Aiiiii kikawaida mm huwa nampemda na kumkubali Mbosso na leo nmeskia ni shabiki mwenzangu wa Chelsea ndo kwanza nmezid kukubali upya...MbossoCan Mshedede me an u we The Blues💙💙
We Kaka Ulie Vaa Shati Jeusi Wape Nafasi Na Wenzio Maana Waongea Tuu Wewe Namaswali Unayo Uliza Kesha Yajibu Yote Jaribu Kumfutilia Msanii Kabla hujakaa Nae Mezani Huyo Dada Hapo Yuko Vzuri Sana