Тёмный

SNAKE BOY | ep 22 | SEASON TWO 

CLAM VEVO
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 1 млн
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3,1 тыс.   
@shelaabdu7155
@shelaabdu7155 4 месяца назад
Director na wote mnaohusika kwenye snake boy.. mmetisha sana 🙌❤️….WATANZANIA NA NCHI ZA JIRANI TUMEFURAHI KAZI NZURI SANA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JamilaRamadhan-y7i
@JamilaRamadhan-y7i 4 месяца назад
Mtukufu anaboa sana
@abdallahbudodi819
@abdallahbudodi819 4 месяца назад
Bora mara hii umetewekea dk nyingi, gonga kama mmefurahi mara hii kwa kutuwekea kipande kirefu
@mwanaisha1998
@mwanaisha1998 4 месяца назад
Tumefurahi sanaa dakika kuongezwaa❤❤❤❤
@Gladys-254
@Gladys-254 4 месяца назад
Kabsaa walichelewa lakini wametuongezea dakika❤
@Pillynayum
@Pillynayum 4 месяца назад
Aliahid alisema ataweka ndan ya lisaa limoja❤
@hussenkuraishi5886
@hussenkuraishi5886 3 месяца назад
​n
@hussenkuraishi5886
@hussenkuraishi5886 3 месяца назад
Pl
@mussasebatiano4787
@mussasebatiano4787 3 месяца назад
Huyu mtukufu nawari wake ataniua bola kuumia huku tumbo rikiwa rimeshiba hhhhhhhhhhha 😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@nyc5595
@nyc5595 4 месяца назад
Leo kipengele kiref na kikari sana asante Clam Vevo🇧🇮🇧🇮🇧🇮 much love
@athumanitambala934
@athumanitambala934 4 месяца назад
Mashabiki uchwara acheni uchoko kujifanya mara wakwanza mara wapili huo ni upuuzi nautoto ndani yake, Oi timu ya nzima mliocheza hili dude hakika nibalaa mi nalikubali sana naamini kama hili dubwasha wangecheza wazungu basi dunia nzima ingetikisika hii maana mpo moto sana hongera sana kwenu
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 3 месяца назад
Mtukufu na msosi jamani eti unapeleka wapi chakula kushiba uko kwio 😂😂😂😂
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ kazi nzuli sana clam🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mnajitaidi sana kutangaza nchi vizuli sana❤ katika upande wa movie video iko inaubola sauti iko vizuli ❤❤❤ kifupi kazi nzuli sana from Dublin 🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@TantineKalumba
@TantineKalumba 4 месяца назад
Jamani poleni kuwakazi muzuri sana natoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu Vevo jamani n'a mimi nijiuke n'a wewre 🎉🎉🎉🎉
@EllyloveBwiko
@EllyloveBwiko 3 месяца назад
Clam vevo unajuwa sana Kaka Mimi ni kutoka kongo hata kama muliachana na ndugu zenu ba akina kicheche na bahilam nawegine ile wewe uko on top naomba liké zenu🎉
@YohanaCharles-ry1kh
@YohanaCharles-ry1kh 4 месяца назад
Namba moja mwenyew leoooooo nipeni mi like❤️🇹🇿🇹🇿
@JumaMkoloza-hn6co
@JumaMkoloza-hn6co 4 месяца назад
Leo nimekua wakwanza mm apa kax wizzy from tabora like zangu japo kidg
@SalumuIbraah
@SalumuIbraah 4 месяца назад
Mmmmmmhh mshangazi
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 4 месяца назад
Mboka one!!!!!!
@alwialhajialwi0012
@alwialhajialwi0012 4 месяца назад
At list Leo tume enjoy poa
@IssaMgawe
@IssaMgawe 4 месяца назад
Tabora kubwaaaa
@CareenNgowi-uc3vc
@CareenNgowi-uc3vc 4 месяца назад
Unazingua clam
@matipasyaname8753
@matipasyaname8753 4 месяца назад
Oya we unapeleka wap chakula,,,sema mtukufu jau sana😂😂😂
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 4 месяца назад
Tulio kuwa tunasubr kipara achomoe Betri Ili tujue adhabu gan walipewa gonga like hapa😅😅😅
@youngyiz6320
@youngyiz6320 4 месяца назад
Wameliwa mzee
@nyamokizainabu205
@nyamokizainabu205 4 месяца назад
😅😅😅😅kabla achomoe battery mm ilikua nishahisi
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 4 месяца назад
Nasubiriii achomoe fyuziiiii kiparaaaaa😅
@haidarkhatib-m7b
@haidarkhatib-m7b 3 месяца назад
Hahahaha........
