nje
@maleek11flacko
@maleek11flacko 5 месяцев назад
Nani atasoma huyu waraka wako
@Larrytzatza
@Larrytzatza 5 месяцев назад
​@@yasnshaban9827Wanaija Wametoboa sabab ya kuwekeza sana kwenye kazi na biashara zao(Wanatumia pesa kufanya promotions kubwa za kazi zao...wanajua talent pekee haitoshi...wanapata connections na recognitions kubwa zinazofanya music business kuwa serious zaidi kiasi kwamba inawarahishia wawekezaji wengine wakubwa kuwekeza kwenye industry ya muziki wakiwa wanajua pesa zao walizoweka Kwa wasanii zitarudi tu .... industry ya music naijeria ina maDON wakubwa wameweka pesa zao pale...usione tu kina Asake wanakuwa wakubwa ukadhani ni talent tu Kwa mfano ukiangalia ukuaji wa Asake utagundua nyuma yake Kuna promo kubwa sana imefanyika....Kuna tym ilifika ikawa ukiwatch media kubwa zote za muziki Africa hawamalizi siku hawajapiga ngoma ya Asake unadhn walikuw wanaupiga Kwa mapenzi tu???huo n mfano mdogo tu........yaan mfano huku kwetu mtu km Gsm aje awekeze kweny muziki wa bongo.....ndo kitu naijeria kinafanyika hiko Kwa sasa......sas industry yetu bado hatujaiweka mazingira rafik na u serious wa biashara kufanya maDON kuwekeza pesa zao na zikarudi na ndio maan hawawekezi....wasanii wapo busy na kiki za mapenzi na vijembe vya mabeef na kutumia machawa kufanya promotions za kazi zao😂😂badala ya kupambana kuweka mazingira mazuri ya kazi zao ili kuvutia wawekezaji kwny sanaa zao thou na serekali pia inatakiwa kusaidia km ambvyo wamesaidia kweny football
@Larrytzatza
@Larrytzatza 5 месяцев назад
​@@criminalminds7723Promotions na good marketing strategies.....muziki sio tu kuingia studio n kushoto video Kali.....Muziki ni biashara kubwa....inahitaji uwekeze pesa upate pesa zaidi
@user-ke1ut7bp9c
@user-ke1ut7bp9c 5 месяцев назад
Sky MTU wa mana sana
@martinlucas7875
@martinlucas7875 5 месяцев назад
ME NINASIKILIZA KILA ANACHO UPLOAD SKY
@ChordCrafted
@ChordCrafted 5 месяцев назад
Big up brother Sky
@Dje-ru9wd
@Dje-ru9wd 5 месяцев назад
ahsantee kaka napenda ulivyomkweli na sio jelousy
@kadito-o3j
@kadito-o3j 5 месяцев назад
Chukuwa maua yako big brother SKY plus media🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
@peresjohn9763
@peresjohn9763 5 месяцев назад
Bro sky saf ,unajitambua na unajua unachokifanya...
@giztony2009
@giztony2009 5 месяцев назад
Nyie EATv tunajuaga tokea long time mlikuwa hampigi nyimbo za mondi kwa hiyo hata mkimsema vibaya hamna impact yyte mond amejifikisha hapo alipo kwa juhudi zke yy mwenyewe kwa hiyo nyie ni wasengelema tuu
@user-tv6zf1uo9s
@user-tv6zf1uo9s 5 месяцев назад
Safi sky ❤❤
@user-uc1yw6ny7u
@user-uc1yw6ny7u 5 месяцев назад
Sky yuko busy kweli kweli kumuchafua Diamond Kila sehemu anawapigia simu hadi WaKenya wale anajua watamutukana Diamond....Chuki tz😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@giztony2009
@giztony2009 5 месяцев назад
Hata mm huwa nashangaa sky walker kila cku Diamond huwa anamuongelea negative sana
@johnnchora3215
@johnnchora3215 5 месяцев назад
Waoo
@user-xw8md9wg6g
@user-xw8md9wg6g 5 месяцев назад
Ilove rich bila wwe kipnd hakinog😊
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 5 месяцев назад
Sky walker kidibway Stella kitumbi RFA Rock City mwanza kipindi Cha radio za walkman zinaingia tulipigwa shule kisa showtime dah nakubali sana mabrother na sister RFA
@Tbag_kenya
@Tbag_kenya 5 месяцев назад
Muiteni youngkiller interview bana.
@SelemanSwalehe
@SelemanSwalehe 5 месяцев назад
Hawa nawo ni vili vile awa wez muita killer
@prime_215beatz
@prime_215beatz 5 месяцев назад
Naijeria wametuzidi suala la promotion apo tukatae tukubali. Shida yetu sisi wabongo hasa wasanii ni wabinafsi.. Tunaona kama ukisappot kipaji kidogo kitakuzidi.. ndomaan kuna wasanii wakali sana lakini hawajui promo na hawasapotiw na page kubwa kubwa.. tofauti na wenzetu nijeria
@malianonicass7029
@malianonicass7029 5 месяцев назад
Sio watawazidi tu madogo wenyewe hawana adabu ukiwapush tu kesho wewe wanakuon mbuzi nani sasa wa kufanya hivo
@jordplatnumz
@jordplatnumz 5 месяцев назад
Huyu brother mtu na Nusu
@user-in3sy9wy6u
@user-in3sy9wy6u 5 месяцев назад
Sky unatoa madini
@losserianchristopher4560
@losserianchristopher4560 5 месяцев назад
Sky mtu na nusu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👊✌️👍.
@nelsongodbless192
@nelsongodbless192 5 месяцев назад
Sky we n deadly
@SelemanSwalehe
@SelemanSwalehe 5 месяцев назад
Msodokii ana elewa anacho kifanya
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 месяцев назад
Ww pia unamihemko ww unafkiria wakifa kwangu nn watapata
@deogratiusaloyce2210
@deogratiusaloyce2210 5 месяцев назад
Na nyinyi mahost niwatu wamaana kabisa
@faidhacute
@faidhacute 5 месяцев назад
Huyu mtangazaji mweny kepu simpend
@mastaplan
@mastaplan 5 месяцев назад
Nyinyi wanawake mnakuwaga mnaongea kinyume sana. Unampenda= Humapendi Humpendi= Unampenda
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 5 месяцев назад
Sasa how does that affect us?
@faidhacute
@faidhacute 5 месяцев назад
@@mastaplan 🤣
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 месяцев назад
Yap
@hubimogela9167
@hubimogela9167 5 месяцев назад
Kumchukia Mku bila kosa ni bangi sana
@donaldkiza2493
@donaldkiza2493 5 месяцев назад
Sky where is kidbway?
@BENCOLE510
@BENCOLE510 5 месяцев назад
Kidbway yupo clouds media ana kitengo mule ndani ni boss mzur tu
@donaldkiza2493
@donaldkiza2493 5 месяцев назад
Okay bro
@user-ke1ut7bp9c
@user-ke1ut7bp9c 5 месяцев назад
Sky MTU wa mana sana
Далее
Theory Of Relativity | Explained in Malayalam
1:21:03
Просмотров 329 тыс.