@Anna31736
@Anna31736 2 месяца назад
😂😂😂😂
@kipzik8029
@kipzik8029 4 месяца назад
Numéro 1 depuis la République démocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Shedafa96
@Shedafa96 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9DimqH-iOxw.htmlsi=wgfpRKu-yqrFP6_w
@VictorLyimo-dj5ur
@VictorLyimo-dj5ur 3 месяца назад
Tunakuomba sana vevoooo jijiiiii limepoaaaa sanaaaaaa letaaaa hiyoooo epsode
@shabiruAbdul
@shabiruAbdul 4 месяца назад
Oa wanao muunga mkono mtukufu kwenye wali maharage gongeni likes kwaangu
@siliviamushi4119
@siliviamushi4119 4 месяца назад
Wali maharage mtam jmn
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 4 месяца назад
mtukufu anazingua kinyama !! anapenda wali kuliko kazi😀
@ZaylinahNindae
@ZaylinahNindae 4 месяца назад
Wali marage sio powa
@selemanifanikiwa
@selemanifanikiwa 4 месяца назад
Msiba uho kwiho😂😂
@annaedwardrobert6778
@annaedwardrobert6778 4 месяца назад
​@@herimornchriston6083Yani kasahau km ukila huo ubwabwa unasinzia😂😂
@Samwel486
@Samwel486 4 месяца назад
huu mzgo unazidi kuwa wa moto dk nying mzgo uko fresh kabisa kabisa nawakilisha kitaramaka bunda mara nawakilisha 🇹🇿
@irinemmasy8387
@irinemmasy8387 4 месяца назад
Hongera Sana clam na timu yako kwa kazi nzuri leo umejua kutufrahisha mashabiki zako umetuwekea kipande kirefu👏🙏🥰
@oppahoppzo3876
@oppahoppzo3876 4 месяца назад
Dha nimekesha kusubiri hiki kichupa atimae kimefika, Tunao ikubali Snake boy na Timu nzima tujuane kwa Like hapa jamani
@bellairakoze2769
@bellairakoze2769 4 месяца назад
Leo nomewaiii 🎉nipeni lik zangu from Burundi🇧🇮
@Kabeya410
@Kabeya410 4 месяца назад
​@@bellairakoze2769pumbavuuu toa heko na like kwa clam ati upewe wewe kama nani kenge mmoja mbwa like kwendraaaaa
@Kabeya410
@Kabeya410 4 месяца назад
Nimekubali Uwezo story nzuri movie imesimama heko Clam vevo Heko Director Kakoso leteni vitu imefika pazuri mko vizuri NAZUMYA 😅
@mohamedkitwara6689
@mohamedkitwara6689 4 месяца назад
Story imetulia sana
@Sempai_Adui
@Sempai_Adui 4 месяца назад
👊👊
@ErickGoluck
@ErickGoluck 4 месяца назад
Ase nzur mno simngeunganisha TU na kinachofuata ase Ili dude so piaaaa dah viwango vote vimetimia
@Teddy-k9o3v
@Teddy-k9o3v 3 месяца назад
Siku kumi zilizo pita hamjaweka nyingne...afu mko kimya tu hamsemi lolote...Iko sawa hii kweli
@KizamlendaEzraRochereau
@KizamlendaEzraRochereau 3 месяца назад
siyo michingo yangu 😂😂 kipande cha 23 kinatupa uroho hatari sana
@NasraMwakyoma
@NasraMwakyoma 4 месяца назад
Asante kwa kuongeza dakika jaman mungu akulinde katika kazi zako uzid kutuletea vitu vizur said ya iv cjuitii kua shabiki wako nakupenda Clam❤
@salummsile5348
@salummsile5348 4 месяца назад
Kazi nzuri sana tunaomba muendelezo utoke kwa wakati tunasubir sana ukizingatia utamu unavyozidi kunoga na pia muongeze dakika asante sana mungu awabariki na awape afya njema mzidi kuleta vitu vizuriii zaidi👏👏👏
@LarnyxkidClintoride
@LarnyxkidClintoride 4 месяца назад
Pongezi clam Kwa kazi safi🎉
@SeifRashid-vk4pp
@SeifRashid-vk4pp 4 месяца назад
PASHAMBEEEEEE. Jamaa anajua sanaaaaaaaaaa Tunaomkubali huyu Mwamba gonga Likes nyingi hapa..😅😅
@gustamayu2679
@gustamayu2679 4 месяца назад
Aisee sio mchezo kwanza angalia idadi ya washiriki humo ndan katka uhusika maalumu kila mtu kaplay part yake kwa kiwango cha juuu sanaaa, kama picha flan flan hiv la tulkish
@Sharifahemedi-j2o
@Sharifahemedi-j2o 4 месяца назад
​@@gustamayu2679 Kila 1 anamsifia yule ambae anaempenda moyoni mwake mana upendo wa mtu haufanani acha ampe mauwa yake pashambe🎉
@jakupamumo8669
@jakupamumo8669 4 месяца назад
Mkenya Niko rada kabisa kebu mnipee likes
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 4 месяца назад
Naona Farasi amekuja na uharasia wa dangerous
@annaki318
@annaki318 4 месяца назад
Mwamba huyu hapaaaaaaaa ntintintiiiii ntintintiiiiii gonga like kwa snake boy wakeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@issapere8283
@issapere8283 4 месяца назад
Mwamba hii umetuweka sana sema we love you bro unajua kinoma noma na tunakuzingatia baada ya Diamond unafata wewe🔥🔥🔥
@HawaOmary-nb4nv
@HawaOmary-nb4nv 4 месяца назад
Mtu nusu man of the match. Yan mchele ndondo umemponza
@haidarkhatib-m7b
@haidarkhatib-m7b 3 месяца назад
Hahahaa.........ww acha 2 mana mm kaniudhi xana man nipo very attention naxubiria chupaa..........
@christopherkaiser6806
@christopherkaiser6806 4 месяца назад
Naomba kuungana na nyinyi am a good actor.....please Director kakoso consider me please
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
Dah yn leo nimeingy you tube kabla kuicheki snake boy pia katika swala la dakika clam umetuweza❤❤❤🎉🎉🎉
@SalomeSwalehe-gz6wm
@SalomeSwalehe-gz6wm 4 месяца назад
Kwasasa hatuna neno katufunga midomo kbsa
@SalomeSwalehe-gz6wm
@SalomeSwalehe-gz6wm 4 месяца назад
Kwa upande wa dk amefanya tufungue madomo kbsa
@Regine496
@Regine496 4 месяца назад
Kazi nzuri sana tunaomba muendelezo kwa wakati tunasubir sana ukizingatia atamu unavyozi di kunoga na pia muogeze dakika Asante sana ❤❤❤❤❤
@vie1234able
@vie1234able 4 месяца назад
The way i love Clam😊 Thank you. For adding more minutes on the episodes. May God bless the work of your hands. I'm Kenyan who loves Tanzanian series and movies, big up!!!
@IncredibleFlemmih
@IncredibleFlemmih 4 месяца назад
Together in this 🇰🇪
@MARYAMKHAMISI-mj8iy
@MARYAMKHAMISI-mj8iy 4 месяца назад
Alokua anasubiria notification ya snake boy kama mm agonge laik hapo. Ila mara hiii imechelew Sana
@jumanneyassini
@jumanneyassini 4 месяца назад
HIYO SEHEM YA COMMENT HAPO JAMANI IMEWEKWA KWA AJILI YA KUANDIKA VITU VYA MSINGI TOENI MAWAZO MAONI clam AONGEZE NINI AU APUNGUZE NINI TOENI USHAURI SIO KUOMBA LIKES TU TOKA MMEANZA KUOMBA LIKE MMEPATA NINI?
@ExodebraveMbokeri
@ExodebraveMbokeri 4 месяца назад
Wewe kweli nakubali, hongera sana clam Vevo. Napenda chapati
@MartinMwakalobo
@MartinMwakalobo 4 месяца назад
Kuna mda unajua kuwafurahisha mashabiki wako kazi nzuri na dakika ni nyingi vyote safi hata kama ujaonekana lakini umepangilia kazi vizuri
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 4 месяца назад
Clam haupo makini nimemuona yule kijana mweupe aliyegundua mwanzo kuwa mumewe kim ni nyoka ikisha akamezwa leo msibani yupo hai
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 месяца назад
utakuw umemfananisha
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 4 месяца назад
Sio michongo yangu hiyo nishaachaga...gonga like kwa mbeya wa kimataifa
@hawajohn7186
@hawajohn7186 4 месяца назад
Me ananikera sana😂
@JoanMponda
@JoanMponda 4 месяца назад
Anakera kipala
@Kidui255
@Kidui255 4 месяца назад
🤣🤣ety mmbea wa kimataifa🤣
@Mwamaisha
@Mwamaisha 3 месяца назад
Mmbea🫡 sikuwezi kka
@mrerickjames4190
@mrerickjames4190 3 месяца назад
Kipara akiacha umbea mchezo haunogi
@judithpendo9985
@judithpendo9985 4 месяца назад
Wa kwanza team strong hoyeeeeeeeeee like kwa wingi nawapenda Niko Riyadh 😂🇸🇦🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵
@HidayaUpendo
@HidayaUpendo 4 месяца назад
Hhhhhhhhhh zinga kibokoo
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 месяца назад
Hoyeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 4 месяца назад
Yooooh 🎉
@mabrukawadh2532
@mabrukawadh2532 4 месяца назад
😂😂😂 mafee mushkila
@Fevouredjussey
@Fevouredjussey 4 месяца назад
Taif❤❤❤❤❤❤
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 4 месяца назад
Kazi nzuri sana ❤❤❤nawapenda sana
@LysonMshan-kf7rg
@LysonMshan-kf7rg 4 месяца назад
nimechelewa masa mawili ila nimejitayid love bongo from malawi 🇲🇼🇲🇼🔥 nipe like ata kumi
@AlexKazungu-s2x
@AlexKazungu-s2x 4 месяца назад
bwabwa kweli iki kifupi
@chumviyamawe7502
@chumviyamawe7502 4 месяца назад
Nmegundua leo kumbe panga na mtukufu ni ndugu ni atar sana 😂😂
@ibrahimwaswa3995
@ibrahimwaswa3995 4 месяца назад
Dah!!clam umetisha brother,,,sijawai ona episode Kali kama hii,,wenye tunakubali season 2 imetisha kinomanoma gonga like tukingoja episode 23
@MasoudMakanya
@MasoudMakanya 4 месяца назад
Duh kuna watu hawafadhiliki kabsa hatukatai mzigo umechelewa lakini sio kulalamika ety dakika chache duh imenihudhunisha sana hii,,,,,😌😌
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 месяца назад
Wapuuzi sana
@AbdulMussa-ff9yl
@AbdulMussa-ff9yl 4 месяца назад
Mh imaya kumekucha na radi kingine huyo mganga kawafelisha wenzake katengeneza dawa hadi imemdhuru yeye mwenyewe kisa kupenda sana kula mh kivumbi humu nadhani sehemu kutakuwa na moto usio kua na kifani maana sehemu hii ya 22 imekuja na mabadiriko makubwa sasa nikweli safari hii mmejiandaa ipasavyo💪💪💪💪💪💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@sylvesterdonald7441
@sylvesterdonald7441 4 месяца назад
Mwakatobe fala sana 😂
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 месяца назад
Tem Vevo Maasha Allah Aki Hii Move Imepangika Vizuri Sana Na Dakika Pia Zinaridhisha Ongera Sana Vevo❤❤❤❤❤❤
@OnebStar-jt4je
@OnebStar-jt4je 4 месяца назад
Muve kali sana ii mashabikiwamwaka tobe toen like
@AllyChinga-fc7rz
@AllyChinga-fc7rz 3 месяца назад
Kuxhiba yo kwiooo😂😂😂😂😂❤ Kama una iku Bali snake boy gonga like❤❤❤❤blo vevo big up to you
@naymgavino1157
@naymgavino1157 4 месяца назад
Wakwanza Léo Congo Goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🇨🇩 nipe like hata tano tuu .SABABU like hazi Uzi kamoto moto
@dieumercimuhindo1607
@dieumercimuhindo1607 4 месяца назад
Wa kwanza leo congo bafwambaya
@ElieKachuka
@ElieKachuka 4 месяца назад
Man uko farceur kweli
@Shedafa96
@Shedafa96 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9DimqH-iOxw.htmlsi=wgfpRKu-yqrFP6_w
@WamahendeleoVenancio
@WamahendeleoVenancio 4 месяца назад
Sisi mashabiki tunapenda ivi yani episóde itoke na da Kika nyinge sio na dakika kidogo
@mariethajoseph6538
@mariethajoseph6538 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 kwa team nzima nasis mashabiki kazi nzuri pongez kwenu
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel 4 месяца назад
Walewalioangalia Hadi mwisho mikononi juu vevo kazi nzuri
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 4 месяца назад
Kama unamkubali chief wa himaya ya Nyoka like hp anajua mnoooooooo 😊
@rehemamoses3455
@rehemamoses3455 4 месяца назад
Ana act kitaalam sanaa ananogesh movie
@manbaibezekiel3985
@manbaibezekiel3985 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤ 23 ikuje. Kwa hakika nimesubiri sana . We love you from Kenya
@VicramMakwenzi
@VicramMakwenzi 4 месяца назад
Mtukufu na uroho wake kazingua sana et
@monicahaule5677
@monicahaule5677 4 месяца назад
Yani akisha ona ubwabwa maharage ni mtihan kwake
@ShaymaaMlanza
@ShaymaaMlanza 3 месяца назад
Nimetokea kumchukia
@hunterpictures3549
@hunterpictures3549 4 месяца назад
Leo nakuwa wakwanza kutoka burùndi usikose kunipa like basi
@AdamSoldier1999
@AdamSoldier1999 4 месяца назад
big boss seson two mwamba ukimalza huu nakukubal sana ndugu
@blackvirus8740
@blackvirus8740 4 месяца назад
Itakuwa ya moto mnoo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
Kabisa yn
@menberakeybessovell
@menberakeybessovell 4 месяца назад
Watu ndo sisi big up sana wapi likes team vevoooo kazi nzuri sana
@salimsalekhe8286
@salimsalekhe8286 4 месяца назад
Naona zinga yupo vizuri siku moja tu anatungisha mimba........ ila naona kwa mshangazi bado je yupo vzr kw wanawake wengne tu
@saeedalyahmadi1738
@saeedalyahmadi1738 4 месяца назад
Mshangazi hawez kuzaa tangu season ya kwanza ilishasemwa,
@daiz_HQ
@daiz_HQ 4 месяца назад
Hili kundi la sanaa ndo kundi pekee sasaa linarudisha bongo movie kwenye ubora ndani ya Tanzania🔥
@AmourOthman-n6x
@AmourOthman-n6x 4 месяца назад
😮Dah nimeisubiria mpaka nimechoka, good job vevo
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj 4 месяца назад
Duuuh kumbe umbea haujaachaga wwe kama unamkubali kipara gonga like100
@nyagabonamisana5400
@nyagabonamisana5400 4 месяца назад
Kipara mbeaSJAWAHI ona😅😅😅😅
@rahmarr2160
@rahmarr2160 4 месяца назад
Zinga umenishinda tabia haya toka zako ngo'mbe wa mayai😂😂😂😂
@RamadhanOmar-uz2vr
@RamadhanOmar-uz2vr 4 месяца назад
Huyu kipara anaboa kweli yani umbea kma jike wacha tuone mwisho wake alfu mtumishi nae kila time mchele maharagwe badilisheni men u🖐🖐
@saumunyadzua
@saumunyadzua 4 месяца назад
Mjinga Kipara ananiboa kweli mpaka natamani agogwe na nyoka afe
@cutemima2599
@cutemima2599 4 месяца назад
Aaaah anakera mpk kichefchef asa
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 4 месяца назад
Kweli kabisa hili JIPARA linaboaa..umbea kama mtoto wa kike avalishwe dera sasa😅
@TunuMbega-g2y
@TunuMbega-g2y 4 месяца назад
Ndio kilevi chake wali maharage😂😂
@housemanagmentfinishing1151
@housemanagmentfinishing1151 4 месяца назад
Yule kilevi walimaharage huyu kilevi chake umbea yani ni vurugu mechi yani raha tupu😂😂😂😂
@kingcicero1708
@kingcicero1708 4 месяца назад
Asante kwa dakika Kijana nyoka ❤ One love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@SwaumuJaphary
@SwaumuJaphary 4 месяца назад
Hii move ntashindwa kuangaria kwajil ya kipara tu😂😂😂
@JoyceMakwinya
@JoyceMakwinya 3 месяца назад
Aaaaaaanh😂
@MahmoudRajab-ip3mw
@MahmoudRajab-ip3mw Месяц назад
Anakeraaa vbyaaa uyo mshkaji...hahhaa
@luckyman4420
@luckyman4420 4 месяца назад
Mtukufu ulafi wake wa wali na maharage unaniudhi Sana Kama unaudhika na wewe like apa😅😮
@CallyAviana
@CallyAviana 3 месяца назад
😂😂😂😂
@Rigobertpanga9
@Rigobertpanga9 4 месяца назад
Shabiki wa CLAM VEVO from🇧🇷🇧🇷🇧🇷 Nawapenda sana nyote😂😂
@IareineKyembe
@IareineKyembe 4 месяца назад
Napenda kweli filamu yenu mungu azidi kuwa ongezeya nguvu
@gigwamayara73
@gigwamayara73 4 месяца назад
Kama uliisubiri sna kma mm gonga like kwa clam
@topmababi9915
@topmababi9915 4 месяца назад
Wakwanza Léo jamn love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ShadiaIdrisa
@ShadiaIdrisa 4 месяца назад
Honger a sana cram natimuyako yote munajitaidi🎉🎉🎉🎉
@Efootball_konami1
@Efootball_konami1 4 месяца назад
Wakwanza leo from USA naomba mnipe likes zangu 🎉🎉🎉
@annaki318
@annaki318 4 месяца назад
Tabora tupo
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 4 месяца назад
Clam vevo gang congratulations 👏👏.. Kenya tunakubali
@Rockphonessolution
@Rockphonessolution 4 месяца назад
From kenya nipeni like zangu😅
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 4 месяца назад
Mtukufu pamija na majonzi aliyonayo ya kupotelewa na ndugu yake Panga lakini wali maharage bado ukawa na thamani kwake😂😂😂
@MATOPESAFI46
@MATOPESAFI46 4 месяца назад
Nawaambia nimepita karibu wiki mzima nikiangalia kama Kuna episod mpya mbaka Leo nimepata notification🎉🎉
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 4 месяца назад
umekuwa unata aje sasa kawa sa idiye kuyi yanda 😮
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu 4 месяца назад
Mashaallah kazi nzuri tuliofurahia muda kuongezwa gonga like hapa❤
@ValentineFrisch
@ValentineFrisch 3 месяца назад
Mnaendelea vizuri Sana na kila cku mnazidi kuwa juu zaidi kwa kifupi msikubali kurudi nyuma nawakubali sana
@liliy-u3n
@liliy-u3n 4 месяца назад
Kazi nzuri ❤ adi umetuongeza muda wa kutosha🥰👏👏👏
@sarahmmbone
@sarahmmbone 4 месяца назад
Hi thamthilia Lina mafunzo nzuri Sana asante Sana cram Vevo Kwa mafunzo🤗🥰😊
@Mwamaisha
@Mwamaisha 3 месяца назад
Duuuh mmbea ana kazi wallah yn keshapata ubuyu moto moto 😂😂😂 hii movie tamu wallah yn pia instead of kukuchukia nakupenda mmbea wallah kka 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@abduladinane
@abduladinane 4 месяца назад
From Moçambique like nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@nicolaumatiaspaulo5539
@nicolaumatiaspaulo5539 4 месяца назад
Moz 🇲🇿 we on
@nicolaumatiaspaulo5539
@nicolaumatiaspaulo5539 4 месяца назад
Moz 🇲🇿 we on
@SalimoselemaneSelemane-z2n
@SalimoselemaneSelemane-z2n 4 месяца назад
Afinal também você de lê mesmo ❤❤❤
@abduladinane
@abduladinane 4 месяца назад
@@SalimoselemaneSelemane-z2n sim
@FadhmmoonBushiri
@FadhmmoonBushiri 4 месяца назад
Hatimae sikujua km kuna albino mwenzangu ktk hii movie jmn nimependa
@rasharashacomedy3733
@rasharashacomedy3733 2 месяца назад
❤❤
@hp2623
@hp2623 4 месяца назад
Jaman nachukua umbea alonao kipara. Namchulia Sana Sana Tena Sana
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 месяца назад
Noma Sanaa yasafarii hii imenikoshaaa mnoo asee ❤ nawapenda wote 🙏🏿 sema hongeraaaa kaka umeiongezeaa mudaaa imekuwaa ndefu 🤽🏿
@Saidyomarybakary
@Saidyomarybakary 4 месяца назад
Good idea bro big nolerge and big thinking capacity Allah bless you my young brother
@greyjames4768
@greyjames4768 4 месяца назад
Kama unamkubali Cha Pombe Butua Gonga like twende Sawa😀
@TigerBae-hf2mm
@TigerBae-hf2mm 4 месяца назад
Wa kwanz leo jmn naomba like zangu
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 4 месяца назад
Kazi nzuri timu clam mungu amiongeze inshaallah
@Kurathunghain
@Kurathunghain 4 месяца назад
Vizur san sai mumefanya kazi nzur na ni ndefu sana
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 4 месяца назад
wa kwanza leo from usa ,,,,,, mwaga like zote za clam vevo twende sawaaa
@EnjoyJohn-fo3ox
@EnjoyJohn-fo3ox 4 месяца назад
Kipara Bwana kila move yéyé ni mbeya duuuh
@ZaylinahNindae
@ZaylinahNindae 4 месяца назад
Yaan mpaka ana kera
@victorhabonimana9055
@victorhabonimana9055 4 месяца назад
hana pigo izo ashaachaga
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 4 месяца назад
Hadi mm ameniboo sana
@lubazumaduhu
@lubazumaduhu 4 месяца назад
inawezekana hata maisha ya kawaida ni mbeya sana
@AaAa-lq7mr
@AaAa-lq7mr 4 месяца назад
​@@lubazumaduhuhahhahahaha😂
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 4 месяца назад
Wow wow 🥰🥰 kazi nzuri clam
@modex_0376
@modex_0376 4 месяца назад
Wa kwanza Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii
@aqazstudio6918
@aqazstudio6918 4 месяца назад
Na sijui black magic ya 6k imeanza kutumika naona picha imezidi kuwa nzuri 😊😊
@tuyisengemariegoreth9489
@tuyisengemariegoreth9489 3 месяца назад
Kazi kubwa mmefanya nzuri sana
@AugustinKilozo-y8g
@AugustinKilozo-y8g 4 месяца назад
wa kwanza kutoka 🇨🇩🇨🇩 DRC congo nahomba like jamani ♥️
Далее
SNAKE BOY | ep 23 | SEASON TWO
50:01
Просмотров 943 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 231 тыс.
KIPESILE   | 1 |
23:39
Просмотров 891 тыс.
MTOTO WAKICHAWI
8:02
Просмотров 1,3 млн
MUUZA KANDORO - OFFICIAL FILM EP 05
15:10
Просмотров 228
PENZI LA MZIMU |full movie|
1:34:23
Просмотров 2 млн
KHASU Part 2 AKILA Entertainment (malawian movie)
1:20:05
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
Просмотров 140 тыс.